KIMEUMANA ARUSHA: MBUNGE na MKUU wa WILAYA, WATAKA KUPIGANA MBELE ya MAKONDA,.🙌🙌

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 130

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo DC naona amjui Gambo. MWANANGU MAKONDA HOYOOOO❤❤❤❤👍👍👍

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 4 หลายเดือนก่อน +24

    Huyu DC kitendo chake cha kumnyoosgea mbunge kidole ni utovu mkubwa sana wa nidhamu.. Hayo siyo maadili ya kiuongozi hata kidogo

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa mkuu wa wilaya asidanganye mm tangia nimemjua mh Gambo sijawahi kuona akiyumba Wala awez kudhoofisha maendeleo katika Jimbo lake nimpambanaji sana mim nipo bukoba lakin navutiwa na uyu jamaa kwa kaz zake

    • @petermkumbo5094
      @petermkumbo5094 3 หลายเดือนก่อน

      Ila Mbunge kumwambia mkuu wa wilaya aache chokochoko ni sahihi siyo? Acha ushabiki mandazi.

    • @FrankMichael-tg4vz
      @FrankMichael-tg4vz 2 หลายเดือนก่อน

      Ww chizi nn gambo si huyu huyu Kila siku alikua akimkwamisha mbunge lema Leo hii nae analalamika kuhujumiwa

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Gambo sio mgeni walishagombana sana Rema kwaiyo anapenda sana kujikweza mbele za watu

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 3 หลายเดือนก่อน

      Yeye leo hii akikoromewa kidogo tu na DC anawaka ...hii ndio ile what goes around,comes around

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 4 หลายเดือนก่อน +8

    DC ajitambui zair anaonekana kupuyanga

  • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
    @EmanuelyMbagalla-rt2vm 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mkuu wa Wilaya analalamika kwamba watu wanazungushwa maofisini, badala ya kutuambia amewafanya nini hao wazungushaji.
    Yaani anashtakia kana kwamba yeye sehemu ya serikali.

  • @davidkorduni6176
    @davidkorduni6176 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe mkuu wa Wilaya unafanya Nini hao watu wasilipwe, mpaka ujeumwambie mkuu wa Mkoa, Makonda baba lao baba lao.

  • @OscarMathew-e2q
    @OscarMathew-e2q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naiyona njozi ya 2026 makonda kuwa mtu mkubwa kwenye nchi ya Tanzania mungu akubariki kwenye safari yamafanikio

    • @juliusjkalela9164
      @juliusjkalela9164 3 หลายเดือนก่อน

      Na iwe hivyo tungeomba xana asije badrika

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kiukwel mim binafs nakubar sana kaz za mh Gambo Sabaya na Makonda Hawa jamaa ni majembe sana hawaga mambo ya siasa wanapo kuwa kwenye utekelezaj wa majukumu

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sabaya!! Nakataaa,

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 4 หลายเดือนก่อน

      @@shabanponera2895 Ndg mm sikatai mawazo Yako mm sio masai Wala msukuma Wala sio jamii yake na mh Gambo lakin Hawa jamaa wakiwa kazin hawaekit wapo sawa ata uniwekee panga shingon sitapinga uwezo wao🔥🔥

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 4 หลายเดือนก่อน +4

    DC anashida kubwa anaonekana zair

  • @IdrisaMasatu
    @IdrisaMasatu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mueshimiwawaa🏄🏄 ❤❤❤❤

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaelimu yang ndogo hi mkuu wawilaya sy tupa kule😅

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Dc hana kazi tena,Mama lazma atumbue

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mkuu wa wilaya hana uwezo kwenye eneo lake

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 2 หลายเดือนก่อน

    makonda ❤❤❤❤❤❤

  • @B23-i8p
    @B23-i8p หลายเดือนก่อน

    Wenyewe kwa wenyewe

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu hamumjui huyu Mkuu wa Wilaya. Kiufupi anatisha sema kwa mafasi yake Mkurugenzi na Mbunge wanameza. Jamaa yuko vizuri tu.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 หลายเดือนก่อน

      Anatishaje

    • @fdizzo
      @fdizzo 4 หลายเดือนก่อน

      Weee! Usiniambie kwamba ni jini uyu mkuu wa Wilaya yani kama NSYUKA

  • @Damian-tt8fv
    @Damian-tt8fv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza ni aibu viongozi kulumbana mbele ya wananchi. Ni aibu DC kulalamika ameonesha uvulana. Kama kuna tatizo kuna problem solving techniques au hamkupita shule?
    Kulumbana ni ushamba wa uongozi. Nawaonya mjirekebishe unless other ways vibarua vitaota nyasi

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 4 หลายเดือนก่อน +4

    Gambo kabla ya kuwa Mbunge alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Iweje alishindwa kuondoa Matatizo hadi aje Makonda? Huo ndio UNAFIKI wa baadhi ya Viongozi ndani ya CCM.

    • @evansmoshi1923
      @evansmoshi1923 4 หลายเดือนก่อน

      Kipindi gambo akiwa mkuu wamkoa Rais alikua magufuli kulikua hakunaga mambo ya kipumbavu.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa ​@@evansmoshi1923

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 หลายเดือนก่อน

      Na changamoto nyingi ni kipindi hiki cha samia watu wamejisahau

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tena wakukome na wakuache

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo ndo unapojua kuw mkuu wa wilaya sio mkubwa kweny wilaya.
    Anaona madudu yanayo sababishwa na wana siasa lakin hawez kuyatatua kabisa. Wanasiasa ni wabaya sana

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti หลายเดือนก่อน

    Nakupebda baba

  • @YavanMusa
    @YavanMusa 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makonda tunakuombea Yeremia 1:18-19

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 3 หลายเดือนก่อน

    Kuanzia akiwa dc makonda alikuwa ananyesha kabisa kuwa ni kiongozi shupavu

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi mike kwa jina lingine inaitwa fursa

  • @eliudgathuthi8601
    @eliudgathuthi8601 3 หลายเดือนก่อน

    Why two different scenes

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ww umeshindwa kuchukua hatua unamshitakia mkuu Wa mkoa wakati unamamlaka ya ukuu wa wilaya

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 3 หลายเดือนก่อน

    Ameshacalculate aibu katika asilimia!!!!!!

  • @MaabeshFungurume
    @MaabeshFungurume 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ume kata video

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kumjua hpo makonda haelewanag na wenzake

  • @AMENMUSHI-wt4li
    @AMENMUSHI-wt4li 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmm

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda ndio kiongozi hapo arusha huyo mbunge nae hamna kitu mkuu wa wilaya nae halmashauli imemshinda.

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ondokeni madarakani,hamuwezi sasa

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu wa wilaya muhuni kiti akimtoshi

    • @barakanatus5676
      @barakanatus5676 4 หลายเดือนก่อน

      Gambo kila kiongoz anagombana naye

  • @GoodluckMichael-hb1bv
    @GoodluckMichael-hb1bv 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa mbona simuelewi, sialikua mkuu wa mkoa? Jamanii😅😅

  • @gasperandrew3719
    @gasperandrew3719 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mkuu wa wilaya huyo simuelewi. Sawa umeona madhaifu ya wilaya yako. Je umechukua hatua gani kuondoa madhaifu hayo? Sasa wewe tena unalalamika kwa mkuu wa mkoa. Sema2 makonda hana mamlaka ya kukutumbua ila angeshakutumbua

  • @linogodson6478
    @linogodson6478 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mkuu WA wilaya ataondoka Arusha wiki ijayo hatunae.aoini ata aibu kusema mirad hajamalizika wakati yeye ndie msimamizi.ninavyo mjua Baba Kigan Zuhura ameanza KAZI ya kupangapangua

    • @geey7893
      @geey7893 4 หลายเดือนก่อน

      Yani Mkeka ujao mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wake kumekuchaa😂

  • @ChikuRamadhani-o2p
    @ChikuRamadhani-o2p 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda wewe jembee

  • @mandraycompany533
    @mandraycompany533 4 หลายเดือนก่อน +13

    DC anamsingizia Gambo aibu hii

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl 4 หลายเดือนก่อน +12

    Wapelekee Moto Hadi waombe feni hao viongoz

  • @raphaelkorio2435
    @raphaelkorio2435 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nimesikia mbunge akisema Mh Makonda angekuwa Arusha toka mwanzo, na kabla ya makonda nani alikuwa mkuu wa mkoa?

    • @geey7893
      @geey7893 4 หลายเดือนก่อน

      Naibu katibu Mkuu CCM Bara (Mongela) boss wao sahiz😅😅Gambo wanakata jina 2025

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@geey7893😅😅😅😅😅

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 4 หลายเดือนก่อน +5

    HUYU MKUU WA WILAYA HAUJIELEWI ATA UKIMSKILIZA TU HATOSHI KUWA ARUSHA

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mkuu wa wilaya atolewe ndo jipu hapo Arusha

  • @Kidd11168
    @Kidd11168 4 หลายเดือนก่อน +3

    Swali ndogo tu, kuhusu hawa watendaji WA idara za serikali zetu, Nani anawateuwa, ana tumia vigezo gani na Nani katika ngazi za wilaya anaye wasimamia ni nani?????????. Mizigo sio kidogo. Nchi ina Baki kuwa Shamba la bibi kila Kona.

  • @MaryWuantet
    @MaryWuantet 4 หลายเดือนก่อน +5

    Gambo na makonda nawapenda bure ....you're great Heros...am a Kenyan bt truth remain as it is.

  • @BushurJoel
    @BushurJoel หลายเดือนก่อน +1

    isee huyu mbunge ameongea point sana👏👏👏

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 4 หลายเดือนก่อน +15

    Tanzania 🇹🇿 nchi yangu nakupenda kwa moyo wote🎉

  • @Man_of_valor
    @Man_of_valor 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hao Viongozi wawili wanaonyosheana vidole hawajaiva kabisa, kiuongozi,,,,,,,hawakutakiwa kufanya hivo mbele ya wananchi,,,,,,ila bora ata wamejionesha si tunasemaga "acha mvua inyeshe tuone panapovuja"😂

  • @gerardyoung1707
    @gerardyoung1707 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa wilaya ni hamna kitu mambo yake mengi ni siasa rais muondoe huyu hafai

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hata ninyi wana ccm manajiuliza kwan hp kabla hapakuwa na mkuu wa mkoa lkn leo huy aliekuwepo ndio kapewa cheo kikubwa kuongoza chama km alishindwa kutatua matatizo ya wana Arusha leo ataweza kwl kuongoza chama kinachoongoza dola hp ndio wanatawala wanapofeli kukumbatiana ht kama si vingoz wazur

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tunamuona makonda anapambana na dhulma na rusha wakuu wa mikoa mingine wapo kama wameoza hawafanyi hivi au wamefariki😂😂😂waki kimyaaaa

  • @rahema1992
    @rahema1992 4 หลายเดือนก่อน +12

    Gambo na Makonda Mungu awajalie fanyeni kaz jmn

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rc Makonda tumia hekima ya kuwakutanisha Dc na Mbunge ili mambo yakae sswa. Usiwaache waendeleze malumbano au Dc ahamishwe

  • @ernestmillinga7116
    @ernestmillinga7116 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wikaya kilaza kweli..analeta excuse wakati yye ndio mfanyamaamuzi..daahh..mkuu wa wilaya anaongea politics..

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 4 หลายเดือนก่อน +4

    Gambo si alikua Mkuu wa mkoa huyu!!!? Hii nchi Ina wanafiki

    • @amanpeace5237
      @amanpeace5237 4 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ni muasisi wa matatizo yaliyopo,kawa Mkuu wa Wilaya,kawa Mkuu wa mkoa

    • @derrickmbaku4768
      @derrickmbaku4768 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nahisi hamkufuatilia Gambo kipindi hicho
      Gambo alikuwa moto sana enzi za JPM

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 4 หลายเดือนก่อน

      @@derrickmbaku4768 moto wa kuwabana wakosoaji wa JPM? Yeye anamsifia makonda Tena ansisitiza kuwa amechelewa kuja Arusha! Inamaana gambo alipokua RC kwenye maendeleo hakuna alichofanya.

  • @Shayojjj
    @Shayojjj 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani GAMBO MWENYEWE SI ALIKUA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KWANI ANATAKA KUTUDANGANYA NNI

  • @sapikiwanga6154
    @sapikiwanga6154 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya jitadhimini,punguza muhemko ww ni kiongozi.

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hv wewe gambo si ulikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha acha unafiki kenge wewe

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 หลายเดือนก่อน

      Unafiki weewe gambo alikuwa kipndi cha Magufuli huu uchafu haukuwepo !watu mnajisahau

    • @wilfredywilhelm1426
      @wilfredywilhelm1426 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@rosetreffert4179nini cha maana alichokifanyaga zaidi ya kugombabaga na Lema tuu.. acheni unafki bwana

  • @israelimarco6465
    @israelimarco6465 3 หลายเดือนก่อน +1

    nikipata nafasi ya kuonana na wewe natamani kusema Mungu wangu akulinde in Jesus name

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama haya matatizo haya hapo ni arusha tu hii nchi imeoza

  • @ThobiMbilinyi
    @ThobiMbilinyi หลายเดือนก่อน

    Akuna k2 apo

  • @frenkanjele3281
    @frenkanjele3281 4 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda anakazi kubwa

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 4 หลายเดือนก่อน +2

    Safiiii sana mh Gambo, yuko fresh.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nn nyie viongozi hamuheshimiane apo mna nn

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona mku wawiraya wa arusha awe mwanajeshi

  • @abelmkayala1573
    @abelmkayala1573 3 หลายเดือนก่อน +2

    Siasa na Mungu Sina Imani tusimuhusishe

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 2 หลายเดือนก่อน

      @abelmkayala1573 tena wasimuhusishe Mungu kabisa

  • @jamesngocho1356
    @jamesngocho1356 3 หลายเดือนก่อน

    Gambo aliyafanya the same kama mkuu wa wilaya alivyo kuwa mkuu wa mkoa kwa mbunge Lema
    Shem on CCM, pia kuna kitu kwa gambo ni kawaida yake kugombana na wenzie yeye aonekane bora

  • @atupelejohnmwakangale3226
    @atupelejohnmwakangale3226 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli mkuu wa wilaya ni bora akapangiwa kazi NYINGINE KABISA. Haiwezekani mkuu wa wilaya analalamika kuhusu watendaji wa serikali wakati yeye ndiye anamuwakirisha Rais.

  • @davidkorduni6176
    @davidkorduni6176 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mkuu wa Wilaya ulivyokuwa Katibu tarafa ulitusababishia mgogoro mkubwasana mtaanikwetu, mpaka kwenye familia yetu.

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ccm.kweli.mmefika.mwisho.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 หลายเดือนก่อน +1

      Pumzika

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน

      Alafu kuna wajinga wanadhani sjui nchi ipo mikononi mwa chama kingine na sio CCM. Imeoza itoke tu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu ili kumaliza mambo hayo DC ahamishwe.

  • @MWANAHAMISIOMARY-z3j
    @MWANAHAMISIOMARY-z3j 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe hupatani na watu na wewe lini wewe umeyita wananchi

  • @JosephKapwaga-k7u
    @JosephKapwaga-k7u 3 หลายเดือนก่อน

    Namuelewa saana makonda, itikadi zake ni kama hayati magu,, mungu azidi kumrinda,, IPO siku atakalia kiti Cha uraisi wa inchi

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo changamoto, shule ndogo

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali xana ila mama samia tunamuomba huyu makonda mkoa kagera maana uonevu na unyanyasaji umezidi kpimo

  • @AndalileMwalubalile
    @AndalileMwalubalile 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gambo ulikuwa wapi muda wote

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 หลายเดือนก่อน

      Hukua wamskia akigombana na viongozi wa serikali huko Arusha?au umenunua smartphone leo mkuu

  • @Ahmedikiringamoyo
    @Ahmedikiringamoyo หลายเดือนก่อน

    Hongerasana mbunge tena safisana munguakubariki na awabariki

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 4 หลายเดือนก่อน

    Walikuwa wamezoea kunyooshea vidole wapinzani kasahau kua huyo ni ccm mwenzake msameheni bure

  • @ANETHKANSHWI-op8ow
    @ANETHKANSHWI-op8ow 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mkuu wa wilaya aamishwe tu ana kitu.mama samia wanaopendekeza majina ya wakuu wa wilaya wanakukwamisha. Ondoa, hamisha

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 4 หลายเดือนก่อน

    Lakini wewe gambo ilikuwa mkuu wa mkoa hapo arusha kwanini hukuweza kutatua hiyo migogolo

  • @StephenMassawe-tx3uv
    @StephenMassawe-tx3uv 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnapigana wenyewe baada ya kumalizana na wale jamaa siyo?

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 4 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza kama arusha mjini viongoz mnakir mirad haikamiliki kwa wakat je huko katavi duu huku mnanyoosheeana vidole daa

  • @MURLIJuma
    @MURLIJuma 3 หลายเดือนก่อน

    Gambo anamatatizo nikweli haelewan nawenzake kuna mungu ndo anajua kwenye roho yako kua unampenda makonda au la

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 chokochoko

  • @RichardAfizai
    @RichardAfizai 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda unanikumbusha makufuri

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mgogoro Arusha usiomhusu huyo Gambo,
    Tokea Enzi za Magufuli,
    Maendeleo ya Arusha yamechelewa sana kwa sababu ya huyu Jamaa, uliza Stend kuu Arusha iko wapi?
    Kumbukeni Gambo alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน

      Huko Moshi mji ndio umeoza masoko mpaka barabarani hamna pa kupita watembea kwa miguu

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 4 หลายเดือนก่อน

    Gambo anashida anagombana na kila mkuu wa wilaya

  • @johnchrisbrown-b5g
    @johnchrisbrown-b5g 4 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wilaya Toa hoja achana na story

  • @RichardAfizai
    @RichardAfizai 3 หลายเดือนก่อน

    Ikosawa

  • @napepaul
    @napepaul 3 หลายเดือนก่อน

    makondaaa hatariii

  • @marthaminja309
    @marthaminja309 4 หลายเดือนก่อน

    No no Makonda uko sawa uyu gambo sijui

  • @DamianJustine-hs6dk
    @DamianJustine-hs6dk 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania 🇹🇿

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 4 หลายเดือนก่อน

    Ongea hayo Bungeni

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 หลายเดือนก่อน

    Tutawapiga chini 2025

  • @barakasenyagwa30
    @barakasenyagwa30 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeni

  • @amanpeace5237
    @amanpeace5237 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gambo wewe unazingua,Ulikua mkuu wa mkoa hujatatua lolote,umeacha matatizo tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน

      Wacha wapambe wenyewe kwa wenyewe

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 4 หลายเดือนก่อน

    Gambo yuko poa,DC fake!

    • @ramadhaniabdulkadry288
      @ramadhaniabdulkadry288 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu wote wawili hewa tupa kule. Hii nafasi gmb alikua nayo MBONA alikua anafumbia macho hakuweza kuyatatua .IWEJE Leo ASEME Arusha ni shamba la bibi na YEYE alikua mkulima MMOJA wapo. Akitoka YEYE NDIO LINAKUA shamba la bibi.alipokuepo lilikua shamba la nani.. wote HAWO wawili tupa nje .ni cheche

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya we ni bwege kweli hufai kuwepo kwenye hiyo nafasi

  • @ernestmillinga7116
    @ernestmillinga7116 4 หลายเดือนก่อน

    Gambo ni andazi kabisaa..

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 4 หลายเดือนก่อน

    Ma RC na DC wengi wao ni kero kwa wananchi japo hata baadhi ya wabunge lkn wabunge ni saizi yetu mitano tunamtoa lkn hili kundi lingine ni shida sana!