ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 950

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +16

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @AhmedMwaipopomazinge
      @AhmedMwaipopomazinge ปีที่แล้ว +1

      CHA KUSHANGAZA HUYU BWANA ANA MHUBIRI YESU MWANA WA MUNGU AU ISSA BIN MARYAM AISYE NA BABA??
      MAHUBIRI YAKE HAYANA MSIMAMO....MARA KUTOKA KORAN MARA BIBLIA///
      KULINGANA NA IPM, TUMFWATE MUNGU WA YESU AU MUNGU WA ISA????
      Ufunuo 3:15-16 Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: Baridi au moto. Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
      NA HII NDIO SIKU YA KUTAPIKWA!! 👇👇
      Matayo 7:22 Siku ile itakapofika wengi wataniambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’

    • @fhgggffhg7721
      @fhgggffhg7721 ปีที่แล้ว

      ​@@AhmedMwaipopomazinge ayo unayo sema niukweli ila ukumbuke kuwa mungu haku maanisha dini alimaanisha uku ukifanya dhambi nauku ukijifany mcha mungu kubali kuwa moto ama kuw baridi nasidin ndiomaana mwanadam wowote anae jielewa hanapande anayoegemea

    • @AhmedMwaipopomazinge
      @AhmedMwaipopomazinge ปีที่แล้ว

      @@fhgggffhg7721
      Pande zote haziwezi kuwa kweli/sawa!!
      Moja ni kweli na nyingine ni uongo!!
      Kwa mfano///Mungu wa Biblia anaye Mwana...na Mwana ana baba.
      Mungu wa koran hazai na hana mwana!!
      KATI YA HAWA WAWILI...MMOJA NI KWELI NA MWINGINE NI UONGO!!
      USHAFAHAMU???

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 ปีที่แล้ว +30

    Innalilah wainna iray'h raajiun

  • @adidjandayisenga8320
    @adidjandayisenga8320 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah waina illah rajiun, Allah akuongoze kwenye njia sahihi ila wakina zumarida niwengi wanaweza kutokewa ivo

  • @maimoonabakari1426
    @maimoonabakari1426 ปีที่แล้ว +15

    Innalillah wainnailahi rajighuun, Allah akuongoze ktk njia sahihi na sisi pia atuongoze hakuna aliekamilika ispokuwa Allah

    • @SalhaUchebe
      @SalhaUchebe 9 หลายเดือนก่อน

      Amiiin

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali 7 หลายเดือนก่อน +2

      HAKUNA CHA UNABII HAPO, Kilicho mpeleka ni TAMAA TU ZA DUNIA. SADAKA, MAGARI YA KIFAHARI, MAJUMBA YA KIFAHARI. NK. Huyo sasa ndiye KAFIRI KABISAA ANAETAMKWA KTK. BIBLIA

    • @francisfidelis1703
      @francisfidelis1703 หลายเดือนก่อน

      @@HamzaAkilimali pole

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde na akupe maisha marefu na afya njema na akupandishe daraja lako la imani🙏

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 ปีที่แล้ว +4

    Pole ameuza Imani kwa Shillingi.Kumbukeni kukutana na Mola siku ya mwisho.

    • @benignajosephwatendewao2065
      @benignajosephwatendewao2065 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 7 หลายเดือนก่อน

      Okoka mfuate Yesu. Usije ukaenda jehanam

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 7 หลายเดือนก่อน

      @@lilianluhasi311 Fuata Aliekuumba usiende Jahanam.

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakuhurumia sana maana "haikua dunia ila ni starehe yenye kudanganya"
    Jiandae kuna siku utalifumba jicho milele, hapo utajua nn uislam na nani ALLAH(S.W)

  • @hajihamisi
    @hajihamisi ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainna ilahi rajiuun huyu mwamba kachagua njia mbaya na mbovu kwake na ukweli anaujua ndiyo maana mara nyingi akiwa kanisa anaongelea sana Uislamu kwa sababu anajua ukweli uko wapi

    • @aminavunde6307
      @aminavunde6307 ปีที่แล้ว +1

      Atokewe yeye ni nani,jamaniiii

  • @maryamalrayami1513
    @maryamalrayami1513 ปีที่แล้ว +24

    Allah akuhidi na akurudishe njia iliyokua sahihi
    Ulitokewa jini wewe
    Na hakukuachia mpaka akakupoteza maskini

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 ปีที่แล้ว +1

    INALILAHI WAINAILAYHI RAJIUN
    NDUGU MAHMOUD
    KUUWACHA (UISLAM) UISLAM HAutodhurika kitu chocho ila khasara ni kwako
    NDUGU YANGU NAKUSIHI RUDI KTK DINI YA HAKI BILA KUJALI WALA KUOGOPA MTU KWANI MITUME YOTE WALIKUWA WAISLAM NENDA KASOME QURAN AYA ZIFUATAZO
    10,72 NOOH
    2,127 IBRAHIM
    2, 132 YAAKUB
    10,84 MUSSA
    3,85 SULAYMAN
    2 ,52 ISSA HAWA WOTE NI MITUME NA MWISHO WA MITUMENI NABII WETU KIPENZI CHETU MUHAMMAD SAWA LLAHU AYLYHI WASALAM
    ALLA AMESEMA ( HAKIKA DINI MBELE YA ALLAH NI UISLAM
    nenda sura 3 ,19 kwa kukusaidia wewe na wengine wanotaka kujua ukweli

  • @Peace.2018
    @Peace.2018 ปีที่แล้ว +15

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu,umechagua njia sahihi,kwa waliyokuwa hawajakuelewa wasome surat Alimrani yote ambayo inamzungumzia nabii Issa bin Mariam (Yesu Kristo)

    • @zuwenaalamin8985
      @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว

      Mdanganye🤣🤣🤣

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +4

      @@zuwenaalamin8985 Kama ni kudanganywa basi alidanganywa na aliyekuwa anamtokea ambaye ni Yesu kwa maelezo yake mwenyewe. Sasa kama Uislam unasema Yesu ni muongo basi atakuwa kadanganywa

    • @fatumakiwera7145
      @fatumakiwera7145 ปีที่แล้ว

      @@daudimichael7338 mmmh

    • @benabdoul8762
      @benabdoul8762 ปีที่แล้ว

      Ni Issa siyo huyo hakuna nabii katika karne hii

    • @Peace.2018
      @Peace.2018 ปีที่แล้ว +3

      @@daudimichael7338 Tusiandikie mate wakati wino upo,someni surat Alimrani yote kwenye Quran yenu mtaona kila kitu kuhusu huyo Yesu ambae nyie mnamuita Issa,kwa kuwasaidia tu someni surat Alimran aya 21,aya ya 9,aya ya 45 ,na surat ya Zukuruf aya ya tisa 9,hii ndio muhimu kwenu maana mmepewa maagizo mumfuate huyo Yesu Kristo mnaemkataa

  • @RaphaelNjongo
    @RaphaelNjongo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana. . Mungu azidi kukusimamia ktk utume wako

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana Mungu azidi kukubariki🙏🙏sema baadhi ya waslam sijui wapoje wanaubaguzi wa dini sana mkristo akienda uslam sawa ila mslam akienda ukristo ni tatizo nawachukia sana watu kama ao Mungu ni mmoja shida ipo wapi 😏😏

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 ปีที่แล้ว +2

      Nasie tunakuchukia kama unavotuchukia

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว +2

      ​@@thabitimkufi7388 tunakuchukia sana

    • @kabulamalima5179
      @kabulamalima5179 ปีที่แล้ว

      Hata wewe uko hapa ukimpongeza kwa hiyo ulitakaje?? Tumpongeze?? Hakuna mtu anayependa kuona mtu anahama kutoka dini nyingine kwenda nyingine hata wewe usingependa kuona mtu anatoka ukristo kwenda uislam

    • @kabulamalima5179
      @kabulamalima5179 ปีที่แล้ว

      Si unyamaze why blaming???

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 ปีที่แล้ว

      Hata sisi tunakuchukia bi vivyo hivyo cha ajili ya Allah.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 ปีที่แล้ว +2

    AMECHEZEWA NA SHEITWANI NA AMESHINDWA MITIHANI YA ALLAH, AKAAMUA KUKUFURU KWA HAKIKA AMEKULA HASARA KUUWACHA UISLAM NA KWENDA KWENYE UKAFIRI, NI BORA UNGEKUBALI KUFA KWENYE UISLAM WAKO UNGESALIMIKA, ALLAH AKUREJESHE KWENYE UISLAM.

    • @YusoufMjr
      @YusoufMjr ปีที่แล้ว

      maokoto mchezo😂

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@YusoufMjrmola hana shida na viumbe

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      Shetani yupo kazini

    • @aishaabdalla7624
      @aishaabdalla7624 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna kurudi kiivo, uislam sio dini ya michezo km ukitaka unaingia ukitaka unatoka, ukirtadi kuna hukmu yake ili asalimike huko twendako

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 ปีที่แล้ว +5

    Huu ni wakati wa mavuno watu wengi sana watatokewa Yesu hasa wa Imani nyigine

    • @Pharadge
      @Pharadge ปีที่แล้ว +2

      yesu wa tongereni au yule wa mackenzie kule kenya

    • @benabdoul8762
      @benabdoul8762 ปีที่แล้ว +1

      Ibilisi ananguvu aca awe anawatokeya eti wametokewa na Yesu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tusamehe! Wewe Yesu ni una nguvu kubwa Sana. Umemjia huyu Isaak ni mpango wake tu. Hata Nami ni kwa Imani tu mungu ananitendea huyu Yesu mwana wa mungu .ameen.

  • @ramadhanmbarak3979
    @ramadhanmbarak3979 ปีที่แล้ว +37

    INNALILAH WAINNA ILAIH RAJIUN

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa tuliosoma CUBA Kuna kitu akipo sawa Kwa mchungaji wetu,,,umetuambia icho kiumbe alikwambia atakupa uwezo wake wote,,Nina Imani angekupa muongozo wa namna Gani wa kumtumikia bila kwenda kusomea ,,Kwanin uchague kumtumikia kwa njia ya kristo wakati aliokutokea hakukwambia kama yeye Ni yesu na anataka umtumikie kwa njia ya kristo

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 ปีที่แล้ว +21

    innalillah wainna ilaihi rajiuni. hakuna muislam aliesoma dini alafu baadae akajakukufuru. Allah akuongoze kwenye njia sahihi.

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV ปีที่แล้ว

      Tena wajinga ndio hawawezi ila wasomi wengi humfuata Yesu...

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Hajasoma dini anajua tu baadhi ya mambo kwenye dini kwasababu kuna siku ashasema sie tuna abudu Mungu na Muhammad nikasema hajasoma dini huyu hmna muislam ata mmoja aliesoma dini aseme tuna abudu Mungu na Muhammad

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 ปีที่แล้ว +2

      ​@@inesstibenda2832 hakuna muislam aliesoma dini akailewa anaweza kuingia kwenye ukristo dini isiyo weza kujielezea uyo ni msakatonge na hajawahi kuwa muislam katumia uongo ili awapate kondoo wengi

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 ปีที่แล้ว +1

      ​@@GloriousRestorationTV kwenye uislamu hakuna wajinga ila kwenye ukristo ndio wamejaa

    • @martinchansamwinyi2508
      @martinchansamwinyi2508 ปีที่แล้ว

      He was not a Christian.
      Let him not lie there, there's no Nabi after Muhammad s.a.w....
      He's just after 💰...

  • @JumanneNditi
    @JumanneNditi 15 วันที่ผ่านมา

    Njaa mbaya sana, we huogopi munngu! Ama kweli shetani ka shinda. Pole sana subiri kichapo toka kwa aliyekuumba.

  • @husseinhassani8580
    @husseinhassani8580 ปีที่แล้ว +4

    Ndugu yangu nakushauri rudi katika dini yako usipotee achana na mambo mengine

  • @AksantiHAMULI
    @AksantiHAMULI 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki vraiment Pia bengine usalamu wapate okovu

  • @kyakagoro6584
    @kyakagoro6584 ปีที่แล้ว +4

    Anasema anajua uislamu je Uislamu Unaruhusu mtu kujiua
    Huo ni Uongo

    • @francisfidelis1703
      @francisfidelis1703 หลายเดือนก่อน

      soma vitabu vyenu

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@francisfidelis1703shetani yupo kazini

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju ปีที่แล้ว +15

    Kwa sisi tunaomjua yesu tunamuelewa sana huyu ndugu yetu katika kristo yesu jina la Bwana libarikiwe sana

    • @mwanashagladys4581
      @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @josephinejohn2752
      @josephinejohn2752 ปีที่แล้ว +5

      Usifagilie ujinga wewe uyu kakosa ajila kwanini afundishe dini mbili alafu Kila anacho sema lazima aweke mfano wa dini ya kiisilam uyo mpigaji tu

    • @josephinejohn2752
      @josephinejohn2752 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini ajakuwa muumini wa kawaida filauni anachezea dini za watu

    • @josephinejohn2752
      @josephinejohn2752 ปีที่แล้ว

      Mtu Kama ana akili atamfatilia na kumfata apo kwenye ukumbi wake AmBAR anauita kanisa

    • @josephinejohn2752
      @josephinejohn2752 ปีที่แล้ว +2

      Kakosa hajila ndio maana kakimbilia uko kwenu kwa walokole

  • @davidmnyela2459
    @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว +10

    Jina la Bwana ya Yesu litukuzwe maana imeandikwa katika
    Flp 2:10-11
    ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +4

    Innailah wainnailahi rajiuun
    Mbona umekimbilia kufungua kanisa lako

    • @hajinkulunge8493
      @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +2

      Kwanini usiende makanisa ya wengine na kua muumini wa kawaida

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 7 หลายเดือนก่อน

      Ameongozwa na Mungu

    • @MohammadUbegete
      @MohammadUbegete 5 หลายเดือนก่อน +2

      Quran yenyewe wala hajui anachapia tu huyo ana mipango yake

    • @hamisiismail2577
      @hamisiismail2577 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      Shetani yupo kazini

  • @protasdmassawe
    @protasdmassawe ปีที่แล้ว +3

    HAKIKA MUNGU NI MUNGU TU, HAKUNA WAKUPINDA MPANGO WAKE AKIAMUA HAKUNA WA KUMPINGA! NENO LAKE NI THABITI NA IMARA TENA NI NGUVU.
    YESU ALIMTOKEA SAULI AMBAYE NI PAULO KWA NJIA HIYO HIYO AKAMWAMBIA ""SAULI SAULI KWANINI WANITEZA?& (Matendo ya mitume. 9:3.19)

    • @protasdmassawe
      @protasdmassawe ปีที่แล้ว

      Barikiwa mtumishi. Mungu akupiganie pia Akulinde.

  • @SirAlexOmary
    @SirAlexOmary 25 วันที่ผ่านมา

    Imani ni imani 2 unawezaje kumwita mwenzio kafili wakati hata ww hujakamilika mbona wakristo tunakuja kwa amani tu kwenye uislam huo ubaguzj wa 30:01 wa2 weupe africa 2jitambue mwenyezi mungu aibariki AFRICA na TANZANIA

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ni njaa hizo, Mwenyezimungu akuongoze katika njia ya haki.

    • @Makala360
      @Makala360 5 หลายเดือนก่อน

      Kama we ulivyo na njaa

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@Makala360huyo anawazi ngua anajuwa ukweli

  • @MATHIASMwasongwe
    @MATHIASMwasongwe หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +3

    Acha uongo Mungu akuongoze mapasta wengi Huwa wanajuwa saana mambo ya dini ya uislam ila ubishi tu M.mungu akuongoze

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      Zamani tulikuw hatujui ila now tumejua na tunasema uislamu no tupo na Yesu mpk milele

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

      ​@@madetetv6576 kwendra zako ukristu no And me

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@khadidjasuleiman8006 haya endelea kuabudu Hilo jiwe la mecca.

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

      @@madetetv6576 Alhamduli llahi kibla changu 😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 💖💖💖💕💕😊👌

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@khadidjasuleiman8006 du kafiri Mkubwa ww unaabudu jiwe na unashukuru kweli uislamu ni ukafiri

  • @JohnFisha
    @JohnFisha 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera ila simama vizuri na Bwana Yesu.

  • @kabulamalima5179
    @kabulamalima5179 ปีที่แล้ว +6

    Hata kuapa anaapa kwa kiislam inshaalah basi Mwenyezi Mungu ndo ajuae

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ndiyo yaliyomtokea mtume Paulo akisafiri kwenda Damesco kuwakamata wanaomwamini Yesu Kristu.
    Lakini pia Yule msomali Haji Mohammed mtoto wa SHEIKH MKUU SOMALIA Alipata Hali hii, tafuta muda umsikilize.
    alivyofuatwa na Bwana Yesu
    Pia akina Eliuter Mange, wako wengi tu.
    Ndivyo inavyokuwa.

  • @OG_The_King
    @OG_The_King ปีที่แล้ว +3

    Ni ngumu kuamini ila yakupasa kuamini mungu wetu ni mwema sana huwainua walio wake. Jina la yesu ni jina kweli na uwezi kumuona baba yake bila yeye 🙏

  • @miishhassn
    @miishhassn ปีที่แล้ว +1

    We hujaielewa dini yani inaonekeana kabisa umesoma kote huku umepita bado hujaona haki ilipo imani yako ilikuwa ndogo ndio maana ukaamua kumfuata haiwezekan kabisa allah akurudishe inshaallah

  • @rafiaahmad168
    @rafiaahmad168 ปีที่แล้ว +14

    Njaaa mbaya wallah, mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi, tusiwahukumu sana Hawa makafiri hatuwez juwa njaaa labda imewafika had vichwani mwao lazaid tumuombe sana Allan atuepushe tusiwe miongoni mwao na promo zao za uwongo kuwa walikuwa Waislam Allah awasameh kwa kuongea unafki🙏🙏🙏

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 ปีที่แล้ว +12

      Yaani nyinyi bana mtu akitoka Ukiristo kuingia Uislam mnapiga makofi ila mkiona mtu katoka Uislam kuingia Ukristo mnaona nongwa 🙄🙄🙄🤣🤣

    • @nesymichael4286
      @nesymichael4286 ปีที่แล้ว +7

      Mnamwona kafili basi sawa yesu ndo njia pekee ya kwenda mbinguni

    • @rafiaahmad168
      @rafiaahmad168 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 Anko elewa Swala kutoka uislam kwenda kweny ukristo ni chaguo lake coz hatujui ni Nini kimempeleka ila tunacho kizungumzia anaongea uwongo Hadith za kutunga na hiii ni wachungaji wenu wengi wanawavuta kwa polojo hiii kuwa oooh nilikuwa imamu sijui nilikuwa sheikh mkubwa okay Tanzania nnchi huru kilamtu Ako na haki ya kuongea atakacho ila kuto kuvuka mipaka ya Sheria ila sijui ni dini Gani Ili kuwavuta watumishi kweny kanisa lake lazima aseme uwongo kama alikuwa muislam inna lillah wainnailai rajoon , okay Hata wew George unahaki ya kufungua kanisa lako na kusema ulizaliwa kweny familia ya masharifu nasisi tukiona unaongea Upuuzi lazima tukwambie hakuna mkamilifu ila uwongo uwe na mipaka broooo

    • @rafiaahmad168
      @rafiaahmad168 ปีที่แล้ว +1

      ​@@nesymichael4286ilo ni wazo lako

    • @ebenezerchurchsupremetv9490
      @ebenezerchurchsupremetv9490 ปีที่แล้ว +1

      Wewe una njaa mbona haujaenda?

  • @amadasaloon101
    @amadasaloon101 18 วันที่ผ่านมา

    jameni YESU yupo

  • @chiekhthiam980
    @chiekhthiam980 ปีที่แล้ว +12

    Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.❤

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +1

      Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele ameen

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      Ndio hivyo mnavyopelekwa pelekwa hadi kuuliwa

    • @chiekhthiam980
      @chiekhthiam980 ปีที่แล้ว

      @@adammj6258 Sifa na utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani Duniani kwa watu aliowaridhia, Ee Yesu mfalme wa Dunia tunakuabudu na kukutukuza milele na milele.

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      @@chiekhthiam980 YESU mwenyewe alifundisha kuabudu MUNGU, wewe unasema unamuabudu Yesu,,,kuna shida hapo

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

      @@adammj6258 hayakuhusu wewe utaishi milele na ninyi kujilipua na kuua watu vipi imekaaje

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

    😮 duh kwahiyo wenzetu mungu wenu anapotosha amtakae?!!
    Mmh
    Amesema mwenyezi mungu anamuongoza amtakae na anampotosha amtakae ,waislam mnisaidie hapa!

  • @agentmsami5303
    @agentmsami5303 ปีที่แล้ว +10

    Allah ubhanahu wataala anasema "Enyi mlioamini mcheni Allah haki ya kumcha na wala msife ispokuwa mmekuwa waislam"

    • @johnssaimon450
      @johnssaimon450 ปีที่แล้ว +1

      Muda utafika utaelewa kwamba YESU kristo ndiye BWANA kwake kila goti litapigwa na ulimi wako utakiri kuwa ndiye BWANA.

    • @elsonkingtz4506
      @elsonkingtz4506 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @Rev.PaulMwikila
    @Rev.PaulMwikila หลายเดือนก่อน

    Naomba uzame ktk ubatizo wa yule aliyekutokea huduma Yako itakuja zaidi Izaki
    Kolosai 2:12

  • @rehemamlyuka6109
    @rehemamlyuka6109 7 หลายเดือนก่อน +8

    Hakika umechagua fungu jema Mungu si mwislamu wala mkristo Mungu ni WA wote Cha msingi tumtafute yy naye atatupokea ,Naimani Mungu alikiona kipaji chako ,Mungu awe nawe daima Ameni!!!

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน

      mmh arudi huko huko

    • @aliissa-je6gt
      @aliissa-je6gt 5 หลายเดือนก่อน +1

      nakupinga dada mungu ni muislam na sio mkiristo

    • @aishaabdalla7624
      @aishaabdalla7624 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kasome ww ujue lengo lako la kuumbwa, hukuletwa duniani kujaza choo, uliletwa kumuabudu mola aliekuumba,

  • @hamidahamdun3646
    @hamidahamdun3646 5 หลายเดือนก่อน

    Kabla hatujafa tutayaona mengi sana na kusikia mengi. Muhim kumuomba Mungu atupe mwisho mwema.

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว +6

    Cha AJABU hili jambo la kusema Yesu kani tokea, ni Uongo dhahiri. Yesu alikuwa .muislamu.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      Leta ushahidi?

    • @zuberimohamedi5761
      @zuberimohamedi5761 ปีที่แล้ว

      Ndugu yng usishangae huyu ni shoga yake Zumaridi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@zuberimohamedi5761 ww ndio shoga manake kitabu chenu kinaruhusu ushogha

    • @zuberimohamedi5761
      @zuberimohamedi5761 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 saw

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 Makanisa yenu yana wa nyowa mavuzi wake za watu Mbele ya waumin. Hakuna Dini katika huo mnaosema Ni Ukristo. SHAKAHOLA NAYO IMELETA MSIBA MKUBWA. MWISLAM HUWEZI KUMDANGANYA HATA KIDOGO.

  • @chandarotv7649
    @chandarotv7649 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana my brother prophet lPM mm Niko pamoja na ww , l'm Prophet chandaro dar esalama nakufatilia sana kiongozi we are together

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 ปีที่แล้ว +9

    Amen mungu hakuongose am from. Kenya 🇰🇪 following from Kuwait 🇰🇼 nitakuja.siku moja

    • @mangeraalbert7982
      @mangeraalbert7982 ปีที่แล้ว

      Yule a kenyan but hii story ya kiongo tu, look from the body and face he lying to himself

  • @roi2554
    @roi2554 2 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah😮

  • @miishhassn
    @miishhassn ปีที่แล้ว +6

    Duh Yan umeacha haki na kufuata baatwil alaah akurudishe katika haki Inshaallah 😥😥maan ni msiba mkubwa huu omba Mungu sana akionyesha haki

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว +2

    Allah (SWT) Atakuongoza urudi kwenye dini yake. Umekiri Uislam ndio dini ya Allah. Alhamdu lillaah.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      Hao ni makafiri wanao fundishwa dini ili wapotoshe jami

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      Miaka 15 allah bado hajamrudisha😂😂😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@davidmnyela2459 angekuwa musilamu kweli asingeingia kwenye ukafiri lakini anajua kuwa ukristo sio dini

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@alzawahirabdallah2299 kwani yeye wa kwanza katika waislamu kuingia ukristo na kumbe kuna waislamu wa uongo na wa ukweli basi hii dini ina makubwa maana nilikuwa Najua tu mna majini wazuri na wabaya😂😂😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@davidmnyela2459 sio kwanza na sio wa mwisho lakini wanao ingia kwenye ukafiri wanaingia kwa ajili ya maslahi

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +7

    INNALILAH WAINAILAH RAJIUN, ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA 😢

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว +1

      Bora umemwombea.maana mnajifanyaga Mungu kuhukumu

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +4

      @@tanzcanmediatv4473 Hatuhukumu ila hata yeye uyo anaongea Analijua hilo, kuwa hakifa kama sio mwislam motoni, uyu kasoma dini vizur, sio kama nyie wafuasi mnafata tu mkumbo, ila anajua akifa kwenye ukafir motoni upo, sio sisi maneno yetu, ni maneno ya Allah yaliyopo kwenye Quru'an, Fuatilia mahubir yake nae anakir hilo.

  • @hassanhaji996
    @hassanhaji996 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujibu wa maelezo,kabla hajatokewa alikuwa akifuata dini isio sahihi,hivyo Yesu alimtokea akiwa na midhambi ya kutosha,na siku zote alizokuwa Muislamu alimuamini Yesu kama nani hata Yesu avutiwe na kumtokea Yeye,Ukweli duniani tunapita tu,ipo siku tutaacha kila kitu na kurudi kwa Muumba,kwa mujibu wa vitabu Yesu mwenyewe atarudi duniani na ulimwengu utamfahamu ila kitu kizuri cha kiimani ni kuona kuwa Yesu amemtokea mtu aliyefungamana na Uislamu hii ina maana aliondoka akiwa na imani ya kiislamu na yawezekana kabisa msalaba hajuwi upo kwa ajili gani

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว +6

    Yesu alisema sikuleta amani duniani Bali ncha ya upanga, kwa maana ndugu atamchukia ndugu kwaajili ya jina langu, mtu statengana na wazazi wake kwasababu ya jina langu. So jipe moyo mkuu mtumishi , utayashinda

  • @eddymaphy
    @eddymaphy 5 หลายเดือนก่อน

    Innalillah wainna illayhirrajiun,,
    Wacha uongo wa kinafiki,Sasa kama mwangaza na matamko hayo ndio inamaana ubadilishe dini yako,na ulienda kwa viongozi wa uislamu na ukawapuuza Dua zao,na majibu yao waliokupa

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainna ilayhi rajiun

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 5 หลายเดือนก่อน

      Ameokolewa

  • @alinaalina5044
    @alinaalina5044 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mchungaji

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 ปีที่แล้ว +6

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Allah akuongoze usije ukafa kwenye UKAFIRI, aaamin

    • @JayKim-t6z
      @JayKim-t6z 7 หลายเดือนก่อน

      Mjinga mmoja wewe..kafiri mwenyewe..unaongozwa na chuki za kidini tu na huna mungu ndani yako ndiomaana umekumbatia dini kuliko mungu unakaa kuwaita watu makafiri.. we unajua maana ya kafiri ??
      Mbona nyie watu huwa mnachuki za kijinga sana kwenye imani za watu au mnazani mbingu ni yenu? Acha ujinga rafiki angu mshike sana mungu wako acha kukumbatia dini...dini haitakusaidia chochote sasa we komaa kuwaita watu makafiri na kuchukia imani zao

  • @AnyomblyMgina
    @AnyomblyMgina 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu alikuonesha kua kweli ikoap karbu sana kwa yesu

  • @Farhan-cp1vx
    @Farhan-cp1vx ปีที่แล้ว +9

    Dunia imeisha pole sana ndugu rudi kwenye dini ya haki

    • @cmsa1r
      @cmsa1r ปีที่แล้ว

      😂

  • @JumabakariKiumba
    @JumabakariKiumba 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamaa mtihani sana HUYU huh astaqafiru llah astaqafiru llah anawazuga wakristo HUYU ole WAKO mauti yakukute Bado unawapotosha WATU 😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +17

    Hongera sana kwa YESU raha sana

    • @HamzaAkilimali
      @HamzaAkilimali 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hilo jamaa ni njaa tu na tamaa za Dunia. Na kilicho mtokea ni majini yaliyo Muasi Mwenyezi Mungu. (Wewe kula Bata zako hizo.. Na tusubiri tu mbeleni yajayo) Laanakum,

  • @khadijadiswera6979
    @khadijadiswera6979 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 ปีที่แล้ว +8

    Innalilah wainailaih rajiun

  • @pasteurstephanoakilimalifr4416
    @pasteurstephanoakilimalifr4416 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidishe neema yake kwako baba

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 ปีที่แล้ว +3

    { وَلَا يَحۡزُنكَ ٱلَّذِينَ يُسَٰرِعُونَ فِي ٱلۡكُفۡرِۚ إِنَّهُمۡ لَن يَضُرُّواْ ٱللَّهَ شَيۡـٔٗاۚ يُرِيدُ ٱللَّهُ أَلَّا يَجۡعَلَ لَهُمۡ حَظّٗا فِي ٱلۡأٓخِرَةِۖ وَلَهُمۡ عَذَابٌ عَظِيمٌ }
    [Surah Āli-ʿImrān: 176]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Wala wasikuhuzunishe wale wanao kimbilia ukafirini. Hakika hao hawamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anataka asiwawekee sehemu yoyote katika Akhera, na yao wao adhabu kubwa.

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wallahi huo wako ni mtihani ila iko siku utajua kwamba umepotea na Allah ni muweza wa kukuongoza na ukawa mtu mwema kwa sasa njaa tu ndio inakusumbua

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu ndie njia ya kweli ,nyie ndo mmepotea

    • @aishaabdalla7624
      @aishaabdalla7624 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Atatambua siku ya mwanga ulomjia awali utakapomjia tena ukageuka giza
      H's 2 LATE!!!

  • @BintAlly-k5r
    @BintAlly-k5r ปีที่แล้ว +3

    Hakuna dini ya haki mbele ya M/Mungu ila uwislam muogope M/Mung

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee ปีที่แล้ว

    Wakristo wenzangu tunalishwa matango pori mtu hawezi kutoka uimamu Kisha awe nabii aliokoka lini baada ya kushuhudiwa na nani na alilelewa na nani Ili kuukulia wokovu? Kuwa nabii siku hizi ni kama jalala la kuharibu imani yetu. Kila ampendaye Yesu sharti ajikane nafsi yake Kisha aubebe msalaba wake amfuate. Wafanyabiashara kupitia jina la Yesu wameuchafua sana ukristo.

  • @navioma4882
    @navioma4882 ปีที่แล้ว +16

    😢😢😢😢😢 upo kikazi zaid sio imani

    • @Ommyjames313
      @Ommyjames313 ปีที่แล้ว +1

      Yarab tujaalie mwisho mwema huu ni mtihani

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 5 หลายเดือนก่อน

      Amechagua mahali sahihi

    • @farhanahannana
      @farhanahannana 24 วันที่ผ่านมา

      Mola hanashida kwa viumbe

  • @yasinmasawe6421
    @yasinmasawe6421 27 วันที่ผ่านมา

    Acha kuutaja taja uislam ktk shughuli zako za kuchukua sadaka za hao kondoo usitafute umaarufu kupitia uislamu maisha haya mafupi

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 ปีที่แล้ว +10

    Muogo huyu Kaka sana miogepe allah

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

      Muongo saana

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 ปีที่แล้ว

      Kanunuliwa na Wakristo ili achafue dini yetu ya haki.😄😄😄😄😄

    • @nancychuwa4870
      @nancychuwa4870 ปีที่แล้ว +4

      ​@@abbyadams8691 kama mlivyo mnunua Mwaipopo! Akitoka kwenye ukristo utasikia karibu kwenye dini ya haki, akitoka kwenye uislamu amenunuliwa! Na Bado wataondoka wengi tu, awe amenunuliwa au hajanunuliwa ndio ameshaondoka hivyo sasa

    • @iddyramson2991
      @iddyramson2991 ปีที่แล้ว

      muongo mkubwa huyu

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

      Kumbe ndio tabia yenu ya kutuongopea na kununuliwa Mnaumia wenyewe

  • @MpajiAlisoni
    @MpajiAlisoni 5 หลายเดือนก่อน

    Moja kwa moja mimi ni muumin wako kwani ata mimi sija wai kuuchukia uislam au ukrito kwani naamin mungu ni mmoja,uwislam ni dini moja nzuli sana katika mafundisho kidin lakin ata namna gani uishi katika jamii,tatizo lilipo kwa wenzetu namna wanvyo tuchukulia kumwita mtu kafri sio jambo dogo kifupi yani wakristo wangekua kua na imani kama ya juu ya uwislam basi vita inge kua kubwa kiasi kwamba tunge uwana kila siku nashukuru sana mungu kwani ame tutofautisha yani yani mkristo kukubali mapungufu ya mwislam kwanini nasema ivyo ni laisi mkrsito kubadili din na kua mwislam na familia yake ika endelea kumpenda,kuliko mwislam kua kua mkirsto uyo kamwe famlia yake aita kaa impende nadhani iyo nikutona na imani yao walivyo iamini.upande wangu nawapenda sana waislam ata mafundisho yao . Mimi mpaji naamin Mungu ni mmoja kwani ata vifungu vyao na vyetu avi tofautiani sana tuache udini kwapamoja tumwabudu mungu wetu kila mmoja kwa imani yake

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 ปีที่แล้ว +4

    Nawaonea Huruma sana wanawake wa kikristo. Yani mnavyopenda kuwahurumia watu huyu atakula hela zenu mpka mkome.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน

      hali za kwangu ovyo sasna

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 ปีที่แล้ว

    Kama Mungu n mmoja iz tofaut zanin iman yako itakupeleka mbingunii nasio tofauti za diniii....

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

      Tofauti ni ushawishi wa shetani na dini ni kama chombo Cha safari na Matendo ya Imani ndio tiketi yako ya kumbandia Cha safari.

  • @kelvinjohnson8952
    @kelvinjohnson8952 ปีที่แล้ว +8

    Kila goti litapigwa mbela zake kila ulimi utakiri jina lake. Nabii akubariki kwao ata wazee wao waliwatenda ivyo manabii Mungu yu pamoja nawe kwa neema ya Yesu kristo fanya kazi uliyopewa.

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

    Kutoka katika uislam ni jambo la kawaida kwakua hata Ibilisi alikua mwislamu na anahufahamu uislam vizuri lakini alihasi na ku hukumiwa jehanamu. Wewe una mwapungufu kwanza kujinyonga ni haramu kuliko kuritadi kwa maana alie ritadi aweza ku tubia kuliko alie jiua maana anayejiua ni mtu wa motoni Moja kwa Moja .

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 ปีที่แล้ว +3

    Yesu kristo hakimbiwi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

    Sawa tunashukuru Yesu ni wa wote
    Ila baadhi ya mafundisho umezingua,km ya kuchinja,etc ...
    Rekebisha.....
    Soma biblia vzr...

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 ปีที่แล้ว +10

    Njaa wabongo itawapeleka pabaya , kitu unasahau kuna dunia nakuna Akhera , 😭😭😒

    • @mathewnemes5469
      @mathewnemes5469 ปีที่แล้ว

      Msimlazimishe mtu kuamini unachokiamini ww, huyo ni mtu mzima anayo maamuzi binafsi pia hizi dini tumezikuta ni njia tu ya kumtumikia Mungu isikufanye kinywa chako kuachia maneno ya vitisho au kulazimisha mtu aamini imani yako, baki kwenye kile unachokiamini ww.

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 ปีที่แล้ว

      ​@@mathewnemes5469mbna sasa akiusifiaga uislam mnamponda? Huyo tumbo limempeleka ila hakki anaijua

  • @emmanuelyeliamajele-yk8hb
    @emmanuelyeliamajele-yk8hb ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa🙏🙏

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว +3

    hivi kumbe huyu mchungaji alikuwaga mwislamu...aisee Yesu kweli Anaokoa

  • @zuberikwambiana3574
    @zuberikwambiana3574 ปีที่แล้ว

    We jamaaa umeingia katika mtihani sana,pambana na umuombe MUNGU akuondoe huko.

  • @salummasoud5778
    @salummasoud5778 ปีที่แล้ว +3

    Innalilah Wainnailah Rajiun.
    Zumaridi wa Kiume.

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 2 หลายเดือนก่อน

    😢Innalillahi.? Kujieleza piya washindwa nikujishika shika vidole kamaambaye atongozwa. Iriji ila Rabbi kiradhia fadhukuli ibada wadhukuli jannaht

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 ปีที่แล้ว +5

    Umepokea fungu lililojema kwa Yesu kila goti litapigwa na Mungu akubariki.

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว +1

    Duuu pole sana kaka uwo mtihani umtafute jibu la kumjibu Alha kesho kiama

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว

      Mtu kama ww haifai kumsikilize yani unasema Allah ndio kakupotosha au umejipotosha tu njaa wee inakusumbuwe ole wako kukusikiliza hana kazi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu ndo atahukumu sio alla

  • @Mahruqiya
    @Mahruqiya ปีที่แล้ว +19

    Inna Lillahi wa Inna Ilaihi Rajioun

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว +2

    Amen nabarikiwa sana kwakupitia ushuhuda wako ndugu😢

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 ปีที่แล้ว +3

    Umetokewa na jini ww ndo
    Rejea kwa Allah
    Uliogopa maana unajua kwenye Uislam hakuna kugushi dini imekamilika

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ni shetani hata Mimi nayumba

    • @mgalatia
      @mgalatia ปีที่แล้ว

      Majini na shetani ni ndugu zenu waislamu,Kwa mkristo ni na maadui wanapita kushoto wakiona kuna Yesu hapo
      Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa Mohamed Al- Kindy wa Muscut Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na. 74.
      "Anamwijia mmoja wenu shetani (Jini) katika sala basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi (yule mtu) inamuijia fikra ya kuwa umemtoka upepo (kafusa) naye haukumtoka, basi akiona namna hiyo asiondoke (kwenye sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka upepo) au anuse harufu ( ya huo upepo uliyomtoka, ndio aondoke).

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      ​@@lifeinmiddleeast8179 majini si ni ndugu zenu waislamu kwahiyo alitokew na waislamu wenzie

    • @husseinabdallah-to4lh
      @husseinabdallah-to4lh ปีที่แล้ว

      Uyo allah nishetani kama hamjui uisilam ni din ya mashten

    • @husseinabdallah-to4lh
      @husseinabdallah-to4lh ปีที่แล้ว

      Uyo allah nishetani kama hamjui uisilam ni din ya mashten

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnailahi Rajiun Allah akugeuze katika njia potovu

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 ปีที่แล้ว +11

    Wakina Zumaridi
    Wakutokewa na mwanga na kuongea nao
    Tutaona mengi kabla ya Dunia kufika mwisho

  • @khadijadiswera6979
    @khadijadiswera6979 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzishiye

  • @agentmsami5303
    @agentmsami5303 ปีที่แล้ว +3

    INNALILLAH WAINNAA ILAYH RAJIUN

  • @ruhaymanllymuhammed2094
    @ruhaymanllymuhammed2094 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuongoe na atulinde na sisi tusijepotea kama ww

  • @radhidimasambiro4620
    @radhidimasambiro4620 ปีที่แล้ว +3

    Ña hao waandishi wa mchongo hawaulizi maswali tunayotarajia huyo jamaa anatokea wapi mtaa gani mkoa gani msikiti gani madrasa gani familia gani

  • @mbarakalwahebi4094
    @mbarakalwahebi4094 ปีที่แล้ว

    Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin Amin yaaraab Amin alhaamdulilaah uislaam ni dini isiokua na Shaka juuu yake alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaaa lilaaahi wainaa ilaaahi raajuuhn poleni sana wakristo waaanaafki njaaa ni kitu kibaya Sana subhaanaalhaah hapa ni duniani Tu wakristo ni biashaaraa na mitume wanasubiri Sana misaada maana ukiwa muislam au maalim wanashukuru Tu mungu wanachopata wanashukuru utamkuta ata piki piki Hana maskini lakini dini IPO moyoni huyooo kafata maslahi

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 ปีที่แล้ว +6

    Subhannallah jiandae na jahanamu nawenzako unao wadanganya adunia mazraatul akhera we umetaka Dunia umeipata Laanatullah aleyka

    • @khadijazungu8627
      @khadijazungu8627 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂 nimehangaa kuwa na yeye anawazimisha na kuwaponyesha 😂😂😂😂😂😂 mdomo wote uleeee na KIBAYA HUYO ALIYEMTOKEA HAJAMWAMBIA KUWA YEYE NI ISSA AU JESUS KAMWAMBIA MANENO NA YEYE KAINGIA KICHWA KICHWA 😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢
      NDIO MAANA MTUME WETU MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAYHI WASALLAM ALITUFUNDISHA ILE DUWA YA KUOMBA KUEPUSHWA NA FITINA KTK DINI 😢😢😢

    • @gastonfrancis4748
      @gastonfrancis4748 ปีที่แล้ว +1

      @@khadijazungu8627 Mungu adhiakiwi Wewe si Muhukumu. Muheshimu kwa maoni yake

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

      ​@@khadijazungu8627 unateseka ukiwa wap😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      ​@@gastonfrancis4748 kafiri yeye haingi peponi na hakuna andiko mkristo anaingia peponi

    • @gh7naa
      @gh7naa ปีที่แล้ว +2

      Yani yule zumaridi kadai kaonana na mmungu mbona hajatuonyesha miujiza kutoka jela mpaka katolewa jodevi anajita na bee mkuu katokewa ba yesu kampa funguo yesu wa tonareni nae kasema yy ni yesu kaja mara ya pili akiulizwa maswali anasema amina amina duh yule alie ua watu kawafungisha yule alie sema haogopi nyoka mzungu mpaka nyika kamuma kafa kuna yuke wanyoyi kajita yy mungu duh wana matatizo hawa hawamuogopi mmungu hv isa yesu ajitokeze kwako wwkama nani. Hiyo ni kudangaya watu upate pesa za uongo

  • @salimmasha5530
    @salimmasha5530 2 หลายเดือนก่อน

    Ikitokea mkristo akasema mungu alimtokea na kuzungumza nae akimwambia aingie katika uislamu,waislamu wasingemkubali

    • @aishaabdalla7624
      @aishaabdalla7624 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wasingemkubali, maana dini yetu ilikamilika tokea mtume wetu wa mwisho Muhammad (s.a.w) na mitume yote hakuna aliefwatwa na mungu moja kwa moja, aliekua akileta ujumbe ni Jibril (a.s)

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 ปีที่แล้ว +2

    Ibliiisi alikupata sanaaaa jamaaa rudia diini yakoo mzee

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว

      Sio bilisi ni njaa hiyo inamfanya kuritadi asubiri tu jahanam

  • @DorothMtwale
    @DorothMtwale 5 หลายเดือนก่อน

    Ndg,yetu wa kweli Ni yesu kristo