ALIE TOKA KUZIMUNI KATOBOWA SILI YA MANABII WA UONGO WOTE SHUHUDIA MANABII HAWOO 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 158

  • @EvaDaniel-y2u
    @EvaDaniel-y2u 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akusaidie sanaa maan naona unataka kumgombanisha mtumishi Amieli na watu wengne Tena ushindwe katika Jina la yesu muache mtumishi wetu wew ni muogo mkubwa Tena usirudie tenaa muongop mungu

  • @lydiahnabwire128
    @lydiahnabwire128 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi katekela Mungu akulinde saana vita sio vyako ni vya Mungu mwachie Yesu akupiganie

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs ปีที่แล้ว +5

    Picha alizoweka hazina uhusiano na anchosema ingawa miongoni mwao wapo wa uongo

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe hujifunzi na kuokoka wakala wa shetani na hayo unafikiri utumishi wa Mungu ,kuzimu okoka.Amen

  • @FelixMollel
    @FelixMollel 2 หลายเดือนก่อน

    Fanya kazi ya Mungu kufa ni faida kuishi ni krsto

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 หลายเดือนก่อน

    Anacho sema davy sio kweli,Hawafi nabii, Amiel Katekela alitoka,wengi sana wametoka kina cassian,wako hai hadi leo.hapo kidogo sijakuelewa,acha Yesu Kristo atusaidie.

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 3 หลายเดือนก่อน

    Sauti ni KATE KELA, picha ni Isaya Benson Nabii na Mwalimu wa uongo wakala na mjumbe ktk timu ya manabii wa uongo wa Arusha.Amen

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye anasimulia ni mchungaji Amiel Katekela

  • @FlauraceNako-lm3pw
    @FlauraceNako-lm3pw ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana mtumishi nakufata kutoka Congo

    • @usausatv2781
      @usausatv2781  ปีที่แล้ว

      Karibu Keribu Kwetu Tanzania

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe

  • @elisantechanjarika1531
    @elisantechanjarika1531 ปีที่แล้ว +3

    Muonyeshe sura anayeongea acha kuigiza tunamfahamu mtumiahi wa Mungu anayeongea

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว +6

    Wacheni michongo zenu za uchochezi kumchongasha katekela na watu ': katekela ameongea tu hakumtaja mtu jina wee unaye unga unga picha zako tumejua ni mbinu zako 'lakini haitfaulu ktk jina la yesu kristo wa nazareti

    • @sarahmaro215
      @sarahmaro215 ปีที่แล้ว

      Watumishi wa shetani wanatumiwa ili kuzuia vurugu, washindwa kwa Jina la YESU.

  • @lebeka2951
    @lebeka2951 ปีที่แล้ว +3

    Ongera sana mtumishi wa mungu ila wataje majina tuu na mungu wa mbinguni akubaliki na damu ya yesu ikufunike

  • @usausatv2781
    @usausatv2781  ปีที่แล้ว +1

    Nikwamba Mtumishi Alie Wakweli Hawezi Kubadilishwa Na Video Hizo Zinazowekwa TH-cam Nikwamba Mtumishi Kati Yahawa Unaowaona Hapa Mkweli Mingu Anamjuwa Asiekua Mkweli Mungu Anamjuwa Hakuna Anayeweza Kualibu Jina La Mtumishi Wa Mungu Kweli Kipitia Njia Hii Anaechafuka Ni Mtumishi Mhongotu

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Njinsi ya kuwatambua manabii wengi wa uongo,Yesu alisema mtawatambua kwa matunda yao, matunda yapi? Mafundisho ya mwilini vitu vya duniani,mali vitu vya kimwili,maji,chumvi,udongo,nywele nk. Aliyetumwa na Mungu hunena habari njema ya ufalme wa mbinguni Neno,Yohana 3:31-36. Yohana 8:43-47.

  • @christophermwandemange796
    @christophermwandemange796 ปีที่แล้ว +4

    Gwajima ni Mtumishi wa Mungu, wewe umechanganya katekela mwenyewe anajua

  • @Bénigne-k4x
    @Bénigne-k4x 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani nilimfata Mch katekela ila yeye hakutaka kuwataja kwasababu yakulinda heshima YaMungu na akasema wenda rabda yawezekana wakaokoka rakini hakutaja mnabii hata mmoja,sasa huyo naye ninini?mbona anaweka picha

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mbona kama haongei mwenyewe au macho yangu nisaidieni

    • @lydiahnabwire128
      @lydiahnabwire128 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli sio yeye anae ongea ,anae ongea ni pastor katekela alie kua mchawi sai anaubiri

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mnyakyusa tapeli kweli kweli, hii si sauti ya mch. Emiel Katekela?

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda wako, unaonyesha kwa upande fulani,bado unataka hao manabii wa uongo, ambao ulishiriki kuwatengeneza kwenye hivyo vilinge, waendelee kuwapotosha watanzania.,
    Je! Kwa nini unashindwa kuwakabili,ikiwa hivi sasa umeokoka? Si "uliwatengeneza" ulipokuwa kwa Lusifa?
    Ikiwa umeweza kutoka kwenye kilinge cha Lusifa, hawa manabii uliokuwa nao , vipi wakushinde !? Maana,kwa ushuhuda wa aina hii, ni kama vile unahitaji msaada wetu katika kupambana na hao wachungaji/ manabii wa uongo uliowatengeneza.,
    Halafu umesema, mlipomaliza kikao ,mkasema ; alhamndulilah , labilaalamina, Allahuakbar (niwie radhi kwa maandishi yasiyo sahihi)., Inamaana Lusifa ni muislamu!? Au Lusifa ni Allah!?
    Je! Sheikh Mwaipopo anajua hili?!
    Na hili la bandari, hamkulitengeneza huko kwenye vilinge?
    Halafu naomba hao manabii wa uongo uliowatengeneza,wakikuletea hizo pesa, waambie wakurushie kwenye M-pesa (nitakupa namba yangu,ukijibu hayo maswali).

  • @FelixMollel
    @FelixMollel 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba no ya mtumishi katakire

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 2 หลายเดือนก่อน

    Picha ni ya MWALIMU WA uongo anayeitwa BENISON MWAKILEMBE MSEMAJI NI MCHUNGAJI A . KATEKETEKELA SASA IMEKUWAJE HAPA ?

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 ปีที่แล้ว +1

    Amina! Amina! Mchungaji Asante sana

    • @janewanjiru9062
      @janewanjiru9062 ปีที่แล้ว

      Kwanini picha na sauti haiendani huyo ni amiel katekela wacheni cha ovyo!

    • @janewanjiru9062
      @janewanjiru9062 ปีที่แล้ว

      Kwanini picha na sauti haiendani huyo ni amiel katekela wacheni cha ovyo!

    • @timotheosimon3722
      @timotheosimon3722 22 วันที่ผ่านมา

      huyu siye@@janewanjiru9062

  • @PhideliciousAlphonce
    @PhideliciousAlphonce ปีที่แล้ว

    Muongo we we unachafua watumishi wa Mungu tu. Labda una Mungu wako anaekufahamisha uongo ila sio Mungu huyu ninaemjua.

  • @kaskereuinfo2181
    @kaskereuinfo2181 ปีที่แล้ว +2

    Apana, sio lazima afe wacha uongo, kuna wengi waliokombolewa, na wapo

  • @advelatandika6313
    @advelatandika6313 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu mzima kufanya mambo ya kitoto hiyo inamaanisha nini?

  • @PeterSavery-td3tz
    @PeterSavery-td3tz ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @abduljumaa4376
    @abduljumaa4376 ปีที่แล้ว

    Wew mwenyewe kiazi😂😂

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 ปีที่แล้ว +1

    Tumuulize Roho Mtakatifu ndiye atuelezee nani ni wake nanani siyo wakwake? Lakini tukisema tusikilize Kila mtu huwezi kujua nani katumwa kuwadhoofisha watumishi wa kweli nanani katumwa kuinua ufalme wa Mungu.

    • @sarahmaro215
      @sarahmaro215 ปีที่แล้ว

      Roho mtakatifu husema kupitia watu pia lakini wewe kuelewa kuwa Ni Roho mtakatifu lazima uwe na Roho mtakatifu na nguvu zake, vinginevyo utabaki unachanganyikiwa na kubaki njia panda

  • @gildernicco2492
    @gildernicco2492 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sio yeye anaongea mdomo haviendani na maneno

  • @venancemgani2041
    @venancemgani2041 ปีที่แล้ว +1

    Aaa siamini huo nao ni uongo

  • @joyprecious1642
    @joyprecious1642 ปีที่แล้ว +18

    Sauti inayosikika ni ya Mch Amiel Katekela.

    • @AnithaMgeni
      @AnithaMgeni ปีที่แล้ว

      Sijui kwa nini wameweka picha tofauti

    • @janemsinga7883
      @janemsinga7883 ปีที่แล้ว

      @@AnithaMgeni à

    • @brunombele9108
      @brunombele9108 ปีที่แล้ว

      Sauti ni ya Amiel Katekela lakini picha ni tofauti!!!!

  • @barack2692
    @barack2692 ปีที่แล้ว

    Wafichue mtumishi wa MUNGU maana wanatikisa sana hp tz

  • @simonsimolo9576
    @simonsimolo9576 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @gracious6317
    @gracious6317 ปีที่แล้ว

    Nashangaa anayeongea ni mch Amiel katekela na hata maneno Yako haiyendani na maongeo yake kama mnania ya kumchochea hamtaweza kwa Jina LA yesu mshinwe.

  • @timotheosimon3722
    @timotheosimon3722 22 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyu anamaana gani kutumia sauti ya mch.Aminiel katekera

  • @catherinenicander7468
    @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

    Soma vizuri biblia na ufundishe watu neno sio uongo,sie tunajua Nani nabiii wa uongo,Saba mungu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.tafuta maarifa yakumjua mungu omba hayo malango yaharibiwe sababu Mungu alisema ombeni chochote kupitia mwanang nitatenda,we unataja tu ili iweje Bora unyamaze

  • @nestorysospeter7162
    @nestorysospeter7162 ปีที่แล้ว +1

    We huo ni utaira unawezaje kuweka picha ya gwajima kwenye tetesi hyoo hizoo za mana bii wa uongo

  • @MwanahamisNikoras
    @MwanahamisNikoras 8 หลายเดือนก่อน

    Kama umeamuwa kuokoka wataje hawo manabi usiogope mana watu wanazidi kupotea

  • @zawadimasweto8460
    @zawadimasweto8460 ปีที่แล้ว +2

    Kakobe na gwajima ni watumishi wa Mungu aliehai mapungufu yapo maana hakuna aliehai mwenyehaki lakini acheni kuwachafua watu wa Mungu katekela anasema kweli lakini hapa hajawataja Hawa

  • @ZelidaMwokozi
    @ZelidaMwokozi ปีที่แล้ว

    Jamani njoo na iringa makambako mtumishi utoe sili hizo

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว +2

    Endelea kutaja si kwa majina bali kwa wapi wanakohudumu kama ulivyosema Arusha imetosha. Tueleze wale wa Dar kwa kutaja maeneo walipo bila kutaja majina. Kwa kukaa kimya Mungu atakulaumu kwasababu utaacha watu waendelee kwenda huko. Tafadhali tutajie maeneo tu sisi tutaunganisha dots au kujiongeza tutajua. Utakuwa umetusaidia sana tutoke kwenye maangamivu.

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 ปีที่แล้ว

    Mbona sauti ya katekela na anayeonekana ni mwingine?

  • @joshuaelias8056
    @joshuaelias8056 ปีที่แล้ว

    Wewe. Ni. Mwongo. Mkubwa
    Sana. Hakuna. Wachungaji. Waongo?
    Uomchongo. Tu. We. Aduvantst. Msabato. Wewe. Mchawi. Mkubwa.

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 ปีที่แล้ว

    Huyo wa Arusha tushamjua😅😅

  • @norahazan796
    @norahazan796 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe unaengea na ulipo wote ni manabii wa uongo msichoche akili zetu

  • @irineochieng2455
    @irineochieng2455 ปีที่แล้ว

    Wewe wacha hizo, mwenye kushuhudia(sauti) si wewe. Sauti ni ya mtumishi Amiell Katekela

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 ปีที่แล้ว

    Wataje vinginevyo hatutaamini kwa kuwa sisi ni binaadamu wenye udhaifu, 😮

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 ปีที่แล้ว

    isaya benson ni chawa wa nabii mkuu tapeli huyu

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 ปีที่แล้ว

    Sauti na huyo anaeongea vitu viwili tofauti cc sio wapumbavu!
    mnatafuta hela kwa kudanganya watu

  • @gabinusnkwera909
    @gabinusnkwera909 ปีที่แล้ว

    Uliye weka hii video, unatafuta laana. Sauti ni ya Mch Katekela, Sura ya mtu uliyeka hapo kwenye kwenye video haina mahusiano na Mch Katekela.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ni kweli

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 ปีที่แล้ว

    basilica sana

  • @amanielias7725
    @amanielias7725 ปีที่แล้ว

    Ndio maana hamuaminiki saut yamtu mwingine anaeonekana mwingine

  • @JaneMlangwa-qd1jc
    @JaneMlangwa-qd1jc ปีที่แล้ว

    Midomo na matamshi yko si sawa, hivyo ni uongo,acha uchochezi

  • @MeshackyElia
    @MeshackyElia 10 หลายเดือนก่อน

    Hii ni sauti ya Katekela picha mtu mwingine

  • @frankwilliams2018
    @frankwilliams2018 ปีที่แล้ว

    Huyu nabbing mkuu sio na nabii wa kweli ni mmoja wa manabii wa uhongo ndugu sasa hata wewe mwenye kuleta huu ujumbe sikuamini lazima uwe mmoja wao wachenni kupigia wanna ramri

  • @KALULUALLI
    @KALULUALLI 10 หลายเดือนก่อน

    zindukeni si kila mtu anakwambiyeni nabii mnamkubali

  • @barack2692
    @barack2692 ปีที่แล้ว

    Sasa tutafanyaje? Mtumishi maana hatuelewi chochote tupo gizani ndugu

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +1

    Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyanywa watoto wake kuliko kukutana na Benson katika upumbavu wake [Mithali 17:13]

    • @gadielshedaffa3333
      @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว

      Sauti hii so ya kwake! Ni mch katekela

    • @cynthy282
      @cynthy282 ปีที่แล้ว

      Hio andiko umenukuu ni uongo hakuna jina Benson Kwa andiko hilo, Bibilia usiongeze maneno zako

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

      @@cynthy282
      Nimeattach andiko na Benson,maana tunaishi kwa neno.
      Au hutaki akemewe?

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 ปีที่แล้ว

    Acha uwongo wako jina la YESU limekuwa lakutafuta kiki linakosa uhalisia

  • @massband
    @massband ปีที่แล้ว

    Wataje tu unaogopa nini?

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Sasa kwanini uweke sauti ya mtu mwingine. Huyo ni mchg.Amiel Katekela

  • @niyonkuruobasanjo3304
    @niyonkuruobasanjo3304 ปีที่แล้ว

    We kaongea pumba maana alisema kuwa Gwajima ni mtumishi wa mungu.

  • @sarahmgalama3503
    @sarahmgalama3503 ปีที่แล้ว

    Sasa ndo useme kombyuta??

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 9 หลายเดือนก่อน

    wewe mwenyewe mongo mwskilembwe mbwa yakayaka wrwe

  • @veronicadavid4613
    @veronicadavid4613 ปีที่แล้ว

    Hio sauti niya mch katekela???

  • @EglaMotto
    @EglaMotto ปีที่แล้ว

    Vichekesg 26:56

  • @frimasonidunia86
    @frimasonidunia86 ปีที่แล้ว

    Kaz

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 ปีที่แล้ว

    Picha ndo zimeonesha Uongo wake huyu achanen naye .Ni kweli manabii wa Uongo wapo lakini baadhi ya alio waonesha sio..

    • @rosepallangyo1352
      @rosepallangyo1352 ปีที่แล้ว

      Kuusu picha ni mtu kaiba sauti kajiwekea picha ili kuchonganisha tuu

  • @christophermwandemange796
    @christophermwandemange796 ปีที่แล้ว

    Sauti ya Mch Anieli Katekela

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Kama papa fransis

  • @roseshijedi8744
    @roseshijedi8744 ปีที่แล้ว

    Siuseme kwanini unawafunikia Bado watae delea

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 ปีที่แล้ว

    Sauti ya Katekela

  • @JacksonNoel-h5h
    @JacksonNoel-h5h ปีที่แล้ว

    Mpuuzi mkubwa,tapeli weee

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Wale ni nyau tu😢

  • @hossanamvula
    @hossanamvula ปีที่แล้ว

    Wewe bado ni wa kuzimu tu acha kukufuru kazi ya Roho Mtakatifu

  • @BarakaJoseph-f6i
    @BarakaJoseph-f6i ปีที่แล้ว

    Wewe una mpango wa kuwavuruga watu ndo agenda yako

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว +1

    Mnafanya editing za kuchanganya watu

    • @bartsebandwari5365
      @bartsebandwari5365 ปีที่แล้ว

      Kabisa hii ni editing wameiga sauti ya mch Amiel ata ukimtazama vizuri anavyoongea maneno yanapisha

    • @danielmartinKiondo-dq4jz
      @danielmartinKiondo-dq4jz ปีที่แล้ว

      Watu wenyewe tuwe makini tusipende kuambiwa na mtu huyu siye huyu ndiye kwani yeye ni nani anatuambia?wakati Yesu alikwisha tuambia kuwa wakat ukifika tutawatambua kwa ishara alizotueleza na tunazijua hivyo tuwe makini na watu hawa

    • @danielmartinKiondo-dq4jz
      @danielmartinKiondo-dq4jz ปีที่แล้ว

      Sasa hakuwataja huku anatuonyesha picha za baadhi ya manabii je tueleweje hapa?

    • @bartsebandwari5365
      @bartsebandwari5365 ปีที่แล้ว

      @@danielmartinKiondo-dq4jz Nashangaa nikama wametumwa.....hii tabia yakuongea watumishi wa kweli sio vizuri ni tabia mbaya sana

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 6 หลายเดือนก่อน

    Nini tafsiri ya hayo majina/maneno hayo

  • @amosichacha5022
    @amosichacha5022 ปีที่แล้ว

    Kama wako waongo, ni lazima wa ukweli pia wapo, utuwaambie hao ni kina nani?

  • @emmanuelmuhigirwa4248
    @emmanuelmuhigirwa4248 ปีที่แล้ว

    hizi picha zina maana gani?

  • @risskibech1497
    @risskibech1497 ปีที่แล้ว +2

    Wengine kama Gwagima ni mtumishi was Mungu Katekela alisema kusimu humwogopa sana

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ilikuwa mwaka 2013 ndio wakati Gwajima alikua na Mungu kweli ila kuanzia 2016 mmmh ombeni sana mtajua mengi

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 ปีที่แล้ว

      ​@@pericykiko6198 mpaka Sasa gwajima Ni motroo pia yyko vizur

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 ปีที่แล้ว

      @@lucykapinga369 hakuna kujisifia wakati inajulikana itakua faida gani kumpamba wakati anateketea ukiona kitu kinasemwa na uko rohoni km unaguswa ingia maombi ya ndani uone nini utaona na ikawa baraka kuokoa waliotekwa

    • @lebeka2951
      @lebeka2951 ปีที่แล้ว +1

      @@pericykiko6198 kweli kabisa tatizo hawana mda wakumsihi mungu nakusoma neno

    • @peterdaiman5813
      @peterdaiman5813 ปีที่แล้ว

      Uongo

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Na mbona umeweka hizo picha za watumishi maana yake ni nini mnatuchanganya

  • @amosichacha5022
    @amosichacha5022 ปีที่แล้ว

    Wewe ni muongo!!

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Hii sio injli ya Mungu ni mambo yasiyotakiwa kufundisha mambo ambayo hayapo kwa mitume na manabii.

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Kaza kamba usirudi watakumaliza

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 ปีที่แล้ว

    uongo tu huu .
    huyu ni Muongo kabisa

  • @samwelpaul4279
    @samwelpaul4279 ปีที่แล้ว

    izi picha zinazo slide zinahusiana vip na ushuhuda wako ?zinanipa mashaka pia inawezekana unatumwa kuchafua ukristo

    • @martindamas8192
      @martindamas8192 5 วันที่ผ่านมา

      Acha kupaniki mtumishi wa Mungu Amiel katekela yupo, mtafute uongee nae macho kwa macho atakufumbua macho

  • @catherinenicander7468
    @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo hakuna kunena kwa lugha???

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว

    Sauti ya mwingine video ya mwingine

  • @nurumligo4862
    @nurumligo4862 ปีที่แล้ว

    Mbwa kala mbwa !

  • @deomajuva2432
    @deomajuva2432 ปีที่แล้ว

    Mbona Sauti ya katekela halafu mtu mwingine

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 10 หลายเดือนก่อน

    Kuzimu ? Muda wowote kudanganyana tu 😂😅 ndiyo.malafiri yalivyo ! Very very stupid

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe😊😊😊

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea Amiel Katekela sura ya mtu mwingine

  • @dativarichard1987
    @dativarichard1987 ปีที่แล้ว

    Hizo nywele ni zipi

  • @DorotheaNdomba-qu2eo
    @DorotheaNdomba-qu2eo ปีที่แล้ว

    Changamo🤪🤪🤪🤪 tutafika mbinguni kwel?

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه ปีที่แล้ว

    Umeeumbuka Gwajima alisema n mtumishi wa Mungu

    • @nestorysospeter7162
      @nestorysospeter7162 ปีที่แล้ว

      anaye ongea katekela lakn picha kaweka mwingne kutafuta viewer's

    • @rosedamiankabesa5092
      @rosedamiankabesa5092 ปีที่แล้ว

      Mchungaji Katekela alisema toka alipotoka,hajui kama aliendelea kumtumikia Mungu katika kweli. Tusikariri utumishi wa mtu,watu hubadilika,, Bwana Yesu tu habadiliki kamwe,yeye ni Mtakatifu milele yote.

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 ปีที่แล้ว

    Unaongea Kama umekula makande mdomon umetengeneza hiz story kwa kugogle wewe unatafuta umaarufu labda weww ni pepo mwenyewe