Leina mzri mashalla usvae mikofia yko ile km muuza samaki unpndza kuvaa ijbu we wakuoa leina
Pole ila mengine nimejifunza
Huyo ni Noel Hiza ,Tanga muheza kijij cha mashewa ,mwanangu sana ,aka Uncle
Poleeee mzee
Daaah sister uko vzr ni unajua kutangaza na unajua tena
Waaaa pole kwa masaibu
Baria sana wewe dadeki
Polee sna mjomba😭😓
Hii ni mtihani mkubwa huo jini tena😮
Hakuna samaki anayeitwa chunusi ni uongo huo mtupu
Wewe omba Mungu sana
Aliyekutuma hakuwa mtu pesa hii inawaumiza vijana pole du!
Unamoyo 😮😮😮😮😮
Shy those things
Chunusi ni jini yeye uwapo katika mabwawa mito
bint uko na mtu hatari sana usione anaongea hapo mwenyewe anakutamani saana ashakupigia cheza na beach boy wewe
Rais wa kuuza mishkaki, bahari simchezo haina Rais yoyote
Me natak mwanaume jini ilianitimizie kilakitu
Dada unajua sana kutangaza nakuombea uchukuliwe na milad ayoo au wasafii