Vitu vingine hua nakosa hata cha kuongea kwa kweli, hivi Aslay una nini lakin? Mungu fundi jaman, haya waliojawa na furaha na kukosa hata watumie maneno gani kumpongeza Aslay likes zenu hapa
studio.th-cam.com/users/videodGRy9HAdaeY/analytics/tab-overview/period-default DONT FORGET TO SUBSCRIBE YOUR SUBSCRIPTION IS HIGLY APRICIATED THANK YOU IN ADVANCE MAY GOD
Kama unamkubali Aslay Gonga like +254 Kenya ata wachinje ndovu akumalizi kimziki bro wekenya tutakusupport hadi kifo chako.....but please toanga ngoma kama hizi👏😂
tushaaajua wenye chuki...ata wachinje ngamia ndovu bado hawasomeki ....wanakaa timu eti wakupoteze ....one man army bro Aslay ....InShaallah Yupo ..Gonga like kama wampenda Aslay ....
Katika nyimbo zote ulizoimba aslay hii zuri Sana na imegusa sana mim nakuomba kwa mungu na pia amlaze Mahala pema Peponi mama yako na mama Angu pia Amen.
Kama unaamin duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako gonga like na comment APA nimeuelewa sana huu wimbo PGA kaz kaka yang Allah ndo kila k2 kwa mungu akuna majung
Hello, kindly Click the link below,,,, watch my brand new #Single #BORAMINIENDE (link: th-cam.com/video/QwX7kbYt-mY/w-d-xo.html) th-cam.com/video/QwX7kbYt-mY/w-d-xo.html LIKE, COMMENT, SHARE, SUBSCRIBE.. thank you for your continious support!!
studio.th-cam.com/users/videodGRy9HAdaeY/analytics/tab-overview/period-default DONT FORGET TO SUBSCRIBE YOUR SUBSCRIPTION IS HIGLY APRICIATED THANK YOU IN ADVANCE MAY GOD BLESS YOU
Gonga like if you accept aslay is doing great 💞💞💞 congratulations young boy and continue with the same same spirit.....all the way from Kenya iko love ❤️❤️
Inauma sana wanaanza kwa kusema ooo mzik wako umekua kawaida sijui nn, wote uo n njia ya kukushusha, ila Mungu mdo mpiganaji na mashabik tulivo maandaz tunadanganywa na iz propaganda tunashau kua aslay ana chain ndefu sana inayomtegemea kabla hatujawaza aslay kama msanii, tuwaze aslay kama baba, au kaka wa mtu, tukifanya ivo ukwel hatuwez yumbishwa na izo propaganda
Mi mnyonge, nimlilie nani kama sio wewe baba mungu!!! Thanks aslay uchawi upo !!! Much love from America 🇺🇸.We feel your pain too...
Jikaze mdogo wangu, talanta huwa haina mwisho, fanya kazi wengine waongee, matokeo mazuri ndyo majibu Yao
Taraiya Thomas Laizer hakika mungu yupo kama ipo ipo tu kaza broo mungu yu nawe frm tunduma ngoma kali sana
Mh
Jikaze Broo mungu hamchupi mjawake
Dah!!! Huyu ndiye simba wa ukweli🔥🔥...kama unamtambua aslay gonga like 💥💥💫💫
Suzz Suzzie simba mmmmh .....simba yuko pale tandale
Kweli kabisa so cut
Simba 👌👌👌
Ndo zenu wabongo mtu akiwa na mafanikio makubwa lazima muanze kukunja! Hata aslay akifika levo za diamond mtamchukia tuu!
mrogoro
Vitu vingine hua nakosa hata cha kuongea kwa kweli, hivi Aslay una nini lakin? Mungu fundi jaman, haya waliojawa na furaha na kukosa hata watumie maneno gani kumpongeza Aslay likes zenu hapa
Mr domix famoss catore de distrito de zabezia
Domingos
@@JamaicaamercaJapao I'm a 1
Najikaza mie.what an awesome song.it reminds me about my bitter past ila mungu yupo..am a living testimony. Nipeeni hata 1like jamani.254 we represent
studio.th-cam.com/users/videodGRy9HAdaeY/analytics/tab-overview/period-default DONT FORGET TO SUBSCRIBE YOUR SUBSCRIPTION IS HIGLY APRICIATED THANK YOU IN ADVANCE MAY GOD
Nakukubali Sana mdogo wangu...Pambana mungu yupo pamoja nawe
Pamoja
Atiiiii nn kama umeona asly anavy wachana wachwi ebu acha like apo
Dah!!! Hili jiwe balaa......wenye chuki mwaka huu wataishia kujichukia wenyewe kwa balaa hili dah umeweza broda
jeshi la mtu moja ilooo
Bigdaddyhahaz kweli asee🔥🔥🔥
ASLAY pambana tu utashida kwasababu mungu ni wakila mtu na mm nita kuhombiya kwangu.
Ivo nisawa kwasababu wanajijuwa ila pole sana kaka
I'm a Kenyan but i can say here Tanzania mko mbele tu sana . Juu sana Kwa nyimbo zenu. Zenu zinavuka border na Kukubalika kiurahisi kuliko sisi .
Wanasema hunalewa tuacheni chuki jamani tufanye kazi aslay hunajua sana mdogo wangu wakuache
Tunamsapoti aslay kwa pamoja goma lenyewe kali najua wiki tunagonga like 1m
Nakubali
We achana nao Isihaka wewe mtangulize Mungu mbele, Kama Diamond platnumz angeskiliza maneno ya watu asingefika hapo, achanao🇹🇿🇹🇿
Kazi nzuri ...hongera ndio mara ya kwanza nacomment ktk nyimbo zako,namanisha umetisha huu wimbo umeniimbia mm mwenyew
Seif Zongo dah kweli??
Dogo unajua alinaubishi
Kazi nzuri bwana mdogo
Yap hta,,,,
Mm hii nmeielewa
Nyimbo Nzur aslay Kama na ww unamkubal aslay Kama mm gonga like apa🙌
Nampenda aslay sababu nyimbo zake zina Mungu ndani, this is my 2nd favorite after mama
Kama unamkubali Aslay Gonga like +254 Kenya ata wachinje ndovu akumalizi kimziki bro wekenya tutakusupport hadi kifo chako.....but please toanga ngoma kama hizi👏😂
Crush
Mwanangu kaza buti, nothing can hinder you to perform well am a Kenyan but working in Dar Es Salaam Tz
Prince Newton Nice Music 🔥🔥🔥
🙈🙈🙈my crush
@@nancyruoruo1025 Alslay or ?😂
Bonge moja la ngoma, i think umeongelea uhalisia kabisaaaaaaaaaaah kwenye maisha yako, keep blessing ma nikha
Pambana mdogo wangu nakukubali Sana Tanga tunakupenda sana
Namkubali sana Aslay, kama waitazama video hii kutokea Kenya 🇰🇪 , nipe like 🤭
The love I have towards ❤ ♥ Aslay is unlimited 😍 ❤ I swear he is my best bongo artist ....go go go Aslay...much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Wanachinja mbuzi kafarah aty ndivo nipotee🙏🙏🙏
Top ten viewers from KE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌍 gongeni likes za aslay
Nakuru Kenya🇰🇪 100+likes for aslay
@lillianaradi622 jokes
tushaaajua wenye chuki...ata wachinje ngamia ndovu bado hawasomeki ....wanakaa timu eti wakupoteze ....one man army bro Aslay ....InShaallah Yupo ..Gonga like kama wampenda Aslay ....
Katika nyimbo zote ulizoimba aslay hii zuri Sana na imegusa sana mim nakuomba kwa mungu na pia amlaze Mahala pema Peponi mama yako na mama Angu pia
Amen.
Any Kenyan watching?? Pita na like to show your love to aslay 💪💪
I'm here
@@yvonneanita594 Aslay❤❤❤
napenda sana aslay
Iko juu sana
Ramadhan Abdallah ,sana
Wanaotaka kukushusha tunawajua ila usichoke pamban bro gonga like kama unaamini aslay ndo msanii mkali bongoo kwa vijana wote
Dogo anavimba sana
uwakika laxma wakubal
Napeperusha bendera ya🇰🇪 254... wapi likes zenu
That's my home country
mung akuraishishie
💪💪
CHEKI FREESTYLE KALI
th-cam.com/video/i_AcrxmQ9Hs/w-d-xo.html
@@JIMBO_MEDIA asley
love from Burundi aslay ananimaliza sana. gonga like kama unapenda kusoma commentaires kama mimi
Aslay kipenzi cha watu tuko hapa kukusuport bro ....luv u sana... Kenya kama mnamkumbali aslay gonga likes zenu hapa fire moto .....kali sana# chuki
Kama unaamin duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako gonga like na comment APA nimeuelewa sana huu wimbo PGA kaz kaka yang Allah ndo kila k2 kwa mungu akuna majung
Hii Ngoma ni Kali sana 💯🔥💪 Keep going my bro Aslay wapi likes ya Aslay from 🇲🇾
Daaah nc xna
Farhan Boojo Family 😛😛❤
Hapo kwenye MAFENESI hapo ndo uchawi, ukiachana na nyanya nyanya na vitunguu...
One love.!
Hahaha
Mdogo mwili
Mkubwa wa ujumbe
#CHUKI tupa kuleee much blessed baba MOZA
Hello, kindly Click the link below,,,, watch my brand new #Single #BORAMINIENDE
(link: th-cam.com/video/QwX7kbYt-mY/w-d-xo.html) th-cam.com/video/QwX7kbYt-mY/w-d-xo.html
LIKE, COMMENT, SHARE, SUBSCRIBE..
thank you for your continious support!!
Dah....
Swahili to the world....
East africa to the world..
🇹🇿🇺🇬🇰🇪 Show Love East Africa citizens.....💪💪💪💪💥💥💥🌍🌍🌍
Nakukubal cn aiseeee
studio.th-cam.com/users/videodGRy9HAdaeY/analytics/tab-overview/period-default DONT FORGET TO SUBSCRIBE YOUR SUBSCRIPTION IS HIGLY APRICIATED THANK YOU IN ADVANCE MAY GOD BLESS YOU
daaah umetisha sana mwanangu wacha waseme ila bado Nina kuelewa sana ata mungu yupo nawe d
ndugu yangu.
Wee upo level za nani
👏👏 hongera kaka ngoma imetulia mbaya
Ikiwa unamkubal aslay toka 254 pitia like humu 🌍⚡🔥🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪💯💯🔥hit like Kama unamkubali Aslay . First comment 🔥🔥🙏.
Jikaze baba
Evans Obaga 😄💌💌😄😄
Kaza buty .ngom naikubaliii
kali
Fire fire Mmhh
Wanachinja mbuzi kafala ili aslay upotee hawakuwezi wewe ni nyoko nakukubali mdogo wangu aslay #chuki
leo nimerudi tena kuiangalia maana imetulia hizi ndo nyimbo hamna hata makelele hadi raha asante aslay
Jikaze bro 2nakupenda sana Aslay keep up. Special Love 4rom Kenya
Hahaha endelea kupambana kijana unaweza sana, listening from Europe much respect aslay 🙏🙏🙏🙏
kazi nzuri ila kazaa kaka kiukweli game kwako limekuwa zito, bt i still appreciate u.
nakupenda bure aslay naamin utafika ulipo taka naamin hvy chuki zisikushushe weww ni mkubwa sana oneday moza atajivunia ww sana
mambo
@@obamaabas3849 pow
Usijali kiongozi hata wachinje kinyonga mungu yupo pamoja nawe hatakusaidia tu usikate tamaa
Wanadamu wako hivii yaaniii.... maishaa kama Gwaride. Hakuna anaezaa mpangiaa mwengine riziikii kwenye hayaa maishaaaa.😎✊🏾👉🏿🔥🔥🇹🇿🇹🇿respect Aslay 2020
Gonga like if you accept aslay is doing great 💞💞💞 congratulations young boy and continue with the same same spirit.....all the way from Kenya iko love ❤️❤️
IKITOKA ANGEKUONA MAMA HII NI NYIMBO YA PILA YA ASLAY KUNITOA MACHOZI😭😭Jikaze asly ndio dunia but tutakutana kiama 🏃🏻
Wanao mkubali aslay Kama Mimi like apa kwangu
Big up broo mbele wew nyuma sisi poga kazi mashabiki wako tupo maisha yako yote asley up up up up konda like kam wew ni shabiki dam hapo chini
Aslay mungu akubariki chuki ni ngoma kaliiiiiiii Sana tena sanaaaa #chuki
Ujumbe mzuri,nyimbo nzuri ila Nimewaona wenye chuk wame DISLIKE
1st kenyan to comment wapi likes za hii ngoma
Kenya hatuna tabia za kipuzi kuomba likes
🔥🔥🔥🔥🔥😘😘🙌🙌
Kama umependa mwendo wa aslay kwenye reli gonga like pliz
Nakukubali dogo wee mkali..Mungu akulinde sana kwa kila jambo akupiganie ufikie malengo dear 😍❤
Yaani hii ngoma siishibi bro. Hii ingekuwa huku kwetu #+254 tungeiweka kwa kundi la gospel
I love you Aslay❤❤ wenye #Chuki zenu si twajikaza tu..... Gonga Like kama upo sawa na mimi
aiseeeeee bro unaweza kuotea nyimbo hii nyimbo kali kinyama🎧🎧🎧🎤🎼
Tunaompa ASLAY BENDERA YA 🇹🇿🇹🇿
LIKE ZAKE HAPA.
That's a man
Pamoj
Aslay uko vizuri sanaaa
Love that
Saw bab mkubw
Adimini wa wahaya tunakukubali sana mdogo wangu aslay@@ ngonga lake nyingi kwa aslay.
Safii kabisa mziki ulio pangika kisawa sawa hongera kaka wapi like za Aslay🎉 kutoke 254
Mwana wa isiaka pigamoyo konde suport kubwa kutoka +254 ,,,, hata wakichinja ngamia HAWAKUWEZI KAKA ASLAY
Waliosema Aslay kapotea wanaumia sasa hivi....Ngoma wiki nzima iko trend ....Nipe likes kma unakubali....Ngoma iko Vizuri sanaa......
Mpaka 2024 tunaendela kuiskiliza mala 10/Kwa day Nipee like. hama Kama Nawew usipite bila Like🙏☝️
duuh huyu mwamba jamani mungu azidi tu kumlinda,,nyimbo zingine anaimba sio tu kumhusu yeye ila ata apa njee chuki zipo kwa wingi aiseee
Bonge la ngoma mwana.,,,kama umecheki ngoma zaidi ya mala moja gonga 👍
Supporting aslay is all of my happiness in Kenya
Inauma sana wanaanza kwa kusema ooo mzik wako umekua kawaida sijui nn, wote uo n njia ya kukushusha, ila Mungu mdo mpiganaji na mashabik tulivo maandaz tunadanganywa na iz propaganda tunashau kua aslay ana chain ndefu sana inayomtegemea kabla hatujawaza aslay kama msanii, tuwaze aslay kama baba, au kaka wa mtu, tukifanya ivo ukwel hatuwez yumbishwa na izo propaganda
Nakukubali
Nzuri saana na ipenda
sannnnnnnnnn
Ikiwa unapenda wimbo huu na Aslay bonyeza like yako hapa
⬇️⬇️
Aslay don't worry nakupenda bure big fun from🇰🇪
Endelea kupambana ktk maisha chuki ni kawaida kwa binadam so jikaze mungu atakusaidia mziki wako utafika mbali xana thanks for every songs big up sana
Aslay unaimba kwa hisia sana dah mm #najikaza_ivyo
Nakupenda sana san aslay wang mungu atakusimamia awakuwez binadam
Akuna uchawi uliyo ju ya mungu towa yote kwa mungu
Gonga like kama unamkuli Aslay, kama una wish afike mbali
Niko wakwanza kuhangalia video gonga like hapa kama unapenda aslay
Kikubwa Mungu hamtupi mja wake, safi nice song Aslay
Daa eeh nimekuelewa dogo kazi nzurii munguakufanikishie malengoyako
Unajitahidi sana Hm boy kwa kutoa ngoma, umemzidi mpaka Ally Kiba
Iyi Ni Bomb💥💥 Kabisa turikua tumekosa Nuclear💥💥 za ivi Respect @Aslay
Wewe Aslay I don't know why I am addicted to you
Cos anafanya kazi nzuri sanaaa
uko vzr kijana
HAJA WAHI KUKOSEA KIDUME MASHINE NI KIPAJI WALEWENYE CHUKII NA WEWE UJUMBE UMEFIKA NAKUPENDA ASLAY ❤❤❤ENDELEA KUTOWA BURDAN NA KUELIMISHA
Halisi kabisa mdogo hayo ndo yanayotokea katika jamii zetu za kiafrika Aslay you have got something special inside you adztz +255
Naumba like zangu hapo
Damn....!! Thats how you show them they can't match your game.... Kazi na dua kijana wangu 💯💯💯 hit song.
This guy is always on track.... I love you Aslay... Keep doing what you do
Mungu yupo kaka,ndiye mshindi wawacawi,tuliya,sali sana kila siku omba mungu akushindiye ndiye mshindi wa nguvu za giza na maadui
Kama unamkumbal asley gonga like Apo twende sawa upo juu dg asley big up
This young handsome man is talented mungu akutetee Aslay that's my prayer for you.
Niko hapa baada ya kauli ya Hbaba kwamba wapo wanaofanya kazi kumpoteza Aslay ila huku 🇰🇪 haezi potea
Lakini keli uyu kiyana niwangufu kushinda mbosso
Kama unasoma comment hii nakuombea mafanikio makubwa kama ya #Aslay katika kila ulifanyalo Amen zije basi
Amen
Amina
Aamin
Amen
Cover ya wimbo huu kali zaidii itazame th-cam.com/video/rNLdedE2M0w/w-d-xo.html
Ata wenzako walikua wanateseka kama wewe ulianza lakini umepitwa ndio bc tena utajua mwenye apo ndio unajua maisha yanageuka Never give up
siku zote watu tunapenda kusikia message so dingi mdogo hii imetulia sana mungu hazidi kukupa kipaji mara dufu
Ngoma Kali kama hizi ndio zinatakiwa aslay hongera kijana
Team aslay mpo wapi jamani tunajikaza ivyo
Ngoma kali kweli 👏👏
Kazi nzuri....big up bro
Lazma waelewe show ,,hi ngoma Kali. Twajikaza ivyo
That come back from Aslay was 10000% savage
Likes for Kenyan love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song has made shade tears😭😭😭keep going be aprayerful
Nakubali sana ndugu @aslay nimekuelewa bro ngoma ni🔥🔥🔥
you can't fade talent pambana jombaa hao mungu Wa burudani walishapotea siku izi ,revolution must be done konki konki konki master.