wanawake wote duniani wanaweza kukusaliti na kukugeuka, ispokua mwanamke mmoja tu nae ni MAMAKO MZAZI... MUNGU AWABARIKI MAMA ZETU, NA WALOFARIKI AWAWEKE PEMA PEPONI.. HAKUNA KAMA MAMA ❤
Uyu nyimbo unanikumbusha mengi sn hadi nalia kbs!! Tuwe tunaheshimu wazazi kipindi wangali wazima!! Mzazi ni Mungu wa pili!!! Naombea wazazi wote dunia nzima, Mwenyezimungu awaongeze miaka ya kuishi
Always shading tears can't hold back my self. lovely mum live long I promised u will see my kids n you will enjoy alhmdulilah my dreams is valid enjoy my sweat.i love u forever mum❤. Nakupenda my mum
nimejikuta natokwa na machozi... daaah big up YAMOTO BAND....Aslay M/Mungu akupe nguvu ameen inshaallah... kupotezewa na mama sio kitu rahisi kabisa...especially at a very young age😭😭😭😭😭
RIP my lovely mum.you're true heroine in our life.you fought restless in your lifetime to make sure life of your generation is in safe hand.we miss your taught special your twin grand daughters who used to call you Mayi Rose.Rem Queen mother never die,multiply millions flowers. This song make me to cry.We will remember you forever in our lifetime.
Still lit in 2022 rip mom nakupenda sana mama yangu 😪😭😭😭 daaaaah naumia mama kila nikikufikiria nakuchukia kifo mnoooo nashindwa kuficha hisia zangu 😭😭😭😭
huu wimbo huniguza sana kwa yale nimepitia na mama....kama bdo unampenda mama 2025 gonga like hapa 😥😥😥😥😥😥
wanawake wote duniani wanaweza kukusaliti na kukugeuka, ispokua mwanamke mmoja tu nae ni MAMAKO MZAZI... MUNGU AWABARIKI MAMA ZETU, NA WALOFARIKI AWAWEKE PEMA PEPONI.. HAKUNA KAMA MAMA ❤
Amiin kweli hakuna km mama mwenye mamake munqu amuekee
Ameeeen
Swadaqtaa brother Nassir ,pepo ya dunia ni mama❤️
Kwel kaka Allah awabariki.
hapa sio wote
Mama yangu kipenz ❤️💋❣️ love you
Tupo ndani bado 2024
Allah awalaze mahala pema wa zazi wetu. Walo tangulia😭😭 huko mbele zake Allah na wazazi bado wapo hai Allah awape umri mrefu yarabi
😭😭amin
fatty and Ruqyah bint Houthman nikumbuka mama
Amiin yaarabbi
Amiin
Ameen
Daaaah!! Huu mwimbo unanitoa machozi kila nikiusikiliza...Hakika hakuna kama mama hapa duniani
Hakn kama mama wkt yupo ambae ni baba
Haki
wimbo mzuri wanikumbusha mama pia machozi yanitoka R.I.P my mum
wimbo waniuzunisha nakumbuka mama R.I.P my mum
alloveyouuu mam
Pole darln
Pole sana ndungu
😭😭
Mwenyezi Mungu ashanijalia na mimi nikaitwa Mama na mimi.Nagombana na majirani ata wanangu wawe wachokozi.Raha ya Uzazi
Uyu nyimbo unanikumbusha mengi sn hadi nalia kbs!! Tuwe tunaheshimu wazazi kipindi wangali wazima!! Mzazi ni Mungu wa pili!!! Naombea wazazi wote dunia nzima, Mwenyezimungu awaongeze miaka ya kuishi
Nakumbuka mbali mnooo,,,😭😭😭😭
Mama ni mtamu kwa walotangulia mamazetu mungu awalaze pema peponi.na walokua hai mungu awape umri.
Amin
Nafurahia, najivunia
Uwepo wako we kwenye dunia
Nakuombea, miaka mia
Uishi nisije potea njia
Am a mother now, I understand every sacrifice my mom made for me. May Allah bless u in this world and in hereafter
This song goes to my mother's who's not here with us RIP mama 😭 thanks for being there for us 🙏🙏🙏🙏
ğ̈ŏ̈ŏ̈d̈ f̆̈ŏ̈r̆̈ c̆̈ŏ̈p̆̈ĕ̈r̆̈ă̈t̆̈ĭ̈n̆̈ğ̈ Y̆̈ă̈m̆̈ŏ̈t̆̈ŏ̈,,,,,b̆̈ă̈n̆̈d̈
Tanzania ni nchi yenye nguvu kubwa barani Afrika, mimi ni Mkongo 🇨🇩 lakini Tanzania ni kipenzi changu.
Most welcome
Kwely😊??
Ahsante 😅
Always shading tears can't hold back my self. lovely mum live long I promised u will see my kids n you will enjoy alhmdulilah my dreams is valid enjoy my sweat.i love u forever mum❤. Nakupenda my mum
nimejikuta natokwa na machozi... daaah big up YAMOTO BAND....Aslay M/Mungu akupe nguvu ameen inshaallah... kupotezewa na mama sio kitu rahisi kabisa...especially at a very young age😭😭😭😭😭
nic song
Hakuna kama mama
uchungu wangu unaujua ww mama angu mungu akuwek miaka miaa...
Hakuna anaye jua uchungu ya mwana. Mama tu. Love yu mum
From Somalia one love
Mama nakupenda sana ❤️❤️❤️ gonga like ukipenda mamako 🥰🥰🥰
Almas X true
😘😘
Mambo
Mama ndio kila kitu kwenye hii dunia Asante mama kwa kunilia vizuri
Mm pia f from Somalia
Ooh ma gad. thank you ya moto band.. nani kama mama?? Lord bless our mothers,,,
Ameen
Augostiner Mercy AMEN
Mama nampenda SNA love uuu mum wangu
00p00000
Yani nalia tuu hapa 2021nikisikiliza nyimbo
Imagine I don’t understand what they but I swear I love Tanzania 🇹🇿 song for is best in Africa even I’m from Mauritania 🇲🇷 west Africa
Do you understand Swahili
We wacha 😂😂
The song is about mother
@@hidrammwanga3508 😅😅😅
We love you darlin
Mama ndio kila kitu kwenye hi dunia nakupenda sana mama agu
Allah akulaze maala pema peponi Mama yangu Mwanamanza Zumo
mama is great gift from God. ..thank you ya moto more love. ..God bless you
2025 nani yupo hapa😊
😊mie jmn
Me 😊
Mimi
Tupo wengi ndug
uligombana na majirani kunitetea wakati mkorofi ni mm ....that line tho! my eyes are welling luv u mum.
That parts also gets me teary
Nakupenda sana mama yang nashukul kwa kunizaa nakuombea maisha marefu
Asante mungu kwa kunipa mama mzuri na mwenye malezi mema nakupenda sana mama
Navyo kupenda mama aneyejua ni Allah.
One of the best of those times ❤❤❤
Am here 2023,nafee nko mbali sana na mamangu but this the message for her❤❤❤❤ mama yangu mzazi
Listening this song reminds how My lovely Mum ,she usually loved Me,May Lord place Her soul in Right place😢
😭😭😭😭😭😭 Daaa huu wimbo huu unatuliza tuliopoza mama zetu
Big up yamoto band for sure always make me happy especially this song i really remember where she is.
Of you listening now 2024 and you like this song please show me your like
Where this song takes I don't need anyone else to understand😅 I love you mama💖💖Namibia🇳🇦
Mashallah tabarakallah jamani 😢😢😢 thank you so much 🙏🙏🙏🙏
Pole kwa Wale wote walio poteza wa mama zao Mungu awalaze Mahali Pema tunawapoza
Good Music indeed........!!! Love you mum and all women
hata mm nawakubali yamoto bend
popote ulipo mama angu Nakupenda sana
Sichoki kuusikiliza huu wimbo Hakika Hakuna Km ♥️MAMA♥️ ALLAH awajaalie pepo yenye darja ya juu mama zetu
Amiin thuma amiin
Apo ni ukweri mama Ndio mweisho hapa duniani
Amin yarab
Aamina inshaallah mola awafanyie wepesi wazazi wetu walotangulia
Nakukumbuka sana mamy umeniachia pengo kubwa sana kwangu kikubwa nakuombea upumzike kwa aman
Rest in Peace my mom😭😭😭😭😭 hii nyimbo inanitoa machozi huwa namkumba Sana mama yangu
special dedication to all our mothers asanteni yamoto for the song.
love it sanaaaaaaa!!... ninavyo kupenda mum only God knows mwaaaaaaa yamoto
ⁿqi Rd oqze[̲̅$̲̅(̲̅ ͡ಠ_ಠ)̲̅$̲̅]
if only my mum was alive this song I could have been singing to her! RIP MAMA uchungu wa mwana aujuae ni wewe mama
Mama ni wa maana sana hebu rudi pamoja yamoto band nawapenda coz bado nawatazama hadi sasa from kenya
Nampenda sana mummy angu kama nshawah kukukosea nsamehe sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
happy mother's day everyone from Ethiopia!!!
pamoja
A
Love you song swahili
What a song! It makes me cry anytime I listen to it. It reminds me of my Mother and my Wife! God bless you for the great work
Take heart broz
Hii nyimbo hakuna katika miaka 2015 hasi 2020 kama ujumbe hakuna kama hii
Swahili Villa 9
Love you mom
Loise muhando
Zena kwel umefit haswa kuwa mama kwenye hii ngoma
Maisha marefu Kwa akina mama wote nawaombea,na waliotangulia mungu awapunguzie adhabu za kabri❤❤❤
Wow, what a great song that made me night. I love you Mum....One love to every Afrikan Mum
I love u mom
lovemvmom
Kassange De Benguela vv
vo
vide www.ghafla.com/ke/humble-or-just-show-off-size-8-struggles-to-clean-church-with-a-rug/ m.th-cam.com/video/Te0IPVuW740/w-d-xo.html os
ⓃⒶⓀⓊⓅⒺⓃⒹⒶ ⓈⒶⓃⒶ #Mama ...ngoma kali sana
This song makes me to remember how you cared for me.. love you mum till I will die
Daaah huu wimbo inanikumbusha mbali sana daaah ulale salama huko ulipo mama😭😭😭😭🥺🙏
Mama angu nakupenda mungu akupe Maisha malefu♥️♥️♥️♥️♥️
Love u n miss u a lot mom!!! All the way from Moscow. This song made me cry even though the only word I understood was Mama!!!
it really a feeling song for a mothers. May God always Protect our Mothers.
so sorry my dia its good when u know swahilii ....
Eddie Fuenuro
Eddie Fuenuro so sorry
Lubna Abubakar kkkkk
Siwajahi kumuona mama mwenye roho nzuri Kama wewe mamangu I luv u mama
I really miss you mum ....... all the way from Abu dhabi
Marwa Mohamad hujambo Marwa
mungu akupumzishe uko ulpo mama angu nakupenda sanna
utaani1 i
No body else like mom
Hii nyimbo aky kila nkiisikilza nahisi kma cjaickilza ilhli ata cjui n mara ya ngpi nishaicklza.......miss u mum ol d wy frm Oman.......
A special thanks to every woman who has raised a child asanteni wakina Mama 🙏🙏🙏💚💚💚
Happy Mothers Day❤❤❤Mwenyezi Mungu awabariki wamama wote duniani na awarehemu wamama wote waliotangulia mbele za haki🙏🙏🙏🙏
Mashallah
Amin
I love this song and love music to God bless All Mammas
asante mama
Hi I love it so much have a wonderful time.
R.I.P mom
I don't understand the language, but I can feel the music. Great African voices they've all got
Nimekumbuka ❤ baba ni mda Toka umetangulia mzazi anauma
Kila nikiskiza hii nyimbo nalia sjui kwann...Allah atuekee mama zetu na waloondokewa na wazazi wao mungu awape Subira...dua kwa wingi
RIP my lovely mum i miss u so much,this song make me to cry
rip lovely mama.
thank dear
I really miss u mum, nakutafutia all de way in Jordan
+am ma ommy missing u mum but am coming soon 14th aug 016 inshaallah
***** rip lovely mum.
Kwa wasiopahatika kupata malezi ya mama kama Mimi pita huku na like mwenzio😭😭😭😭
Who else is watching today 2020 mother's day.
Piga like
Best kuliko zote.....!!!!!!!!!! ...yamoto band... Penda xnaa mamaa yng..👎💖💖💖💖💖
Naogopa kupotea... Walai navyo kupenda anayejua ni Mungu!
Hi video ya huu wimbo nikama walitabiri future yao
Even after 6 years the music is still good and perfect you can't replace this yamoto band.. you will never be able to get such a great group
RIP my lovely mum.you're true heroine in our life.you fought restless in your lifetime to make sure life of your generation is in safe hand.we miss your taught special your twin grand daughters who used to call you Mayi Rose.Rem Queen mother never die,multiply millions flowers. This song make me to cry.We will remember you forever in our lifetime.
Hakuna kama mama
iluv my mum.umenipa ushauri uweze kunisaidia.dunia sio mbaya binadamu ndio wabaya..
2019 natafut wenzangu R.I.P my mum
miss you mum... you mean the world to me. lovely song😘😘
Anitah Alice e
Anitah Alice
nzuri
Anitah Ali
The link I have with my mum❤️I'll play this song forever..2023 here we go 🔥🔥
Allah awabariki mama zetu na awa rehemu waliotangulia na walioko hai pia.
Daaaaah 😭😭From egypt Hii Nyimb nikisikiliz huwa na bubujikwa na machoz vile Nime Miss Mom Mwak Wa 9 sas Sik karibu na my Mom 😭😭😭😭
This song gets me high and emotional. Missing you mum. Continue to rest in peace. Wish you were here to see your grown up boys.
Innocent Kisanga daaaah umenigusa ujumbe pia hakuna asiye na mama pia namuombea mum lala salama ulipo
Innocent Kisanga sorry daaanh mama mtam jmn wenzetu wanafaid na mama zao but ni kaz ya mungu mungunawape kauri thabit mama zetu
Innocent Kisanga
pole pole my her soul rest in peace
I miss my mama...R.I.P..
+Yasmin Muthoni m 2
wow,asanteni sana Yamoto band diz really reminds me of my mama and appreciates her more and more
RIP mum i wish ur were;right here so that icn play this song as a dedication bt since God loved you more than us🙏🙅
🙏🙏
Kama bado una mama ako bas tuwapende mama zetu Kama kesha tangulia mbele za haki R.I.P 😭😭😭😭😭
Now dayz Nina 23 yrs ila nikimpigia mama simu hua namuuliza "umepika nn Leo mama"? Namiss sana madikodiko ya pale maskan ... Be blessed mama
Wangapi tunatazama kuanzia june 2024
Tupo
Tupo Mkuu❤🎉
Tupo apa hili kundi lilikuwa moto wakuotea mbali🎉
Tupo hapa
Tupo
RIP my mom wherever u are .....iiiiiuuuuu
Poleee
Pole
Pole
Still lit in 2022 rip mom nakupenda sana mama yangu 😪😭😭😭 daaaaah naumia mama kila nikikufikiria nakuchukia kifo mnoooo nashindwa kuficha hisia zangu 😭😭😭😭
Mungu awa jalie maixha maruf na vipaji vyenu viendelee
Ohhh😭pole 😓
Mama ni zawadi kubwa duniani kama bado yupo mpende na umjali nmemmc mama right now 😢😢😢
Mama ndo Kila kitu love mama angu Aisha Ibrahim love mingi mingi kwa mamaaaaa
I miss you mama😍😍😍♥️♥️from somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴
me kwako bado mtoto.mama ooh mame x2mwanao nimekuwa eeh. yale ya dunia eeh ulinambia .umenifunza kuna maziwa na tui
mom I luv u
Halima Ahmed ,,mama,,mama
Sasa Halima
T
Kwer
What a song !!!!! I really remember my lovely mama....the most perfect creature on earth...RIP
Mama yangu jamani hajawai kula ata mia yangu daah mungu alimchukua mapema inaniuma xn basi tu🙏🙏mungu ampumzishe sehemu salama
Rip my mom imiss u somuch iwish ningejua atasura yako ikoje 2 kama unajuata suraya mama yako unatakiwa umshukuru sana mungu