Aslay - Nashangaa (official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.6K

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 3 ปีที่แล้ว +124

    Kama ulimiss ngoma ya Aslay naomba like. A bom from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @EYVMedia
    @EYVMedia 3 ปีที่แล้ว +240

    Mziki wa kuishiii💪💪💪💪

  • @allymahabah
    @allymahabah 3 ปีที่แล้ว +38

    Aslay isiahaka my mantor we fundi sana kaka aminia 100%

  • @noelkipera4871
    @noelkipera4871 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma tamu Sana Aslay hujawah kukosea,,,Ila nashangaa wanaoimba upuuz ndiye wanavumba

  • @evansdaniel8076
    @evansdaniel8076 3 ปีที่แล้ว +229

    Wanao amini aslay ni 🔥🔥🔥🔥🔥 like apa twende saw

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว

      ❤👇🏻👇🏻❤👇🏻👇🏻❤
      th-cam.com/video/ARsRHzc_0DM/w-d-xo.html

    • @obadiahbosire8263
      @obadiahbosire8263 3 ปีที่แล้ว

      No 1 bongo asley

  • @sophiakibwana7631
    @sophiakibwana7631 3 ปีที่แล้ว +57

    I feel crazy I don't know y big up aslay .if you understand this song.gonga like tujuwane team aslay baba moza.....💯🇰🇪

  • @official_vanchaz
    @official_vanchaz 3 ปีที่แล้ว +120

    Wakwanzaaa kuview... Dondosha likes tusukume Ngoma yetu🔥🔥🔥

  • @wadegame1
    @wadegame1 3 ปีที่แล้ว +37

    Aslay, alikiba, harmonize, nandy, I love Tanzanian music. 🇹🇷❤️🇹🇿 Nakupenda sana sababu ni wewe 😊

    • @priscaaron8892
      @priscaaron8892 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😁😁nice

    • @wadegame1
      @wadegame1 3 ปีที่แล้ว +1

      @@priscaaron8892 ashante sana kaka

    • @priscaaron8892
      @priscaaron8892 3 ปีที่แล้ว +2

      @@wadegame1 dada 😶😶😶😶😂

  • @rayAFRIKA
    @rayAFRIKA 3 ปีที่แล้ว +188

    Uyo ndo msanii wangu ninae mkubali ap tz kama unakubali gonga like sakutosha

    • @isayalaizer1367
      @isayalaizer1367 3 ปีที่แล้ว

      naomba namba yake kaka naomba kutoka moyo namkubali sana

    • @teresialusian8916
      @teresialusian8916 3 ปีที่แล้ว

      Gd snaaaaa

    • @marcosjumbe4604
      @marcosjumbe4604 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @aisham488
      @aisham488 ปีที่แล้ว

      Even me namupea salti💯🙌🙌

    • @suziesue7767
      @suziesue7767 ปีที่แล้ว

      Baaas his the Tru artist in tz his lyrics very smooth

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 3 ปีที่แล้ว +1

    Mfalme wangu kwenye mziki wa sasahivi ndio huyu💗💗💗💗🌹🌹 Dogo unajua sana

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 3 ปีที่แล้ว +83

    Wa kwanza kucomment, ngoma tamu dogo lake, sauti konki....

  • @samsonmasha1104
    @samsonmasha1104 3 ปีที่แล้ว +37

    Soldier is someone who is not a someone, who can wonder in the jungle alone, and in the battle field he doesn't relay on others.... Fights from inside his heart... And here is the true definition of a SOLDIER..... Nyota ya mama ikulinde na ikutangulie kwa kila ufanyalo ASLAY.. MORELOVE FROM KENYA

  • @jayfourjofrey7129
    @jayfourjofrey7129 3 ปีที่แล้ว +167

    Kama unaamini aslay amerudi hot🔥
    Na atauwasha Moto weka like hapa✌️

  • @connieconny3584
    @connieconny3584 3 ปีที่แล้ว +4

    Lawama, lawama, chunga tusije vunja kitandaa😍😁😁😁 , Nimeskia hapo tu.
    ASLAY umewezaa🙌💪

  • @beewaj3036
    @beewaj3036 3 ปีที่แล้ว +30

    We fundi brother ipo siku watakuelewaga wale wanaokuchukuliaga poa poa🔥🔥🔥

  • @stephaniejoseph5901
    @stephaniejoseph5901 3 ปีที่แล้ว +172

    The King himself🔥🔥you never disappoint🔥❤all the way from Kenya😌💪si nipewe tu likes 10 aki😂😂😂

    • @AlmaCisse
      @AlmaCisse 3 ปีที่แล้ว

      Habari ? Ukiwa kama mdau naomba support pia , comment na Ku subscribe kwenye channel yangu na pia nisaidie kusambaza link hii.👇👇🙏🙏🙏
      th-cam.com/video/QW9s96MUsLI/w-d-xo.html

  • @ditricknyamika5411
    @ditricknyamika5411 3 ปีที่แล้ว +157

    Jaman Like za kutosha kwa Aslay ✊️👊from Nyange Family😂😂😂

  • @aishabakar3126
    @aishabakar3126 3 ปีที่แล้ว +1

    Aslay nakupenda sanaaa jamani ludi kwenye gemu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bihangamanywazuberi1684
    @bihangamanywazuberi1684 3 ปีที่แล้ว +17

    nimekuwa wa KWANZA Aslay jamania likes from Rwandaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @brianwright.
    @brianwright. 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo ya kinyamwezi na inatisha aisee..Aslay hajawahi nibwaga kaabisa.Mombasa na Nairobi twakutambua ile kinyama.

  • @rintakarendi3625
    @rintakarendi3625 3 ปีที่แล้ว +18

    Sauti nayo 🔥🔥 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Flanleekeofficial
    @Flanleekeofficial 3 ปีที่แล้ว +14

    Mkuu wao kazi safii. Unaskizwaa Kilifi na Mombasa kote♥

  • @luokidofficial4146
    @luokidofficial4146 3 ปีที่แล้ว +66

    Yamoto kweli nipeeeni likes am from Kenya 😚😚💓💓

    • @missabilioabilio6266
      @missabilioabilio6266 3 ปีที่แล้ว +1

      Nilikumisi🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @derrickmboya5920
    @derrickmboya5920 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimeucheza huu wimbo mara 20 Hadi nikatosheka. Mtamu Sana.👏👏👏👏

    • @aishasalim2962
      @aishasalim2962 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅 wa chekechaaa...

    • @judyndekei2104
      @judyndekei2104 2 ปีที่แล้ว

      Mimi pia 2022 na bado napenda huu wimbo ,nampenda sana Aslay

  • @stejustina9998
    @stejustina9998 3 ปีที่แล้ว +20

    Anakwambiaaaa mbona kupenda uku sikawaida umenipa nn nashangaa like km zot kwa asley💗💗🔥🔥🔥🔥

  • @officialsashaa8171
    @officialsashaa8171 3 ปีที่แล้ว +21

    Jaman me hii toka jana ninayo kwenye earphone na ninaitazama nilimiss mzik mzr Kwa aslay kama na ww ulimmiss aslay like twende sawa

  • @mkolonifirm7172
    @mkolonifirm7172 3 ปีที่แล้ว +24

    Always. Ur fan buddy, wapi likes from kenyans fans

  • @dianabanga2625
    @dianabanga2625 ปีที่แล้ว +2

    🙌🏿🙌🏿 unaleta hisia kali sana huu wimbo daaa 😭

  • @WhatstrendingEA
    @WhatstrendingEA 3 ปีที่แล้ว +10

    Kama umemuona huyu kijaana akiinukia kutoka akiwa mtoto mpaka ivi sasa ni bingwa mziki tanzania Piga like.

  • @fakharuddinmasoud591
    @fakharuddinmasoud591 3 ปีที่แล้ว

    Dah cjaona mwanamziki bora anayejua kutunga nyimbo kama aslay more blessed

  • @joanesotieno6936
    @joanesotieno6936 3 ปีที่แล้ว +13

    Love you since those days of "Naenda kusema kwa mama"

  • @beltahbelta6331
    @beltahbelta6331 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata wakuzime bro aslay i love your songs,nakukumbali mimi; marioo kasema next king. From Kenya

  • @DJPEREZ
    @DJPEREZ 3 ปีที่แล้ว +250

    my all time guy....fire music

    • @CLASTARSBRSCRAZYMONKEY
      @CLASTARSBRSCRAZYMONKEY 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/CVGg7Vagt80/w-d-xo.html

    • @jay-sr3js
      @jay-sr3js 3 ปีที่แล้ว +4

      the guy is real tunamkubali

    • @mrbkenyaofficial
      @mrbkenyaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Jxl_XVdw5Oc/w-d-xo.html and this is why

    • @wymochronicles2597
      @wymochronicles2597 3 ปีที่แล้ว +1

      Moto tena sana

    • @princeyakobotz8406
      @princeyakobotz8406 3 ปีที่แล้ว +1

      Ebu like nyingi et nipe nyama ya kasa jamani melodi

  • @ratconblackie5321
    @ratconblackie5321 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri wa aslay ngoma zake waskiliza na mtu yeyote awe mzee ..mtoto au makamu walai big up bro .. we fundi bro heko kwako....

  • @eunicemwende2969
    @eunicemwende2969 3 ปีที่แล้ว +13

    Been wondering where he's been kumbe been cooking this amazing project! Kudos Aslay Isihaka🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥

  • @GeraldFx_27
    @GeraldFx_27 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu pia nami mimi namuamini huyu jamaa kwa saana hapa Kenya hadi nimeibadili jina angu nikajiita Aslay juu ya kupenda kazi za huyu ndugu yangu Aslay

  • @willymtnmsafi8875
    @willymtnmsafi8875 3 ปีที่แล้ว +96

    Ukitoa king kiba na mondi ,he is the king 👑

    • @shamratkhamis1543
      @shamratkhamis1543 3 ปีที่แล้ว +2

      Ewaaah

    • @24seventv99
      @24seventv99 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmh bado hat kwa khan rasta

    • @lookbabes8710
      @lookbabes8710 3 ปีที่แล้ว

      Don't compare aslay na wasani wenye wamemaliza waganga. Aslay anategemea mungu peke

  • @mwanajumamaulid9872
    @mwanajumamaulid9872 3 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo unanikumbusha mbali sana huu aslay umejua kunikosha much love to u😍😍

  • @nelsonwagon9393
    @nelsonwagon9393 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimeelewa mkuu nimerudia hi ngoma mara5🤝🤝🤝🤝🔥🔥

  • @rahmaseif4636
    @rahmaseif4636 3 ปีที่แล้ว +1

    Wamotooooo bro god blexx back to back tunyookee aaaaahhhh alamba alamba woyoyo shikamoo aslay

  • @salumomari2480
    @salumomari2480 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow wow Aslay uta trend sana kwnye mziki

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu wimbooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nipe nyama ya.......💃💃💃👌

  • @drakes3872
    @drakes3872 3 ปีที่แล้ว +3

    All the Way from 254,Mfalme wa mapenzi ni Aslay,Gonga like tukisonga

  • @vidahemmanuel5453
    @vidahemmanuel5453 3 ปีที่แล้ว +1

    Aslay unanikosha baba 😘😘😘😘 timu aslay tujuane jmn ❤❤nashangaaaaaaaa

  • @trizahgechembaomare6022
    @trizahgechembaomare6022 3 ปีที่แล้ว +27

    1st viewer.... Yeeey this is dope
    Team Kenya..

  • @directorloytz667
    @directorloytz667 3 ปีที่แล้ว

    Uimbaji wa Aslay sio tu kwamba ucheze bali nyimbo zako zinatugusa kihisia sana vjana kitaa 🎓

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 3 ปีที่แล้ว +4

    Weee mtoto unabalaa,ngoma kubwa mno naskitika nimeiskia leo, km umeskiliza hii ngoma 100 kwa siku moja bonyeza hapa tujuane

  • @fundibazeng9952
    @fundibazeng9952 3 ปีที่แล้ว +1

    Aslay chatu wao tufikishe milioni kwenye subscribers

  • @alimasiwilondja6210
    @alimasiwilondja6210 3 ปีที่แล้ว +37

    King aslay is keeps coming back with bangers

  • @steventhomas672
    @steventhomas672 3 ปีที่แล้ว +2

    Bado sijaona mshairi kama Aslay maishani,bado hajazaliwa jamani. Mad love from 🇰🇪

  • @denniskadhreasternafricatv9583
    @denniskadhreasternafricatv9583 3 ปีที่แล้ว +10

    Dmk kadhr kenya i say noma
    Saana @ mr Nombo manager maarufu s2b and smile genius Regards illa piga..kitu..na smile genius mtatishaaa saana..Aslay ft.Smile genius 🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @honyoungndungu622
    @honyoungndungu622 3 ปีที่แล้ว +1

    My all time favorite musician from tz ,, Aslay njoo Nairobi upige show moja kali tafadhali

  • @samuelgachanja4199
    @samuelgachanja4199 3 ปีที่แล้ว +6

    Aslay sings alot of sense he is solo great music always kama unakubali gonga like

  • @ryobamgb4826
    @ryobamgb4826 3 ปีที่แล้ว +1

    Super hit mfalme wa bongo fleva. Kiukweli hamna kama wew kwa hapa bongo

  • @adamlorry5760
    @adamlorry5760 3 ปีที่แล้ว +28

    Twenzetu sawa 🔥🔥 aslay New song like to know

  • @zainabkhalfan
    @zainabkhalfan ปีที่แล้ว +6

    It's 2023 and m still here... I swear I can't get enough of Aslay's songs😫❤❤ so much love from Kenya❤❤❤❤❤❤❤

  • @oprahdequeen6829
    @oprahdequeen6829 3 ปีที่แล้ว +5

    My favorite Aslay💘😘
    Never disappoint🔥🌟😊💘😘
    Nipate like kama unakumbaliana na mm😍👌

  • @mwalimmgwisho9802
    @mwalimmgwisho9802 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo kali sn jmn au sio,🪔🪔 mwanamke sura,👩‍🦰🧑

  • @solomonmwabili9862
    @solomonmwabili9862 3 ปีที่แล้ว +19

    Like everything in the song. And the guy harmonizing with guitar, that's lit🔥 🔥 🔥

  • @atzonline452
    @atzonline452 3 ปีที่แล้ว +1

    Ualisia kabisa kaka yangu isiyaka🤲🤲💣💣💥💥. Kama unaikubali hiingoma gonga like kwa ajili ya aslay 🔥🔥🔥

  • @justicetumaini9144
    @justicetumaini9144 3 ปีที่แล้ว +8

    This guy is alwayz dope twakupenda sana aslay 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shamitonshammy1661
    @shamitonshammy1661 3 ปีที่แล้ว

    Eiiiishhh aslay mschana wangu anaitwa Ashley napenda kuomba mungu anipee Kijana nitamipea jina lako Aslay ille wakuwe mapacha I real do like your songs plus upole wako

  • @jovialke_update6940
    @jovialke_update6940 3 ปีที่แล้ว +6

    My all best time baddestvocalist artist,maneno matamu yatolewe V.I.P💓🔥🔥

  • @ivaniswekha9366
    @ivaniswekha9366 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm leaving my comment here, so that when you like it I listen to this masterpiece again!!!!

  • @akinyiberryl5420
    @akinyiberryl5420 3 ปีที่แล้ว +3

    nashindwa kulala kumbe crush amefanya mambo na sijakuja kusupport 😍😘

  • @almasinillan
    @almasinillan 3 ปีที่แล้ว +3

    Big Music
    KENYA ON TRENDING
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 3 ปีที่แล้ว +17

    Like kwa aslay nyimbo kali🔥🔥🔥✅

  • @nottyboymkarim4903
    @nottyboymkarim4903 3 ปีที่แล้ว

    Long time friend wapi like zangu kutoka Tanzania am Kenyan who love Aslay's music

  • @giftmwikali5236
    @giftmwikali5236 3 ปีที่แล้ว +13

    Thank Aslay for this I was worried for starting a year without a new song from u. My no 1 favorite artist, mimi nisha fika sasa from 254 Nzambani rock💃🏻

  • @levipedrokenya
    @levipedrokenya 3 ปีที่แล้ว +1

    Aslay maze you’re the only legend that I know💪🏾💪🏾💪🏾🙏🏾🙏🏾🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @paulthemwalimu
    @paulthemwalimu 2 ปีที่แล้ว +18

    ASLAY IS UNDERRATED ARTIST 😭😭💔..
    Im here tasting this vibe 😘❤
    Aslay we love you

    • @hassankaaz5948
      @hassankaaz5948 2 ปีที่แล้ว

      I swear sijui shida ni nini lakini hii ngoms ni fire mbaya it deserves more views

  • @abdulhassan7224
    @abdulhassan7224 3 ปีที่แล้ว +1

    Kipaji harisi kabisa kaka unajua kuliko unavyoamin. Ukilinganisha na mafanikio yako wao wanasupport kubwa ndomana. we ungeipata usingekuwa hapa. unajua kaka.. Respect

  • @FavouredKid
    @FavouredKid 3 ปีที่แล้ว +29

    Aslay finally I missed your vibes.Now this one welcomes the year.Much cool🔥🔥🔥💯❤ from 254🇰🇪 naikubali kwa sana💯 #NASHANGAA

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashangaa kwa kweli unavyoweza wooow hongera Aslay!

  • @FactsEdge
    @FactsEdge 3 ปีที่แล้ว +18

    Representing 254! Tamu sana 🇰🇪🇰🇪

    • @noblechild5652
      @noblechild5652 3 ปีที่แล้ว +1

      Tamuu🤝🤝

    • @FactsEdge
      @FactsEdge 3 ปีที่แล้ว +1

      @@noblechild5652 tamu sanaaaaa

  • @johnjessy437
    @johnjessy437 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa yupo underrated sanaa ila n moto wa kuotea mbal I🔥🔥🔥🔥

  • @alikarisa9606
    @alikarisa9606 3 ปีที่แล้ว +5

    Great talented boy.. my first artist in the world 🏹 🔥🔥🔥🔥

  • @queenmaa30
    @queenmaa30 3 ปีที่แล้ว

    Pale moyo wngu unapenda 💘love you much zaidi nakuzimia sigara hujawahi kuniangusha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @unclejohn1305
    @unclejohn1305 3 ปีที่แล้ว +67

    The 3rd to watch this earlier than those people who understand the language.....

  • @Ben.dot.K
    @Ben.dot.K ปีที่แล้ว

    My favourite Artist kijana hapendi mbwembwe ni kazi tu,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @liibanmagab4316
    @liibanmagab4316 ปีที่แล้ว +3

    Love this song, best love song in AFRICA. I'm somalia and yet, can't get enough of it, 4 real.

  • @abdoulliuguya7324
    @abdoulliuguya7324 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana hii lazma uirudie kuianglia mara mbili 🔥🔥🔥

  • @manoku4302
    @manoku4302 3 ปีที่แล้ว +3

    Aslay umetisha wimbo bomba sana kama ume uelewa gonga like yko hpa

  • @douglasnandwa4284
    @douglasnandwa4284 3 ปีที่แล้ว

    From Kenya shabiki wa aslay mkubwa hii ngoma ni Moto kwanza imeniingia kabisa pia nashangaa sana kuna mtu nimependa sana si kawaida thanks aslay nitaimbia mpenzi wangu huu wimbo

  • @mariammvano2505
    @mariammvano2505 3 ปีที่แล้ว +11

    Bonge la ngoma love it🔥🔥🔥🔥😍😍😍

  • @mrrajjiy6
    @mrrajjiy6 3 ปีที่แล้ว

    Kali sana brother Aslay 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥🌹🐉🐉🐉🐉🐉🐉🐉🐉🐉🐉🐉🤴

  • @amanipatrick2095
    @amanipatrick2095 3 ปีที่แล้ว +26

    Aslay mda mrefu kijana 🔥🆙

  • @vivianindagala4926
    @vivianindagala4926 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda bure.... Aslay umenipaa nini? nashangaa

  • @edwingichana3364
    @edwingichana3364 3 ปีที่แล้ว +4

    Here from mombasa kenya bro your my fevorit east and all of Africa In terms of love songs your king bro

  • @lbmaasai929
    @lbmaasai929 2 ปีที่แล้ว +1

    We need aslay back..Your more 🔥🔥Don't kill your dreams

  • @aliciahwagathiaka7111
    @aliciahwagathiaka7111 3 ปีที่แล้ว +9

    A hit🌹🌹🌹🌹✌like za wakenya zikam haraka

  • @MadamBoss26
    @MadamBoss26 3 ปีที่แล้ว

    Roho yangu afadhali ishatulia sasa😊Aslay all the way🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nashaaaangaaaaa 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @trialaccount5219
    @trialaccount5219 3 ปีที่แล้ว +13

    Aside from having a killer voice, you're also a great lyricist. Pongezi ndugu

  • @dianamsigwa8474
    @dianamsigwa8474 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani naulilia huu wimbo nimechelewa kuuona nakupenda aslay

  • @jameslucasodedendagwa7525
    @jameslucasodedendagwa7525 3 ปีที่แล้ว +53

    This song came at the right time. Met my love and everytime I hear it , it is baby that comes to mind. Thanks for this master piece@aslay

  • @charlsemusina9698
    @charlsemusina9698 3 ปีที่แล้ว

    Nakutambua Aslay 💪💪ngoma ni moto 💯🔥🔥🔥

  • @brothertoneclassic9383
    @brothertoneclassic9383 3 ปีที่แล้ว +10

    I'm from London I don't understand kiswahili but uyu jamaa namkubali san

  • @jamesprincealiass
    @jamesprincealiass 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana,
    #ASLAY is back again.
    @NASHANGAA😍😍💗💗

  • @erickisenga6631
    @erickisenga6631 3 ปีที่แล้ว +14

    Sincèrement, c'est l'une des plus belles véritables chansons que j'ai jamais entendu. Et la vidéo est parfaite. J'adore 👌👌👌

  • @kulwacharles5795
    @kulwacharles5795 3 ปีที่แล้ว

    Aslay kizazi sana home boy haukoseagi nakubal master 👏👏👏👏👏