Hamtaka wa africa we zenu mwataka Hao shombe shombe mtafilisika sana...... Mama ndiye Mwanamke pekee ambaye ana mapenzi ya dhati kwa Mwanawe ila hao kuku wa kizungu zao pesa tu wala mapenzi Hawana.... Mungu warehemu mama zetu walio tangulia mbele za khaki aamiin
Kati ya wasanii ambao ukiskiliza kazi zao au ngoma zao hazi choshi kuskiliza ni #Aslay Hii ngoma kali nimeikubali kama vp tumpe support Gonga like twende fresh haijalishi we kabila gani .
Nadhan hii n maalum kwa Nandi. Pole sana dogo!! Skuiz mapenz hayaend bila cash na hata km ukimpenda mtu si lazma umwonyeshe! "Na wenyenazo wanawatumia wanawakatia mkwanja wanawapa mimba wanawakimbiai
mansula wa moyo wangu mama ndie ulieniacha mimi njiapandaaah! umeondoka na moyo wangu mama wakati mwenzako nilishakupenda ....🙏👏👏❤❤ Gonga like kama umeipenda basi twende sambamba
You are understood around the world even when one does not understand Swahili your songs are a masterpiece please keep up the great work love you Aslay from Rhode Island USA
Jaribu ujio tofauti nwanangu Aslay, nikitazama magoma yako kama Baby, Mhudumu, Kidawa, Likizo ni kama unazungumzia vitu sawa tu.Tangia mwaka jana ni goma la "Hauna" pekee ambalo kwa mtazamo wangu ulikuja tofauti. Kwahivyo bwana mi nakupenda ila nahisi kuboeka na namna mambo yanavokwenda. Ni mtazamo tu
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu kila siku iwe kwa kusudi au kwakutokea kosa dah!!sijaamini kama leo na mimi nipo humo,umeondoka na moyo wangu mamaa wakat mwenzio nilishakupenda.ningum sawa
Kama bado wasikiliza ngoma hii ngonga like.hapo🔥🔥🔥
Kama ungalia nyimbo hii 2024 gonga like hapa
😭😭😭😭 wimbo huu unanikumbusha mbali sana 😭😭😭 ila asante sana nitapona mdogo mdogo one day
🤔🤔🤔kwa nn
Mbn🤨
Sorry Hadi mimi
❤❤❤❤
Nani mwengine anae mkubali Aslay? 100% gonga like ya nguvu please 🔥 hiyi ngoma
Juma jux star yaaaaaaaaaaan aslay noooooooooooomaaaa
Young star juma tupoo
kwell boika San
Ilove him iam Liliany from Mtwara
Pa1
Wapi Team aslay??wakenya tuko chonjo ..noma sana
Aslay we ni fundi & unajua ukifanyacho...keep it up hommie
aslay motoo wa kuotea mbalii
#gonga like kama una mkubalii
hajaii koseaa #KWALAHAAAA
baba huna mpinzani kula raha baba nakukubali mpk naumwa we ni nomaaaaaaa
Ulichopata kile ukitakacho ukanikimbia kumbe tapeli wa mapenzi misikujua aiweee love you Aslay
nomaa na nusu 🙌👏👏💥💥🐐🐐🐐
upo juu bwana asikwambiye mtu daaah asante dogo
Ngoma wazimu......kali sana Asley......napenda usanii wako.......warembo sumu kaka
Apart from Rayvanny, Aslay remains my favorite Tanzania artist
Ngoma kalisan kwa rahaaaaa qultiiiiiiii xnaaaaa..#
Ameweza nampenda tu sana
Love from Kenya🇰🇪
Yaan ni kwa rahaaa aisee kusikia ngoma zako mkuu
Naona dogo hapoi dah! Hit after hit
Nakupenda San
mashair mazur balaa ila biti sijaielewaa....ilitakuwa kuwa kaliii zaid ya nibebe....
Kila ninapo sikiya nyimbo zako wanipaga nguvu yakuto musaliti wangu mpenzi. Nakupenda bure Aslay
duuuuhhhhh
nijibu pnde zp
nakukubali sana
Hamtaka wa africa we zenu mwataka Hao shombe shombe mtafilisika sana...... Mama ndiye Mwanamke pekee ambaye ana mapenzi ya dhati kwa Mwanawe ila hao kuku wa kizungu zao pesa tu wala mapenzi Hawana.... Mungu warehemu mama zetu walio tangulia mbele za khaki aamiin
Kati ya wasanii ambao ukiskiliza kazi zao au ngoma zao hazi choshi kuskiliza ni #Aslay
Hii ngoma kali nimeikubali kama vp tumpe support
Gonga like twende fresh haijalishi we kabila gani .
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html
woooooiii😥😥😥😥😥😥😥aslay wewe..🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
This guy is good 👌👍 Thumps up. I love the humility he portrays in his music videos.
Kweli baba yao. Salute
Nilitoka jana team wcb....ssa niko team aslay😁😁kwa raha zangu🙌🙌🙌nawakilisha wakenya kwa mpigo
Ivine Chemtai Masai 😂😂Welkam😜
Ivine Chemtai Masai subscribe ktk Chanel yangu nami in sub kwako asnte
Ivine Chemtai Masai 🙋
zenjiPO zenjiflavour promo online poa da
Ivine Chemtai Masai kama kawa
Nadhan hii n maalum kwa Nandi. Pole sana dogo!!
Skuiz mapenz hayaend bila cash na hata km ukimpenda mtu si lazma umwonyeshe! "Na wenyenazo wanawatumia wanawakatia mkwanja wanawapa mimba wanawakimbiai
kali aslay asee,keep it up bro
wakenya tupo ndaaaani ndaaaani kwa mpigo aslay babu yao waonyeshe 👏👏👏🔥🔥🔥
mansula wa moyo wangu mama ndie ulieniacha mimi njiapandaaah! umeondoka na moyo wangu mama wakati mwenzako nilishakupenda ....🙏👏👏❤❤ Gonga like kama umeipenda basi twende sambamba
napenda hichi kipande
2021 🤓
#Aslay ngoma Kali idea mzur #kwaraha #keepitup
umetisha mzee baba.Weka like yako hapa kama unampenda Aslay
Kwa raha kwa raha zako kwa raha aisee we mkaka ni mnoma sana Mungu awe pamoja nawe penda sana kazi zako
Wa kenya mpo
Kama unamkubali aslay gonga like hapa👊
kijana naiman kwa hapo imetosha kama nikuamin big up sana endelea ivyo ivyo take 100asilimia,by Jacob muhanyi rukwa mfinga
Kama unaiangalia hii ngoma 2020 ngonga like 2po pa1🔥🔥🔥
Daah we fundi Yan mondi ajae
watching from south africa ngoma kalii #aslay kwa raha🔥🔥🔥
Kali sana
aslay.... uko tuu sana
nakupenda buree
Hujawai kosea baba...gonga like kam unamkubali aslay
SuperDuper Tv
Kwel kabis
Daaah kijana unajua sana aisee
You are understood around the world even when one does not understand Swahili your songs are a masterpiece please keep up the great work love you Aslay from Rhode Island USA
Niceeeee kaka kaza booot nakupendaga bure
Nice job brother 😍😊👌
Nakupendaga buree asly nice song
So so beautiful.This boy is disciplined both in style and lyrics
Safiii sanaaa kk piga kazii
Kali sana
Nimekubali hiyo hiyo ngoma ##kwa raha aslay
Jaribu ujio tofauti nwanangu Aslay, nikitazama magoma yako kama Baby, Mhudumu, Kidawa, Likizo ni kama unazungumzia vitu sawa tu.Tangia mwaka jana ni goma la "Hauna" pekee ambalo kwa mtazamo wangu ulikuja tofauti. Kwahivyo bwana mi nakupenda ila nahisi kuboeka na namna mambo yanavokwenda. Ni mtazamo tu
*UMESHA NIFILIISI ETI HAUNITAKII, SAWA MWANA KWENDA MIE NITAPATA MUNGU AKIPENDAA*
Kama pasi
Romanus Tv haya kakaa
Romanus Tv haya kakaa
Romanus Tv waoooooooo
*Hahahaha huyo Dogo ngoma Sana akimbize tunampa saport*
Ngoma kali bro🔥💥
I'm not a fan of bongo music that much..but I gotta admit it, this guy is good..his voice is unique
Umeyapanga mpaka hakuna ladha ya nyimbo zako tena unaimba kwa fujo mnoo
It's 2022 but the song is still lit 🔥
Mansuraaaaaaaa wa moyooo wanguuuuuuuuuu maaaamaaa
Humble down to earth boy, less scandals. I love your music bro.
Hakika aslay hakika una kipaji, wanaojilinganisha na ww bdo sana
Nakukubali sana kijana
nasikiza kutoka kenya...aslay amebwaga hadi simba
Iyi ngoma ni moto moto...kwa Raha ..Kama una mkubali ..aslay..mikono..just..usi sahau ku subscribe naku Share ..na like ..yako ..moja
Hivi Kenyans mnashindaga TH-cam au?!! Maana sio kwa koment hizi!!! Daaaah!!! Mmetisha zaidi ya wenyeweji wenye mtu wao kudadeki!!!
2 days to 2023 and I'm still loving aslay ...Wacha like hapa kama Bado wampenda
😭😭😭😭😭 💘💔 mapenzi balah. #Aslay keep it up bro
kama wew ni team WCB na umeiyelew hii ngoma gonga like yako hapa.
Nakubal mkali kwa kaz yako
Umeondoka na moyo wangu mamaaa.....wakati mwenzako nilishakupendaaa
team aslay gonga like hapa ....🔥🔥🔥kwanza fans wa254 mko wap
Badilisha na toni kidogo maana naona kama zifanana baadhi ya nyimbo...
Hongera wimbo mzuri...
6k views in less than an hour thanks aslay for always setting the pace love from +254
io aslay imetesaa , yany io ngoma n mambo biad
Safi sana tunakutegemea wakubwa wenyewe vichwa maji piga kazi
Kwa mashairi uko vizuri nakubali.. #🔥
Every song from this guy is a hit
aslay haungushi kamwe,,iko sawa
Kumbe ulitaka kipato aaaah kumbe ni tapeli wa mapenzi...#asley umetishaa
Dogo langu nimetii hapo... ponda tu mali zangu weh dada... kwa raha zako maamaye...
NicE music 👏👏👏👏
😘😘😘👍👍👍...hongera safii sana.
Ohh welcome again my dude 👏👏👏👏📷👁️🎬 🔥 fireeeeeeeeee #ASLAY
nakubale sanaaa aslay twende sawa like
Aslay hiyo kuondoka na moyo wako veeepe
Kwa raha wakenya tupo....
Aslay
Wewe tena hata ufanye nn utabaki kuwa the best ,unajua sana
Ngonga like hapa kama unakubaliana na ##kwa raha
#lmeweza
Safi sana
Ongea sana bwana aslay
Kiatu kizuli🌟👌
Mambo
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu kila siku iwe kwa kusudi au kwakutokea kosa dah!!sijaamini kama leo na mimi nipo humo,umeondoka na moyo wangu mamaa wakat mwenzio nilishakupenda.ningum sawa
nmpenda uyo mbwa ,ananyonysha
Hazina yako haionekani kukauka anytime soon..... Great music!
Oh my this guy is so talented I still listen to his music even though I don’t understand half of what he’s saying
Ngoma kalii sana Respect #Aslay Yan bando lako la kutumia unataka laki.....!!!
Umenipa ugonjwa kama vile degedege🦅☺️
baba mozah wewe ni nouma kichupa kikaliii yaani ni fireeeeeeee🔥💰💗
Aslay ni 🔥🔥🔥🔥kama kawaida.. 254 Niko ndaaaani
Asly
Charity Likuru yap
Kazi mzuri san kijan #big-up
We dogo ni noumaaaaaaaa......
All the way from Iraq
Idont understand the language but its hotter than fire🔥🔥🔥. @Aslay ana hatari sanaa😂😂
Pamoja sana
Wimbo mzuri. Aslay. Naamin Mimi ndo shabiki wako sugu Kenya hamna anayekuenzi zaidi yangu
Comment ya kwanza nipeni like 254
You're not alone.
# 254♥🌹
😀😀😀😀😀
Ngoma nzuri sana
Aslay#KwaRaha...Mob lovE frm Kenya
Hawana shukurani wanakutapeletu #kwaRaha @asly nice song