BANDA BORA LA KUKU CHOTARA | KIENYEJI, FUGA KUKU WENGI KWENYE ENEO DOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2019
  • Banda bora la kuku chotara na kuku wa kienyeji.
    Fuga kuku wengi kwenye eneo dogo kwa ubunifu wa banda la juu.
    Ubunifu kwenye ujenzi wa banda la kuku ni muhimu sana ili uweze kufuga kuku wengi hata kama una eneo dogo.
    Banda hilo unaweza kufugia kuku wa aina yeyote, kuku wa kienyeji, chotara na kuku wa mayai.

ความคิดเห็น • 172

  • @changamkiafursa
    @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว +4

    Ujenzi wa banda bora la kuku 👉 th-cam.com/video/0XmXo-8o5DY/w-d-xo.html

    • @martinmakundi7134
      @martinmakundi7134 4 ปีที่แล้ว +1

      naaza aje kufuga kuku

    • @julianmsaki7012
      @julianmsaki7012 3 ปีที่แล้ว

      Naomba Sana sijuwi unapatikana wapi naomba Sana niwahsap au unipigie

    • @AbubakarFakii-en9ic
      @AbubakarFakii-en9ic 3 หลายเดือนก่อน

      A.A.Habari ya leo kaka.Mimi nilikua nàtaka kutengezewa banda kama hiyo lako lakini Niko mbali Mombasa Kenya.

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 2 ปีที่แล้ว

    Napenda. San. Ufugaj. Wa. Kuku. Basi. Nina endereya. Kujifunza🇧🇮♥️

  • @abdonbusega7911
    @abdonbusega7911 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzur bro

  • @cosmasmasawe9875
    @cosmasmasawe9875 4 ปีที่แล้ว +2

    Mh kitaalamu hapo ni rahisi sana magonjwa ya kuambukiza kaa njia ya hewa kuingia maaana hewa ni ndogo

  • @alexmtemi382
    @alexmtemi382 4 ปีที่แล้ว +4

    Good things bro 🙏

  • @nakurucyber617
    @nakurucyber617 2 ปีที่แล้ว +1

    eeish ...mko fiti wazito... nisha get ideas za kujenga keja za kuku...asanteni sana...big love from kenya..

  • @bambabamba3239
    @bambabamba3239 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma challah 👍👍👍

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa ubunifu wako

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nimkenya ninatamani sna kufunga

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipendaaa sanaa hii

  • @kakasmarta9503
    @kakasmarta9503 3 ปีที่แล้ว

    Niko Kenya kazi nzuri ndugu

  • @kingdaddydesign8426
    @kingdaddydesign8426 4 ปีที่แล้ว +3

    kwa kweli, hongera sana, huu ndio ubunifu unaohitajika. safi sana, nimependa hii idea, iko vizuri sana. lakin napenda kuuliza swali, vipi kuhusu suala la hewa safi kuingia na hewa chafu kutoka kwenye banda, nilitarajia kuona madirisha makubwa ya kuingiza hewa safi na kuondoa hewa chafu. ahsante

  • @ramakheri9824
    @ramakheri9824 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi safi bro,ongera sna

  • @franceanna5608
    @franceanna5608 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu zangu hii kazi ya ufugaji ni nzur ilimrad tu ukiweka nia

  • @rsllife9004
    @rsllife9004 ปีที่แล้ว

    Look great video and good information

  • @tonnynyokori7618
    @tonnynyokori7618 ปีที่แล้ว

    Nimependa Sana .....vyote ....ulivyotuandalia ...naitaji mawaidha zaidi ....

  • @superarts3334
    @superarts3334 3 ปีที่แล้ว

    Very educative

  • @salumjuma2983
    @salumjuma2983 4 ปีที่แล้ว +1

    Maaanshaallah. Mapambano yako yana manfaa. Allah akujalie afya na maarifa zaidi. Nimeelimika kiasi.

  • @lilianlawuo4731
    @lilianlawuo4731 2 ปีที่แล้ว

    Nakupataje.... Nataka unidizaidie banda

  • @josphatakama4625
    @josphatakama4625 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba unaweza

  • @stephenmwangi3245
    @stephenmwangi3245 3 ปีที่แล้ว

    This is very good, job well done

  • @jeplekutto3517
    @jeplekutto3517 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Kaka

  • @masheneneluhumbika8668
    @masheneneluhumbika8668 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana asee

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother uko vizuri nimefulaishwa Sana takutafuta

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 3 ปีที่แล้ว +2

    Ningekuwa karibu ningekuja kukutembelea, ila naomba unisaidie hili je unawezaje kuuweka huo mfumo wa yai litagwe mwishoni mwa Banda then liserereke hadi nje na kutoka likiwa safi kabisa

  • @salutarym4920
    @salutarym4920 5 ปีที่แล้ว +1

    I like that....

  • @allynguvumali4741
    @allynguvumali4741 4 ปีที่แล้ว +3

    Haya maisha kama masiala we Fanya tu kuna watu hawana utani na maisha

  • @isaiahkibiwott6596
    @isaiahkibiwott6596 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana

  • @neriacharles955
    @neriacharles955 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri. Nahitaji kutengenezewa banda km hilo

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว +1

      Wasiliana naye, namba zake ziko kwenye video

  • @samuelngogo5572
    @samuelngogo5572 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure bro

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 4 ปีที่แล้ว +3

    asante kwa kutupatia mautundu juu ya ujenzi wa cage yetu ya kibongo.

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekusoma sana kaka, umeeleza vizuri sana kuhusu suala la kufuga katika eneo dogo. nimepata hamasa ya kufuga katika eneo langu dogo.

  • @alleblue
    @alleblue 4 ปีที่แล้ว +1

    Great video and information..salamu kutoka kenya...

  • @suleimankhalfan8542
    @suleimankhalfan8542 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimelipenda

  • @leonidajones1749
    @leonidajones1749 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana sana.

  • @nurumdugo8325
    @nurumdugo8325 3 ปีที่แล้ว

    Umeniihamasisha sana suala la ufugaji wa kuku katika eneo dogo

  • @angelasudi710
    @angelasudi710 5 ปีที่แล้ว +2

    Very good 👌

  • @fadhilisawe434
    @fadhilisawe434 3 ปีที่แล้ว

    asante sana una roho nzuri, na utafika mbali

  • @lawrencetesha5936
    @lawrencetesha5936 5 ปีที่แล้ว

    Mwanga wa jua vp

  • @PeterWere-uz1xx
    @PeterWere-uz1xx ปีที่แล้ว

    Kuku kienyeji ya siku moja ni pesa ngapi

  • @feysalmb9167
    @feysalmb9167 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni jela ya kuku

  • @zziwasamuel8791
    @zziwasamuel8791 ปีที่แล้ว

    Good work

  • @nganga-the_scientist
    @nganga-the_scientist หลายเดือนก่อน

    Inagharimu pesa mingi kujenga

  • @shariftwahir8493
    @shariftwahir8493 2 ปีที่แล้ว

    Ao kuku wa kienyeji au chotara

  • @judymwangi3993
    @judymwangi3993 10 หลายเดือนก่อน

    Elezea Banda Hilo la kukusanya mayai

  • @pranavkro9212
    @pranavkro9212 4 ปีที่แล้ว +1

    I like Very much your poultry farm house design. But you didn't show properly all the house design and room

  • @user-vx3iy9gj1g
    @user-vx3iy9gj1g 6 หลายเดือนก่อน

    Nzuri kupata uzoefu kutoka Kwa mfugaji

  • @victormambasa4735
    @victormambasa4735 4 ปีที่แล้ว +3

    nimejifunza kitu, jamaa nimemkubali

  • @sheiladayo3462
    @sheiladayo3462 3 ปีที่แล้ว

    Zuri sana

  • @veronicawambui1618
    @veronicawambui1618 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafunzo mazuri

  • @samuelonchiri8960
    @samuelonchiri8960 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks bro.Nataka kuanza na chache kama tano hivi for a trial can u help plz

  • @wilckstenyaboke7829
    @wilckstenyaboke7829 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante br pia nintakutafuta

  • @akhamis9861
    @akhamis9861 4 ปีที่แล้ว +4

    Nzuri sana. What about kutembea tembea, mazoezi hawahitaji?

    • @rosepaul7901
      @rosepaul7901 2 ปีที่แล้ว

      Sa mazoezi ya nn wkt hawa kuku hawana kitambi na uzito mkubwa kwa kuku ndo unatakiwa soko linakuwa zuri zaidi unauza kwa bei utakayo wewe na siyo mnujuzi atakaye😃

  • @judithiwakaroyo8694
    @judithiwakaroyo8694 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana nashkuru najifunza kila cku ninapenda Sana kufuga kuku nawashukuru Sana Changamkia Fursa kwaelimu nikiwa tayari kuanza nitawatafuta Kwa elimu Zaid

  • @delphinmalupenga8148
    @delphinmalupenga8148 2 ปีที่แล้ว +1

    Bonjour grand frère je suis en RDC je suis passionné de faire l'aviculture mais je n'ai pas d'expérience puis je avoir une formation ?

  • @boniphacekamuli9241
    @boniphacekamuli9241 ปีที่แล้ว

    Vp kuusu jua maana kuku anahitaji jua

  • @manaseelias2351
    @manaseelias2351 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenihamasisha asante

  • @luqmankassim6102
    @luqmankassim6102 3 ปีที่แล้ว

    Kwa majina kamili naitwa Luqman Kassim kutoka inchini Kenya. Nimependa sana mradi wenu wa kuku naomba sana kujiunga na nyinyi kwenye ufugaji wa kuku

  • @pasteurmardocheemwale2023
    @pasteurmardocheemwale2023 2 ปีที่แล้ว

    Kazi zuri sisi tuko Congo rdc kuku tu ta panta n'a muna gan?i

  • @EmmanuelKawawa
    @EmmanuelKawawa 20 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

  • @gladyssimiyu6134
    @gladyssimiyu6134 3 ปีที่แล้ว

    Niko Kenya unawezakujakunijengea banda

  • @gladymwaipopo5002
    @gladymwaipopo5002 3 ปีที่แล้ว

    Umetumia sh. Ngapi kutengeneza CAGE

  • @magrethbruno1857
    @magrethbruno1857 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @ramzanshamsu2948
    @ramzanshamsu2948 3 ปีที่แล้ว

    Habari kaka office zako zipo wapo nataka kufika na kupata ushauri afu naomba mawasiliano

  • @abdallasalim324
    @abdallasalim324 4 ปีที่แล้ว

    Ok nimekupata vzr ndg, je hilo banda lako la ukubwa wa chumba kimoja, ambcho umeweza kuku 90,,limegharim shilingi ngapi, ?

  • @margueritnyingani8844
    @margueritnyingani8844 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for sharing am in Kenya will you come to design it for me? I love it

  • @tadeikomba2784
    @tadeikomba2784 2 ปีที่แล้ว

    Nataka kuku wa malawiii msaada jaman

  • @godfreydaniel8190
    @godfreydaniel8190 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujiunga na kikundi cha furusa

  • @kismakoita7887
    @kismakoita7887 2 ปีที่แล้ว

    J'aim beaucoup c'est que vous faites, mai je ne comprends pas là langue

  • @nackymziray3787
    @nackymziray3787 3 ปีที่แล้ว

    Nime kukubali jamani ,sijui uko wapi maana banda nimelipenda

  • @lilianlawuo4731
    @lilianlawuo4731 2 ปีที่แล้ว

    Niko Kibaha... Naomba mawasiliano pls... Nataka unifanyie hay mabaanda

  • @jereannpoultryfarm-bometmu1594
    @jereannpoultryfarm-bometmu1594 ปีที่แล้ว

    GOOD

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nice

  • @tukaeamani7090
    @tukaeamani7090 2 ปีที่แล้ว

    Banda kama hilo gharama yake ni shilingi ngapi

  • @florencelunani5403
    @florencelunani5403 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante bro, tufunze jinsi ya kujenga ili kurahisisha kuchukua mayai

  • @sethmwahalega5155
    @sethmwahalega5155 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri nimependa Banda lako bei Gani?

  • @euniceochieng6478
    @euniceochieng6478 3 ปีที่แล้ว

    Uko na mafunzo mazuri.Unapatikana wapi.nahitaji kujengewa nyumba ya kuku. huko Kisumu, lakini niko Nairobi ,Kenya

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 4 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano ya mtaalam

  • @johnjm3858
    @johnjm3858 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako ndugu, wewe ni mwl mzuri

  • @dastanidanis8742
    @dastanidanis8742 4 ปีที่แล้ว

    nzr

  • @henrynyabuto4892
    @henrynyabuto4892 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nyavu ndogo iko na kipimo gani(shimo) na iunapatikana kwa hardware?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Inaitwa chicken wire
      Ndio inapatikana hardware

  • @furahamuywanga2427
    @furahamuywanga2427 3 ปีที่แล้ว

    Nimejenga, na nimeshaweka kuku, mtihani kuku wanataga, ila sijui yupi anayestahili kulalia maana sielewi anayetaga, naomba nijibu

  • @rashidiwewendioutoshaemung7392
    @rashidiwewendioutoshaemung7392 3 ปีที่แล้ว

    Kwahio hawalalii

  • @veronicahmatara5695
    @veronicahmatara5695 4 ปีที่แล้ว

    I will like to meet you Plz tell me how?

  • @louxonmedia
    @louxonmedia 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona giza sana bwana Hatikuku?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Mwanga upo wa kutosha madirisha yapo sehemu mbili na ni makubwa

  • @deogodi1655
    @deogodi1655 2 ปีที่แล้ว

    iyo ya kuzuia kinyesi kisiende ameeka nini kaka

  • @johnmugo3031
    @johnmugo3031 3 ปีที่แล้ว

    Vipimo za nyumba za kuku ni gani?

  • @rusunguwatsonione8750
    @rusunguwatsonione8750 4 ปีที่แล้ว +1

    kaka ubarikiwe sana imenitachi hapo uliposema mbona hawanizaidi ngoja nipambanemwenyewe uck mwema

  • @justusobara1458
    @justusobara1458 3 ปีที่แล้ว

    Hi Kaka,,hope uko sawa but nimefurahishwa na kazi yako

  • @user-xp2ti2lx1y
    @user-xp2ti2lx1y ปีที่แล้ว

    Unaweza ukaweka kuku juu na sungura chini?

  • @emmanueleddiemwamakula3398
    @emmanueleddiemwamakula3398 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa ubunifu huu naamini hutatua changamoto kwa wafugaji wenye maeneo madogo, naomba kuuliza kuhusu eneo la kucheza kwa kuku limezingatiwa hapa?

  • @josephsilem7239
    @josephsilem7239 2 ปีที่แล้ว

    Kaka hakika nimekuelewa tena Sana ila kwa namna mayai yanavyokuja mbele kutoka yanapotagiwa sijajua umepadisainije hapo

  • @suleimankhalfan8542
    @suleimankhalfan8542 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila hewa vip apo

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  5 ปีที่แล้ว +1

      Hewa ipo ya kutotolesha kwa sababu madirisha makubwa yako pande mbili

    • @gatetemustafa3170
      @gatetemustafa3170 4 ปีที่แล้ว

      Asante Sana kabsaaaaàa

  • @eugenetv6881
    @eugenetv6881 2 ปีที่แล้ว

    Kwan ako apa Kenya 🇰🇪 am????

  • @shariftwahir1303
    @shariftwahir1303 2 ปีที่แล้ว

    Mabanda dizain hii kuku anaweza atamia umo

  • @rosepaul7901
    @rosepaul7901 2 ปีที่แล้ว

    Hili banda limegharimu kiadi gani cha pesa?

  • @anyangograce1465
    @anyangograce1465 4 ปีที่แล้ว +2

    Mm niko ukonga napataje no yk kwa ushauri zaidi?nataka nifuge ikiwezekana nisaidie no yk nikupigie au nije kabisa nione

  • @twalibsaid9573
    @twalibsaid9573 4 ปีที่แล้ว +1

    Habari.
    Mimi nlikua naomba msaada kuku wangu wamevamiwa na utitiri.
    Halafu hivi chokaa inasaidia kufukuza utitiri?

  • @petermumo9251
    @petermumo9251 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka kufunga kuku wa mayai!! Je inachukua miezi gapi ndio waannze kutaga mayai? Alfu niwe na kama pesa gapi ya kuanxia? Naomba usaidizi broo

  • @nganga-the_scientist
    @nganga-the_scientist หลายเดือนก่อน

    Je mtu akitaka kununua kuku anakupata wapi ama mnafanya delivery?