Wanaume wenye wanaomba like nawaona mashoga sana, Mwenye wimbo mwenyewe haombi like. We unaomba like sijui ni ya kufanyia nini, wacheni umama. Fanya kushare kwa upendo wa aslay.
Aslay ndo msaniii ambae anauwezea mzki kwasababu nymbo karibu zote anatoa n nzuri yan ata akitoa kila sku me nimekupa tuzo moyon mwangu mwamba nakukubali
Sio poa aiseeeeeee!!!! japo nimechelewa sanaaaa but dogo anawezaaaa. Kama wapo liotekwa Enzi za Mkoloni na sio baada ya Uhuru kama mimi angusha Like za Kushato hapa
Nampenda huyu dogo namuombea amlinde from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mmm
Ngoma kali sana aiseee kama unamkubali Aslay gonga like twende sawa,.
Kwan lazima mpewe like
Kama unamkubali Salary Gonga like +254 KENYA 🇰🇪 Tunakupenda Sanaa ASLAY KWELI WAKENYA TUSHAKUA MATEKA WA MZIKI WAKO🙇🔥🔥🔥🔥🔥
Wow😳😳
Kamaunamkubali aslay naomba like
Unacho imba kinaeleweka aslay wanaokudisi watasubiri sanaa kwakoo
Mtu wangu sana
Uyo aslay nina mkubali sana
Kutoka Kenya 🇰🇪 now gonga like hapa kama unampenda Aslay
Safi
Swadakita🇰🇪🇰🇪
Safi
As you enjoy this song, pass through my channel for trendy videos around the globe
Ngoma balaaaa yani ina vionjo vyote kali namkubli sana Ashley. Ucsahau like.
tunaosikiliza muzik mzuri gonga like before 1M viewers
Jaman ngoma tamu hatari fans wa aslay duniani🌏 kote naomben like na Mimi leo jamani
Bacary Kito uko sawa😍😍
Tupooo
Hapa ka kaza nimemuelewa
aslay my best bongo artist
Bro unawezaaaaaaaaaaa
Aslay has the best vibe in Tanzania... He's Soo much talented 😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪
actually yes,
Oof course yes.
Facts
Very true
I miss him , he's been so quite
Aslay more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥napenda songs zake huyu jamaa hakuna msanii namkubali kama aslay........watching from 254
Ni nzuri wallah sio fujo za diamond
Amazing bro 💪💪💪 ukiwa umemkubali #Aslay gonga like apa
Aslay nimedata nakutekwa plus nå hii ngoma. Much love my son 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
From kenya sijai pata like ata moja
Duh aslay unanenepa vbaya me sipend kweli,kwa. Nyimbo nzur hongera
Kila wakati nikiskiza huu wimbo natekwa MATEKA.. ziko wapi like za Aslay
Kama unamkubali aslay niachie like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tukisonga mbele
Safy hanaga nyimbo mbovuu
Nice
Wa kwanza naomben like
Mambo ni motoooo,,haya twende sawa
Sasa mambo sindio haya bhna
Waaah aslay tunaakupeenda songs zako nomaaaa waaah c utoe mpya kila cku kwanza
hii yenye inaitwa wife iko tamu saana
Uwezi pita bila like team asly tunajuan bahn weee 💯
Team aslay for life♥️♥️🤸🤸
Ngoma tamu
Nouma sana
@@teddydeus3885 dah unatish
Aminia mzaz big up wte likes kwa aslay wimb n 🔥🔥🔥🔥
Wakenya juu tumekua mandugu...like tukiendanga...🇰🇪
Safi
aslay Asante sana kwahiyi music 🥰🥰🇹🇿 nime iyi penda sana
Aslay ana sauti moja ya kipekee na ubunifu wa Hali ya juu...Gonga like Kama umekubali
Nina wivu mpaka roho ina umaa....ooooh my aslay😍😍😍nime tekwa mimi jamaniiii!!!
Cécile Milabyo aslay wik ulikaa kimy sana
Team King kiba na prince Aslay gonga like hp... Tuupeleke music mzur all over the world...
Anae sema aslay no star mkubwa dunia ety like 🖒
aslay ni fundu tu
Iseeeei.....Aslay anapendwa sana, kama unakubali nipe likes zake hapa
Nyimbo tamuu sana big up for ww aslay
Wuaaa my all time crush you😍 never dissapoints nakupenda tu Sana aslay❣️❣️❣️hizo likes zake zisinipite jameni
I need like za aslay jamani
Aslay kiboko yao......songs zake tamu........i like them
wewe ni msanii mkubwa sana aslay isihaka naelew sana kazi zako wap tim asly👏👏❤❤❤
Umetixhaaaaaa kijana pamj tunasonga mbele
2024 but this banger still vibes like newly
#mateka
#ninawivu mpk roho inauma
#aslay 🤴 👑
1000 likes 👍
Wenye kusema aslay anaweza gonga like hapo chini😍
Aslay ww kiboko huja kosea toka ulivyoanza music
Mkali wao mtoto aslay utabaki kuwa mkali wao tu
Yasmin Olouch Craig kijaluo
King Of Bongo Fleva 💪
Kama Unamkubali 💯% Aslay Gonga Like Hapa Kisha #_SHARE Ihusike🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Gonga likes za aslay..4rm Kenya #mateko
Aslay noma sana kamaunamkubali wekadole tuelewane
Nice
I'm a Kenyan na siwezikosa kulike nyimbo za aslay,we love u babe keep it burning
Wakenya bdw tuko tuned in, bt ii mateka yanichanganya vikali,,true the video ya io hit n kaa *don't despise anyone, kila m2 anaweza mateka* .....
From Kenya gonga likes kugonga. Taniuwa
Tanivunja mbaaavu😂
Eeee bwan hii kalii baba mozah we🙌🏾
Nyimbo za Aslay Tutaskiza mpaka tuzeeke..Tukishazeeka bado zitakuwa moja za zilizopendwa...
From Toronto Canada hongera Aslay Kwa wimbo Mateka. Tupe vitu dogo kwani wewe wa leo sio wa jana
Aslay juuuu
Gonga like hapaa twende sawa!!!!!
Aslay u killing it😘
Natural talent. Si ile ya kulazimisha. Aslay anajua❤️
Walahi namuelewa Sana aslay jinsi anavyo relax kwenye nyimbo zake nyingi Wala anaga makuu.
Kama ww unakubali anajua huyu mwanangu ginga like hapa
Upendo umevuka kina ee mama Nina wivu paka roho inauma... Aslay chafu...
Aslay your vibe no one like you on Tanzania. You good , ilike your song.
Be the best on our country. Tz one
Aslay
Hakuna mwengine huyu huyu 😘👌 hizi ndo nyimbo bwana tunaachaje ku like??
Yes
😆😆😆😆
Kama unamkubali aslay ndiye king of vocals eka likes hapa
Kama unajua aslay ni super star gonga like 💯
Nam.penda aslay.sana god bless
He is amazing
yupo good sana haihitaj ubish
Huyu jamaa apewe AWARD.......from Kenya you are the best BONGO artist cause of your hard work and determination
Uyu petit ni propre sisi bana ba congo tuna mu like ile ya kishenzi
Kali hii bruh! Unaonaje ukijiunga kings???
The only Tz song I can listen to 1000times🔥
Mlango nimepata kufuri nimetekwa mateka hapa mwisho Wa ujeuri....gonga like
Hata tatu tu zinatosha
Kenya tulikosea wapi jameni hatupati mziki kama huu..... TOP OF THE TOP CREAM.... EXCLUSIVELY SWEET
Aslay, you are really the KING of BONGO FLEVA🎉🎉🎉🎉 much love from Kenya 🎉❤
Kama unamkubal aslay gonga like kubwaaaaa
Wanene so watu wazuri 💯💯💯💯💯💯
Dogo uko sawa sana like kama zoteee za Asly 254 tupo pamoja
Àaaaaaaah ngma ni kali kmoma jamani naomben mlike na mm 🤙🤙
Yani huyu jamaaa acha tu sijui kwann mziki wake hauendi kimataifa anajua kuimba nyimbo nzuri daah Sina Cha kusema big up tu
Nani anamkubali aslayyy ❤️
This is guy is underrated . ASLAY'S MUSIC IS AMAZING.
I totally agree. He makes really good music.
Yeah, to me he is even better than Diamond
@@simonmukoya9991 I wish I could like more than once coz you spoke my mind🙌
He's not underrated,he's doing good not to compete with anyone
Try
huu ndo mzki bila kiki wap like za asley??
Wanaume wenye wanaomba like nawaona mashoga sana, Mwenye wimbo mwenyewe haombi like. We unaomba like sijui ni ya kufanyia nini, wacheni umama. Fanya kushare kwa upendo wa aslay.
Aliemkubali huyo dada kama mimi anipe like zangu
likes zangu jamaniiii kama unampenda aslay
Tumalize mwaka na hii 2019👉2020 Kutoka marekani🇺🇸🇺🇸🇺🇸 jamani nipe 👍 like," this song is beautiful
Kama unaamin Aslay ni zaidi ya Harmonize, gonga like hapo twende sawaaa
Unaota
Nooooo namkubali lakini sio zaidi ya harmonize
Kila mmoja ana mziki mzuri, alafu kila mmoja analadha yake ulitambue ilo
Daaaaaaaah hii nyimbo acheni tuu jaaaman yaaaniinanikumbusha mbali
Aslay ndo msaniii ambae anauwezea mzki kwasababu nymbo karibu zote anatoa n nzuri yan ata akitoa kila sku me nimekupa tuzo moyon mwangu mwamba nakukubali
Aah! Aah! Aah! Nimetekwaa Mateka🔥🔥🔥🔥 hii ni Kali @Aslay ...keep liking ukikubali✊
Good work Mr Aslay, enough respect.... 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
aliye mateka kama aslay gonga like twende sawa
Vraiment du courage Brown
rafiki yngu tokea naenda kusema kwa mama......ngoma kali sana kaka
Ogopa wimbo unausikiliza mara ya kwanza na kuupenda ni hatar sana 💥❤
Ngoma zurii saana vidéo ipo freshi Aslay 🔥🔥🔥
Like from Kenyan 🇰🇪
I like how this song starts, pure talent apa 254 🇰🇪 likes za Asly apa,. Msitie supu nazi 😊😊
Sijamaliza na comment
1jesh nakubar sanaaaaaaaaaaa
Shabik nipo pa1nawe
Siridhiki kuskiza huu wimbo🇰🇪🇰🇪
KAMA unamuelewa aslay like hapa ziwe 100
PENDA SAAAAANA ASLAY SIKOSI KUSIKIA NYIMBO ZAKO KILA SIKU 💃🇰🇪🇨🇿
Nzur Sana weka like hata kumi
Sio poa aiseeeeeee!!!! japo nimechelewa sanaaaa but dogo anawezaaaa. Kama wapo liotekwa Enzi za Mkoloni na sio baada ya Uhuru kama mimi angusha Like za Kushato hapa
Nabaki nainjoi jamani huyu aslay ni hatari gonga likes
The most talented and underrated independent individual 👏...I love love this vibe....
Kuna mtu anasema sipati hata like mbili team aslay
Wau leo nmejarbu kutoka middle east plz naomba like zenu pia nami😋😋
Ngoma kali aslay hujawah andika tofaut na moyo wangu dah qaaaaaaaar
Wooooow hii ni zaidi ya zaidi 🔥🔥🔥
Mbna kila MTU anataka like....!?
Owkey by the way,. Me sitaki like wala nn sema nime muelewa Mzee mwenzang jins alvy piga vitu vya Michael Jackson😁😂
Mi mwnyw kanikosha hatari mzee mwnzng
Wapi team aslay kama unapenda mziki wa aslay kama Mimi nipe like zifike 50tu jamani
kak ukovizuri
Aslay nakuaminia sana umefanya napenda mziki sana mwaaaa mungu akulinde
7 djajo
Aslay baba lao,nakuamini
Tukoapa
You are the best ever🔥🔥🔥 ila ndio hivyo wanaojua muziki mzuri ni wachache sana. Keep it up watajua tu siku moja.
Oyeeeeee funga mwaka lazima wakubali
Wenye wake unlike hii ngoma ndio hawajui utamu wa mziki..mimi huwa sio fan wa Aslay lakini hii ngoma ime nifanya nikawa fan sasa