JWTZ WATUMIA DREAMLINER KWA MARA YA KWANZA KUPELEKA WANAJESHI KULINDA AMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 513

  • @julessebintu6525
    @julessebintu6525 5 ปีที่แล้ว +216

    Napenda umoja wawa tanzania. Mimi si mutanzania lakini napenda gisi munapendana. Makabila mulisha yatiya kando munaumoja wakindugu. Mungu alinde tanzania inchi ya amani na umoja. Je suis fier de votre union et l'union fait la force

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 5 ปีที่แล้ว +198

    Mungu ibariki nchi yangu Tanzania, If I die send my body to my mom, tell her don't cry becoz I'm a soldier, I did my best

  • @sophiajackson5001
    @sophiajackson5001 5 ปีที่แล้ว +38

    Mungu awafikishe salama wanajeshi wetu...Roho Mtakatifu awe rubani wa ndege yetu nzuri ya dreamliner

    • @laurenciemmanuel3859
      @laurenciemmanuel3859 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awatangulie huko ulinzi muufanye kwa uaminifu na mkimtanguliza Mungu kwa kila jambo safari njema.

  • @ameirameir4930
    @ameirameir4930 5 ปีที่แล้ว +17

    Tuimbe wote huu wimbo kwa supot zenu Tanzania tanzaniaa nakupenda kwa moyo wtee
    Nchi yngu Tanzaniaa
    Jina lako ni tamu sanaa
    Mungu libarik jeshi letu waende na warud salama

  • @twailinjenge2075
    @twailinjenge2075 5 ปีที่แล้ว +359

    Kama wew mtanzania tuungane hapa kuwatakia ulinzi mwema gonga like za kitanzania

  • @pasikamamy1268
    @pasikamamy1268 5 ปีที่แล้ว +32

    tuombe mungu ndege irudi salama na wanajeshi wetu wote warudi salama kama walivyokwenda nakurudi warudi ivyo ivyo tu mungu ibariki tz ila mmh iyo kazi ya ujeshi kweli roho mkononi

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 5 ปีที่แล้ว +1

      Andika jna la Mungu kwa heruf kubwa

    • @philemonpaul3134
      @philemonpaul3134 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awatangulie waend salama na warud salama amina

    • @fettyneema9267
      @fettyneema9267 4 ปีที่แล้ว

      mim naipenda sana lkn cpati nafasi

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 4 ปีที่แล้ว

      Jeshi Ni mrua sana

    • @kusagaonlinetv3983
      @kusagaonlinetv3983 3 ปีที่แล้ว

      Yaani mm mwenyew naipenda ila nafasi2 ndio tatizo sipat

  • @malithelmethusela145
    @malithelmethusela145 5 ปีที่แล้ว +60

    MUNGU awaongoze mfike salama tunawapenda sana wanajeshi wetu

    • @kakuhassan4734
      @kakuhassan4734 5 ปีที่แล้ว +2

      Malithel Methusela ,nahis ww uwapendi mim adi naumwa

    • @emanuelchuwa6894
      @emanuelchuwa6894 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awabariki sana na nyingi mbaki salama

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 5 ปีที่แล้ว +32

    Mungu awalinde na maaduwi, mwende salama murud salama, from Zanzibar

  • @sirjoel4228
    @sirjoel4228 5 ปีที่แล้ว +30

    mungu awatangulie anae wazhak hana hakl unaamua kujitia kwajli ya nch yko unaacha mke ,watoto,pia wazaz niuzalendo wahal ya juu mngu awape maisha marefu amina🙋🙋🙋👏👏👏😗

    • @aishaail4455
      @aishaail4455 5 ปีที่แล้ว +1

      Sir Joel amin m/mungu awalinde wote ,inshaallah.

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 5 ปีที่แล้ว

      Unapo tye jna la Mungu anza na herufi kubwaa au liandke kwa herufi kubwa lote

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 ปีที่แล้ว +47

    Inapendeza sana kutumia cha kwako unajiona huru zaidi kongole kwa serikali ya DKT.JPM na JWTZ

  • @mariamsaid5655
    @mariamsaid5655 5 ปีที่แล้ว +49

    MUNGU WA MBINGUNI awatangulie kama unaamini MUNGU ndio kila kitu acha like hapa tuendelee kuwaombea wanajeshi wetu

  • @jacksonchigalika5081
    @jacksonchigalika5081 5 ปีที่แล้ว +57

    Jamani, Mungu awatangulie wanajeshi wetu ili waende salama na warudi wakiwa salama, amina

  • @annaraphael6613
    @annaraphael6613 5 ปีที่แล้ว +20

    Mwenyezi Mungu awajaalie wanajeshi wetu umfike salama namreeje salama kama mlivoenda
    MUNGU WETU AWATANGULIE

  • @juliethnyange5332
    @juliethnyange5332 5 ปีที่แล้ว +119

    damu ya yesu iwafunike kwa jina la yesu

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 5 ปีที่แล้ว +2

      Damu ya yesu anayomwenyewe mbinguni watu wanalindwa na muumba mama

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 5 ปีที่แล้ว

      Godblees alll

    • @genimaige6023
      @genimaige6023 5 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @focusmsimbe8946
      @focusmsimbe8946 5 ปีที่แล้ว +1

      Seleman Kishema Yesu ndie mlinzi wa wanadamu wote sele acha ubishi

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyo Yesu ana litre ngapi za damu Imani potofu badala ya kuomba Mungu unaomba unaomba damu ya Yesu.

  • @modestmzumbwe588
    @modestmzumbwe588 5 ปีที่แล้ว +18

    Hongera Sana jeshi letu kwa kazi nzuri mnayofanya ya ulinzi Mungu awabariki

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว +23

    We baba yetu wambinguni tusaidie ndugu zetu waludi salama naimani mtarudi naushindi🙏pia hongereni sanaa🙏🙏

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 ปีที่แล้ว +1

    Damu Ya Yesu iwafunike muende salama mrudi salama asiwepo wa kupotea wala kurudi ameumia,
    Nikatika Jina la Yesu naomba nakushukuru Amen.

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 ปีที่แล้ว +6

    Allah awalinde awatie nguvu awaongoze mrudi salama salmin kila la kher mashujaa wetu mungu awasimamie much love ❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿mkirud mtuambie tuje tuwapokee kwa shangwe zote na upendo wa hali ya juu kwasababu nyinyi ni bora

  • @ozacsic2832
    @ozacsic2832 5 ปีที่แล้ว +13

    In God we trust. Wanaome hao Tz mbele zaima Mungu bless Tz.

  • @misndungurundunguru5264
    @misndungurundunguru5264 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU Ibariki Tanzania na rais wetu mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuri Amina.

  • @omabizo686
    @omabizo686 5 ปีที่แล้ว +29

    I remember those dayz safe journey crew may God protect u all

  • @salomemakarius1653
    @salomemakarius1653 5 ปีที่แล้ว +23

    Mungu awatangulie na damu ya yesu iwafunike katika safari yenu🙏🙏

  • @kayigiretheoneste7881
    @kayigiretheoneste7881 5 ปีที่แล้ว +7

    Wauuuuu nice Tanzania mi kutoka Rwanda Nawapongeza Jeshi Ra Tanzania vuzuri kbsa Ushupavu wenu

  • @josephsaghana1056
    @josephsaghana1056 5 ปีที่แล้ว +23

    Mungu awalinde na kuwasimamia na muitetee Tanzania yetu kama kawaida yenu

    • @mohammednaeem2734
      @mohammednaeem2734 5 ปีที่แล้ว

      Jeshi la ccm hilo kwa sababu munaajiri ccm wezenu madamu siku za uchaguzi munatupiga makwaju mimi sina haiba na nyinyi kwa sababu hivyo ndivyo mulivyotengenezwa siku za sherehe za ccm munatwambia atofanya choko choko atakiona basi na nyinyi huko munakokwenda mutakiona masanduku yanawasubiri tutakufukieni kwa matarumbeta

    • @andersonmbonye9256
      @andersonmbonye9256 5 ปีที่แล้ว

      Mungu ibariki Tanzania na uzalendo wa viongozi katika jambo hili..

  • @e.e5698
    @e.e5698 5 ปีที่แล้ว +11

    I'm only praying they all come back home safe...

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi 5 ปีที่แล้ว +19

    Unalikuta lijitu linasema DKT Maguli hajafanya chochote,, Unaliangalia tu kisha unalipa kibao liamke!!!!!!!

  • @johaneskiiza2099
    @johaneskiiza2099 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki Tanzania pamoja nawanajeshi wetu wakafanye kazi kwawerdi na warudi salama

  • @christinazogwe6344
    @christinazogwe6344 5 ปีที่แล้ว +2

    safar njema ndugu zetu Mungu awe nanyi kwa kazi ya ulinzi wa aman ya inchi

  • @gracemaleko4167
    @gracemaleko4167 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awe nanyi daima,awasafirishe salama,awalinde,Damu ya Yesu iwafunike adui asiwaone mnapomvamia. Awape ujasiri muweze kutumia mbinu sahihi wakati wote muwashinde daima. Walinzi wa amani Mungu atawafanikisha ktk yote na ataimarisha afya zenu wote.

  • @jumanneramadhan5316
    @jumanneramadhan5316 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kazi ya jeshi ipo siku nitafanikiwa muende salama jeshi letu mrud salama

  • @mtegoboymrrpg9244
    @mtegoboymrrpg9244 5 ปีที่แล้ว +10

    Hata ulikuwa utaki kumpenda Rais magufuli utampenda tu , uthubutu wake umeufanya Leo pesa zilizokuwa zilalipwa kwa mashirik mengin ya ndeg kuwaperek makamand wet nje inarudi ndan kwa atcl , respect to jpm Niko tayr kukat shingo la mtu ambae anatak kukwamish maendeleo 😭😭 naipenda Tanzania

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 5 ปีที่แล้ว +15

    Safi Sana Tz Safi Sana Jeshi letu Safi sana Viongozi wetu wa TZ

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalinde wanajeshi wa Nchi yetu ktk safari yao huko Darfur Sudani.Kaonyesheni upendo na amani huko Darfur. Tanzania inawaamini na Umoja wa mataifa pia wanawaamini. Uaminifu wa kazi muhimu. 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @mlipukaonline9361
    @mlipukaonline9361 5 ปีที่แล้ว +1

    Kombat hizo kali sana, Nawatakia safari njema na majukumu mema, na namuomba Mwenyezi Mungu awarudishe salama na muweze kukutana na familia zenu tena

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakilud salama nipewe mmoja wapo jamn nawapenda Sana wanajesh I. Love you mjeda

  • @pacgeneration2929
    @pacgeneration2929 5 ปีที่แล้ว +24

    Much much respect say yeeeeer for Tanzania

  • @barakamichael1341
    @barakamichael1341 5 ปีที่แล้ว +30

    mwenyezi mungu awaongoze na kuwapigania Makamanda wetu

  • @shabanabdallah62
    @shabanabdallah62 5 ปีที่แล้ว +18

    Go comrades thats loyalty n selfless duties,,go n returm om safe n sound

    • @nelsonmikhail2319
      @nelsonmikhail2319 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwann tunaingizwa kwenye vita vya kutengenizwa na wazungu hatujui, umasiki au vip

    • @shabanabdallah62
      @shabanabdallah62 5 ปีที่แล้ว

      @@nelsonmikhail2319 A lot may be behind but our soldiers do play their duties only

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 ปีที่แล้ว +16

    AF utaskia vimtu ananunua mandege ka kaz gan??? Ndege za nn?? Mmeona sasa nyie WAPUMBAVU msio na vision niwaite vile .....Hapo JWT hajakod kitu cha home icho shenz sana wale current government haters

    • @samsonmwijage1602
      @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว +1

      Evarist wape ukweli wao wanaokebehi juhudi za serikali ya awamu 5. Ni sahihi kabisa unavyowaita WAPUMBAVU.

    • @miltonstephano3246
      @miltonstephano3246 5 ปีที่แล้ว

      Nazani leo wamejionea umuhimu wa kuwa na ndege, then ingekuwa hakuna alafu waone shirika lingine tofauti na ya tz utasikia wakisema maneno mengi yasio na mwisho

    • @amourfaki8737
      @amourfaki8737 5 ปีที่แล้ว

      Hhh

  • @selestinmussa9580
    @selestinmussa9580 5 ปีที่แล้ว +9

    🇹🇿Tz kadumisheni amani uko dfl nawaombeeni mrudi sarama

  • @officialdeogratiusnelson
    @officialdeogratiusnelson 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, WABARIKI WANAJESHI WA NCHI YANGU, KWA DAMU YA YESU MUWE SALAMA.

    • @stephenmwaijengo2660
      @stephenmwaijengo2660 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awalinde katika kutimiza majukumu yenu viva TPDF

  • @asiamkama6262
    @asiamkama6262 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezimungu awatangulie ktk kazi yenu

  • @tanzakiddeclassic4940
    @tanzakiddeclassic4940 5 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wanajesh wetu wa JWTZ ktk kazi hiyo maana sisi sote ni ndugu, Mungu ibariki pia daffur wapate amani huko sudan

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 5 ปีที่แล้ว +2

    mungu ibariki Tanzania mungu awalinde wanajeshi wetu.
    kama mnavo kwenda inshaallah mtarudi pia.

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 5 ปีที่แล้ว

    Jamani nawapenda wanajeshi wangu wote wa tz Mwenyezi Mungu awatangulie,mjomba wangu pia mwanajeshi na hata baba yangu mdogo pia so nawaombea sana mrudi salama Amina.

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 ปีที่แล้ว +2

    May Godbless Tanzania armies,I also take this opportunity to wish all the best to them.Nawatakia kila lakheri nikiwa Lusaka_Zambia.Gonga like kama ishara ya kuwapongeza Tanzanian citizens.

  • @failunajuma1637
    @failunajuma1637 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awalinde mwende salama na mrudi salama"Amen.

  • @Myright888
    @Myright888 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU ASIWAPUNGUKIE NDUGU ZANGU, NAWAFUNIKA KWA DAMU YA YESU , MUDA WOTE MALAIKA WA MUNGU WAKAWAZINGILE MBELE NA NYUMA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZALETH.
    AMEN🙏🙏

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 5 ปีที่แล้ว

    Hongera JWTZ Mkumbuke mnapeperusha bendera ya Ndg zenu 50+millions litakalo tokea ZURI ama BAYA lita reflects hiyo idadi yetu. Ni kama nawaona wale wanao ponda na kuomba kila kitu kinacho fanywa na Serikali hii kidolole ili waingie IKULU wakiomba Dua Mbaya. Mshindwe na mlegee...Nawaza tu kwa sauti

  • @reyjosee9390
    @reyjosee9390 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu awatangulie,Watumiaji wote Wa Chombo Hicho,Mfike salama Mkatimize majukumu yenu na Mungu akipenda Mrudi salama..Amen

  • @kevoomlay2169
    @kevoomlay2169 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU Awalinde Muendako na Mrudi Salama All Comrades Salute

  • @patricklary8239
    @patricklary8239 5 ปีที่แล้ว +4

    Sijuwi dislike zinatokana na nini! Hope hawa waliyodislike siyo watanzania. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania na Mungu libariki Jeshi letu la Tanzania

  • @christinakitomari7702
    @christinakitomari7702 5 ปีที่แล้ว +6

    Damu ya Yesu iwafunike wapendwa.

  • @isayakimbe7208
    @isayakimbe7208 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awatangulie maana sehemu yenyewe ni darful Sudan ni hatari....mambo ya dream liner the wings of Kilimanjaro

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze inchi yangu Tanzania jeshi mwende salama murudi salama 💪🇹🇿

  • @abubakarkada3083
    @abubakarkada3083 5 ปีที่แล้ว

    Allah awalinde kwa kazi zenu za kwenda kunusuru Uhai wa binadam Mungu awalinde kwa kila Shari za huko Muendako

  • @suleimanamiri4321
    @suleimanamiri4321 4 ปีที่แล้ว

    Ishalla mungu awape kilalakheli warudi kwapamoja tens tuwaone tunawapenda Sana'a wanajeshi watu tunawaombea mungu pamoja jpm wotu

  • @robertdaud9894
    @robertdaud9894 5 ปีที่แล้ว +5

    Nenden wapiganaj bora wa dunia ktoka Tz we pray for you

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 4 ปีที่แล้ว

    good good mungu awaongoze katika majukumu yenu , asante Rais wetu Kwa maendeleo

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 5 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania mungu wabariki wanajeshi wetu walinde warudi salama kuungana nas tena waongozee wewe ee mwenyezi mungu wape ulinzi warudi salama

  • @saidnzowa9913
    @saidnzowa9913 5 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri Askari wetu. Mungu awatangulie na kuwapigania huko muendako. Mungu awaongoze.

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbingu na inchi atawalinda tunawaamini na mtaweza,mwende salama mrudi salama, EE Yesu wafunike na damu yako

  • @jk-or9jq
    @jk-or9jq 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa Majeshi atawalinda askari ndugu zetu wa JWTZ

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Asante san majeshi yetu kwa kuzidi kulipa eshima kubwa san taifa letu asante san viongozi wetu wa shilika letu ra ndege kwa kuzidi kukiongoza vyema shilika letu asante san raisi wetu mpendwa na viongiz wetu wote mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi yote

  • @mwesigwaabdurahim8590
    @mwesigwaabdurahim8590 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awatangulie awaepushe na mabalaa wapate kurudi salama, Ni kazi ngumu inahitaji Mkono WA Mungu

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki Tanzania nakupenda nchi yangu milele daima na Mungu ibariki Israel

  • @marymodunda2075
    @marymodunda2075 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki Tanzania na watu wake

  • @imanimwambungu2500
    @imanimwambungu2500 5 ปีที่แล้ว

    Sawa tunaomba mludi salama sisi hatuangaliii kupanda ndege sawa mludi salama mungu awatangulie sio kupanda mandege hayooooo

  • @pancrasskazimoto4094
    @pancrasskazimoto4094 5 ปีที่แล้ว

    Mungu baliki Tanzania yetu.Mungu baliki jeshi letu la Tanzania.Mungu awabaliki awatangulie.Amina.

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 ปีที่แล้ว +1

    Iloveu Tanzania 🇹🇿💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @haikamatowo3161
    @haikamatowo3161 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awalinde mrudi salama woote, Mungu libariki jeshi la Tanzania, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa

  • @amankileo8977
    @amankileo8977 5 ปีที่แล้ว +5

    Wale walio furahi na kuona umuhimu wa ndege zetu apa tuwa waombee waliokua wanaponda mana watakua wana mapepo

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalinde wote. Amina

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awatangulie na kuwalinda

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awasimamie Kamanda zetu

  • @tegezdomin8363
    @tegezdomin8363 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania,mwende salama na mrudi salama

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 5 ปีที่แล้ว +2

    Yesu awafunike kwa damu yake na mrudi nyumbani salama

  • @jamesngubesi85
    @jamesngubesi85 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde awapiganie muende salama muludi salama ktk jina la Yesu amen

  • @gabililta
    @gabililta 3 ปีที่แล้ว

    Shoutout Kwa Cameraman Aleshoot hii kazi
    A Very good job

  • @gloriaandrew5823
    @gloriaandrew5823 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde wasafiri salama na kurudi wenye afya na nguvu tele. Tunawaombea warudi wote kwa idadi yao kama walivyoondoka.Amina

  • @mommary2424
    @mommary2424 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwende salama na mrudi salama makamanda👮najivunia kuwa Mtanzania😍🇹🇿

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awajalie safari njema na tunawatakia kazi njema murudi salama makamanda wetu

  • @zaharahasan1912
    @zaharahasan1912 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA awajalie safari yenu iwe ya heri, Na awalinde popote pale mnapopelekwa, Nimelia mm kwa furaha sana ,MUNBU BABA awalinde

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 5 ปีที่แล้ว

    Hii nchi ilitakiwa tuwe mbali sana, Mungu mbariki rais aendelee kuibadilisha Tanzania, yaani mpaka furaha, Mungu libariki jeshi

  • @peterkihongosi1966
    @peterkihongosi1966 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU awatuze awalinde wote muende na muludisalama katika jina la Yesu

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 5 ปีที่แล้ว +1

    Jwtz love my country

  • @lucasmugoma2870
    @lucasmugoma2870 5 ปีที่แล้ว

    Msiamini mtu yeyote huko muendako ndugu zangu maana wanadamu hawaaminiki mungu awatangulie katika kazi zenu

  • @feisalmuya1424
    @feisalmuya1424 5 ปีที่แล้ว

    Kila la heri mashujaa wetu wa Tanzania mara ya mwisho kaka yangu nilimsindikiza mpk uwanja wa ndege kuelekea huko sudani kwajili ya kulinda amani ila alivyo rudi Tanzania hakuishi mda Allah akamchukua kikubwa Allah awape nguvu huko muendapo

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania g'ara Africa na Dunia nzima Mungu ibariki Tanzania

  • @tarsissingano9693
    @tarsissingano9693 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awasimamie na warudi salama bila kumpoteza hata mwanajeshi mmoja. Mungu awasimamie moja kati ya kazi ninazozitamani maishani mwangu.

  • @shodangduweduwe547
    @shodangduweduwe547 5 ปีที่แล้ว

    mungu uwatangulie wanajeshi wetu mungu ibariki tanzania.

  • @konde24ful
    @konde24ful 3 ปีที่แล้ว

    Magu ni mchpa kazi nafikili atamushauri mwenzake Burundi 🇧🇮.

  • @jumakapo9914
    @jumakapo9914 5 ปีที่แล้ว

    Muende salama na mludi salama tunawapenda sana wanajeshi wetu Tanzania oyeeeeeeeeee MUNGU awatangulie

  • @crabmotility4207
    @crabmotility4207 4 ปีที่แล้ว

    Major General Alfred Kapinga. Salute 👋🏽

  • @ombenimshana9162
    @ombenimshana9162 5 ปีที่แล้ว +1

    Hujaombea hata ndugu zetu wanaosafiri ushaanza matusi,mungu akusamehe ..........MUNGU AWATANGULIE NDUGU ZETU MRUDI SALAMA

  • @jacksonmkome439
    @jacksonmkome439 5 ปีที่แล้ว

    All the best makamanda..mungu awatangulie ktk kila jambo mlifanyalo huko durfuu

  • @Hayfany_di_bway
    @Hayfany_di_bway 5 ปีที่แล้ว +3

    natamani sana namimi nipiganie nchi yangu na waafrica wenzngu

  • @teddybadatu1780
    @teddybadatu1780 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu awatangulie katika majukumu yenu mrudi salama

  • @jafarsalum8656
    @jafarsalum8656 5 ปีที่แล้ว

    mungu awalinde mkaipigania Africa yetu mrudi salama nyumban bado tunawahitaji sana makamanda wetu

  • @allyruhega9065
    @allyruhega9065 5 ปีที่แล้ว

    Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika. Mrudi wate salama🙏🙏🙏