Wasikydanganye KUKU WA KIENYEJI Wanalipa - Laki 3 kwa Kuku 50! 🔥
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Kumekuwa na Makala nyingi za upotishaji kuhusu kuku wa kienyeji kuwa hawalipi, binafsi mi nasema wasikydanganye.
Kuku wa kienyeji ni biashara na inaweza kukuingizia kipato cha ziada.
Jifunze kupitia video hii.
Asante saana ndugu yanga nilianza kufuga na mwanga kidogo ila zaidi nimefanikiwa maana kupitia kuku 10 sasa ninaelekea kuwa mfugaji mkubwa nina vifaranga zaidi ya 100 wa zaidi ya mwezi 1 na vifaranga 100 wa chini ya mwezi 1 kupita changamkia fursa thanks bro ni miezi 4 tu naelekea kufikia kuku Mia 3
Asante Kwa somo, eleza na utaratibu wa ufugaji wa broiler(kuku wa nyama).
Naomba muongozo,vp nitaweza kuanza kufuga kuku kuanzia kuandaa banda,sitaki kuanza na kuku weng.asante sana
Kuku wa kienyeji Wanalipa sana na hawaumwi ovyo na hawana gharama ya chakula. Nasoko lao ni kubwa. Mimi nilikuwa nafuga kuku chotara nimewacha kwasababu ya Vigo na magonjwa na pesa inaishia kununua madawa na vyakula na faida hakuna. Kuku wa kienyeji ndio mpango mzimaa ! Mayai yake trei sh.15,000 na hayashuki bei.
Yes nukubaliana ba wewe kwa 100%
Kuanzia kifaranga hadi kuanza kutaga inachukua muda gan?asante.
Ninataka kuanza kufuga kuku.
Na miss sana group zako na na kufuatilia sana Alhamdulilah nimeanza kufuga
Hongera kaka kuendelea kuhamasisha uma hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchumi
Make one on growth rate from day old to 4month as in picture at every month plz
Asante mwalimu nawapenda sana kuku wa kienyej
Kaka xamaani kuku wangu ni waasili. Xhida ni kuwa wanapiga chafya shida na dawa Bora kwa matibabu boss nisaidie
@changamkia fursa umefikwa na nini,mbona umetoweka TH-cam?
Uko sahihi kabsa na ukitaka upate faida zaidi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji inabidi uwe nao wengi kwahyo uvumilivu unahitajika ili uwe na uzalishaji mkubwa
Na kwasasa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele wafugaji wa kuku pure wa kienyeji wanazidi kupungua kila mmoja anakimbilia chotara na kuku wa kisasa
Kwahyo kwa mtu atakaye pambana kufuga kuku wa kienyeji ni fursa kubwa sana🙏🙏🙏🙏
Samahani kiongozi ningependa kujua incubator naipataje
Naomba niuzie mitetea kumi ndugu
Thanks so much bro
Nifinze jinsi ya kutotolesha mayai niko nayo na niko mashambani sijui nitafanyaje
Safi
Big up, huo ni mpango mzma, typo baba
Kuku wakienyeji utatibu wa chanjo ndio uleule?
Je unauza kuku za mbeguu?