Wanajeshi wa KDF wauwa wanamgambo 57 wa Al-Shabaab

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2024
  • Hali ya taharuki imetanda hii leo katika kambi ya wakimbizi ya Hagdera baada ya waalimu wasita wa shule ya kibinafsi ya udha kutekwa nyara na watu wasiojulikana ambao walikuwa wamejihami kwa bunduki. Huku hayo yakijiri wanamgambo hamsini na saba wa Al Shabaab wameuawa na wanajeshi wa KDF chini ya kikosi cha AMISOM hii leo baada vita kali kuzuka baina ya majeshi hao wa KDF na wanamgambo wa Al Shabaab mita chache kutoka eneo la Afmadow, nchini Somalia.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 1

  • @filanike5772
    @filanike5772 7 ปีที่แล้ว

    God bless Kenya.. These Al-shabab watakipata Kenya is praying and improving our security strategies.