Siku ya kwanza,,kukupata leo kwangu baba ubarikiwe sana ,,nifungue mim,niombe nyota yangu irudi baba natoka Kenya,,,nakupenda sana,,Mungu akubariki sana ,,AMEN.🎉🎉🎉
Uzuri wa huyu mwamba anarudisha kwenye jamii tofauti na Hawa wafanyabiashara za mafuta wao nikujilimbikizia mahela tu na famillia zao,Barikiwa sana mtumishi.
Manabii walishapita na sasa tumebaki kizazi cha nabii muhammad so wanaowafuata wanaojiita manabii na kuwatukuza basi wajue wanawapiga vita manabii na Mwenyezimungu maana hakuna nabii aliyesema mungu ana mwana pia hakuna nabii aliyesema yeye ni mwana wa mungu isipokua walisema wao ni Mitume au wajumbe wa Mwenyezimungu
Nko Kenya mtumishi wa Mungu hata mimi umenitouch, una moyo wakuinua mtu na kile ako nacho mungu akubariki sana, natamani siku nyingine nifike Tanzania tuu niguse hayo madhabahu tuu , nibarikiwe
Mungu akutunze mtumish,,ila jambo kubwa,anayekusifu ww usikubali hizo sifa,mara moja anazitamka kwako nawe umpe hizo zifa Mungu,,kwan syo ww bali ni Mungu mwenyewe ndan yako,,,,watumish wengi wamekufa kimwili hata kiroho kwa kosa lakupokea sifa za Mungu kama Mungu,,,barikiwa sana zaid
Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏👏🙏🙏🙏🙏
Mungu hurumiya watuwako kweli huyubaba anaona vizuri hana ataoga kuliko kusifu Mungu alieumba Mbingu nainchi wanamsifu yeye naanafurahiya mimi nimesikiya Uoga Kabisa saa

Shetani anainua watu washidane na Yesu. Ili jina la Yesu lisisikike..lisikike la wanadam wengine. Anajua kabisa Jina la Yesu likisikika sana ni anguko lake.
Mtumishi wa Mungu hakika mimi nimekbar wewe siyo siyo mbinafsi tena hata siku nikifika kanisan kwako nikatoa sadaka yangu nitajivunia sana Kwan inarud Kwa jamii isiyojiweza, Sasa hapa ndo unampa Mungu sadaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

🙄🙄🙄eti mna Imani na na binadamu😢 yesu ndie utumia mtu kuondoa mapepo... God have mercy upon us😢 Nyie, mlikuwa mwataka hela semeni ivyo tuu, acheni kutuzengua.... Mwenye tuna Imani nae ni mungu tuu, juu yeye ndio pumzi yetu🙏🙏🙏
Asante mtumishi,ila kwangu mimi ni na ulizo Baba, nataka nijuwe kabla ujakuwa nabii ulikuwanarndesha kazigani??,pili.naitati niwe naku nuowa kipara,yaani mimi ni kinyozi.sikumoja nikuone nikutach,.ninasababu fulani .siitaji hela ama milioni.ila nina malengo fulani.❤
Baba mm naitwa zakayo felix sway kilajambounalolifanya nikwaneema yamungu ilamm sinalakusema iposiku mungu atanikutanisha naww natamanisana kukuona matesokwangu yamexidi sana ilaxijakatatamaaa bb naomba uniombee baba
Katika wanabii wewe ni nabii sababu pesa zako siyo zakujionesha Ila naona kila Mara zina Saidia wengi nakuwasapoti , unaye mtumikiya awe mbele Yako kila Léo NABII MKUHU natowa maoni aya nikiwa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu akupe maisha marefu na akuzidishie Roho ya kusaidia hivyo hivyo
Siku ya kwanza,,kukupata leo kwangu baba ubarikiwe sana ,,nifungue mim,niombe nyota yangu irudi baba natoka Kenya,,,nakupenda sana,,Mungu akubariki sana ,,AMEN.🎉🎉🎉
Ubarikiwe baba katika kazi yako umewa nusuru ao wadda. Mugu akupe mayishamarefu uzidi kutunusuru uobeye nata ifakwa ujumura amani mugu aku bariki
Uzuri wa huyu mwamba anarudisha kwenye jamii tofauti na Hawa wafanyabiashara za mafuta wao nikujilimbikizia mahela tu na famillia zao,Barikiwa sana mtumishi.
Hazirudi Bure kaa ukijua hilo ndugu yangu
Manabii walishapita na sasa tumebaki kizazi cha nabii muhammad so wanaowafuata wanaojiita manabii na kuwatukuza basi wajue wanawapiga vita manabii na Mwenyezimungu maana hakuna nabii aliyesema mungu ana mwana pia hakuna nabii aliyesema yeye ni mwana wa mungu isipokua walisema wao ni Mitume au wajumbe wa Mwenyezimungu
Kweli
Kabisaaa
Be blessed pastor what in you for seeing the talent of the child
Nko Kenya mtumishi wa Mungu hata mimi umenitouch, una moyo wakuinua mtu na kile ako nacho mungu akubariki sana, natamani siku nyingine nifike Tanzania tuu niguse hayo madhabahu tuu , nibarikiwe
Ujingao madhambi hayafutwi na binadam mwenzak
@@SaidWaKonde santhaaa🤣🤣
Mungu akutunze mtumish,,ila jambo kubwa,anayekusifu ww usikubali hizo sifa,mara moja anazitamka kwako nawe umpe hizo zifa Mungu,,kwan syo ww bali ni Mungu mwenyewe ndan yako,,,,watumish wengi wamekufa kimwili hata kiroho kwa kosa lakupokea sifa za Mungu kama Mungu,,,barikiwa sana zaid
Umebalikiwa sana Nabii Mukuru kwasapoti unao sapoti watotowako Yusu Azidi kukuweka juuu NABII MUKUU!
Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏👏🙏🙏🙏🙏
Huyu baba nimekuwa nikifuata kazi yako Mungu anaona...hapa kenya sijaona mtumishi anaye supoti waimbaji kama huyu...God bless you sir
Sio issue kusurpot je u jamii kujihuisha na nyimb
@@SaidWaKonde yes
Wewe mchngaji unadhamini wanadamu wote kwa moyo wa dhati kabisa bila kujali utofati wa dini mungu akuongeze kila itwayo leo
Binada muwanameji wegiwa oha wanama ono umeza riwanimutumishi usijari yabinadamu❤
Sifa na utukufu zimwendee Yesu Kristo.Amen
mungu yopo mbinguni tumsifu yeye alie iumba mbingu na nchii
Hatumsifii mwanadamu tunadanganywa hapo only GOD is the one who receive praise mwamini mungu siyo nabii
Haikuhusu Kaa kimya
Mungu hurumiya watuwako kweli huyubaba anaona vizuri hana ataoga kuliko kusifu Mungu alieumba Mbingu nainchi wanamsifu yeye naanafurahiya mimi nimesikiya Uoga Kabisa saa
Mungu akubariki pastor Geodavi🙏
Mtumishi Jo dev ubarikiwe mtumishi wa mungu
Mungu abariki baba wetu,,love from Kenya
Ubarikiwe sana mtumishi naomba uduma ya maombi
Hata mimi ninaamini wewe ni mtumishi wa mungu alie hai nashukuru kwa upendo uko nao nimelia by glory mayotte france
God bless you papa niombee milango yangu ya mafanikio.Mungu akuzidishie mafuta mabichi.
Hutaki mafuta ya kuiva😂😂😂😂
Jambo mutumichi wa mungu nakupendaka sana ni pasteur mugisho manegabe jean kutoka Congo
MUNGU amekuleta kwenye maisha yetu kwa MAKUSUDI
Nampenda sana Nabii Geerdev
Sema sina uwezo ningetoa zawadi ila basi Mungu namuachia kwake Amen
Mpee mzingo tu
Amen 😂
Na Mimi nabii wangu ni mtume Muhammad ❤
Unatisha baba mungu aendelee kukuinua zaidi
Amen kati ya manabii nimeweza ona huyu ndo nabii wa kwanza anayetoa majibu ya kweli
Mungu akubarik baba yaan natamani sana kuja ikulu kwa mfarume namuomba mungu anipe uwezo mbaka nifike nimuone baba 2
Baba YANGU NABII MKUU GEARDAVIE Mungu Awabariki Sana. Apostle Joseph Itangishaka Burundi Gitega capital poritike nagupenda tena nagufuata Sana 10/10
Manabii walishapita na sasa tumebaki kizazi cha nabii muhammad so wanaowafuata wanaojiita manabii na kuwatukuza basi wajue wanawapiga vita manabii na Mwenyezimungu maana hakuna nabii aliyesema mungu ana mwana pia hakuna nabii aliyesema yeye ni mwana wa mungu isipokua walisema wao ni Mitume au wajumbe wa Mwenyezimungu
Mungu akisema ndiyo, hakuna wa kumpinga
Shalom Baba naomba kujiunga na maombi yako asante
Akuna lishindikanaro kwa mungu 🙏
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa huduma mungu akubariki sana
Haki ubalikiwe ndani ya Yesu
Nakupenda sana nakuitaji sana 🙏🙏🙏🙏
Baba naomba million moja ninashida
Safi Sana Mtumishi kwakusaidia watu ,kwakwer mi nabarikiwa ,huangalii sura Wala kabila ,Mungu akuinue
Aise Mungu akubariki pia name natamani nyimbo hata zangu ipigwe hapo
Blessed is the hand that given. More blessings flow to you our spiritual father . A good example to other pastors
Alooo this is supremely owesome🤝🤝🤝man of God ur more than wow.....wenye povu liwatokeee
glory to God not fellow human beings
Mimi nakuita mwamba,,safiii sanaaa nakukubari sana
Ubarikiwe mtumishi
Baba mungu akubariki na akujalie maisha marefu ili utuvushe kondoo wako
Ameni mungu awe pamoja nawe🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu baba.
Kwa nn tusiwe na Imani na mungu kuliko binadamu
Mungu ni mwema sana kbs🔥🔥🔥
Wimbo ya baraka Tele kwa mteule WA mungu
🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️💘💘💯💯🙏🙏🙏🙏🙏 nimekuelewa vizuri Sana 🙏💯 Mwenyezi Mungu Aendelee kukutunza
amen mtumishi wa Mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Only Mungu asifiwe si Binadamu
Kuna wimbo wangu ningependa. Pia utasame" TUTASIMAMA..
TUTASIMAMA SONG ndio my best TRENDING SONG.. nisapoti
Aliye kuita katika huu ufalme ni mungu nakupitia kwako wengi tumebarikiwa wengi tumeponywa na mungu.
Mungu akiamua kukuinua akunaanaeweza kupinga
Wimbo huu umeniguza kwa kweli... Tuna Imani na ww GDV. Hallelujah
,😳
Naitwa rose Niko mbeya kiukweli namimi nakuamini baba nakufatilia Sana baba endelea kupiga mwingi
Tunaimani Naye
Shetani anainua watu washidane na Yesu. Ili jina la Yesu lisisikike..lisikike la wanadam wengine. Anajua kabisa Jina la Yesu likisikika sana ni anguko lake.
Ubarkiwe baba Yetu ❤ Nakupenda savabu unajali Sana shida zawatu
Mtumishi wa Mungu hakika mimi nimekbar wewe siyo siyo mbinafsi tena hata siku nikifika kanisan kwako nikatoa sadaka yangu nitajivunia sana Kwan inarud Kwa jamii isiyojiweza, Sasa hapa ndo unampa Mungu sadaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Manabii walishapita na sasa tumebaki kizazi cha nabii muhammad so wanaowafuata wanaojiita manabii na kuwatukuza basi wajue wanawapiga vita manabii na Mwenyezimungu maana hakuna nabii aliyesema mungu ana mwana pia hakuna nabii aliyesema yeye ni mwana wa mungu isipokua walisema wao ni Mitume au wajumbe wa Mwenyezimungu
🙄🙄🙄eti mna Imani na na binadamu😢 yesu ndie utumia mtu kuondoa mapepo...
God have mercy upon us😢
Nyie, mlikuwa mwataka hela semeni ivyo tuu, acheni kutuzengua....
Mwenye tuna Imani nae ni mungu tuu, juu yeye ndio pumzi yetu🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana 🙏 baba
Asante mtumishi,ila kwangu mimi ni na ulizo Baba, nataka nijuwe kabla ujakuwa nabii ulikuwanarndesha kazigani??,pili.naitati niwe naku nuowa kipara,yaani mimi ni kinyozi.sikumoja nikuone nikutach,.ninasababu fulani .siitaji hela ama milioni.ila nina malengo fulani.❤
Nabii hakika Mungu azidi kuwa mbele yako katika shughuli zako zote
Bwana asifiwe baba mtumishi wa
Good Bless you
Aisee huyi nabii ❤
Poleni sana mungu ni mwema
🙏🙏🇰🇪
Mtumishi tunapokea upako wako kwajina la yesu
Kiukwel mm mwenyewe nimeupenda Sana huo wimbo hd upigaj wa kinanda
Matayo 24:24 tuwe makini sana yesu kashasema
Mungu asifiwe
Wimbo umenigusa 👏👏👏👏🙏🙏🙏💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🇺🇸🇺🇸
Je écouter votre production n'a bi
Mungu akutunze Sana baba
Mko na talanta lkn itumieni kusifia Mungu,,Acheni upofu wa kiroho nyinyi
MUNGU akutunze Baba NABII MKUU DR GEORDAVIE Balozi wa AMANI UISHI Miaka Mingi
Asante nabii wa mungu nisaidie nami kwa watoto wawili sina uwezo asante
Ubarikiwe
Baba mm naitwa zakayo felix sway kilajambounalolifanya nikwaneema yamungu ilamm sinalakusema iposiku mungu atanikutanisha naww natamanisana kukuona matesokwangu yamexidi sana ilaxijakatatamaaa bb naomba uniombee baba
Asifiwe Mungu sio wew na unshetani wako
Mungu atupe uokofu
Amen pia yangu istawili
Hii n ufala ak ,,,Eti kukusifu surely ,,Mmefanya huyu mtu kuwa Mungu ama ,,Kati yake n Yesu ni Nani nambii mkuu ak
Huyu jamaa anapata wapi Hera anagawa Hera kama njugu woundeful
Nintap that anointing from Kenya
Mutumishi wa Mungu nakuomba unikubalie vifungo vilivyo juu yangu vitoke kukataliwa nawatu niwe mtukama wengine.
Ee. Mungu tusaidie sana
Yesu akubariki
Mungu hakubariki na hakubariki huyo mtoto
Unzr huyu anaishi na jamii so mwingine Kila wimbo anaona dhambi na huu ndo unabii wa kwel,Yesu mwenyewe aliishi na Kila jamii
Akuna ajuae baraka yake itatoka wapi Mungu niwajabu 🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda Nabii mkuu balozi wa amani
Hongren
Wachungaji wengine wanakamua hela za waumini lakini wewe unawabariki watu kwa pesa, hongera kwa kutoa
Ni kweli kabisa. Uimbiwe angalia upo hai uko sahihi nabii mkuu mungu azidi kukufungulia kibali cha imani
Anapatikana wapi ata chaneli gani nimfatilie
Katika wanabii wewe ni nabii sababu pesa zako siyo zakujionesha Ila naona kila Mara zina Saidia wengi nakuwasapoti , unaye mtumikiya awe mbele Yako kila Léo NABII MKUHU natowa maoni aya nikiwa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wewe njeanamu inakungoja sababu unapoteza watu Wa Mungu wengi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
Asante sana baba
Jamana Jaman tutende dhambi ila tukumbuke kuwa Kuna mungu juu mbinguni tuxhike neno la mungu takatifu🙏
Daaa jamna
Wimbo ni mzuri sn hadi umenisisimua ♥️😍👌🔥🔥🔥
Amiina