MJASIRIAMALI MUUZA KARANGA AFUNGUKA, AMILIKI NYUMBA YA MIL.30, ASOMESHA MTOTO UDOM, MTAJI WA ELFU 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 22 วันที่ผ่านมา +25

    INAWEZEKANA kabisa Ukiwa Na Mungu na ukiwa Na Focus ❤

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 22 วันที่ผ่านมา +5

    Utukufu kwa Mungu, mambo hayo yanawezekana aswa ikiwa mwaminifu kwa mungu na kila Mtu Mungu anangangia namna ya kufanikiwa, hongere sana dada

  • @HusnaMtitiko-yt4ru
    @HusnaMtitiko-yt4ru 21 วันที่ผ่านมา +5

    Huyo mume alijipalia makaa na huyo mwanamke ndo alikuwa mafanikio yake lait angekaa naye hadi leo basi wangekuwa matajiri wa maana lakin mwanaume aliona kulisha mkia wake ni fahari kulko maisha angalia sasa huyu mwanamke hata akiwa kwenye ndoa ni muaminifu hawezi kusaliti ❤️

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 23 วันที่ผ่านมา +16

    Mashallah hongera mama mola hamtupi mja wake 💝💝💝💝💝

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 22 วันที่ผ่านมา +5

    Safi sana hongera mamaa hivi ndio vitu navipenda...so inspiring

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 21 วันที่ผ่านมา +8

    Hongera dada wewe sasa ndio super woman.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 22 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera sana dada, Mwenyezi Mungu akuzidishie zaidi

  • @knowledgetv5594
    @knowledgetv5594 20 วันที่ผ่านมา +6

    Millard Ayo,
    Hizi ndio habari za kutweet na sio zile zingine za kukamata wadada poa. Nashauri ungekuwa na kipindi rasmi kwa ajiri ya vitu hivi kwani vinajenga mno.

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 8 วันที่ผ่านมา

    Nimekupenda sana umezidi kunipa ujasiri kua naweza🤝🤲🏼🤲🏼🤲🏼♥️

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 22 วันที่ผ่านมา +14

    Historia ya mafanikio yake naiamini kabisa ni uangaikaji wake binafsi hongera sana mama Mungu akuzidishie !

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera mdogo wangu, mpambanaji mwenzangu mwenyezi Mungu aendelee kukupigania🎉🎉

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 23 วันที่ผ่านมา +13

    Karanga zina lipa sana

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb 23 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Kuna midada ipo MTAAN eti ohoo mie nibebe beseni kichwan mie hongera sana my dear

  • @candyismail1256
    @candyismail1256 23 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera kipnz,Mungu akasikie kilio chako

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 23 วันที่ผ่านมา +17

    Mungu humwinua mtu kutoka mavumbini.

    • @focus140
      @focus140 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa

    • @J_Jeromy
      @J_Jeromy 22 วันที่ผ่านมา

      Amiin

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 13 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah M mungu akuzidishie kila la kheri akuondolee vikwazo kwenye biashara yako

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 23 วันที่ผ่านมา +7

    Hongera sana, wewe ni wa mfano. Mungu aendelee kukubariki utakuja kuwa bilionea siku za usoni

  • @user-sj5le4sf7i
    @user-sj5le4sf7i 20 วันที่ผ่านมา +1

    Asante malikia wa nguvu ❤ wanawake tunaweza

  • @AsiaSalim-e4d
    @AsiaSalim-e4d 22 วันที่ผ่านมา +1

    Masha ALLAH hongera sana ❤

  • @user-nc9il2fj1i
    @user-nc9il2fj1i 17 วันที่ผ่านมา +1

    Monica hongera hata Mimi napambana mungu atufanikishe

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 13 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah hongera sana hata mm naweza In shaa Allah biidhn Allah

  • @omanmct135
    @omanmct135 22 วันที่ผ่านมา +3

    Vizuri sana dada❤❤❤

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 22 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ndio super woman.mpambanaji wa nguvu.

  • @yusramichael585
    @yusramichael585 21 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah 🥰 Allah bless you mpambanaj💪.....nataman nikuone nipo nyankumbu pia jmn

  • @SurprisedBanyanTree-wu1cg
    @SurprisedBanyanTree-wu1cg 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana dada

  • @magrethelikanah5110
    @magrethelikanah5110 18 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen ameeeeen safi sana. Mungu atukuzwe.

  • @beatykrisam81
    @beatykrisam81 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nisaidie na mm

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanamke wa shoka ,wengi watasema kunakitu chaziada unategemea,lkn hawajui kwamba unasev ,nahaswa ukijua unataka nn nakuamua Mungu akuangulie karanga inahela nyie achen tu

  • @EvarineMdaki
    @EvarineMdaki 22 วันที่ผ่านมา +1

    Be blessed Bertha

  • @stonetown578
    @stonetown578 22 วันที่ผ่านมา +1

    Allah atazidi kukuongoza.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana mpendwa wangu

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 20 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyo nyumba haipungui m 50 Kwa macho ninavyoona

  • @RajabuLesali
    @RajabuLesali 22 วันที่ผ่านมา

    Ongera san. Mungu abariki. Rizki ya halal

  • @ayshunamir
    @ayshunamir 20 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah

  • @Mlokoz_twangalatwz
    @Mlokoz_twangalatwz 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana dada mzuri

  • @NellyFrancis-nn3qb
    @NellyFrancis-nn3qb 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana mom😢

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 22 วันที่ผ่านมา

    Mainshaallah

  • @GabrielMwakasagule
    @GabrielMwakasagule 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mama

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 23 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @devothaemanuel
    @devothaemanuel 21 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mama

  • @pceodhc
    @pceodhc 22 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah! Mungu azidi kukubariki na kukuongeza Katika jina la Yesu! 🙏🏾

  • @communicativegirls4433
    @communicativegirls4433 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ni historia inayoleta nguvu.

  • @annastaziaemmanuel8664
    @annastaziaemmanuel8664 8 วันที่ผ่านมา

    Anaposimulia unaweza ukafikiri ni jambo la week moja tuu,ila ukiwa ushakutana nayo ndo unaelewa

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 17 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli Mungu ni mwema

  • @user-hw7kz8rv2c
    @user-hw7kz8rv2c 17 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-kb7zn8lm8m
    @user-kb7zn8lm8m 19 วันที่ผ่านมา

    Inapendeza mama mjasiriamali

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 20 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉❤

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 22 วันที่ผ่านมา

    💯

  • @EshaMichael-zw7zi
    @EshaMichael-zw7zi 22 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @NIKIZAGloria-l2k
    @NIKIZAGloria-l2k 8 วันที่ผ่านมา

    Mfano wa kuiga

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 19 วันที่ผ่านมา

    Waaaah hata mumeo akiona hii atatamani kukurudia

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ulichosema hukua ridhaa kuolewa ulilazimishwa ndicho kilichokukost yawezekana kuna makosa ulifanya bila kujali ndio mana kakuacha

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 10 วันที่ผ่านมา

      Kosa baada ya watoto 2? Amesema kuna mama alikuwa anakuja hapo kufanya kazi za ndani ndio akapindua meza, ni huyo baba ndio amejichanganya, kosa ndio likufanye uende kwa mwanamke mwengine?

  • @FelisterNampoka
    @FelisterNampoka 22 วันที่ผ่านมา

    Ongera dada

  • @khadijamohamed3043
    @khadijamohamed3043 22 วันที่ผ่านมา

    AMIIN

  • @ZawadMussa-sd1od
    @ZawadMussa-sd1od 22 วันที่ผ่านมา

    Uyu ni Mimi kbsa mungu mkubwa sana

  • @happykiwelu1451
    @happykiwelu1451 21 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndo Mwanamke wa shoka

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 23 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅au siooo.... !!,hapagwi mtu apa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 วันที่ผ่านมา

    Basi. Sawa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 21 วันที่ผ่านมา

    Hii nikweli kabisa hata mm nimejenga nyumba kubwa tu nilikua nauza karanga

  • @user-ur8cq1ye3b
    @user-ur8cq1ye3b 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nauyo mume wako atapitia masha maugumu atoamini macho yake

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 10 วันที่ผ่านมา

      Wanaishiaga kujuta sana

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo inaonyesha huyu mtoto wako wa mwisho sio mtoto wa mume wake aliye muacha

  • @immadangote6001
    @immadangote6001 23 วันที่ผ่านมา

    Tumepigwa

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kwavile unategemea ajira utapata tabu

  • @user-yd9ds1zs1i
    @user-yd9ds1zs1i 23 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hapa tumepigwa kweli ndug mwandish mtaji wa milioni 2, na mtaji una mkata amejenga nyumba ya milion 30, duuh!

    • @AshuraMbwana
      @AshuraMbwana 23 วันที่ผ่านมา +4

      Inawezekana sana kikubwa kupambana tu bila ya kukata tamaa sisi kwetu tuna Jenga Kwa mtaji wa samaki laki tatu tu

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 22 วันที่ผ่านมา +3

      Nyumba haijengwi kwa siku moja kwa sisi wapambanaji msingi mara coz mbili mara umemaliza

    • @user-yd9ds1zs1i
      @user-yd9ds1zs1i 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@AshuraMbwana sizan kama kweli inawezekana

    • @privasara3971
      @privasara3971 22 วันที่ผ่านมา +2

      Mtaji mdogo na faida mtu anayopata havihusiani kabisa.ndani ya mtaji huohuo anaweza akawa anapata laki 5 kila wiki.

    • @svt3
      @svt3 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yd9ds1zs1iinawezekana tena saana utakuta kajenga hiyo nyumba kwa miaka hata miwili au tatu akipata faida ananunuwa gunia 3au inne ya simenti mdogo mdogo anajenga yote ni ma hesabu na nidhamu ya bageti

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 22 วันที่ผ่านมา

    Aseme ukweli tu nyumba kajenga ama imeshushwa kutoka mbinguni😅

    • @user-sc9fe7nk6y
      @user-sc9fe7nk6y 18 วันที่ผ่านมา +2

      Hebu ushushiwe na wewe tuone mie n muuza karanga pia Niko Arusha biashara ndogo ndogo zinzlipa sana wekeza kwenye vikoba au michezo uone kama hujatoboa

    • @user-dy9fr2mi5n
      @user-dy9fr2mi5n 9 วันที่ผ่านมา

      Naunga mkono

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 22 วันที่ผ่านมา +2

    Karanga hizihizi ??

    • @SaadaAlsheibani
      @SaadaAlsheibani 22 วันที่ผ่านมา +1

      Eeeh karanga hizo hizo unazokula jioni😂😂

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 22 วันที่ผ่านมา +5

      Biashara siyo tu karanga bali ni ile akili uliyonayo inakupa vipi mwanga ma kujituma. Sina mengi dada endelea kupambana wengi tumetokea huko.

  • @meddixempire292
    @meddixempire292 20 วันที่ผ่านมา

    Suala la kumpelea mtu mzigo kwake mmmh nina wasiwasi hapo utakua na uchi unatoa

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 20 วันที่ผ่านมา

    Taf women Huwa hawaoleki hata siku moja

  • @estherdavid4133
    @estherdavid4133 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana dada