Rest In Peace my president the son of Africa. Naamini uliletwa na Mungu Kufungua macho watanzania na Waafrika kwa ujumla, muda sio mrefu watu wengi wataanza kugundua kuwa kifo chako wengi tulijua kitatokea kwasababu hakuna rahisi yeyote kwenye Historia ya afrika Aliyejitolea maisha yake kwa wananchi, akapendwa na Mataifa ya ulaya. Angalia, Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Ghadafi, kwame nkuruma, Na wengine wote. Afrika we must unite before it’s too late.
Hongera mh.rais tuko nawew kila hatua na tunakuombea Mungu akulinde uzidi kufanya kaz kwa mkono wa Mungu usikate tamaa atakaye kukwamisha fukuza Mungu anataka haki Fanya kazi ya Mungu
Nimemuonea huruma sana raisi wangu baada ya kumaliza kuongea na Kusema "haya bana", inaonesha mawaziri wake wanamuangusha Sana maana kaonesha uchungu Sana
mohamed selungwi Ndiyo maana wanaompinga ni wengi....WATU WANATAMANI HATA AFE ILI MAMBO YARUDI KULEX2 KWA ZAMANI. NI LAZIMA WATZ TUKUBALI KUBADIRIKA NA TUMOE SUPPORT RAISI WETU
Natamani hata Mungu aturejeshee magufuli kidg tu hatamwezi mmoja tu afu amrudshe akapmzke aliko🥺🤲tunataka MAGUFULIFICATION🤒 Dah rip legend❤️bba wa mioyo ya wanyonge
Communication hata kwenye familia ikikosekana Mambo hayataenda, vivyohivyo na nchi viongozi,mawaziri,wakuu wa idara za serikali no communication Tanzania mnaichelewesha kuendelea,Mungu ibariki Tanzania yetu
nimelia upya nilivyotazam hii video kwa mara nyingine raisi wetu leo haupo tena daa mungu mkali jamani pumzika kwa amani raisi wetu bado unaishi moyoni mwangu😭
Uwozo wote huu unahitaji katiba mpya ambayo itakuwa Smart kwa kumshughulikia mtu yoyote bila kujali cheo au hadhi yake.Kama Rais anapambana na rushwa ,je itakuwaje kama Mungu anamchukua kabla ya kumaliza kipindi chake? ,na je itakuwaje kama akimaliza kipindi chake ?.Je tunaimani gani kama Raisi atakayefuata atafuata sera zake?.Hapo ndipo tunaposema kuna umuhimu wa katiba mpya anayoendana na usasa na kizazi cha sasa ,katiba ambayo itaweza kumshughulikia mtu yoyote hata kama ni Raisi ama waziri. Msingi wa Utawala bora ni sheria ambazo zinaweza kufanya kazi hata kwa mtu hohehahe (fukara)
Huyu Kikwete huyu Alichotufanyia katika nchi hii kwakweli. Mungu anjua kuna siku atamuaibisha kwa kila jambo alilotutendea wananchi kipindi cha uwongozi wake na kipindi ambacho alipotuondolea huyu Mzee kuiingilia Serikali ya awamu ya Tano.
Siyo mwepesi sn wa kucomment kuhusu mambo km haya lkn huu ni uzembe mkubwa ambao hata mm mwenyewe nikipewa nafasi km hii siwezi kuufanya. Hongera rais.
Uzembe wa hali ya juu! They have purposely done this, it is just an open sabotage by TPA and TRA leaders. Kudos President Magufuli. God Bless Tanzania.
hahahahaa mister prisdent big up naona vidume kimyaaaa vijasho lainiiii hahahaha ukiwakuta kwenye office zao c mikwala hiyo watumbue tu mkongwe .na ktiba tuibadili uendelee 2040
Tanzania pasua kichwa, magari yanakaa miaka yanachomwa na jua, yanapata rust na corrosion taasisi za uma zinakosa magari ya kutosha na kuagiza mengine kijinga jinga
Mh.Rais hakuna haja ya maneno mengi,piga chini hao kisha weka ndani kwa uzembe wao pia piga chini waziri.Haiwezekani hadi Rais aende bandarini ndiyo uozo ugundulike,hawa jamaa wanajua kinachoendelea juu ya hayo magari na mengine mengi tu hapo bandarini.
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Kusema ukweli mawaziri baadhi bado wanaboa aisee kama hawajuw wajibu wao wapishe two wenye ham na kazi waje kupiga coz hawawajibiki ipasanyo piga kazi jembe tunakusapoti
Kama umemkumbuka mh magufuli like hapa 🇹🇿
Kwel
Hakika
Laa Rais anafanya kazi mpaka mamwonea huruma laa!! Mungu ampe maisha marefu
Huyu rais Ni jembe sijawai ona duniani long live magu
Rest in peace Baba. Nilikukubali mno.
Rest In Peace my president the son of Africa. Naamini uliletwa na Mungu Kufungua macho watanzania na Waafrika kwa ujumla, muda sio mrefu watu wengi wataanza kugundua kuwa kifo chako wengi tulijua kitatokea kwasababu hakuna rahisi yeyote kwenye Historia ya afrika Aliyejitolea maisha yake kwa wananchi, akapendwa na Mataifa ya ulaya. Angalia, Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Ghadafi, kwame nkuruma, Na wengine wote. Afrika we must unite before it’s too late.
Hongera Sana Mzee jpm. kiongozi wa Mali ya umma
Pumzika kwa aman baba magufuli😭😭😭😭😭😭
I love my president❤️💛💚 magufuli forever
Hongera mh.rais tuko nawew kila hatua na tunakuombea Mungu akulinde uzidi kufanya kaz kwa mkono wa Mungu usikate tamaa atakaye kukwamisha fukuza Mungu anataka haki Fanya kazi ya Mungu
Mungu akutangulie katika kuingoza Tz, nimesikitika sana hapo mwishoni ulipo sema "Haya banna" imeonesha ni jinsi gani unavyo kerwa,
tuombe kwaajili ya rais wetu
Inatia huluma sana Mzee wetu,,,,,,mijitu haisikii,,ama kweli watu wakozoea wizi ni kazi sana kuacha
Raisi mchapa kazi East African👊👊
Pumzika kwa Amani Baba, Mzalendo wetu wa nchi yake Daima hatutakusahau Kipenzi cha Watanzania utaendelea kuishi mioyoni mwetu Daima
Hongera prezda kaz Nzur xana bandarn hakuna uongoz mzur angalia tena
huu ndie raisi yaani afrika tukipata maraisi wa 5 kama mafufuli yaani tunatona ugaibuni tunalejea kwetu afrika UVWF tunamupongeza sana RAISI MAGUFULI
haya bana!!!! pole rais wetu funga majambazi hayo waishazoea wizi
Kwa hii kazi uliyoifanya Magufuli Rais wangu. Ndio maana walikuuwa!! Walioumia kwa kutopig misheni town zao no wengi kinyama!!
Greatest Of All Time (G.O.A.T) ❤️💪
Rais Magufuli kazi anayo
... maana mijitu inayomzunguka inajifanya mizuzu sana
Yetu macho bhana
Nimemuonea huruma sana raisi wangu baada ya kumaliza kuongea na Kusema "haya bana", inaonesha mawaziri wake wanamuangusha Sana maana kaonesha uchungu Sana
Makonda apewe awaoneshe kazi
Makonda apewe hiyo kaz awnyoshe
Kwa kweli moyo ni safi
Anaumia sana ila mijizi ktk nchi hii ni mingi sana.yaani bado wanamzunguka tu dah!!
Ayubu Busanya Ina uma sana kwakweli. Tuzidi kuiombea hii nchi na raisi wetu ili tufike
mohamed selungwi Ndiyo maana wanaompinga ni wengi....WATU WANATAMANI HATA AFE ILI MAMBO YARUDI KULEX2 KWA ZAMANI. NI LAZIMA WATZ TUKUBALI KUBADIRIKA NA TUMOE SUPPORT RAISI WETU
Mkuu mungu akupe ulinzi unamaaduwi wengi unauma xana bandar mkabidhi Makonda.
Mjomba Magu, safisha tu nchi. Huu uchafu lazima utoweke kabisa na kwa Njia yoyote ile.
Seiff
.
hv
Seiff K
ibwana
zZ.
Our Late beloved president Pole
sana nchi ilikuchosha... pumzika kwa amanj John P Magufuli
Magufuri good job 👍
Baba Magu piga kazi Baba Nakuombea wallah Mungu akulinde....Lazima wanyooke
Tutakukumbaka daima mzee wetu mungu hakupumuzishe kwahamani baba
Tunakukumbuka raisi wetu
Raisi pekee aliependa wanyonge
Dah RIP MWAMBA
Natamani hata Mungu aturejeshee magufuli kidg tu hatamwezi mmoja tu afu amrudshe akapmzke aliko🥺🤲tunataka MAGUFULIFICATION🤒
Dah rip legend❤️bba wa mioyo ya wanyonge
Communication hata kwenye familia ikikosekana Mambo hayataenda, vivyohivyo na nchi viongozi,mawaziri,wakuu wa idara za serikali no communication Tanzania mnaichelewesha kuendelea,Mungu ibariki Tanzania yetu
Endelea kutunyoosha mambo mazuriiii hakika wewe ni role model viva mheshimiwa tafadhali fika na mtibwa kuna majipu
Sasa ni 2022,kma umeshammis sana jembe Magu gonga like tumuenzi Baba yetu
nimelia upya nilivyotazam hii video kwa mara nyingine raisi wetu leo haupo tena daa mungu mkali jamani pumzika kwa amani raisi wetu bado unaishi moyoni mwangu😭
That is wonder full and nice one for our better president
Uwozo wote huu unahitaji katiba mpya ambayo itakuwa Smart kwa kumshughulikia mtu yoyote bila kujali cheo au hadhi yake.Kama Rais anapambana na rushwa ,je itakuwaje kama Mungu anamchukua kabla ya kumaliza kipindi chake? ,na je itakuwaje kama akimaliza kipindi chake ?.Je tunaimani gani kama Raisi atakayefuata atafuata sera zake?.Hapo ndipo tunaposema kuna umuhimu wa katiba mpya anayoendana na usasa na kizazi cha sasa ,katiba ambayo itaweza kumshughulikia mtu yoyote hata kama ni Raisi ama waziri. Msingi wa Utawala bora ni sheria ambazo zinaweza kufanya kazi hata kwa mtu hohehahe (fukara)
Duuh ww inamaono mazito Leo ameshafariki mboeyupojela anadaikatibampya samia ndo raisi kapandishakodikibao mabandoyamepandabei mraditafranit
Uliwaza mbali sana mtu wa Mungu
daaa uliwaza mbali xana
Respect kwako mzee
Huyu Kikwete huyu Alichotufanyia katika nchi hii kwakweli. Mungu anjua kuna siku atamuaibisha kwa kila jambo alilotutendea wananchi kipindi cha uwongozi wake na kipindi ambacho alipotuondolea huyu Mzee kuiingilia Serikali ya awamu ya Tano.
Mungu azidi kukulinda rais wangu mpendwa,nakupenda kweli rais wang
Nimekuelewa jpm
Jembe kutoka Chato. Ewe mwenyezi Mungu ulitupatia dume kweli. Sijaona Afrika mzima. Aaah, shuja wetu! Asante Mungu, hapa tumeona Rais wa wanyonge.
Kweli wewe ulikuwa Kiongozi baba, basi Mungu alikupenda zaidi. Amina
Baaada ya hapo hizo ambulance ziliishia wapi naona ilikua km stunts tu kupata public sympathy
Baba fanya kazi ya kuwatumikia watanzania uliowaahidi. Tunakupongeza sana. Wewe fanya sehemu yako wasioelewa achana nao baba.
Tunakukumbuka Sana JPM Allah akupumzike na akupunguzie adhabu ya kaburi Ameen
Sawa sawa rais wetu mpendwa John pombe magufuli tunakusapot
Siyo mwepesi sn wa kucomment kuhusu mambo km haya lkn huu ni uzembe mkubwa ambao hata mm mwenyewe nikipewa nafasi km hii siwezi kuufanya. Hongera rais.
Uzembe wa hali ya juu! They have purposely done this, it is just an open sabotage by TPA and TRA leaders. Kudos President Magufuli. God Bless Tanzania.
Mungu akuzidishie mheshimiwa
huyu Rais tumwache atuongoze mpk atakapo itwa na Mungu,maana anatusaidia sana
Dunia ya Leo haiendiii hivyoooo.
Hayo mawazo yako. Wako wazuri wengi, sema tu hawakupata nafasi hiyo.
ndele mwalonde. Kweli ndg dunia ya leo haiendi hiyo.
Jinga
Haijalishi unavyocheza vizuri lkn mwishowe unafaa ushuke jukwani, mawazo nzuri iyo yako lakini hatufanyi ivo.
Pole Mhe Rais. mwenyezi mungu yupo nawe.
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya JPM ,Bwana azidi kumpa hekima mara trilion
huyo ndie Mkuu Safi Sana
duuu nakuogopa kama motoooo mkuu magugufuri
Tumempoteza shujaa
Mungu ndiye anaye jua
jama Mungu amsadie rais
MIHAMBO KITAMBO
magu anapiga sana kazi huyu mzee,kaniumiza sana roho mwishoni hapo eti HAYA BWANA duuuh
Hakika utabaki kua ww kwenye moyo wangu Rais Dr Magufuli Nina Iman ulijichagulia fungu sahihi wakati wa Uhai wako,,
Dah mzee anasema Aya bana vigogo munamuangusha 🚶🚶🚶
Dah nimekumis sanaa baba pumzika kwa amani😭😭😭😭🇹🇿
Rest easy my president daima tutakukumbuka tulikupenda ila MUNGU amekupenda Zaid umeondoka Bado twakuitaji
Safi sana mkulugezi izo gali zije na ilinga gali ni chache ilinga!
Very good anko magu lala salama
kazi juu ya kaz yani bamba tubamba
Ndo maana huwa namkubali Paul makonda unadhani uchafu kama huo angeuvumilia raisi angemkabidhi hyo bandari awanyooshe
Mm sina chakusema zaidi ya kusema. Ccm hooyeeeee
Komaa nao Baba'! Hao watumishi mizigo watanyooka tuu. Kwani zama zimebadirika mambo ya kukaa maofisini tu zimeisha. Hapa kazi tu. Ufisadi hauna nafasi.
Rais wangu najivunia sn kuwa na Rais kama ww mungu akulinde
hahahahaa mister prisdent big up naona vidume kimyaaaa vijasho lainiiii hahahaha ukiwakuta kwenye office zao c mikwala hiyo watumbue tu mkongwe .na ktiba tuibadili uendelee 2040
j..p..m mungu akubariki na akupe nguvu daima.saaaf sana .
Mungu azid kukuongoza na kukulinda Raisi wetu
Miss U my president!!!!You are legend is with us
Nakukubali rais wangu jpm.
Tutakukumbuka sn bb saizi wale uliowabana kwahaki saizi wanatusumbuwa sisi maskin
Daa speech zake sijui Kama zitasahaulika
Tanzania pasua kichwa, magari yanakaa miaka yanachomwa na jua, yanapata rust na corrosion taasisi za uma zinakosa magari ya kutosha na kuagiza mengine kijinga jinga
Yaani nimejisikia sana uchungu uchungu, kwanini mzigo wote huo ubebeshwe peke yako, wao wanakodoa tu mimacho.
Viongozi Tanzania ni aibu tu no accountability nor patriotism, rais anaumia sana.
Mh.Rais hakuna haja ya maneno mengi,piga chini hao kisha weka ndani kwa uzembe wao pia piga chini waziri.Haiwezekani hadi Rais aende bandarini ndiyo uozo ugundulike,hawa jamaa wanajua kinachoendelea juu ya hayo magari na mengine mengi tu hapo bandarini.
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Uliupiga mwingi sanaa kila cku ww ni kazi tu hakuna kuzurula nchi za nje hakuna kutulia ikulu .........Mungu natamani kumuona Magufuri mwingine ...
pole sana mkuu hii ndio tz
Magufuli raid bora mungu akupe ufalme mbiguni
Nani atakaye fichua wizi kama huu, tunakumic sana Rais wetu
Hayo magari yana siri kubwa.
Matokeo darasa la saba ramadhani njombe 2021
Leo nimejisikia kukukumbuka tu mzee dah No one is like you, No one watakuja wengi ila Hatotokea mwengine
duuh, nchi hii, huliwa na wenye meno. mawaziri wote ni mizigo tu. utafukuza wote tu
Kusema ukweli mawaziri baadhi bado wanaboa aisee kama hawajuw wajibu wao wapishe two wenye ham na kazi waje kupiga coz hawawajibiki ipasanyo piga kazi jembe tunakusapoti
makonda apewe uwaziri hayo yoyote yatakwisha,hiyo kasi yako aneiweza vizuri zaidi na Makonda
Huyu ndie magufuri Duuuh kwakweli mungu anamakusudi yake kutupa nakutupokonya 🙆🙆🙆
i cried mr President. thanx for seeing this.
upo sawa mzee wangu
Mh rais watendaji wako hasa kwenye chama chako wanakuhujumu.
Ndiyo makonda itapendeza zaidi
Mzee magufuli chukua gari zako hiyo hawa waharamia wametumia jina la raisi
Yaani hii mijamaa Elimu zao ni bure kabisa’...VICHWA vitupu kabisa..!!....mizigo inakaa tu bandarini Watu hamjui kitu’ mnafanya Kazi gani..?💣💥
natamani makonda awe waziri ausike na bandari watamkoma
Fetry John chizi awezi kua wazili
Live long my president!
hatuhitaji RAIS mwingine wa TANZANIA JPM pinga kazi si si KAZI yetu ni kukuombea kwa mwenyezi mungu
Kwa staili hii Mungu ndiyo anajua
JPM endelea kupumzika uliyoyafanya yametuonyessha jinsi uozo unavyofanyika,sasa mchezo umerudi tena uwiiiiiiii😭😭😭😭🤔🤲🤲
Yuko makini sana BABA WA TAIFA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Diamond
Duh mzee wetu anatia huruma,ingependeza kwakumpeleke huko makonda au jaffo ndo wanaoiweza kasi yke
Pumuzika Kwa Armani Mendes wetu