SEEMU YA PILI / Ushuuda Wa MCH. KATEKELA Aliyekuwa Chifu Wa Wachawi Kuacha Fremason na Kuokoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @TuliyaKalunga9
    @TuliyaKalunga9 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen unatukosha moyo.iposiku kanumba yesu atamurudisha duniani.

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 หลายเดือนก่อน

    Ubarkiwe mtumishi wa Mungu 🤝🤝

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi hizi stly ambazo zimeingia makanisani watu wanajua wana mtukuza Mungu kumbe shetani. YESU tusaidie

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hii inaogopesha sana (Yesu atusaidie)

  • @happymorce4541
    @happymorce4541 ปีที่แล้ว +3

    wokovu n jambo zuri sana bt wa2mishi wa uongo waabudu shetan n wengi sana😭😭😭

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli huyu mtumishi siachi kusikiza ushuhuda wake maana kupitia yeye nimeinuliwa kiroho sana ! Hii channel na wahusika wake huewaga nawaombea saana maana najua shetani hafurahii kile mnafanya hapa ila kwa uweza WA Mungu lazima injili iendelee

  • @judithonyango1449
    @judithonyango1449 ปีที่แล้ว +3

    Kwa ushuhuda wako mchungaji kwa kweli inanipaimani kubwa Sana

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana Yesu aendelee kukutumia upendavyo

  • @sharonwalubengo9507
    @sharonwalubengo9507 ปีที่แล้ว +3

    Huyu kijana aliyefanya amiel kuokoka siku moja mchungaji amtafute aki

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 3 หลายเดือนก่อน

    Kuzimu wanaongea kwa kiarabu? Asante Mtumishi kwa mahubiri yako umenielimisha mengi ambavyo sikuyajua kabla Bwana aendelee kukubariki uendelezekazi zake🙏🙏

  • @EricMaingi-f8b
    @EricMaingi-f8b 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @carolynnelovy3473
    @carolynnelovy3473 ปีที่แล้ว +1

    God is good all the time and that is his nature 🙌

  • @asteriamlelwa
    @asteriamlelwa 3 หลายเดือนก่อน

    AMINA SAA
    AMINAAAA

  • @janejerome-cq6gb
    @janejerome-cq6gb ปีที่แล้ว +1

    " mchungaji ananibarikia sana

  • @joelegbert4343
    @joelegbert4343 หลายเดือนก่อน

    Naona hapo wameondoa sehemu ya ushuhuda wa nini kilitokea baada ya mchungaji kusema huna mamlaka shetani, .... hapo ilipoanza "yalitokea majitu......."

  • @florencekasambula6497
    @florencekasambula6497 หลายเดือนก่อน

    kweli kabisa tusiifatishe namna ya dunia hii

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Watakatifu wa Bwana wameketi wanapendeza wakisikiza kutoka kwa Bwana

  • @jimyshabani5723
    @jimyshabani5723 ปีที่แล้ว +2

    Shuhuda nyingi zinapatikana kwenye chanel ya 'promover tv' hapahapa youtube.

  • @joelegbert4343
    @joelegbert4343 หลายเดือนก่อน

    hapo kwenye dakika ya 6.01 wamekata ....

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy วันที่ผ่านมา

    Hawa wengine wasumbua si wafunge midomo wao

  • @joesikaluzwe4218
    @joesikaluzwe4218 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @NelsonAbel-tq9zj
    @NelsonAbel-tq9zj 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AbrahamTafuna-fo8bs
    @AbrahamTafuna-fo8bs ปีที่แล้ว +1

    Watukama hawa kabra hawaja ruhusiwa kufanya kazi hii ya kushuhudia ilitakiwa wakae chini ya darasa kwa muda wa kutosha walishwe chakula vizuri kwani watukama hawa miaka ya nyuma waliibuka wengi lakini sasahivi hawasikikitena.Kwani tunaushahidi wa ki-Biblia kuwa hatakama mtu angetoka kuzimu ....watu siyo rahisi kuamini injili,mimi binafsi siyorahisi kusisimka na injili ya kuzimu bali mimi ninajengwa,kuimarishwa,kutakaswa,kuponywa,kuoshwa,kuhuishwa nk.kwa NENO LA KRISTO YESU NA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU WA KWELI.Siyousanii huu unaoendelea hapa inchini wakristo na watumishi iweni makini sana nahaya maonyesho mnayoyafanya sasahivi.

    • @zainabmohammed9917
      @zainabmohammed9917 7 หลายเดือนก่อน

      Kwenda hukooo

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 4 หลายเดือนก่อน

      unamatatizo wewe

  • @dominikusfransisku1027
    @dominikusfransisku1027 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni atari sana

  • @user-kn3lh1co6u
    @user-kn3lh1co6u ปีที่แล้ว

    mungu atusaidie

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 ปีที่แล้ว

    Usidanganye watu hayo maigizo

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Miaka yoote anaigiza tu??pole saana

    • @8pistons194
      @8pistons194 ปีที่แล้ว

      Chifu wa wachawi tulia

    • @8pistons194
      @8pistons194 ปีที่แล้ว +1

      Tuache sisi tunaoamini tuamini

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 4 หลายเดือนก่อน +2

      hulazimishwi kuamini ndugu,we amini cha kwako ila ujue siku ukifa ndicho kitakachokuokoa na ile hukumu ya milele,kama huu ushuhuda wa Amiel unadhan ni uongo sawa acha wengine tuendelee kumsikiliza

    • @florencekasambula6497
      @florencekasambula6497 หลายเดือนก่อน

      ​@@trophywilson7211😂ameisha

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

    Kafiri mkubwa wewe yesu ana chewo cha mtume soma yuhana 3/17 jitu zima unadanganya wafuwasi muongoo huyo musi kubli kudanganwa

    • @annambezi6226
      @annambezi6226 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana ndugu. Yaani bado huelewi Kweli? Au ni walewale

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว +1

      @@annambezi6226 hahahaha anaelewa vizur huyo anajisahaulisha wanajua shughuli la Yesu hawaachagi Salama wakiingia kwenye anga zake

    • @sharonwalubengo9507
      @sharonwalubengo9507 ปีที่แล้ว +1

      Umeguzwa kafiri ni wewe ushidwe kwa jina la yesu

    • @frankbella4271
      @frankbella4271 ปีที่แล้ว

      Hata kuandika haujui et yuhana

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 ปีที่แล้ว +1

      Hamza usicheze na yesu utakufa Huyu yesu ni kiboko ya wachawi ni mungu asie linganishwa na yeyote hivyo nyamaza

  • @umutesizainabu4828
    @umutesizainabu4828 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa