PAUL CLEMENT KUHUSU MWEMA,KUFANYA KAZI NA BELLA KOMBO,MSIBA ULIVYOCHANGIA KUPATA WIMBO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Baada ya #PaulClement kuachia wimbo wake wa Mwema aliyomshirikisha Bella Kombo,kwa mara ya kwanza amefanya mahojiano maalum na Mfinanga kwenye kipindi chetu cha #TheSoundOfGospel akielezea jinsi alivyoupata wimbo huo baadae kufunguka kinagaubaga kuhusu milima na mabonde ya huduma yake,Hii ni moja ya interview chache sana ambazo Paul ameongea kwa uwazi kuhusu yeye,ebu cheki nae..
The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
Photography - SirMbezi
Editing - Sirmbezi,
We celebrate you Paul...mungu amekueka mfano wakuigwa..personally nyimbo zako Zina upako mwingi b blessed dear...from Kenya
Ur so humble brother Paul,Mungu azidi kukuinua🙌
Mungu akusaidie kaka na kuzidi kuwa mnyenyekevu
So nice...bro paul nakupendaga Sana ..!!!umeeleweka vyma ...Kaka Mfinanga..you always on top..nakufatilia saana
Huu wimbo ulinitoa mahali pabaya wakati WA 2020 a aaaah Mungu akubariki
Hongera sana MUNGU akubariki sana endelea kuishi maisha yako.
Mungu aendelee kukupandisha viwango na viwangu unanibariki sana
Asante sana kaka unanibariki sikuzote
Basi nipe na mimi mda waku fanya kitu na wewe mwalimu, i'm Franklin Faith from 🇨🇩🇨🇩 DRC
Wow, powerful!
Mwemaaaa so powerful
The only celeb waweza pandanae matatu afu mkafurahi tu! 🤣🤣🤣🤣
Much respect!
Wewe ni wa baraka Paul Clement!!!
God bless you brother 🙏🙏
Uyu Mkaka Paul Jmn 🥰🥰
Wow uko kama mchungaji
So inspiring keep up bro
God bless you
SIR MBEZI 📌📌
great interview
Good job brother napenda sana huduma yako naamini mungu atakuinua zaidi.
Kaka interview nzuri na Ina jenga
Nice
Kazi njema wakuu
Sijui kama kuna siri hapo hahaha
Uko vinzuri kaka Poh!
Mwema ni wimbo mzuri sana the first day tu nimeusikia ulinibariki
Even me nikiimba huu wimbo nabubujikwa machozi mno. Una upako huu wimbo
Bro interview Ni nzuri but fupi sana