Ukijifungua dume ntachinja jogoo Ukijifungua jike ntalichinja koo Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo ILA HATA UKIKOSA, MI BADO NI WAKO 3 times my wife went in and came out alone. Today we have two beautiful babies. It takes a real man to still love and stand by her woman during this difficult period. Kudos Aslay. Huu wimbo umenikumbusha mbali.
Salute!!!! Ukijifungua dume ntachinja jogoo Ukijifungua jike ntalichinja koo Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo Ila ata ukikosa me bado ni wako ..... AMEN!!!
ewe Mwenyezi Mungu naomba uzidi kumfanikishia talanta yake Aslay,E.A sweetheart 💞.Bless his family and protect him always Oh God.And In your Holy name I pray and believe 🙏🙏 Aslay,I love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..All the best big Brother♥️
ngoma Kali haina matusi inaleta faraja kwa mama wote big up dogo unaweza hakuna hata alokuwa uchi ee mwenyezi mungu nijalie nipate mimba nyingine tena siku ya uchungu kupitia wimbo huu nitajikaza japo uchungu unauma mungu awe nawe aslay
Nani kama Asley, nimefanya utafiti nyimbo nyingi za wasanii huwa mistari niya marudio kukopi nahata wazo pia hutokana na nyimbo zakitambo, lkn hii nyimbo haina mfano ipo kivyake kabisa ,na hisia Zake nizakumjali mwana mke mjamzito, kama nikweli gonga hapo
Luv❤ You Mama😗...Aslay Wewe ni 🔥🔥fire🔥🔥 moto wakuotea mbali I say ...#Naliskiza hili goma mara 1000...haliniishi hamu nkiwa Dubai from Kenya..TEAM Aslay.mko wapi
I like Aslay's songs....I love this one even more...He is very very creative! He just very unpredictable and knows how to send his messages! Daaa! Kitu moto sana dogo.
I don't think they ever understand. The whole nine months of pure struggle and when a woman needs love most and instead they have to deal with rejection and the fact unaleta binadamu duniani peke yako wakati ulimtengeneza na mtu. Then inafatia miaka mingine kama 25 ya kumlea huku ukiwa unamuona the man aliye mkataa everyday ndani yake..it's just sad to say the least
Blue Magic it's sad sweetheart, imagining you made your baby with a lot of love and the giver now turns(wild and strange) into something else leaving you in pain for the rest of your life. Sending love 😍 to all my sisters, God will surely comfort us.
Mungu wangu kila nikisikiliza hinyi nyimbo kweli mannequin mama angu Leo ,keshe na milele. Respect kwa mama haiko kwa machungu hinyi kwele Aslay Mungu azidi kukupa maneno ya kusisimuwa watu. Tuwe wa kweli jamani. Mungu akusimamiye. Unakipaji.
weweeee!!! Heko kwako Aslay. This is one song I must dedicate to my future wife prior to her delivery. The choices of words, I'm in love with this song. #Kenyanfan
Suis Congolais aslay Kali zaidi yao endelea kutufariji kk sisi tulie poteza wazazi wetu wakike nakupena sana aslay mungu akusongeshe mbele nakupenda sana
Daah Namuombe sana kwa mungu Huyu Jamaa mungu amfikishe zaidi ya hapa maana nyimbo zake zinatufundisha mengi pia zinaelemisha Jamiii kwa watoto wazee na vijana
Dah Mungu azidi kukujalia na kukunyoshea njia Aslay kiukweli nyimbo zako ni nzuri sana na zinamaana kubwa hakika ukisikiliza unapata burudani na elimu pia..🙏🏿🙏🏿
Kama Umemukubali #Aslay bonyeza like yapo hapa Tuendelee na Maishaaaaa🕺💃 Let's do it💯% now Click section below for Lyrics🔥🔥⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️ th-cam.com/video/P3Jv1FcxiYU/w-d-xo.html
Ukijifungua dume ntachinja jogoo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo
ILA HATA UKIKOSA, MI BADO NI WAKO
3 times my wife went in and came out alone. Today we have two beautiful babies. It takes a real man to still love and stand by her woman during this difficult period. Kudos Aslay. Huu wimbo umenikumbusha mbali.
🥰🥰🥰🥰
❤❤"kapambane na matusi wanayotoa manes ww usiwe mbish jikazee"😭😭😭😭😭😭
Asantaaa 🔥👌👌kwa kweli matusi wanatoa matusi...
😢
Salute!!!!
Ukijifungua dume ntachinja jogoo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo
Ila ata ukikosa me bado ni wako ..... AMEN!!!
Iko pw sana
nampenda asiley
noma sana kaka
daaah nakalibia kumtotolesha mtu
Waooooo
"umenikumbusha mbali saana, nmemukumbuka mama, kumbe alipata taabu sana, kunizaa mwana" Kama unamkubali Aslay gonga like apa
Usimzalau mama
Nakubali
Kiukweli Huu wimbo Unanipaa Hamasa Sana nakunifanya Nitafute Pesa Kwa Bidii ili Nije Nimtunze mama yangu kwani mama ndo. Kila kitu hapa dunian
My best line umenkumbusha mbali sana 🙄🙌
@@mwanaaishashabani6349 😭😭😭usiwaii
Tunakupenda sana Aslay. Mwanaume Romantic Africa huyu sana . ASLAY NDIYE KING. ❤❤❤❤❤
the king of bongo keep it up
Love you more aslay
Kama unatambua mamako gonga like apa💖... A MUM IS EVERYTHING 😪😪 👏
Miss Gorgeous mothers are irreplaceable
keith fredrick yes yes👏 bless our mommies
Truest
Kali sana
Kali mno
Safi sana ASLAY kwa kuwapa heshima wakina mama duniani..big up FUNDiiiiiiiiiii...
Kijana uko vizuri sana 💥👌 gonga like kama unamkubali asley
ewe Mwenyezi Mungu naomba uzidi kumfanikishia talanta yake Aslay,E.A sweetheart 💞.Bless his family and protect him always Oh God.And In your Holy name I pray and believe 🙏🙏
Aslay,I love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..All the best big Brother♥️
Hii nymbo iko vzur...na inawagusa weng Sana,mm nikiwa miongoni mwao,keep it up Aslay.
ngoma Kali haina matusi inaleta faraja kwa mama wote big up dogo unaweza hakuna hata alokuwa uchi ee mwenyezi mungu nijalie nipate mimba nyingine tena siku ya uchungu kupitia wimbo huu nitajikaza japo uchungu unauma mungu awe nawe aslay
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wapi like za aslay dogo unapendawa sanaa mob love from 🇰🇪😘😘😘
I love it really
Aslay ni moja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi sana,mziki anauweza na ana kipaji kikubwa. WIMBO MZURI SANA
Aslay...if you are seeing this....nauchezea wimbo huu mke wangu sasa hivi ako hospitali kujifungua....God be with her
Kkkkkkko😅😅
I am a spinster but Aslay makes me believe in love ❣️❣️
Creativity at its best. Hongera kwa wamama wote hapa duniani. Keep it blazing Dogo Dingi
i love the part "hata ukikosa mm bado niwako" such a beautiful en encouraging word for those who are barren en having miscarriage🙌😘😘
Kama umeielewa hii ngoma like kwa niaba ya aslay...usipolike una roho mbaya
ongela san asly
Asnat Salumu zimemfikia hongera zake
gwui
uko juuu aslay
good song brother
woyooo safi sana aslay mama ndio kila kitu
Dah mwamba upo gudi sana 🤗👍👍
Yani hapa bufa langu linadunda tu mziki mmene mbaba gudi sana 🕺🕺
This song reminds me of my journey with my Baby mama, Even though we're no longer together,I respect Her so much.
Goma kali sana kama unamukubali Aslay gonga like
Dieudonne Matabaro noma
Dieudonne Matabaro I
Elysante Nassar Dogo mkali xan
Dieudonne Matabaro balaaa
Asley Noma
aslay unanikumbusha Mbali sana cpia ...
Team kenya oyeeeh
nyimbo tamu walahi kama na wewe mama kijacho kama mimi gonga like tujuane
kwakweli nyimbo tamu sana
Daaah safi sna asee wanaume wengi hawajui uchungu kbsa mtu anampa mtu mimba alafu anakataa ila baadaye oooh mwanangu inauma sema basi haina jinsi
ngoma juu ya ngoma umetisha aslay
🇰🇪Kenya loves you Aslay..such a nice song
Nani kama Asley, nimefanya utafiti nyimbo nyingi za wasanii huwa mistari niya marudio kukopi nahata wazo pia hutokana na nyimbo zakitambo, lkn hii nyimbo haina mfano ipo kivyake kabisa ,na hisia Zake nizakumjali mwana mke mjamzito, kama nikweli gonga hapo
Ila ata ukikosa bado we ni wangu, OMG !!❤❤❤❤
Mazee, Aslay umenikumbusha mbali sanaa , sana....
Nimekumbuka mpenziii, mpenzi wangu....
Kumbe alipata taabuu, tabu sana
My son if now 1.6 years old. I remb everyday after work dedicating this song to my lady. Alizaa dume nikamchinjia jogoo. Glory to God
Tears all over, this song inspires me to love all women, respect to my unborn child, to my lovely wife and my mom!!! Love you much!!!
Tunapata ujumbe muhimu Sana katika hii nyimbo .safi sana msanii na taaluma yake
❤mama Allah akulinde na mabaya yote 🙏🙏.aslay nakukubali sana umegusa kitu apo👏
Hakika inamfaa mama kijacho wangu kumbembelezea Ahsante Aslay kwa Song kali sana
Luv❤ You Mama😗...Aslay Wewe ni 🔥🔥fire🔥🔥 moto wakuotea mbali I say ...#Naliskiza hili goma mara 1000...haliniishi hamu nkiwa Dubai from Kenya..TEAM Aslay.mko wapi
Tupo ....
From Kenya ' Nairobi
Jimmy Musau chonjo braza
ngoma kar sana kaka nimeiyelewa
Tupo snaaa
yaaish baybe pamoja sana
Aslay kipenzi cha wengi💓
This boy, Aslay. I like his vibe, he sings so much relatable sense
Bdo nasikiza mdogo wangu....love you aslay keep going bro.....
huyuu jamaa simuelewagi kabisa bora best naso hajuii ata kidogo
kama huu wimbo umekufanya umkumbuke mama kutoka moyoni gonga like tuende saw
Charles Lema yahhh
Duu kweli piga kaz mana unajuwa hadi una umwa
nimeku bari
Nmekubali
Charles Lema loving it
Aisay...aslay we ni moto bruh...wangapi wanakubali🔥
I like Aslay's songs....I love this one even more...He is very very creative! He just very unpredictable and knows how to send his messages! Daaa! Kitu moto sana dogo.
daahh kali sana....
Enyewe aslay ako juu 2 xna hii ngoma #totoa# iko smart niaji like 💗 yko...
Hii nyimbo inanikumbusha mbali
You've never let ur fans down. This is what we call natural talent 🔥 🔥
Wimbo mzuri,hongera kwa kila mama🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaka upo vizuri sana maana Unajua kucheza na hisia na wakati wa mashabiki zako.
Love much br 👮
Aslay bana mbona hii ngoma kama inalenga life yangu keep it up bro you are the best i cant get enough of this song nairudia mara kwa mara
Pole pole mpenzi wangu💝💝.i love the lyrics and the beats.,team Kenya wapi 👏👏👏
This puts me to teers thinking of men who reject pregnancies yet this is something to be treasured as a blessing.
I don't think they ever understand. The whole nine months of pure struggle and when a woman needs love most and instead they have to deal with rejection and the fact unaleta binadamu duniani peke yako wakati ulimtengeneza na mtu. Then inafatia miaka mingine kama 25 ya kumlea huku ukiwa unamuona the man aliye mkataa everyday ndani yake..it's just sad to say the least
Blue Magic it's sad sweetheart, imagining you made your baby with a lot of love and the giver now turns(wild and strange) into something else leaving you in pain for the rest of your life. Sending love 😍 to all my sisters, God will surely comfort us.
Ur on point bea
Pains so much
Aslay is a King in the making
Love straight from the 254
Gibson 254 roger that
I'm Proud Of You Isihaka Never Dissapoint 🎉🎉🎉
Dah nakupenda mamangu wimbo mzuri huu kwa mama
I always say, Aslay is the most talented in Tanzania.
I beg to differ with you..aslay is a kenyan..
@@kirwakelvin hahaha
@kirwakelvin8727 🤣True you deserve him...our problem is we don't give him much credit as you do
@@kirwakelvin Stop dreaming
Ngoma kali sana aslay God bless you more and more 🔥🔥🔥😚👏👌
Mmmh Aslay we ni shida yani kila nikisikiliza nyimbo zako sikosi kutoa machozi ya furaha mungu akuongoze kwa kweli unagusa jamii kwakeli
Mungu wangu kila nikisikiliza hinyi nyimbo kweli mannequin mama angu Leo ,keshe na milele. Respect kwa mama haiko kwa machungu hinyi kwele Aslay Mungu azidi kukupa maneno ya kusisimuwa watu. Tuwe wa kweli jamani. Mungu akusimamiye. Unakipaji.
ASLAy is one fire artist who's underated 😢
🔥😘💯🔥😘💯🔥😘💯🔥😘💯🔥😘💯
ni atari sana Dogo Aslay we we ni 🔥
am brother from another mother I don't know Swahili but this song is very amizing💥we #aslay ni nomaaaaaaaaaaa#moshiBOY
mzee baba hiyo nomaaa ni kingereza au!
From Kenya this is a major hit inaniingia wakati huu wa covid wapi likes za wakenya this song deserves more
Kweli jamani manesi huwa wanatutukana sana aslay umeongea kweli
Ukijifungua dume ntachinja jogoo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo
Ila ata ukikosa me bado ni wako ..... AMEN!!!
Nyimbo Kali sana Aslay hongera sana kwakufanya nyimbo ambazo zinaishi milele.
Paschal Gwamo isipekit
Hongera sana aslay mtoto mdogo unaimb adi wat wazm wanalia kwa furaha
Aslay noma
weweeee!!! Heko kwako Aslay.
This is one song I must dedicate to my future wife prior to her delivery.
The choices of words, I'm in love with this song.
#Kenyanfan
Huwenda Akawa shikoo😂❤
Aslay Mola akuzishie ujuzi ktk kazi yako love it much ingawa song lako kwa mbaaali limenipa simanzi
Daah!!. bless nying nying kwako broo naamini unackokifanya ni kizuri.
"wakati ni wako"
Ishalllah..ndo maana nakukubali🔥
I love this message, thank you 🙏 Tanzania 🇹🇿 keep singing 🎤 love from kenya 🇰🇪
napenda mxhairi yko sanaa
Nancy
Aslay my inspiration 254 napenda kwa sana
Suis Congolais aslay Kali zaidi yao endelea kutufariji kk sisi tulie poteza wazazi wetu wakike nakupena sana aslay mungu akusongeshe mbele nakupenda sana
Ukitaka kujua uzito wa hii nyimbo weka mimba
Utajua Aslay ni fundi
😂😂😂
abigael kutoka Kenya uko juu sana kaka hongera❤❤
Team kenya +254... piga saini hapa!
nipo hapa maike #dingi mtoto ni fire
Team Kenya tupo tuu, huu mziki tam jamanii. 😍😍😍
Aslay 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤👌
Aslay good
Keep the fire burning aslay it's two years down the line but whenever I listen to this song its brand new to me.I love it
yupo vzr aslay kwa kweli mama anathamn kubwa Dunian kulikoni kitu chcht hp dunian 😪😪😪
Daah Namuombe sana kwa mungu Huyu Jamaa mungu amfikishe zaidi ya hapa maana nyimbo zake zinatufundisha mengi pia zinaelemisha Jamiii kwa watoto wazee na vijana
Love from Jamaica 🇯🇲 but I like ur music style *ASLAY* ......!
Ãmīsï Steven officialvevo Jamaica Amisi😁😁😁
Ãmīsï Steven officialvevo pier
Ãmīsï Steven officialvevo ni
Mad love too brigin
Cant help but listen to the beat and the theme a no. of times plus a day, bravo bro ur blessed
2' On Trending.... HII Inamaanisha kimuziki baada ya Diamond ni Aslay 😎😎😎✔✔✔✔
wapige sanaaaa utafikambali San zaid penye nia pana njia kijana
Hongera dogo aslay nyimbo zako za heshima zote hatuna wasanii wenye heshima kama ww
Na kama wamkubali aslay usipite hvi hvi nipe lyk yko
God
Nyimb mzuri sana hii
inakubalika
Ipo powa
napend San asley pamok
Gonga like Kama unamkubali Aslay.
Big up Aslay.I appreciate your talent
Aslay hatari
Wachana na uyo mtoto mdogo mboso abebwa na wcb @aslay mungu kakupa kipaji pigana alafu fresh
Ima The Boy Ima The Boy acha wivu wew kila mtu na nafas yake
Ima The Boy Ima The Boy acha wivu wew kila mtu na nafas Yake
Dah Mungu azidi kukujalia na kukunyoshea njia Aslay kiukweli nyimbo zako ni nzuri sana na zinamaana kubwa hakika ukisikiliza unapata burudani na elimu pia..🙏🏿🙏🏿
Kama Umemukubali
#Aslay bonyeza like yapo hapa Tuendelee na Maishaaaaa🕺💃
Let's do it💯% now
Click section below for Lyrics🔥🔥⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
th-cam.com/video/P3Jv1FcxiYU/w-d-xo.html
🎻🎻🎻🎻🎻
makini sana!! team #aslay tandika #like hapaa
Kama u sikia tena iyi nyimbo 2024 leta like
Dah Gd sana aslay nakupendaga atar na ngoma yako iko poah star love uuuuu sana woooo'
America tunakupenda aslay njoo ufanye show angalu basi ntakuja lazima kukuona tuu... All the way from texas America love u watanzania
Kama hii nyimbo imekuguza sana nipate likes za dogo wetu aslay
leo trh 14/10/2024 . MUNGU BABA msaidie mkewangu ajifungue salama inshallah
I love u my lovely mama.nitakuheshimu milele mama
aslay yaaaaan ww mbaya sanaaaaa umetishaaaa duhhhhhhh
ujawai kosea ngoma kali sanaaaa
big up bro
♥️♥️♥️♥️♥️💯💯💯💯💯💯
Very encouraging. Aslay who does your scripts is super human