HAPA NDIO NYUMBANI KWA NABII GEORDAVIE, AFANYA TUKIO KUBWA NAKUITA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 874

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 ปีที่แล้ว +46

    Kweli umasikini wa kipato ni mbaya sana.Lakini umasikini wa ufahamu wa Neno la Mungu ni msiba,tena msiba mkubwa sana. Yesu akajibu "MTU hataishi kwa mkate tu bali kwa kila Neno litokalo kwa Mungu'. Kwa umasikini huu wa kukosa kipato na maarifa ya Mungu shetani atawakokota wengi jehanamu.

    • @ShillaBenard
      @ShillaBenard ปีที่แล้ว

      Una akili sana respect

    • @angelrichard6051
      @angelrichard6051 ปีที่แล้ว +1

      Neema ya Mungu itusaidie na itufungue fahamu zetu tupate kujua tumaini la wito wake.

    • @yusuphkayoka5452
      @yusuphkayoka5452 ปีที่แล้ว +2

      Nionyeshe Tajiri wa neno ambaye ni Tajiri wa kipato, nami nitakuonyesha masikini wa kipato alafu neno hana,maana mwenye ufahamu wa neno lazima maarifa ya neno yampatie kipato, ndio wahubiri wanalijua Neno na linawapa kipato, wasiojua neno ndio wengi hutoa povu sababu hawana chochote

    • @gabrieladam1065
      @gabrieladam1065 ปีที่แล้ว

      hata hivi watu walio upande wa shetani ni wengi kuliko kwa Mungu ndugu

    • @Elecovid
      @Elecovid 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 ปีที่แล้ว +29

    Mungu tuepushe na manabii wa uongo

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 ปีที่แล้ว +36

    Hakika naamini kumwomba Mungu kimya kimya na anajibu maombi

    • @akidajulius8397
      @akidajulius8397 ปีที่แล้ว +7

      MUNGU wa kweli hutoa kwa wakati wake,hawaishi Wala hacheleweshi,shida iliyoko kwa binadamu waleo ni njaa na kutaka kupata Magali na nyumba na hela kwa miujiza,ndo maana wengi wanakimbilia huko kusubili miujiza,pokea nyumba na gali wanakinga kupokea 🤣🤣

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 ปีที่แล้ว +1

      @@akidajulius8397 😂😂😂😂😂majinga

    • @paulomolel1032
      @paulomolel1032 ปีที่แล้ว

      ni kwel ase

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 ปีที่แล้ว +1

      @@akidajulius8397 Nihatal 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ov5vn1vk8r
    @user-ov5vn1vk8r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen sana mtu wa Mungu tena Mungu akuongeze zaidi hakika wewe ni mtu wa Mungu nyie mnao wazema watumishi Mungu hakika hukumu wenu ni kubwa sana na kama unamwona ni nabii wa Uwongo we si utokee wa ukweli tukuone hasarani achane maneno nyie wanafiki wakubwa someni maandiko imeandikwa usinyooshe kidole juu ya masihi wa Mungu wala usiwadhuri nabii zake na imeandikwa kwa maneno ya kinywa chako utahesabiwa haki muwe makini sana nyie kizazi kisicho kuwa na imani ya Mungu ndani yenu amen songa mbele Mtu wa Mungu hakika wewe ni shujaa ❤❤

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 ปีที่แล้ว +4

    YESU kuna watu walimfuata kwa ajiri ya mikate,, kuna watu walimfuata waone miijiza tu,, kuna watu walimfuata ili waponywe magojwa yao, kuna watu walimfuata wasikie hekima zake,, kuna watu walimfuata ili samaki, jamani hawa hawajafuata Mungu wamefuata Malundo kaz ipo

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 ปีที่แล้ว +75

    Watu wengi wanaangamia kwa kusujudu wanadamu wenzio na kukosa maarifa Ombeni Mungu sana atawafungulia

    • @akidajulius8397
      @akidajulius8397 ปีที่แล้ว +4

      Njaa mtumishi,watu waleo wanataka miujiza ,ukiwambia mtapokea nyumba na Magali na hela ,lkn MUNGU wakweli hutoa kwa wakati wake hawai Wala hachelewi, Sasa binadamu waleo wanataka utajili waharaka,akijitokeza mtu akiwambia mtapokea nyumba na Magali,na hela utawajaza hata viwanja 5vya mpila,nimiujiza tu,

    • @bahatiamri8650
      @bahatiamri8650 ปีที่แล้ว +1

      Duu! Shetani akamwambia ukinisujudia nitakupa fahari na miliki zote za ulimwengu .sasa sjajua fahari na miliki za ulimwengu kwasasa zipo chini ya nani?

    • @peterdavid4230
      @peterdavid4230 ปีที่แล้ว +1

      @@akidajulius8397 dats y wanaishia kutapeliwa fungu la kumi kwa kila mwezi wakati wao waishia umasikini

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 ปีที่แล้ว

      Yote hayo ni njaa inasababisha ila mungu yuko palepale amina

    • @samwelmollel602
      @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

      @@bahatiamri8650 wewe boys jaribu kuwa nakili asha ujinga

  • @masudisaid4106
    @masudisaid4106 ปีที่แล้ว +1

    Hii sasa kali..nabii wakusoma maandishi badala ya kupokea maono moja kwa moja toka kwa mungu.

  • @marylutengano1555
    @marylutengano1555 ปีที่แล้ว +13

    Mungu tusaidie

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 ปีที่แล้ว +10

    Yesu wangu.😭😭😭😭 tusaidie viumbe wako tunateketea

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว

      Kwani yesu ninani

    • @aishahemedi8452
      @aishahemedi8452 ปีที่แล้ว

      Mimi siteketei. Nipo kwa nabii mkuu

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว

      Yesu nae kaumbwa kisha wamuita muumba. Huo ndo ukafiri sasa

  • @eliashibundabalinze2217
    @eliashibundabalinze2217 ปีที่แล้ว +21

    Kwa hiyo kila anayekusifia unampa zawadi ya gari au hela duuuuh.
    Lini utaacha Mungu atukuzwe?

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว

      Mungu wake sio Mungu wako

  • @mundhirmusa3099
    @mundhirmusa3099 ปีที่แล้ว +4

    الحمد لله علی نعمۃ الاسلام

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 ปีที่แล้ว +21

    Mwanadamu mwanadamu utajibu nn kwa Mungu kesho

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 ปีที่แล้ว +5

      Ni bahati mbaya sana hofu ya Mungu imekuwa adimu. Binadamu hawa wanasahau waliumbwa na Mungu!

    • @kendramartin3707
      @kendramartin3707 ปีที่แล้ว

      Nyie mliwahi kumuona wapi Mungu...mna uhakika gani na vinywa vyenu??kila mti alime mraba wake...kama uko kwenye fungu la kukosa kaa kimya!!Huyo ni muwakilishi wa Mungu

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 ปีที่แล้ว

      Jiombee sana Mungu akufungue ufahamu wako!

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

      Kwa vichwa vyote hivi havina akili namshukuru allah kwa kunipa akili na maarifa

  • @modecreatives6
    @modecreatives6 ปีที่แล้ว +12

    2 Petro 2
    2 Lakini pia walikuwepo manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama watakavyotokea walimu wa uongo kati yenu. Kwa siri, watain giza mafundisho ya upotovu hata kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watajiletea maangamizi ya haraka. 2 Na wengi wata fuata tamaa zao potovu, na kwa ajili ya matendo yao njia ya kweli itadharauliwa. 3 Nao katika tamaa yao watajaribu kuwanunua kwa kuwaambia hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu yao imekuwa tayari tangu zamani, wala mwangamizi wao hajalala usingizi.

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 ปีที่แล้ว +47

    Ninyakati zamwisho jamani njooni tumwombe mungu😭😭

    • @ashatybella8641
      @ashatybella8641 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @enriqfredyson921
      @enriqfredyson921 ปีที่แล้ว

      unauhakika gani kam ninyakat za mwisho

    • @alanusrespicius1796
      @alanusrespicius1796 ปีที่แล้ว

      Wewe unafikiri ni dini ipi ya kweli? Dini nyingi kwa sasa zipo kifedha tu. RC bahasha za sadaka na zaka, mavuno mara mbili mbili. Ili mtoto abatizwe lazima utoe pesa, ili marehemu azikwe kwa misa lazima pesa. Dini nyingi ni za upigaji tu.

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 ปีที่แล้ว +26

    We ni nabii wa Mungu Giza! Watu washakuwa vipofu

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว

      Mathayo 7:15

    • @fransiscamallya3322
      @fransiscamallya3322 ปีที่แล้ว +2

      Tena Pepo kabisa

    • @godsonkyara4896
      @godsonkyara4896 ปีที่แล้ว +3

      Mnamchukia ila yeye anatenda mema kwenu, mnamuona hana Mungu na ninyi mnaye Mungu wa kweli zaidi. Acheni kujihesabia haki kwani yeye anatimiza wito wake.

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 ปีที่แล้ว +1

      @@godsonkyara4896 anatimiza uwito wake wa kuwapotosha kondoo kuwapele shimoni si ndio! Huyu Ni wakala wa😈

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      @@hamadsheni8997 nimejskia kulia na nimelia mpk Basi ila MUNGU amesema walio wake anawajua na saut yake wanaijua ila Hawa NI mtihan

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu namfahamu till 2006 alinifundisha neno la imani enzi hizo katika viwanja vya mringa sekondari na kadri miaka inavyozidi kwenda Mungu anazidi kumuinua kwa sababu ya jinsi alivyomuaminifu katika swala zima la utoaji...

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 8 หลายเดือนก่อน

    Familia ya nabii mkuu, mungu awape faraja kwa msiba wa mtoto wenu mpendwa... Na mungu ampe pumziko la milele "POLENI SANA BABA"

  • @kendramartin3707
    @kendramartin3707 ปีที่แล้ว +6

    Wewe uliye mtakatifu hapa kwenye coment zote unaemjua Mungu wa kweli na una uhakika ukifa unaenda Mbunguni...beba mawe ukampige...kizazi cha nyoka kimelaaniwa kazi kunihesabia haki tu hukumu yako inaanzia hapahapa kwa huyu unayempiga!!

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna nabii mda huu manabii walishapita ni kudanganyana tu mungu anawaona na atawashughulikia

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 ปีที่แล้ว +71

    Alhamdulillah for being Muslim ☪️ ✨ Allah I'm grateful 🙏🏻

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +6

      Karibuni kwa Yesu Saimar na wenzako

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 ปีที่แล้ว +6

      @@sarahkeivaly3351 na wewe karibu kwenye uislamu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +8

      Hata ww NI mpotevu tu, Yan NI sawa wote wafungwa ALAFU unasema Bora nimefungwa segerea daresalam sio butmbamwanza😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +1

      @@aishaarusha894 baada ya kufa unaenda wapi? Naana mpk mtumemuhamad hajui pakuwapeleka

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 ปีที่แล้ว

      @@gosbertmuta5421 🤣🤣🤣🤣 huuu sasa ndio ukweliiiiiiiiiiiiiiiii

  • @imanimwampagama8390
    @imanimwampagama8390 ปีที่แล้ว +26

    Mungu tunusuru hizi ndizo siku zilizotabiliwa tumekatwa ufahamu na shida tulizo nazo tuna abudu watu! Turehemu mungu wa daudi! Juu ya nyumba yake tu pale Pana pentagon daaaah aiseeeh!

    • @evelyneabdul2785
      @evelyneabdul2785 ปีที่แล้ว

      Mmmh hatariiii

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 ปีที่แล้ว +2

      We zomb humuelew nabii lazima we ni masikin

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 ปีที่แล้ว

      We kwel ni mwampragam

    • @hamadishaibu8490
      @hamadishaibu8490 ปีที่แล้ว

      Kati ya watu awajierewi tz ya kwanza wengi wataingia motion itakuwA majuto na kusaga meno shida ya shetani ni kuondoka na watu motoni Kaz kwao acha wamuabudu

    • @hamadishaibu8490
      @hamadishaibu8490 ปีที่แล้ว

      Jiurizeni uyo nabii WA kwer

  • @Neema182
    @Neema182 ปีที่แล้ว +7

    Mathayo 24:11
    [11]Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
    1 Yohana 4:1
    [1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

  • @victorvenantkaigarula6255
    @victorvenantkaigarula6255 ปีที่แล้ว +55

    Shetani anawafunga watu macho wasione,Mungu atusaidie

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 ปีที่แล้ว +14

    Njaa ni mbay,laki moja inafanya umsujudie mwanadamu ama kweli Dunia imeisha! Ole wenu,siku ya kutisha inakuja😭😭😭

    • @madpusher2036
      @madpusher2036 ปีที่แล้ว

      Acha usenge ww tafuta ela
      Sku inakuja ikwap

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 5 หลายเดือนก่อน

      Ukanawe kwanza then ujekuandika komenti

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 5 หลายเดือนก่อน

      Umeolewa

  • @samsonkitainge8268
    @samsonkitainge8268 ปีที่แล้ว +5

    Wadamu kumuacha mungu wa kweli na kumfata mungu wa vitu ndio matokeo yake haya dunia inapotea kwa kweli

  • @emidiusjohansen762
    @emidiusjohansen762 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi wa Mungu nawe uzidi kubarikiwa sana na kutumiwa na Mungu kwa imani zaidi

  • @yasinichankanda2017
    @yasinichankanda2017 ปีที่แล้ว +15

    Innalilah msiba mkubwa sana

    • @winschannel3949
      @winschannel3949 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣 nimecheka kama boya ety msiba

    • @akidajulius8397
      @akidajulius8397 ปีที่แล้ว +2

      Njaaa kaka,shetani amekaa kwenye pesa,anasomba watu kama wote,ukija ukisema unaombea watu wanapata nyumba na Magali na Hela ,utawajaza uwanja hutatosha,lakini habali za kuwahubilia MUNGU wakweli hawakuelewi wabaki wachache tu

    • @abdallahmohammed6079
      @abdallahmohammed6079 ปีที่แล้ว

      Watu hata ukiwaekea ubwabwa tu utawafinyanga utakavyo njaa kali

  • @johansenrauben6166
    @johansenrauben6166 ปีที่แล้ว

    Natamani siku moja niwe miongoni mwa watu walio pata upako chini ya mazabahu yako nami nikaya shuhudie matendo makuu ya Mungu alie hai chini ya mazabahu yako
    Mungu akulinde Nina jua huwezi kukubalika kwa na kila mtu ila tunao hitaji mafuta ya upako na kupokea matamuko chini ya mazabahu yako tupo na tuna kupenda

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 ปีที่แล้ว +3

    Jamani nawasihi hata ninyi mnao sema kwa kumkufuru na maneno yakejeri kwanza jitafakari mara ya mwisho kile kidogo ulicho nacho ulimpa lini mjane au yatima? Utasikia Mimi Sina haya mungu kakupa Damu mara ya mwisho lini umejitolea Damu kwa wahitaji? acheni kabsa fungeni hiyo midomo kupanga nikuchagua. Pengine wakawa sarama kuliko wewe na Mimi so acheni kabsa kutia maneno ya kashifa.

    • @ramadhanmtoo245
      @ramadhanmtoo245 ปีที่แล้ว

      acha zako ww kwani watu awajielewi mpaka wakaongea maneno ayo nikwakua wameona kua watu wana potezwa kwani kuna mapadire wangapi wana fanya jazi ya kumtangaza mungu mbona watu awa weki komen mbaya leo wameweka kwa uyu ndio wameona kunakitu apo

    • @abdalahmjomba471
      @abdalahmjomba471 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmtoo245 Hahahaha shekhe umelazimishwa kuangalia au kufatilia kaaa tulia acha wapotee kupenda nikuchagua

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว

    Msiba huu ! Maandiko yanatimia kwa uhakika Qiama hakipo mbali ! Watajitokeza Manabii wa uongo. Mwenyezi Mungu tulinde na hii fitna sisi wacha Mungu tusije vutiwa na shetani. Shetani ana nguvu sana bila wewe Mwenyezi Mungu sisi wanadam hatumuwezi. Tustiri Yarabi .

    • @SamwelMollel-br9md
      @SamwelMollel-br9md 5 หลายเดือนก่อน

      Umejaa wifu hadi matakoni😢

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 5 หลายเดือนก่อน

      @@SamwelMollel-br9md Alhamdulillah mimi Muislam situkani . Alhamdulillah Kwa Neema ya Uislam.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว +2

    Hakuna NABII wa mungu aliwahi kuwa na maisha ya Hali ya juuu kama huyu ,Hali ya kuwa watu wake wanateseka na yeye anachekelea

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 ปีที่แล้ว +1

      We lQ ndogo

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni nabii

    • @BIGBOSS-hl3bu
      @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

      Importance tv wewe huna kabisa IQ kubwa wewe unakichwa kikubwa na ukubwa wa kichwa sio tatizo mkuu🤣🤣 anyway,yamkini una IQ kubwa kweli lakini haiwezi kuzidi IQ ya biblia ambayo Mimi ndio naitumia ,biblia inasema ,KUTAKUWA NA MANABII WA UONGO ,na ndio zama zenyewe hizi Sasa wewe unashabikia tu vitu bila kupima halafu unataka tukuone kuwa wewe una IQ kubwa hapana bhanaaa

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +7

    Hahaha ukicheewa kufa utaona mengi aisee fedha fedheha hiindo dunia mwisho unakaribia

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji wa kipepo na biblia zao za kipepo hawa huwahawakemei dhambi ni mali na kuponya tu 😢 mungu awafungue macho hao watu

  • @Mwanamkesahihi01
    @Mwanamkesahihi01 ปีที่แล้ว +1

    Ayo you are a trusted Media Epukeni Mambo ya Biashara za Dini there are a lot News Msianze Mambo y Uchawa 😭

  • @jazimtz8812
    @jazimtz8812 ปีที่แล้ว +1

    Dahh Huyu ni Masih Dajal tuliyetabiliwa ktk mwisho wa Dunia eeh Yarabbi tujaalie mwisho mwema 🙏🏿🙏🏿😭

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว +15

    Asante mungu kwa kunijalia uislamu

    • @mikedizzo6127
      @mikedizzo6127 ปีที่แล้ว

      Pelekaaa ujinga uko kwan waislamu ndo wema sana au?

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว +1

      @@mikedizzo6127 sisi sio miongoni mwawa jinga.la kini nyinyi kilasiku unaongopewa nabinadamu wezenu munaamini .nayule mwingine aliye kua jela wenyewe munamwita Mungu zamalid sijui😁😁mnachekesha Mungu kafungwa kutoka kashindwa na manabii kibao wa uzushi mnawaamini.sisi waislamu tuna jua kua MUHAMMAD basi ato tokea nabii mwingine katika hii dunia yeye ndiye nabii wa mwisho .tunangojatu siku ya malipo .hupo karbu kwenye dini yakweli haijachakachuliwa🤗😍

  • @IssaMbaru-qw6ug
    @IssaMbaru-qw6ug 8 หลายเดือนก่อน

    Kitu nawenzakuwakumbusha mungu amechoka nakumkufur iyoo anajita ninabi akuna atamwenzi umehisha amesema alikakikao na mungu allafu mungu amewanzingua atamwaka bado umahuti umemfika mwanay billah kuhumwa wewe uwoni mungu kua alichukia nakahuli zake jaman mumuhokop mungu uyuu atakua kama zimaridi

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainnailah rajuun, eti atawaruzuku,🥱🥱🥱haaaa haaa,laki moja Kisha wanamsujudia wakristo wakristo hebu jitambueni nawaonea huruma Sana!!

    • @clarionsalvatory4563
      @clarionsalvatory4563 ปีที่แล้ว

      Ww Ramadhani abudu unachoabudu,amini unachoamini.Kila mmoja anaimani na dini yake.Na sio wakristo wote wanaabudu mwanadamu.

  • @elizabethfatuma9053
    @elizabethfatuma9053 10 หลายเดือนก่อน

    Haho niwale wa Sani wake hama ni wa christo kama kama ni Wa Christo Tanushangaa Ivimunaona Pako Mungu hapo Shida Kabisa

  • @edithkilegu381
    @edithkilegu381 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu asifiwe Baba. Baba mimi nakufuatilia sana. Mungu akuzidishie kila pale unapopunguza kwa ajili ya kusaidia watu bila kukali imani zao.
    Nami baba naomba msaada wako kwa ajili ya kusaidia watoto Ada ya shule kwani nimetelekezwa na mume wangu tangu mwaka 2019. Baba nitakushukuru sana sana.

  • @cheupesewing3549
    @cheupesewing3549 ปีที่แล้ว +9

    Mungu nisaidie nifunge hili bakuli langu nisije nikakukosea🙄🙄

  • @victorvenantkaigarula6255
    @victorvenantkaigarula6255 ปีที่แล้ว +9

    Ndugu zangu tuwe macho hawa ni manabii wa ibilisi sio manabii wa Mungu.

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 ปีที่แล้ว

      Nani kakwambia. Acha dharau. Huyu anafanya vizuri kushare utajiri wake na watu wenye uhitaji. Wachungaji wenu wanafanya hivyo?

    • @peterdavid4230
      @peterdavid4230 ปีที่แล้ว +1

      @@pirminmatumizi5464 kwaiyo ulivofungwa na shetani unampima imani kwa kugawana na wenzake?? ndo maana mnaangamia kwa kusujudu wanadamu wenzio

    • @maxmkemia6669
      @maxmkemia6669 ปีที่แล้ว +1

      Msiwe wepesi ku judge negative ilihali nanyi mnayo chungu mzima.. ww kwa ulichonacho hta kma ni kdgo ushawah kutoa shingap kusaidia wahitaji.? Yy pia naona anasaidia wahitaji ni vbaya hvo atendavyo?

    • @sleyautoelectrical3402
      @sleyautoelectrical3402 ปีที่แล้ว

      kwa ushahidi upi.

  • @tbwayjunior8947
    @tbwayjunior8947 ปีที่แล้ว

    Mbona manabii wengine awatoi Binadamu awana wema Mungu akubarik George darvie

  • @user-df1wz5xu2i
    @user-df1wz5xu2i 9 หลายเดือนก่อน

    Wape pesa hatamimi ningekuwa na pesa nyingi kama wewe nabii ningegawa tuu kwa watu wenye shida kwa sababu pesa ni karatasi tu la dhamani ukiwa nayo mengi ambayo unajuakabisa umejitosheleza unastahili ugawe kwa wenyeshida na mungu ataendelea kuongeza hapo ulipotoama barikiwa na biii mkuuu

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 ปีที่แล้ว +3

    Hao wanalia kwaajili ya laki Moja 😂😂😂 Mungu wa islael hayupo apo jiungamanisheni nae muende nae kuzmu

  • @assaabdulla1031
    @assaabdulla1031 ปีที่แล้ว +1

    Nabii Geordavie bwana yesu asifiwe nifanyie maombi pia naomba msaada wako nisaidie million10 nijenge nyumba na pia nifanye biashara niendeshe maisha yangu nabii Geordavie una Upako mkubwa wa kusaidia watu na mungu akubariki zaidi

  • @shukhuranpetro5796
    @shukhuranpetro5796 ปีที่แล้ว

    Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni,Bali Imani yako kwa yesu namatendo yako pia,tusifate upepo,watu hawaambiwi waache maovu Bali kutamkiwa baraka tu,kwanza watu watubu dhambi nakumjua yesu hayo mengine nineema mungu ataamua akupe au asikupe yeye ndie muamuzi,nasio Hawa manabii

  • @photidasfrancis-io4gc
    @photidasfrancis-io4gc ปีที่แล้ว

    Tutampenda NABII WETU milele amina

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 ปีที่แล้ว +9

    Poleni Sana wakristo!!!

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 ปีที่แล้ว +3

      Siyo Wakristo wote. Hii inawahusu Wakristo wa makanisa haya mapya ya biashara haramu. Hawatauona ufalme wa Mungu.

    • @geraldsanga4879
      @geraldsanga4879 ปีที่แล้ว +1

      @@lilyjones3584 Unajuaje?

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +1

      Weeeeeeee pole ww sio wote, hata nabii eliya alipomlilia MUNGU juu ya yezebel kumtafuta kumuua MUNGU alimjib akasema wako watu 500 nao nawajua hawajapga got mbele ya mungubaaali, so sio wote wanaoabudu upumbavuhuu

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 ปีที่แล้ว

      @@geraldsanga4879 wajinga ndiyo waliwao.

  • @amoury1481
    @amoury1481 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdullilah Kwa Kuzaliwa Muislamu.Naamini Mungu Mmoja Na Hakuna Nabii Atakakuja Kuibuka Tena Isipokuwa Muhammad (S.A.W)Ndo Mtume wa Mwisho.

  • @mcmamayoyoo9822
    @mcmamayoyoo9822 ปีที่แล้ว

    Iknow my God. My god is not weather.every time every day God is God.

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +1

    Tunakushuku baba asande nabii mkuu

  • @lindambilinyi8579
    @lindambilinyi8579 ปีที่แล้ว +2

    Mwenzio Zumarid saiz kawa mweusi km mkaa,BDO ww🤣🤣🤣🤣

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 ปีที่แล้ว +2

    Nimeona jicho juu ya paa ,,,jicho la shetan

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 ปีที่แล้ว +21

    This is business 😂

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +3

    Yaani hii Afrika hii...!!! Kazi ipo

    • @carrenkapia7841
      @carrenkapia7841 ปีที่แล้ว

      Faith and Reason n vtu viwil vnavoenda pamoja, Africa n kazi kweli kweli watu Hawa reason,wanapotoshwa lakin hata akili hawajiongezi jamani

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 ปีที่แล้ว +1

    Haya bna!...

  • @linkduction3555
    @linkduction3555 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu tu huyu Mungu na akulaani nabii mku umetoka wapi ukuu umetoka wapi BWANA akukemee!.

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @subirisamson1880
    @subirisamson1880 10 หลายเดือนก่อน

    Jaman nawezaje kukutana na nabii

  • @godlivasanya9173
    @godlivasanya9173 ปีที่แล้ว +4

    Naomba na mm mtaji

  • @idayamataifakey7813
    @idayamataifakey7813 ปีที่แล้ว +7

    Innalilah wainalilah rajuni hu ni msiba jamani tuwasikitikie binadamu wezetu wana potea kwa tama namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kunipa imani kutwa kuyumbishwa mana kuna watu wengi wamepotea sana alafu yule mze wa upako kapotosha uma ile mbaya asante sana mwenyezi mungu kwa kunipa imani kutwa kwamini haya mambo zile zama ndo hizi sasa nimeamini 🤲

  • @filamupictures9349
    @filamupictures9349 ปีที่แล้ว +1

    Nimemkumbuka mfalme Zumaridi enzi zake, alikuwa zaidi ya hivi 😂😂 sema walau huyu hana kufuru, Zumaridi alifika mbali akajiita mfalme baba, na muwakilishi wa Mungu na kuwa Yesu alikuwa mwizi

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina baba tumekukubali

  • @rehemajoel7094
    @rehemajoel7094 ปีที่แล้ว

    BABA ASANTE KWA KUONYESHA DUNIA "USTAARABU WA SERIKALI TUKUFU YA UFALME WA MUNGU.

  • @visionman8277
    @visionman8277 ปีที่แล้ว

    Acheni kukomment makasiriko tafuteni pesa mtakuja kunishukuru baadae. masikini mna maneno mengi sana.

  • @salmatanz948
    @salmatanz948 ปีที่แล้ว +59

    Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.acha niendelee kusoma koment

    • @winschannel3949
      @winschannel3949 ปีที่แล้ว +1

      Hizi ni nyakati za mwisho ndugu yangu

    • @daluckyFinancialServices
      @daluckyFinancialServices ปีที่แล้ว +4

      Wewe fata kinachokufaa unachoona ya watu achana nayo imani ndio inaponya hata kama unaabudu nini au nani ila moyo tu ndio muhimu hivyo achana kukosoa iman za watu wewe sio mungu mpaka uhuku

    • @emmanueljosephati3192
      @emmanueljosephati3192 ปีที่แล้ว +3

      @@daluckyFinancialServices wew mpumbavu hujuwi Imani bila matende hapana kitu huyu ni fanyabiashara wew umefugwa kifikila unaitaji maombi

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 ปีที่แล้ว +1

      @@daluckyFinancialServices wewe ndio fala sasa mugu kabsaa jinga la mwisho 😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      @@emmanueljosephati3192 matende gan tena🤣🤣🏃‍♀️

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nae ni wale wale tu. Ma fm🤟

  • @ericshiman9389
    @ericshiman9389 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Mbinguni atakupiga na hutakuwa na Mia ya kuganga katika haya maisha utakuwa ombaomba

  • @MaaneML
    @MaaneML ปีที่แล้ว +10

    Utakuta hao kondoo wamemchangia misadaka na Mihela kibao akajenga kasri ili wao wamepanga au kulala nyumba za hovyo tu. Fungukeni akili zenu zimetekwa.

    • @shijandoya1780
      @shijandoya1780 ปีที่แล้ว +1

      Watu wangu wanaagamia kwa kukoswa maarifa MUNGU wangu uwasamehe kwa kuwa hawajuwi walitendalo na huyu shetani anajita nabii nakuomba mshugulikie kwa damu ya YESU KRISTO ashindwe na angamie na alaniwe Kabisa Àmina

  • @Tonlyboy
    @Tonlyboy 9 หลายเดือนก่อน

    Mmmh full kuinjoy

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah 😭😭

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 ปีที่แล้ว +3

    Hamna haya Hela kabisa na kusujudiwa juu.
    Mungu atunusuru na manabii Hawa.
    Malaika hawakuthubutu kusujudiwa

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 ปีที่แล้ว

      Pole umefungwa kwenye makabuli

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 8 หลายเดือนก่อน

      @@importancetv3196 wewe au hyo ...hivi hujui kuwa wewe na hyo unayemsema wewe ndio una angamia ..nabii gani huyu baba WATU wapo kimsahi

  • @JanethMadios-oe5ue
    @JanethMadios-oe5ue 9 หลายเดือนก่อน

    Afu uyu mzee anajichubua sijui khaaaaa sio kwa mikono iyo

  • @titusmasisila3573
    @titusmasisila3573 ปีที่แล้ว

    Mungu niwawote jamani nabii mkuu niwakweli natamani kuonana nae siku moja nikipata nauli nitaenda arusha nafamilia yangu nikabalikiwe

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Tunashukuru Sana baba nabii mkuu

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql ปีที่แล้ว

    Geor laza city royal alazo haha dadeq hela hizi nyumba zina majina ndugu zang

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wezetu hawana Dini Bali Wana vikundi vya kudanganyama

  • @yusuphwilliam5343
    @yusuphwilliam5343 ปีที่แล้ว +3

    Dunia simama nishukee tunaelekea wap 🙏

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      NI wqtu tu nakuprnda mteremko😭😭😭😭

  • @shukranikayange2275
    @shukranikayange2275 24 วันที่ผ่านมา

    Sijui wazungu wametuharibu kiaje mazee

  • @paulinanyanzala9072
    @paulinanyanzala9072 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri nabii

  • @jamilankaya6825
    @jamilankaya6825 ปีที่แล้ว

    Mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe anae tujua ni mungu peke yake hubiri baba

  • @JulianaherryTajewo-tl7mk
    @JulianaherryTajewo-tl7mk 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu anawainua watu wake

  • @arafadarsilh6752
    @arafadarsilh6752 ปีที่แล้ว +4

    Me nipo naanglia uso na mikono 😄 😄 jaman kapatwa na nn

  • @SAAYANEEMATV
    @SAAYANEEMATV ปีที่แล้ว

    wanapigwa na njaa tatizo sana hawajitambui

  • @cynpeter2517
    @cynpeter2517 ปีที่แล้ว +17

    Niko nawashangaa hawa watu, hv ni biblia hatusomi au😢 Kweli unyakuo ukipita Wakristo weeengi watabaki! Mungu tu atusaidie ni kama hatuoni nyakati hizi za mwisho 🥺

    • @veeJesus
      @veeJesus ปีที่แล้ว +7

      Usihukumu wewe sio Mungu wala mkamilifu. Vitu kama hivi we pita kimya kimya

    • @abdalahsambala6667
      @abdalahsambala6667 ปีที่แล้ว +1

      Acha tujipatie miujiza we vipi🥴😃

    • @musaissa7463
      @musaissa7463 ปีที่แล้ว

      Wenye makosa nimimi nawew hatuna nguvu za Mungu wakweli kuwavuta by fire" nikwamba hawa wote washatekwa akili kama wale wa zumaridi mwanza.

    • @nyerere1259
      @nyerere1259 ปีที่แล้ว +1

      Nyakati za mwisho za nyoko

    • @brightontheogenes5093
      @brightontheogenes5093 ปีที่แล้ว +4

      wasisahau kuna Mungu wasije kumtukuza huyo nabii wao wakasahau kuna Mungu...na wapunguze tamaa...waache Mungu awatendee katika Maisha yao nasio kumtegemea huyo Binadamu apo

  • @mdee261
    @mdee261 ปีที่แล้ว

    Laki hyo wanalia hvyo.
    Alhamdulillah I am a MUSLIM

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna vimtu vinajifanya MUNGU kuhukumu watu, kutukana ovyoovyo, vinajiona vyenyewe na makanisa yao vipo sahihi kuliko wote, ACHENI KUJIFANYA MPO KIROHO KULIKO ROHO MTAKATIFU..

  • @agnesspetro6695
    @agnesspetro6695 ปีที่แล้ว

    Yesu mwenyewe anashangaa yanayoendelea

  • @fridolinefrance1353
    @fridolinefrance1353 ปีที่แล้ว +1

    Waliomuona Nisher gonga likw

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +4

    Haya mambo kagame ndy alipiga maarufuku

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      ya kila mtu kujichukulia bible na kujifanya nabii 🤣🤣🤣

  • @rosentikha1572
    @rosentikha1572 ปีที่แล้ว

    VIVA MH NABII MKUU DKT GEORDAVIE NABII MKUU TANZANIA LOVE U MY SPIRITUAL DADDY

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 ปีที่แล้ว

    Mungu aendeelee kukuinua coz umefanya kazi ya Mungu kwa uaminifu ..

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

    Shetani mjinga Sana
    Apo Kuna vitu vinaendelea ktk ulimwengu wa Giza hawawez kuviona na hata wakiviona hawataamn maana upotevu umekwsha achiliwa ili wapotee
    Nyota zao, nyayo za miguu zinaibwa apoapo ila huwez elewa haya Mambo mpk lohomtakatifu awe JUU yako😭😭😭😭😭dunia mbaya sana

  • @glorymtei4392
    @glorymtei4392 ปีที่แล้ว

    Kwann asifungue kituo cha watu yatima. Show of guyz

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 ปีที่แล้ว +3

    Lkn umefanya vizuri 🙏🏼🙏🏼

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina gd

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Yesu karibu anarudi

  • @hamadishaibu8490
    @hamadishaibu8490 ปีที่แล้ว

    Jamani mie naitaji iyo mihera

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH ปีที่แล้ว

    Amen