Aslay nampenda kuliko kitu chochote, my bro from TMK unajua vbaya, nikisikiliza hili goma, namkumbuka sana mitaa ya mwembe yanga! Da hatar sn but am in Canada now! 20/2/2024! Tujuane jaman
Dogo endelea vivo hivo, East Africa ni yako.. Kenya twakukubali sana... Wenye mnaamini anastahili kuwa artist of the year mikono juu✋✋✋✋ kwa kugonga like hapo down.
Huyu kijana hapotezi,yaani kila corner Nairobi na Mombasa kila mtu "ASLAY KICHAPO" utaratibu na ustaarabu kwenye sanaa.Congratulations,there's no flamboyance or mimicking in almost every presentation. Creativity at its finest
@@Noooonat-o5s Inakaa haujaishi pwani wewe. Maana wazaliwa wote wa visiwani Wana mfumo mmoja. Si Tanga,unguja,kismayu,Comoro islands, daresalam au Pemba. Sote tunajuana kwa vilemba.
This guy on the the violin,anaweza akamvuta nguva mwenye ushangaa wa dhahabu na kumleta ufuoni na mwisho akumfunga mabao.What a splendid combination!!!!
I like the fact you are independent from great labels like Wasafi...it makes your music and life have no contraversies...your record label/producer has also a cutting art/production
I think is one of the best songs from Tanzania and East Africa in 2018. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu] Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu] Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh
Big up mdogo wangu wimbo unanikoshaje huu,beets zipo mahala pake ilikua natafuta wakuingilia stage bt hii aaah tamu saana bila sukari thnx a lot dogo Aslay#+254 👏👍😍😘🔥💯
''ucwe mchonga vinyago ukanifilisi,uweke tumbo mble mble kw kuku na chips,chunga utkula fisi.........''' aky ur more dan a wizard kaka blaza big up..........#254 😂😂😂😂
Aslay unaweza Sana sema wanaokuangusha hawa jamaa wanaokufananisha na diamond na wenye lengo la kujaribu kukupandisha ww na kumshusha mond hata viewers haziend kabxa kuwa makin dogo watakupoteza hao wanao kupa sifa ambazo haustahili
Kama bado wasikiliza hii ngoma 2025 weka makopa kwa wingi
I'm leaving my comment here, so that when you like it I listen to this masterpiece again!!!!
Aslay nampenda kuliko kitu chochote, my bro from TMK unajua vbaya, nikisikiliza hili goma, namkumbuka sana mitaa ya mwembe yanga! Da hatar sn but am in Canada now! 20/2/2024! Tujuane jaman
Nope connection yacanada
*nipe
Whose here in 2024 ❤ from🇰🇪
Ayeeeeee🎉
❤🎉
❤❤
❤❤
❤
On behalf of all the Kenyans iam here to say that this is a dope song. Tunawapenda watanzania. 🇰🇪🙏
We love you too neighbour
No you don't love us hypocrites
Shukrani tunawapenda na sisi
As a Nigerian, I am deeply in love and obsessed with Tanzanian music. I have started learning Swahili 😁😁🇳🇬🇳🇬
🔥🔥🔥
Good job 👍🏾😊
Muongo wewe
@@rukiaiddyyahaya9506 vc
@@rukiaiddyyahaya9506 kabsaaa
Dogo endelea vivo hivo, East Africa ni yako.. Kenya twakukubali sana... Wenye mnaamini anastahili kuwa artist of the year mikono juu✋✋✋✋ kwa kugonga like hapo down.
Huyu kijana hapotezi,yaani kila corner Nairobi na Mombasa kila mtu "ASLAY KICHAPO" utaratibu na ustaarabu kwenye sanaa.Congratulations,there's no flamboyance or mimicking in almost every presentation. Creativity at its finest
Geoffrey Embasa hongera sana mdogo wangu
I0
11¹
😆😆😆😆 This is what happens when a kenyan is trying to comment like a Tanzanian ,your comment is funny
@@Noooonat-o5s Inakaa haujaishi pwani wewe.
Maana wazaliwa wote wa visiwani Wana mfumo mmoja.
Si Tanga,unguja,kismayu,Comoro islands, daresalam au Pemba.
Sote tunajuana kwa vilemba.
FOR real Asley uko juu saaana kama pia wapenda hivi gonga like apa....♥♥♥♥mwuaaaah!!!!!!
Huku hakuna waomba likes
Huku kuna mashabiki wa kweli
Hakuna kiki kuna hits na talent tuu
hatariii asly wew mkaka jicho ilo jamaniiii yani nakupenda adi naumwa kaza butiiiiii wew ndo king wa bongo frv
Aahaa kumbe ............ Nilikuwa nimesha miss mashabiki wa Aslay hebu gogeni Like hapa ili nijuwe kama muko wangapi.
aslay no 1 acha like yako hapa kuendeleza harakati za huyu kijana
Aslay ulipo mkaka naaaminia ....mistari hii kweli iinoga ......mi nipe nafasi niingie studio nifanye cover song ..kali sana ...Akuzidishie ale juu
Sina la kusema juu ya huu wimbo hakika unani fariji na kuniburudisha kazi nzuri Aslay
Niiiceeee uuuwiiii... Ila nilijua tutapata kichupa cha mazingira ya uswazi... Uhuhuhuuu
Niiiceeee uuuwiii ...Ila nishida dogo
Wa gapi mnakubali #Aslay💕💕💕...254 Weka like hapa🔥🔥🔥👌.....
Mimi hapa aslay anikosha 😂😂😂kenya tunaimbiwa dawa ya mende
Il
Ilishi Ramzah nko 💯💯💯💯👍 aslay ni 👉🔥🔥🔥🔥
Ilishi Ramzah namuelewa kulikoooooooooooooo
😜
Jmn asley unatowa ngoma Qaaali kama unamkubali asley weka like kutoka panda za United States USA
i'm from Cameroon 🇨🇲👏👌 discovered this song ...in Qatar my kenyan freinds could put repeat in the car as we drove for duty......
waaaaa dogo Aslay hii noma# superb
kideo kizuri, nyimbo nzuri na expect uendele level nyingine next song
hapa ni aslay na alikiba tu.
ngoma safi sana✔️✔️
Keith Jerome kiba mwenywe nyuma kwa huyo dogo...kiburi simba tu..na yeye asingekuwa kiburi angeburuzwa
sidhani,
sidhani kama kuna mwanamuziki yeyote tanzania aliye mature industry kumliko,
hahaaa .. kwa Aslay ki ukweli kiba anafifia jamn
kings never die.
na hafai kutoa nyimbo kila siku ndio akae relevant bytheway
Sisemi kitu
Hii ndiyo bongoflavour. Its sound natural & listenable. Sema ulover-lover vipi?
Ngoma kali dogo. You are the real bongoflavour icon.
Yan mimi ni team aslay forever sitochok kusikiliza nyimbo zak at miak 100 ikipita
Bado kwetu ni hit song mpaka hii 2025
Prod Shirko amenyoosha sana hapa na Aslay umeutendea haki mdundo
Aslay best artist wa Tanzania kama unamkubali gonga like kwakee aslay
Shabiki wako no 1,ngoma Kali aisee
Best music: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymyCk8ozPoWuvU9tDHz-k086.html
It's a big tune ..hongera sana Aslay ..4from 254
Nice onr
Mmmmh haya mkali wa.........omg sio powa hii ngomaa.....haya nibebe baby
Walaaaai Aslay that voice uko sawa kaka🥰🥰🥰🥰🥰🔥
Anaemkubali Aslay kama mimi Gonga Like kwa sana tu
Kijana yuko sawa
Oyyaaa? mko wapi? lazima tufike 10Million.... am back here every week
Tuko karibu kufika 10M
Aslay is the best singer of love songs here in TANZANIA 🙏👍🙌
Aslay my favourite ❤ bongo artist ...Kenya tunakulombotove saana walahi 😊 😊
My grandmother who was 70 years old listened to this song now she is 69 yrs old............
Hahahahhaaaha
ngoma nzuri fundi...mdundo on top
nakubaliiiiiii xema broo huyo featuring mbon hauja muwek jina
team Yamato band & team aslay gonga like hapa... Ngoma kali ile the fireeeeee "" """""""" "" "fireeee
Hongera sana mdogo wang aslay Mungu akawe kiongoz wako kwa kila ufanyalo na umtegemee yy atakuonesha njia
Yani buuuuum.. music nzur Joh.. Go on boy
Aslay umenibeba kweli.the guy in chorus amenimaliza pia
haujawahi niangusha dogo.....zije ivo ivo....+254 gonga like kama unamkubali aslay
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html ni
fundi wa muziki aslay kama unakubaliana na mimi gonga like down
ipo vizuriii dogo aslay maziri yatawale zaidiiii
aslay hua nakukubali siku zote kaka,,, Una kipaji Sana.congrats
My all time Favourite song. Keep up the great work Aslay.🇰🇪
This guy on the the violin,anaweza akamvuta nguva mwenye ushangaa wa dhahabu na kumleta ufuoni na mwisho akumfunga mabao.What a splendid combination!!!!
Uyo anaitwa shirkomedia
Wanao mkubali Aslay 2019--2020 mnipe like zenu basi
2021
#Aslay umetishaaaaa 254 salute kijana wngu
aslay uko juu..nakupena sana wewe dogo
Dahhhhh yan hatariiii unajua mpaka unanikera
Aslay wakomeshe wakome😁😁😁from Germany to 254 nakukumbali agemate
Shiffah Mahmoud wo wohnst du
English pleaae @ismail khalid
English pleaae @ismail khalid
Shiffah Mahmoud pliz nicheki kwa hii number coz huu mwaka nakuja huko Geyman +97477053859
@Abuu idd the no. From Qatar is it yours?
aslay mambo ni 💣 ngoma kali bro sharot xana mkali wa mavoko 🤗
Kabisa
Tisha Sana mwanang ,aslay . Hii ngoma uliua Sana👊👊
Usiwe mchonga vinyago utanifilisi mwisho wa siku tukigombana ikawa Hadithi.... My best lyrics #aslay umeeeuuuuaa. Team +79
Hongera dogo kwa kazi nzuri..kudos to your producer,naona nkihama tz
I like the fact you are independent from great labels like Wasafi...it makes your music and life have no contraversies...your record label/producer has also a cutting art/production
Much love from Cameroon 🇨🇲🇨🇲🇨🇲🇨🇲. Your talent is undisputed 🥰
Swahili to the world
K mm km
He is from Tanzania
@@martinnjogu7627I
@@meleas8262 Good job 😂
Uyo papa akisha vuliwa nitakusaidia kumla tushibe...awawezi tufanyia hivyo😂❤..the best ...much love from kenya
Nakupenda Bure aslay, keep going mines 💞💞
Give us a break bro hit💯🔥💥✔after hit representing team +254 kenya
Prince Newton true
Prince Newton ausio kama kawa 254
Prince Newton after ali kiba I like aslay
Prince Newton nambie
Hatupumui
I think is one of the best songs from Tanzania and East Africa in 2018. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu]
Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu]
Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh
Bigup producer Shirko kazi yako yaonekana
Love u song
Aisee Aslay ni noma sana
nibebe hata kam nikining'iniza miguu....ooh🎶🎶🎵🎤 😍😍😍
Kama baila ya diamond platinum ila kwa kuwa bado aslay ni Mdogo., twende tu ngoma nzuri
Dogo kipaji cha kuimba unacho... mashairi unayapangilia vzur saut iko poa sana.. BIG UP ASLAY TZ
Nakupenda Sana asilei
Ammy muddy mm
Aslay anaimba mziki mzuri sana... mashairi mazuri sana
Boniphace Philipo nice song
Napnd nymb zke
Yaani hili bonge la song zito yaani halibebeki..big up Aslay
Mkenya anayemkubali aslay hit Like hapa. Tuko wingi Tu kwa sanaaa
Thank God that Kenya is an island surrounded by great music. I do not have to suffer listening to Wamlabez!
😝😝 pekejeng pekejua pekejeng😝... Lol these kids will kill us
@@lauranawire5079 lol total abomination saitan ashindwe😂😂
@@amirkamola600 haha, kapsaa
Congrats Aslay you are getting there👍
asha ali He is already there.
asha ali adleisawasanaaaaaa
@@lisagrace7499 ppmmp⁰⁸wp
Qonk aslay
Tuko na ww
Kama unam kubali pigaa like APA
Kama si team aslay kamaa mbali kabisaa
Wagwannnn,,,,!!!!!Aslay,,nzuri xana......penda xanamiyo
Nice song kk angu ongera sana naipenda hadi bac😍😍😍😍😍😍
the video quality is so perfect, the lyrics are addictive, the voice is sweet, BIG UP ASLAY
This song takes me to the moon..much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
But I saw you in Nairobi, when did you return from the moon?
@@kenyanboy7627 🤣🤣🤣🤣🤣I just landed in Nairobi 🤣🤣uko na ufala
TWO FIVE TWO I’m representing My Country SOMALIA 🇸🇴 Aslay My Brother from the first song #NaendaKusema to 2018 hit after hit 🤙 🔥🔥🔥 🔥
best Tanzania artist, uko juu kaka
Aslay uko vzr mm napenda sana songs zako schoki kuskiliza songs zako yaan all the time nakuskiliza big up sana
Congratulation Aslay wewe sio msanii tu yani wewe ni fundi
Moto wakuotea mbali,ngoma kali sana
uko fity
Kalii xana .npnd xaut ya aslay
Bonge moja LA ngoma hatariiii xan Aslay hakuna kbx
Jadenbwax Tz saana mkali asyle
Nahipenda mpaka nahisi kuchanganyikiwa jamani big up my broda aslay
Big up mdogo wangu wimbo unanikoshaje huu,beets zipo mahala pake ilikua natafuta wakuingilia stage bt hii aaah tamu saana bila sukari thnx a lot dogo Aslay#+254 👏👍😍😘🔥💯
''ucwe mchonga vinyago ukanifilisi,uweke tumbo mble mble kw kuku na chips,chunga utkula fisi.........''' aky ur more dan a wizard kaka blaza big up..........#254 😂😂😂😂
Aslay's voice is so unique, i miss this kind of music, can't grow tired of them. 2021📌
It gives me Nostalgia
Am so in love with this song
Kenya representing🇰🇪
heshma kakangu...love the violin played nimeshinda nikirudia sababu ya hiyo #ASLAY
Uko vizuli saaana kaka,,, safiii sana
kijana anaandaliwa kumfunka Diamond hahaaaahaaa clouds mna mambow kweli
Ur fire bro
Wow.. This dudes voice is amazing ❤... Aslay ni number 3 on my list
1 kiba
2 diamond
3aslay
Team #ASLAY mpo wapi like kwa hapa twende sawa hongera dogo sana ngoma kideo kikali
officialbonitajiri Tv hiii hapaaaa👊👊
Wenye kusikiliza mziki mzuri tumewasili
officialbonitajiri Tv nice kaka langu ,😘😘
dogo we noma
Nampenda mpaka basi
congregation aslay good song merod Tanga au Zanzibar 👊👊👊👊👊
Ebwana mwezi mungu akujalie na akuongoze bhana kijana mwezetu
unafanya vizuri sana
Daimn..ths dude is dope hit by hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The composition and arrangements not forgeting the videology aspects, stands out as one of the best promisory Songs for love, big up Aslay
aslay ni zaidi,ya diamond kama unakubali gonga like basi
Ww achana na Diamond
Aslay ameshindwa kutengeneza video kali,ila ngoma ni kali mbayaaaaa
Shishangai wewe kucomment huwo ujinga coz hakili yako ndiyo imefika mwisho wakufikilia. Tangulini sisimiz kummeza tembo.acha ndoto zamchana hizo
kalii hiii
aslay is more dhan kiba & diamond
Aslay unaweza Sana sema wanaokuangusha hawa jamaa wanaokufananisha na diamond na wenye lengo la kujaribu kukupandisha ww na kumshusha mond hata viewers haziend kabxa kuwa makin dogo watakupoteza hao wanao kupa sifa ambazo haustahili
nakukubali Dogo......hit after hit weuehhhhhhhh