Wanajeshi Wa Kenya Wazidi Kushambulia Kismayu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2012
  • Wanajeshi wa Kenya na wenzao wa Somalia wanaendelea kuudhibiti mji wa Kismayu nchini Somalia siku moja baada ya kuingia mji huo kwa vishindo. Tayari sehemu kubwa kaskazini mwa mji huo imetawaliwa na wanajeshi hawa huku wakiendeleza mashambulizi makali kuelekea kusini mwa mji huo. Mashambulizi makali ya angani yameshuhudiwa hii leo katika maeneo ya Berhane na Badhadhe ambako kumeshuhudiwa idadi kubwa ya vifo vya wanamgambo wa Al Shabaab wakiwemo makamanda wao wawili. Mwanahabari wetu Patrick Injendi na taarifa zaidi.

ความคิดเห็น • 1

  • @MrLogalaa
    @MrLogalaa 11 ปีที่แล้ว

    great job mwai kibaki ..somali people need to be free and this is the time to do so