Mwamko Mpya Somalia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2014
  • Baada ya kukomboa miji 18 kusini mwa Somalia, wanajeshi wa amisom wakiongozwa na jeshi la kenya sasa wanapanga mikakati ya jinsi watakavyokomboa miji zaidi ambayo bado inatawaliwa na kundi haramu la Alshabaab. Haya yanajiri wakati ambapo mabadiliko yanatarajiwa katika ngome walizokuwa wakidhibiti usalama wanajeshi wa Kenya ambao watakuwa wakihamishiwa katika sehemu nyingine nchini Somalia. Lakini ni vipi wanajeshi hao wameweza kudhibiti maeneo wameyakomboa? Leo katika makala yetu ya mwamko mpya somalia, mwanahabari wetu Philip Murutu anatupa fursa ya kujua jinsi oparesheni zao hufanyika.

ความคิดเห็น • 5