SIMANZI: KUAGWA KWA MIILI YA WANAJESHI 3 LUGALO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2018
  • SIMANZI: KUAGWA KWA MIILI YA WANAJESHI 3 LUGALO
    Simanzi na huzuni zimetawala katika viwanja vya Hospitali ya jeshi Lugalo wakati wa kuagwa kwa miili ya wanajeshi watatu waliofariki katika misheni za kulinda amani nchini kongo na afrika ya kati.
    #LUGALO #JWTZ
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw
    Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL
    Website: www.globalpublishers.co.tz
    FaceBook: globalpublishers
    Instagram: globalpublishers
    Twitter: GlobalHabari
    Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV
    Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
    USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK
    www.youtube.com/watch?v=L4UGw...
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw
    Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL
    Website: www.globalpublishers.co.tz
    FaceBook: globalpublishers
    Instagram: globalpublishers
    Twitter: GlobalHabari
    Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV
    Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
    USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK
    www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

ความคิดเห็น • 257

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +26

    Ni vizuri kuwasaidia majirani lakini tunalipa gharama kubwa mno na mara nyingi hao watu hawana shukurani .. ndugu zetu wanakufa kwa manufaa ya nani?? Je tuna mslahi ya kiuchumi huko?? Tunachimba madini huko? Kwa sisi watu wetu wafe wakati mabilioni ya pesa za dhahabu na almasi zinachukuliwa kila mwaka na makampuni ya wazungu na wanunua hisa wao?? Wengi wa wale tunaowasidia kudumisha amani wanatuona wavamizi! RIP ndugu zetu lakini serikali iache kuwafanya ndugu zetu chambo.. UNLESS tunaenda huko kama PAID SECURITY CONTRACTORS .. na tunalipwa pesa ndefu .. Otherwise tuliyoyafanya kwa waafrika wenzetu yanatosha.. kama bado hawajielewi na wanaendeleza sera za kikabila, udini n.k., wacha wamalizane .. mashujaa wetu watusaidie kuimarisha miradi yetu ya kiuchumi na usimamizi wake .. enough is enough with these nut cases..!

    • @neemajosephatneemajosephat32
      @neemajosephatneemajosephat32 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa Baba umenena Barikiwa

    • @alphonceshijamisoji5340
      @alphonceshijamisoji5340 5 ปีที่แล้ว

      naked truth bro

    • @stivinbahati2424
      @stivinbahati2424 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Gomalo kwahelimashujaa

    • @fristonactary1371
      @fristonactary1371 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Gomalo ndy (UN)United National iyo ndgu yngu haina jins

    • @fednarndmosh7068
      @fednarndmosh7068 5 ปีที่แล้ว

      mi naona kila nchi ijilinde tu sio kila siku ss tu tumechoka magufuli rudisha wanajeshi wetu watoto wanabaki hawana baba

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa uaminifu utii na uhodari nitatoa huduma kwa nchi yang na Africa kwa ujumla... Mungu nisaidie.
    Rip soldiers mmepambana vikali na hapo ndio safari yenu ilipoishia mmekufa kishujaa tutawakumbuka daima

  • @ibrahimmhesi7815
    @ibrahimmhesi7815 5 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana wapiganaji, Ni fahari kufa kwa ajili ya heshima ya nchi yako.Pumzikeni kwa amani!

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 5 ปีที่แล้ว +6

    Poleni wafiwa wote, poleni majeshi yetu, mungu azidi kuwatia moyo kwani kifo na msiba havizoeleki.

  • @magehkihwele8274
    @magehkihwele8274 5 ปีที่แล้ว +9

    1992 jaman mdogo saaana polen wafiwa😢😢😢

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 ปีที่แล้ว +3

    Innallah wainalilah rajuun , Allah awajalie nuru katika makazi yenu ya milele waumin

  • @geofreymwizarubi4356
    @geofreymwizarubi4356 5 ปีที่แล้ว +3

    Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele amin

  • @amanisadiki7238
    @amanisadiki7238 5 ปีที่แล้ว +1

    mungu awapokee kwa AMANI tujaribu kuwaombea dua nyingi juu yaoo amina rabilalamina

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 5 ปีที่แล้ว +1

    Inauma Sana, Mungu asante kwa Amani ya Tanzania. Mungu ibariki Tanzania

  • @elizabethrobert6024
    @elizabethrobert6024 5 ปีที่แล้ว +1

    Tumezaliwa mwaka mmoja,elimu ya msingi tumemaliza pamoja sekondari pia,imeniuma sana pumzika kwa amani pacha wangu

  • @michaelgao1921
    @michaelgao1921 5 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana wafiwa wote. MUNGU awabariki ameni

  • @emmapeter1098
    @emmapeter1098 5 ปีที่แล้ว +11

    Poleni sana JWTZ pamoja na Watanzania wenzangu wote,R.I.P MASHUJAA WETU

    • @dicksonmutugi7024
      @dicksonmutugi7024 5 ปีที่แล้ว

      Emma Peter sawa

    • @pauladam6032
      @pauladam6032 5 ปีที่แล้ว

      Poleni sana jwtz 2liwapenda BT mungu kawapenda zaidi

  • @mfakwasarakikya6035
    @mfakwasarakikya6035 5 ปีที่แล้ว +3

    so painful.... hawa watu wanafanya kazi kubwa Sana Mungu awalinde... Polen wazazi na ndugu kuondokewa na wake za marehemu Mungu awatie nguvuu

    • @idrisafrank3611
      @idrisafrank3611 5 ปีที่แล้ว

      Hapa dunian tulikja kutembea 2 ikufiks SAA ttaenda mbingun

  • @eustadiusyailo4355
    @eustadiusyailo4355 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu alaze roho zao salama ,poleni sana tanzania

  • @kabateimelda9689
    @kabateimelda9689 5 ปีที่แล้ว +5

    Poleni wtz kwa msiba

  • @georgeeric1607
    @georgeeric1607 5 ปีที่แล้ว +10

    Hii ndio kazi ya jeshi na tunapokwenda kusaidia nasi tunajifunza mengi na haswa mbinu za kivita!!!atuez kuacha kwenda.

  • @anthonyngwenya7925
    @anthonyngwenya7925 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole kwa ndugu na dada wamaremu

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awa rehem

  • @sporasule6095
    @sporasule6095 5 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha sana, makamanda wetu, Mungu aikinde familia zenu

  • @victorymwasa5356
    @victorymwasa5356 5 ปีที่แล้ว +10

    RIP commanders of JWTZ

    • @aminatwaha7736
      @aminatwaha7736 5 ปีที่แล้ว

      R. I. P mashujaa wetu pumzike kwa amani mashujaa na mmekufa kishujaa.

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 5 ปีที่แล้ว +5

    Polen sana makamanda hii ni safari ya wote japo mmejitoa kutulinda

  • @glorysimon775
    @glorysimon775 5 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wasiende kule bhana hata kule wanajeshi lao jamani angalieni hii mambo

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awafanyie wepes wapumzike kwa aman

  • @sylviamollel9692
    @sylviamollel9692 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalaze mahal pema makomando wetu

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 5 ปีที่แล้ว +5

    Hussen mwinyi wanajeshi wetu wanakufaa tu unalisimamiaje hili ukiwa kama waziri,kuna wajane na watoto walio achwa na wapigania amani?

  • @annakwaslema9221
    @annakwaslema9221 5 ปีที่แล้ว +7

    Poleni mashujaa wote kwa kuwapoteza wenzenu

  • @asiaomani5350
    @asiaomani5350 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wafiwa wote Mungu awapatie nguvu

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 ปีที่แล้ว +2

    Poleni ndugu

  • @suzanamponzi8072
    @suzanamponzi8072 5 ปีที่แล้ว

    inaumiza sana mungu azipokee roho za marehemu Hawa duu

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 5 ปีที่แล้ว

    Pumzikeni kwa Amani mashuja wetu Inauma sana 😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 5 ปีที่แล้ว

    Mungu simama na familia hizi poleni sana

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun mola awalaze pema peponi

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 5 ปีที่แล้ว

    Duh!! Inauma saana jaman

  • @pisanasalumu5263
    @pisanasalumu5263 5 ปีที่แล้ว +6

    huruma jaman....,mpumzike kwa Aman mashujaa wetu😓😓😓😓😓😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @marrypetro8640
    @marrypetro8640 5 ปีที่แล้ว

    polen sana wafiwa inaxikitisha sana jaman

  • @nancywairimu1647
    @nancywairimu1647 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana

  • @majaliwajob1808
    @majaliwajob1808 5 ปีที่แล้ว +10

    Sawa ndo kihapo chakaz pumziken salama mashujaa wetu

  • @andreamzigua6818
    @andreamzigua6818 5 ปีที่แล้ว +5

    inauna sana hiiyoote nikulinda raia na malizao, mungu walaze mahala pema pepon Ameen

  • @rachelkalimji5912
    @rachelkalimji5912 5 ปีที่แล้ว +4

    Ukiona kwa jiran yako hakuna Amani usifurahie hata Siku Moja ndio maana tunashirikiana

    • @weremabwiru2208
      @weremabwiru2208 5 ปีที่แล้ว

      mungu nimwema kwa kila jambo pumzikeni kwa amani

    • @jacksonkalihungu3622
      @jacksonkalihungu3622 5 ปีที่แล้ว

      Asanti wtz kwav kuunga congo mkono poleni tz

  • @winniemwatsuma7167
    @winniemwatsuma7167 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana families

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah mwende salama

  • @esmoon4465
    @esmoon4465 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awapumzishe KWA Amani inauma sana jamani bado wadogo sana A!! Hatuna namna!!

  • @najmashabby1840
    @najmashabby1840 5 ปีที่แล้ว +2

    Innallillahi Wainnaillahi Rajiun

  • @makangeomary8052
    @makangeomary8052 5 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace our heroes!,

    • @fatmaemily4971
      @fatmaemily4971 5 ปีที่แล้ว

      Pumzikeni kwa amani wapendwa wetu poleni ndugu na jamaa na taifa lote

  • @harunahalfani7693
    @harunahalfani7693 5 ปีที่แล้ว +13

    ukiacha nchi JIRANI ishambuliwe na waasi ni rahisi sana vikundi hivyo hivyo vinaweza vikapata njia rahisi ya kuingia nchini mwetu

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 5 ปีที่แล้ว

      Waziri mwinyi rudisha majeshi jetu nyumbani hatuwezi kuzika kila siku watoto wanabaki yatima hawana baba zao raisi magufuli rudisha majeshi yetu nyumbani haiwezekani kila siku tunazika kila nchi ilirinde mipaka yao naomba sana naumia roho inauma kuona wanajeshi wetu wanakufa hapana tumechoka sasa enough is enough

    • @thomasjoseph548
      @thomasjoseph548 5 ปีที่แล้ว

      polesana wapiganajiwetu

    • @jacksonkalihungu3622
      @jacksonkalihungu3622 5 ปีที่แล้ว

      Polen wadungu zetu

    • @jckrobat5164
      @jckrobat5164 5 ปีที่แล้ว

      mwenyezi mungu awaweke mahalipema ndungu zetu hao

    • @omarybakary1010
      @omarybakary1010 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana Tanzania

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 5 ปีที่แล้ว

    Inaumaaa sana

  • @rachelkalimji5912
    @rachelkalimji5912 5 ปีที่แล้ว

    Salute

  • @albertrewardahia6507
    @albertrewardahia6507 5 ปีที่แล้ว +5

    Inasikitisha jamani wadogo zetu nendeni kwa Amani tutakutana siku ile parapanda itakapolia.

  • @abdallahamourry1581
    @abdallahamourry1581 5 ปีที่แล้ว

    Inallilah waina lillah raj uni baba abdul allah hamekupenda zaid

  • @josephatmberege4624
    @josephatmberege4624 5 ปีที่แล้ว

    Mungu hawarehem

  • @richardnyalinga1859
    @richardnyalinga1859 5 ปีที่แล้ว +4

    Rip mashujaa wetu!

  • @weisikopeter1422
    @weisikopeter1422 5 ปีที่แล้ว

    its raining everywhere. In Kenya it's even worse,our soldiers are in Somalia battling with Alshabaabs. we only need to pray for them instead of complaining to the government

  • @josephkayanza4280
    @josephkayanza4280 5 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P

  • @limimangolyo625
    @limimangolyo625 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azilaze roho zanu mahal pema pepon

  • @blavaemanuel7581
    @blavaemanuel7581 4 ปีที่แล้ว

    Munguazilaze loozamalemu mahali pema peponi

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 5 ปีที่แล้ว +2

    Hizi kazi jamani 😭😭 R.I.P

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 5 ปีที่แล้ว

    innaalillah wa innaa ilaihi raajiiun.
    R.I.P makamanda wetu

  • @khadijaabdallah4687
    @khadijaabdallah4687 5 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P wapendwa wetu

  • @paulgerald3252
    @paulgerald3252 5 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 5 ปีที่แล้ว

    Rest in peace.

  • @zaitanyambo4137
    @zaitanyambo4137 5 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa aman ndugu zetu

  • @ramadhanimzamilo2077
    @ramadhanimzamilo2077 5 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainna ilah rajiuuni

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

    RIP

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +2

    Rip makamanda wetu

  • @emmanuelmasemba7612
    @emmanuelmasemba7612 5 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P makamanda ,they did for our best

  • @moreenmichael7482
    @moreenmichael7482 5 ปีที่แล้ว +1

    😥😥😥😥inauma sana

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +8

    Jamani mtoto mdogo duu

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni família zote za wanajesshi lakini tunapaswa kujua aliyewaua tulipize kisasi sio kukaa kimya

  • @elizabethmaila8168
    @elizabethmaila8168 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalehemu

  • @mariampaul2654
    @mariampaul2654 5 ปีที่แล้ว

    Jaman inauma sana Polen sana ndugu na jamaa inauma sana ila kaz ya Mungu haina makosa pumziken kwa Aman

  • @esmoon4465
    @esmoon4465 5 ปีที่แล้ว

    Maakini kila nikiwaangalia Makamanda wanavyo pita kuwaaga wenzao machozi yananitoka!! Poleni sana Watanzania ote na Wazazi na ndugu wa wafiwa

  • @amossimwaka9867
    @amossimwaka9867 5 ปีที่แล้ว

    polen

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 ปีที่แล้ว +8

    Pumzikeni kwa amani mashujaa wetu

    • @mariamustapha1677
      @mariamustapha1677 5 ปีที่แล้ว

      Inauma sana, Nawaombea Pumziko LA Amani kwenu.

    • @amonisimoni3913
      @amonisimoni3913 5 ปีที่แล้ว

      polen sana ndugu wa marehem. mungu awapokee kwa aman na awasamehe pale walipo kuwa na mapungufu Amen👏

    • @saidsalekhsurtan9994
      @saidsalekhsurtan9994 5 ปีที่แล้ว +1

      DR. LOVE TANZANIA said. S

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว +10

    Hiii hali mpk lini lakini,wanaenda kulinda amani wanaaga familia zao vizuri kwasauti alafu wanarudi hawaongei tena,Mungu litazame hili utusaidie watu wako

    • @sekelajohn7332
      @sekelajohn7332 5 ปีที่แล้ว

      Hatakamanikiapo kimezidi inatakiwa raisi aliangalie hilinalo

    • @sekelajohn7332
      @sekelajohn7332 5 ปีที่แล้ว

      Tumechoka kuonandugu zetu wakifahovyo kwaninchi inapatafaidagani au,kunamasilahi nchiinapata , raisi uliangalie hili tusijetukawakama Kenya kwaarishababu, Angalia nduguwamarehemu wanavyo tiahuruma ,raisi hiviungekuwawewe ungejisikiaje hiihabali yakupelekamajeshi nchijilani etiunatowamsaada minaona ungeacha

    • @rehemawakulichombe3563
      @rehemawakulichombe3563 5 ปีที่แล้ว +1

      Cathereen Exzavery unaumiza saana

  • @omarylugusha
    @omarylugusha 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wa inna illeih raj'un

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyo mwenye miaka 26 anaanza kazi na kufariki, duh...!! R.I.P makamanda wetu.

    • @relaxmedia4934
      @relaxmedia4934 5 ปีที่แล้ว

      Ndo shida ya jeshi ukikatwa bogi huwezi kukataa

    • @rithammasy8410
      @rithammasy8410 5 ปีที่แล้ว

      Pumzike kwa amani

  • @aminasaguti458
    @aminasaguti458 5 ปีที่แล้ว

    Daah!! R.I.P Shemeji zangu

  • @jackilineferooz6753
    @jackilineferooz6753 5 ปีที่แล้ว

    mungu awapunguzie adhabu ya kaburi

  • @frankjonas1094
    @frankjonas1094 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi binafsi sijapenda huu utaratibu wa kutanguliza mbele watu wetu kwenda kupigwa huko Congo kwaajili ya ujinga wao wa ubaguzi na ukabila khaaaa!!!

    • @lilianevindu3703
      @lilianevindu3703 5 ปีที่แล้ว

      Nyinyi wa tanzania simieni hii jambo, kwani adf haiko.Congo, ni uyo Kabila anaunda vikundi vya mambazi, ili uchaguzi usiwe, na watoto wenu wataishia huku

    • @subirawiliam6425
      @subirawiliam6425 5 ปีที่แล้ว

      pollen sana

    • @user-gr7jk4vc7f
      @user-gr7jk4vc7f 5 หลายเดือนก่อน

      Umesema haki kbs, wa Kongo wana ubaguzi sana nahuko vita vitadumu muwaace kwani hamutaweza kuwa huko milele

  • @kakasele1786
    @kakasele1786 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P it is more than pain

  • @salomeoscar9825
    @salomeoscar9825 5 ปีที่แล้ว

    inauma sana

    • @husnabakari3011
      @husnabakari3011 5 ปีที่แล้ว

      Poleni sanaa ndugu wamalehe tumepoteza mashujaa watu

  • @chandrnyoeliakim1006
    @chandrnyoeliakim1006 5 ปีที่แล้ว

    poleni jamani inauma

  • @aminamfaume4244
    @aminamfaume4244 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh poleni wafiwa ..inauma ila hatuna jins hata wasingesafiri wangekufa maana kifo nifaradhi nasio suna.....wanazikwa na viatu jaman

  • @yohanadidas5365
    @yohanadidas5365 5 ปีที่แล้ว

    R.I.p wapiganaji mungu awapumzishe kwa a man😪😪😪

  • @mpendaellymndeme662
    @mpendaellymndeme662 5 ปีที่แล้ว +6

    Bwana ametoa bwana ametwaa ahimidiwe ila inauma nendeni makamanda

  • @khadijamohamad1565
    @khadijamohamad1565 5 ปีที่แล้ว

    Raha ya milele uwape eee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa aman😭🙏

  • @zenahenry3460
    @zenahenry3460 5 ปีที่แล้ว

    Inauma R.I.P

  • @abdulthaidar9337
    @abdulthaidar9337 5 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P man pumziken kwa aman

  • @aminamfaume4244
    @aminamfaume4244 5 ปีที่แล้ว

    Jamani sijasikia .nasikia utakwenda pekeako kbrn ukalele chini azabu ikufae

  • @relaxmedia4934
    @relaxmedia4934 5 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @najmashabby1840
    @najmashabby1840 5 ปีที่แล้ว +2

    Innallillahi Wainaillahi Raj

  • @mohammedchobo1461
    @mohammedchobo1461 5 ปีที่แล้ว

    poleni makamanda

  • @loycecharles2618
    @loycecharles2618 5 ปีที่แล้ว

    jamani poleni wake za marehemu nandugu kwa ujumla inauma sana lakn haina jinsi Mungu awemfariji wenu katika kipindi hiki cha majonzi

  • @issaomarhajj470
    @issaomarhajj470 5 ปีที่แล้ว

    Pumzikeni vijana wetu mmemaliza kazi tuliyowatuma.

  • @albertkimaro1678
    @albertkimaro1678 5 ปีที่แล้ว +4

    R i p ndugu zetu tuliwapenda ila mungu kawapenda zaidi

  • @elisantemollel3136
    @elisantemollel3136 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P Kamanda

  • @jescersilivester6822
    @jescersilivester6822 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P commanders.....

  • @rosemeryjimy9711
    @rosemeryjimy9711 5 ปีที่แล้ว

    Inaumaaa hd bas na mwanangu anavyopenda hii kaz.wapumzike kwa aman

  • @hellenmgungus1202
    @hellenmgungus1202 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mgekuwa mnawapeleka huko wazee vijana wabaki taifa linapata hasara kuwapoteza Vinaja wadogo

    • @ellyellias5933
      @ellyellias5933 5 ปีที่แล้ว

      Hellen Mgungus umeona ee

    • @sporahmushy2879
      @sporahmushy2879 5 ปีที่แล้ว

      Nimejikuta nacheka.. Sasa wazee c ndo watarudishwa maiti wote jaman.. Hakuna mzee wala kijana wote wanauma jaman wakifa

  • @neemaamad6144
    @neemaamad6144 5 ปีที่แล้ว

    So so so sad