🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2024
  • #islaamic #drsulle #tanzania #live

ความคิดเห็น • 60

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 4 วันที่ผ่านมา +2

    Masha Allah Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha sule nakukubali kwaajili ya Allah

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu akuzidishie insha allah dr uko vizuli

  • @user-rh5eq4cm1h
    @user-rh5eq4cm1h 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi Mungu akujalie umri mrefu asanthe kabisa kwa kutuelimisha n'a kuelimisha wasiokuwa waislam hâta kama iblis ameshachukuwa roho zawo miongoni mwao,hapa Kuna elmu kubwa sana,alhamdulillah kuujua uislamu!!

  • @zainabuzainabu7403
    @zainabuzainabu7403 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi Mungu akukinge na Shari zote.

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 6 วันที่ผ่านมา +4

    Shukran sana jazakaallah kheir Dr sule nimepatafundisho na manufaa makubwa sana ambayo nilikua sijui ,kisha kwa upande wa historia nasisitiza tu yiende kwa mpangilio najua ulimruka idris .

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 4 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran Dr Sule. Nakukubali. Unasema kweli

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashaallah weli wang umesisimka majozi yanitoka wallah🤲,

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki 4 วันที่ผ่านมา +3

    Umetisha sana Dr sule

  • @SalmaIbrahim-ns6wy
    @SalmaIbrahim-ns6wy 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mungu akuzidishie moyo huwo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mashalah mashalah ostazi wng...yani kwa maneno hayo naamin wasio waislam wataslim na watakuwa wameelewa...kama hawajaelewa hawaelewi tena...nyie watu msio waislam naamin mtaslim..uislam ni raha ..mwenyezimungu tufanye tufe tukiwa waislam amin

    • @thamani5842
      @thamani5842 2 วันที่ผ่านมา +1

      Amiin

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 6 วันที่ผ่านมา +6

    Dr history nzuri sana mashaallah Mashaallah Mashaallah ,ila niko na swali baada ya nuhu kuzaa watoto watatu kisha hao watoto wakazaa mataifa mbali mbali ,je kizaz cha Adam na idris kilienda wapi ? Maana akitoka Adam na huyu Adam alikua na watoto atujui ni wangapi ? Kisha anakuja idris sijui alikua na watoto ama vipi ?kisha swali lengine linakuja kwa huyu nuhu alizaa watoto watatu tu je wake zao waliwatoa wapi ,Dr naomba utufafanulie vizur tena hatua kwa hatua ili na mimi kesho nikija kuelezea watu waelewe na kuridhika ,mana Dr sule wewe unaeleza vizur sana history ongera sana tafuta mwanafunzi umfunde vyema.

    • @kondeabdallah6987
      @kondeabdallah6987 4 วันที่ผ่านมา

      Kizazi Cha Adam kilisombwa na gharika ya nuhu kisha nuhu akazaa kizazi kipya..ambayo ndio hao watoto wa tatu waliozaa mataifa mbali mbali...

    • @simeonmazigo5918
      @simeonmazigo5918 วันที่ผ่านมา

      Kwenye safina waliingia watu8 Nuhu na mkewe pamoja na vijana wake3 na wakezao jumla watu8

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam

  • @user-ei3iy5fu1i
    @user-ei3iy5fu1i วันที่ผ่านมา

    Umesema ukweri mungu akumbariki

  • @ShamsaGao-nn1ge
    @ShamsaGao-nn1ge 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah darasa zuri sana

  • @AmisiReddy-dd8gi
    @AmisiReddy-dd8gi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Takbir

  • @RamadhaniWaziri-v2p
    @RamadhaniWaziri-v2p 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah........

  • @sapnaochu
    @sapnaochu 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah👌

  • @jamilakhamisshaaban4752
    @jamilakhamisshaaban4752 5 วันที่ผ่านมา +1

    Masha aa Allah

  • @AmitaBatchan
    @AmitaBatchan วันที่ผ่านมา

    Dr mwenyezimungu akujazie mema

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Dr. Sule nimefurahi nimefarijika kuona ukweli unaendelea kuwa revealed kuhusu thamani ya mtu mweusi historically. Ila nina swali hapo kwenye lugha ya kuabudia na mfumo kama ulivyoeleza na kunukuu kuanzia adhana mpaka swala na katika hiyo kuna kumswalia mtume Mohammed SW na kwenye system kuna shahada inayomtaja Mtume je huo ndio mfumo tangu mwanzo? Maana inasemekana uislam ndio dini ya manabii wote yaani hata nabii Isah na wengine waliokuwepo kabla ya Mohammad walikuwa wanaabudu kwa mfumo, lugha na maneno hayo hayo exactly kama inavyofanyika leo??? Kama ndio je Mohammad alikuwako "spiritually" kabla ya akina Adam, Musa, Suleiman, Nuhu Ayubu na wengine? Kama ndio pia natamani kupata ufafanuzi wa kimaandiko

  • @mqabdullahismaily368
    @mqabdullahismaily368 4 วันที่ผ่านมา

    Nasikitika kuweka Ombi langu kwenye kipindi am achoo hakija husband na hilo Ombi langu.
    Naomba Namba ya Simu ya Dr.
    Ninamaradhi. !!

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa shafii shomari pango hawezi kusogea wala kukutoa kasoro

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kiarabu❤

  • @mbarikiaally2814
    @mbarikiaally2814 6 วันที่ผ่านมา +1

    Swala kila nabii kapewa zake kwa idadi yake

  • @user-wu7vt4wm2h
    @user-wu7vt4wm2h 2 วันที่ผ่านมา

    Doctor akulinde na akupe ulinzi wake @ shekh me nnaswali tunapo maliza swalaa tunatoa salam "asalam alleykum" kwann? Na ile salam tunamsalimia nani?

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 4 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo ustath msikilizaji hajui wala hana hata habari za anacho zungumza dr sulle. Amekaa kama picha tu.
    Watu wa namna hiyo musiwe mnawaweka kwenye vipindi vya kielimu kama hivi.

    • @angle3600
      @angle3600 4 วันที่ผ่านมา

      Kabisa hata mim nimeligundua hilo simchangamufu

    • @shabandamas1759
      @shabandamas1759 4 วันที่ผ่านมา

      Ungejaribu toa fact ya yako kidogo tuone nini unachojua wewe..
      Nasijui kwa kipimo gani ulichoona wewe..
      Huyu ni mwandishi Mwandishi kazi yake hapo nikusikiliza na kuuliza maswali, sasa sijui wewe umemtafsirije..

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 วันที่ผ่านมา

    Naongeza ufafanuzi zaidi.
    Binadamu ameumbwa mwa vitu 4 vyenye mgawanyiko maalumu navyo ni Udongo, Maji, Hewa, na Moto. Hivi vipo ndani ya mwili wa binadamu, HEWA ni pumzi, MOTO ni body tempreture Udongo ni mifupa n.k

  • @FundiAyo
    @FundiAyo 4 วันที่ผ่านมา

    Dr hapoado ujaelezea historia ya AFrica kisayansi bidam wakwanza uligundulika unyayo wale miaka mingi sana haijakaa sawa hio history haya hawo watt walizaa bila wenza

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 6 วันที่ผ่านมา +1

    Swadacta

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 2 วันที่ผ่านมา

    Uache ushirikina Na utubie kwa Allah na abainishe

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 วันที่ผ่านมา

    Mtu mweusi alianza baada ya gharika ya Nuhu soma vizuri utaona na aliitwa kushi yaani mweusi .,

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na makafiri wanabisha tu kusudi lkn ukweli dini ni islam tu akuna nyengine

  • @SalumBamba
    @SalumBamba วันที่ผ่านมา

    We selemani wee,, mashaalwa tupe elmu huna ghiyaana sleiman

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 4 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo nabii Adam kumbe alikua mruguru?

  • @NurdinBihame-oh4zx
    @NurdinBihame-oh4zx 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani me sielewi kitu kimoja kuhusu majini maana me najua kwamba majini ote waliuawa akabakia jini Moja Iblisi je Hadi Sasa majini waliopo waliumbwa upya au?

  • @topeng.1506
    @topeng.1506 3 วันที่ผ่านมา

    Naomba kujua ni Lugha gani aliyoiongea nabii Adamu na kizazi chake?!!

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 2 วันที่ผ่านมา

    Eheh makubwa uyo mzungu kabuni mda gn wakat manabii walishapita na Qurani ilisha teremka mataaifa yamekuja baada manabii wote kupita mdamwengne mashehe hamna kaz zakufanya

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 วันที่ผ่านมา

    Sasa sheikh,,,,kizazi kinatokana na kuoa au kuolewa......sasa kuhusu ndoa VP hapo ....?

  • @ALLYLUKONGE-ve2ci
    @ALLYLUKONGE-ve2ci 4 วันที่ผ่านมา +1

    Cha kuongezea tu doctor sule nikwamba mungu aliumba mtu sio binadam kwaio kunatofauti kati ya bina danam na mtu ukisema mtu unamaanisha mtu mweusi naukisema binadam unamaanisha wazungu na rangi nyingine zote

    • @NduwimanaAbdulrahmani
      @NduwimanaAbdulrahmani วันที่ผ่านมา

      sio kweli kuisema neno binadam nineno lakiarab Lililo tamkwa kiswahili ya bin adam Yan ubini wa Adam mtoto wa Adam mtu nineno lakiswahili asili

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 6 วันที่ผ่านมา +1

    Dr sule wakat malaika anachukua mchanga au udongo alichukua sehemu tofaut sindio ,kwa hali ya asili mtu yoyote huku Africa lazima akizaa hakosi mtoto mweupe na mweusi na maji ya kunde ,Dr sule swali langu ni hili kwanini quran ilikuja kwa njia ya kiarabu ?kisha Adam alikua anazungumza lugha gani ,ninavyo jua baada ya kuumbwa Adam ndio malaika waliulizwa wataje majina vile vitu wakashindwa na Adam akavitaja,sasa ilikuaje kuaje mpaka ikakuja quran ,mtume akapewa swala tena na nyuma Adam alikua anajua kila kitu na alikua anaswali swala hizi hizi ,si hao mitume wengine walikua wanapokezana ?

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 5 วันที่ผ่านมา +4

      Adamu kipindi anaulizwa hivyo vitu hakuwa duniani bali alikuwa peponi kwa Allah na malaika zake na lugha ya ibada ni Kiarabu na lugha ya peponi ni Kiarabu ndiyo maana Sheikh anakwambia kwamba lugha iliyotumika hapo mwanzo ilikuwa ni Kiarabu baadae alipokuja Nuhuu na watu walipotaka kujenga munala wa kwenda mbinguni ndipo Allah alipowabadilishia lugha automatic kila mtu alijikuta anaongea lugha yake ili wasielewane katika ujenzi haramu huo lakini katika andiko hilo la Bibilia Mungu alisema kuirejesha lugha moja ya ibada moja katika ulimwengu wote ambayo ni lugha ya Kiarabu na hili liko wazi halihitaji kuoneshwa andiko Mimi leo nikienda Kenya nitaswali na Waislamu wenzangu Wakenya,nikienda Kore hivyo hivyo,nikienda Misri namna hiyo,nikienda Congo naswali bila shaka yaani Dunia nzima !

    • @salimabdul4424
      @salimabdul4424 5 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo vitabu vyote vya mitume vipo katika lugha ya kiarabu

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 วันที่ผ่านมา

      @@salimabdul4424 Hapana sio Kila Kitabu kilikuja na lugha ya Kiarabu na sio Kila Mtume alipewa Kitabu !

  • @Ngendakumana_
    @Ngendakumana_ 2 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂kirasiku najiuriza je ukiwaza Mungu unaona pichagani 😅😅😅😅 nomasana nihivi wewe amini urichofundishwa iri ikitokea usijukaingia motoni mana najuwa %98 wakisi Mungu anapata picha yamuzungu Mutu mweupe sasa kama Mungu mweupe kwanini aumbe mweusi wakati anajuwa weupe wataleta dharau Soo twenderee tu kuramaisha😂😂😂😂

  • @user-bb8de4bl5n
    @user-bb8de4bl5n 4 วันที่ผ่านมา

    Dr Sule niambie lugha ipi Adam alikuwa anazungumza?

    • @user-bb8de4bl5n
      @user-bb8de4bl5n 4 วันที่ผ่านมา

      Na urefu wa futi ngapi wastani wake?!

  • @davissheshe5537
    @davissheshe5537 6 วันที่ผ่านมา

    Content zero

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 5 วันที่ผ่านมา

    Sheikh kiufupi biblia unaikubali ndio maana yaliyopo ndani ya biblia unayakubali.sasa mbona wakati mwingine huwa unaiponda..nini maana yake sasa..zefania...

    • @AbuubakarSeif
      @AbuubakarSeif 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Bibilia mbona inakubalika, ispokua tu bibilia ya saivi kuna sehemu nyengine imechakachuliwa, watu wameengeza maneno yao kutokana na matashi yao (mapendekezo yao), ndio maana bibilia haikubaliki 1 kwa 1 (bibilia ya sasa)

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha ushabiki pata ELIMU

  • @AmisiReddy-dd8gi
    @AmisiReddy-dd8gi 4 วันที่ผ่านมา

    Takbir