Daaah, hawa watumishi wa Mungu mliowahoji, Apostle Maboya na Bishop Rose, hakika ni wanyenyekevu na watulivu mnoo. Mungu azidi kuwatunza, hakika tumepewa tunu ya kuwa nao, na bado tunawahitaji mnoo........, Blessed watoto wa Mungu...🙏🙏
Apostle Maboya is another giant of Faith in East and central Africa. Maboya has raised more prophets and apostles than anyone I know. Barikiwa sana baba.
That's powerful Apostle Maboya amenena na hekima nyingi na unaeza kuona ana nguvu za Roho mtakatifu,nawe Mtume Mungu akupake mafuta mapya in Jesus name.
Asante baba maboya.MUNGU ENDELEA KUKAA NA ROHO YAKE MTUMIE MTUMISHI WAKO KTK UFALME WAKO ..TUNAIMAINI KWAKO YESU NI KUZURI SANAA NA WEW YESU NI MZURI SANAA SANAA ASANTE SANA YESU LEA SABABU UPO NA JOSHUA SASA
TB Joshua did his perfect work here and He was taken to another level by Mighty God,i know He's at perfect place with the angles if the lord ,mungu anijalie Neema
That is my spiritual FATHER DR. BISHOP DASTAN HAULE MABOYA THE FOUNDER OF TANZANIA CALVERY ASSEMBLIES OF GOD. THANK YOU DAD FOR THE TRUTH ABOUT TB JOSHUA THE GREAT PROPHET SND HIS DEATH. IT'S TRUE HE HAS FINISHED HIS JOB AND THAT WAS THE GOD'S PURPOSES. THANK YOU TANZANIANS PREACHERS FOR THE LOVE YOU SHOWERED TO PROPHET TB JOSHUA. REST IN PEACE PAPA
T.B joshua completed his God given assignment and left the world with many disciples to continue with the work of God.Many like him will rise for the work of God must continue .Rest well T.B joshua. May your soul rest in Peace T.B Joshua.
Thanktou Apostle D.Maboya. i love you for your firm strong stand on truth. Huyumbishwi na stories za hapa na pale. Na hunà biase. God bless you my son umesema ukweli juu ya huyu T B Joshua. Your mom Florence Mushi.(Kimambo)
Sasa kuna watu wanabeza utumishi huu hakuna anaejiita watumishi wa mungu wanaitwa sio lazima uchangie jumbe za matusi humu we ulieandika SMS ya matusi hutatukana tena mbingu ikuone unaetukana hawa watumishi wa mungu, amen,hofu ya mungu ni nzuri sana kuliko kujipendekeza na sms za ajabu mungu akukemee
Wau yu are really a MAN OF GOD. Yu have spoken well because being a Pastor does not mean that yu can Judge your fellow Pastor like TB Joshua. And if yu can't forgive then why are yu pretending to be a Pastor.

Umenena Bishop Maboya. I am proud of you. Nilikufahamu toka 1998 umemtetea YESU katika hali.
Apostle Maboya is another giant of Faith in East and central Africa. Maboya has raised more prophets and apostles than anyone I know. Barikiwa sana baba.
Bishop Maboya.... hekima iendelee kukutangulia.... such a friendly man of God
Hawa maaskofu mtakuja kujua siku moja walikuwa na nguvu za mwovu siyo nguvu za Mungu
Uko sawa hakuna mwema hapo
Asante Mt wa Mungu kwa kuelezea kwa ufasaha,kila 1 anatakiwa ajifunze njia hiyo ya Prophet T.B Joshua
Maneno yako Apostle Maboya yamenibariki mno. Nashukuru sana
Apostle Dustan maboya, it was by grace I met you several times,a servant of God who raised many servant
Yees!!! Dastan hakika wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai. Baba ubarikiwe sana na Mungu na ndani yako iko kweli ya Mungu
Be blessed mtumishi nimekupenda bure🙏🏻🙏🏻
Ameen asante sana mtumishi wa mungu .umeeleza vizuri huyo alikuwa kwa misheni sasa amemaliza kazi yakeamerudi kwa baba
That's powerful Apostle Maboya amenena na hekima nyingi na unaeza kuona ana nguvu za Roho mtakatifu,nawe Mtume Mungu akupake mafuta mapya in Jesus name.
Ubarikiwe sana baba @bishopmaboya umenena vyema Sana baba. Ubarikiwe sana
Apostle Maboya you spoke from the mouth of God himself!
Bishop umejibu vizuri Sana na hekima, God bless you man of God 🙏 injili iende mbele
I respect you sir !umesema vzr nimekukubali sana mtumishi wa Mungu .
Amen nakwelewa baba mtumishi unasema kweli 🙌🙏🇿🇲
Ameeni mtumishi wa Mungu ubarikiwe umeeleza vizuri hadi inafurahisha.
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU umejibu vyema sana👏👏
God bls you, kwa ushuhuda umetowa juu ya mtumishi wa mungu T,BJoshuwa
Hallelujah makubwa haya nimestuka,,,kwa majibu yako mtumishi wa Mungu,,Mamboya Mungu akubariki zaidi
Thanks Mt Dastun Maboya; nakukubali toka long sana IDM MZUMBE "Check wa Bob Yesu" iam blessed.
Barikiwa sana mtumishi kwa maelezo mazuri
Asante baba maboya.MUNGU ENDELEA KUKAA NA ROHO YAKE MTUMIE MTUMISHI WAKO KTK UFALME WAKO ..TUNAIMAINI KWAKO YESU NI KUZURI SANAA NA WEW YESU NI MZURI SANAA SANAA ASANTE SANA YESU LEA SABABU UPO NA JOSHUA SASA
TB Joshua did his perfect work here and He was taken to another level by Mighty God,i know He's at perfect place with the angles if the lord ,mungu anijalie Neema
Who God bro Satan or Jesus
Mtumishi maboya Mungu akubariki zaidi
Bishop Maboya umeongea kwa hekima na Busara sana na vielelezo vya ukweli Mungu akubariki sana
Huyu ni Mtumishi wa MUNGU!!!👌💪💪💪
Huwa nakuelewa Sana Mchungaji Maboya. Huwa unaelezea vizuri Sana.
Amen Apostle Maboya kwa maneno mazuri yenye baraka kwa Nabiii Tbjoshua
Oh yes. Asante Sana Apostle Maboya
Umeongea vzr kweli mtumishi wa Mungu Maboya...nimekuelewa sana
Well said Bishop Maboya over My mentor Prophet TB Joshua🙏🙏
MY SPRITUAL DADDY! God bless you. Prophet TB.Joshua Rest in ZonalPeace of Christ. Thanks you Life you offered as Sacrifice for Gospel.
That is my spiritual FATHER DR. BISHOP DASTAN HAULE MABOYA THE FOUNDER OF TANZANIA CALVERY ASSEMBLIES OF GOD. THANK YOU DAD FOR THE TRUTH ABOUT TB JOSHUA THE GREAT PROPHET SND HIS DEATH. IT'S TRUE HE HAS FINISHED HIS JOB AND THAT WAS THE GOD'S PURPOSES. THANK YOU TANZANIANS PREACHERS FOR THE LOVE YOU SHOWERED TO PROPHET TB JOSHUA. REST IN PEACE PAPA
Praise the lord mtumishi was Mungu apostle Dunstan Mungu akutunze
Ubarikiwe mtumishi wa mungu apostle maboya
T.B joshua completed his God given assignment and left the world with many disciples to continue with the work of God.Many like him will rise for the work of God must continue .Rest well T.B joshua. May your soul rest in Peace T.B Joshua.
Ubarikiwe baba. Asante kwa majibu yako ya hekima.
Safi sana Kuhani wa Bwana nimemwona Mungu katika mafuta makubwa uliobeba natiwa nguvu sana Barikiwa umemuinua Kristo katika hili
Kweli kabisa,wanaokuja kwa mission maalumu huwa hawaishi Sana
Pale wanapomaliza kazi waliotumwa wanasepa Kwa kushangaza sana
Wow Maboya love how you responded
ASANTE SANA Baba Yetu Maboya
AMEN GOD BLESS YOU YOU MAN OF GOD YOU HAVE SAID IT
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Safi sana
Baba Asante umeongea vizuri sana kweli wewe ni mtumishi wa MUNGU
Amen
Huu ndo utumishi,sio wale wanaoongea mabaya tu tena huku hawamjui!
Yes,upo sahihi,special mission!
Asante maboya!
Ukweli kabisa
Mchungaji maboya Mungu akubariki sana
Kazi njema Apostle
Apostle maboya...wow!
Watumishi wa Mungu hawana mashabiki wana watu wanaowasikiliza na kujifunza vitu vya kroho vinavyoimarisha maisha yao ya kroho...
Wachache watakuelewa. Watumishi wa Mungu wanafanya watu kuwa mashabiki wa Mungu
Humble loving servant of God enda salama.
Eti special mission wenyewe unamfata huko Kuzimu acha kupotosha
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Asante aposto nimekuelewa !!!
Hawa watumishi wa MUNGU walio ojiwa mch Rose na mch Maboya kuhusu nabii TB Joshua MUNGU awalinde sana mzidi kutufundisha kumjua MUNGU zaidi,,..
Apostle Maboya we Kenyans love you. RIP Senior Prophet TB Joshua.
Well said bishop maboya.
Ahsante sana kwa ufafanuzi huo mzuri...
Ameeeen barikiwa mtumishi umeeleza vema
Umenena vyema kaabisa Bishop,word of wisdom and encouragement.Mungu akubariki.
Apostle Maboya a true servant, you prayed for and got healed totally God bless you
How did you get him please help
Janeth Atieno if you want to get Apostle Dastan Maboya come to his wife's church at Calvary Assembly of God.There you will get to meet him
Mission accomplished,RIP General Snr Prophet,man of God
Hakika nabii TB Joshua ni MUNGU ndiye aliye mtuma afanye kazi yake,,.. amen,,..
Sawasawa WAJINA WANGU GOD BLESS YOU Mimi pia nimeenda Mara moja
Wauuu iremember huyu mtumishi aliniimbea nkiwa nauvimbe watumbo inkiwa mombasa +254
Ukweli kabisa mtumishi wa Mungu
Thanktou Apostle D.Maboya. i love you for your firm strong stand on truth. Huyumbishwi na stories za hapa na pale. Na hunà biase. God bless you my son umesema ukweli juu ya huyu T B Joshua. Your mom Florence Mushi.(Kimambo)
Sasa kuna watu wanabeza utumishi huu hakuna anaejiita watumishi wa mungu wanaitwa sio lazima uchangie jumbe za matusi humu we ulieandika SMS ya matusi hutatukana tena mbingu ikuone unaetukana hawa watumishi wa mungu, amen,hofu ya mungu ni nzuri sana kuliko kujipendekeza na sms za ajabu mungu akukemee
Be blessed man
Mtaongea mchana usiku ntalala mwendo ameumaliza Imani ameilinda kafa polepole akiwa kabisa I mungu aiweke robo take mahali pena🙏🙏
Ubarikiwe Mtumishi
Mungu akutumie
Amen mtumishi wa mungu
Wau yu are really a MAN OF GOD. Yu have spoken well because being a Pastor does not mean that yu can Judge your fellow Pastor like TB Joshua. And if yu can't forgive then why are yu pretending to be a Pastor.
Bishop nimependa sana hekima kubwa uliyo nayo
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa maelezo
Dada habari umeolewa
Baraka mtumishi
Thank you Lord Jesus
Amina baba
Mashetani wote hawa😢
Kati ya manabii elfu umeongea ukweli mtupu name mungu akuongezee zaidi miaka zaidi ya utumishi. Rest in paradise prophet tb
Na kwa kweli Dunia imetikisika na kifo chake kwa wengine NI jiwe la kujikwaa.
Naitaji namba ya apostle maboya nitapataje
I love maboya 😅😅😅
Well said pastor
Safi sana mtumimsh, wanaosema mengine acha waseme tu, hata Yesu mwenyewe watu hawakumuamin wote, sembuse TB JOSHUA, acha akastarehe kwa kaz kubwa.
Hakika kwa yale aliyoyafanya Mungu alimtuma vilivyo hakika ilikuwa mishen kama Mtumishi wa Mungu Maboya alivosema
May his soul rest in peace 🕊️🕊️🕊️
Naam Bishop umenena vema juu ya nabii wa Bwana.
A wise man of God!I respect you
Mchungaji maboya umenielewesha vizuri, na reporter umeuliza vizuri.
My papa TB Joshua remains my father in the LORD
Mungu awazidishie watoto wa mama mnapo zidisha kutangaza injili
Reporter uko vizuri sana!!
Asante baba 🙏🙏🙏
Bishop Maboya maneno ya hekima na busara pia,ubarikiwe
Mambo
God bless you
Barikiwa sana
Yaani mtume asante sana niliumia sasa nimeelewa asante mtume
Thats my father, well said .may tb Joshua rest in peace
Nakupenda mwalimu