GHARAMA ZA BANDA LA KUKU | UFUGAJI WA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • mwongozo wa ufugaji bora wa kuku - Wizara ya Mifugo na Uvuvi www.mifugouvuv...

ความคิดเห็น • 27

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo Imani ya kumtegemea Mungu.
    hongera kwa Yote unayoyafanya ktk kuelimisha.
    Mungu akubariki sana❤❤

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Kaka kwa kutushirikisha mambo mazuri, je ukitaka kufanya usafi hapo unafanyaje, si hayo matandazo yatatoka! Kwa wazoefu mnisadie

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Unayatoa Kila baada ya mwezi mmoja

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye wizi ,weka mbwa wakali sana itasaidia

  • @braisonbuchwa829
    @braisonbuchwa829 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you brother nakufatilia sana natman nifanye makubwa katika ufugaji

  • @BKFarm-up9mv
    @BKFarm-up9mv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kazi nzuri sana. Hongera
    Unapatikana mkoa gani?

  • @twahakishavi9317
    @twahakishavi9317 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ningenda kukutembelea tukaongea kwa ukaribu ili nipate maarifa zaidi kwani niko na mapwnzi ya kufuga kuku

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 6 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏👏👏Mungu akubariki sana

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda kujua dawa hiyo inaitwaje

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 7 หลายเดือนก่อน +1

    Good job

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 หลายเดือนก่อน

      Thanks

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 4 หลายเดือนก่อน

    Umewpa Dawa ngani wakapona

  • @mrkipinguog3134
    @mrkipinguog3134 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi tatizo wanyam wakal wananirudisha nyuma

  • @lusajoemmanuel9009
    @lusajoemmanuel9009 3 หลายเดือนก่อน

    Biosecurity vipi?

  • @mektlidamarco2588
    @mektlidamarco2588 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakusikiliza sana mwaya,apo mama amesema doxy , ni kidonge kile cha binadamu?au

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 หลายเดือนก่อน

      Tyrodox, IPO ya kuku kabisa, lkn kama unabana na unakuku wachache unaeza tumia hata hiyo.

  • @zubeirmwangare7033
    @zubeirmwangare7033 4 หลายเดือนก่อน

    Habari ndugu nataka kujuwa hao kuku 250 wanaweza kuishi kwenye hilo banda la ukubwa huo hadi umri gani?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 หลายเดือนก่อน

      Kuku mkubwa wa miezi 5

  • @twahakishavi9317
    @twahakishavi9317 8 หลายเดือนก่อน

    Ningependa kujua unapatikana wapi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 หลายเดือนก่อน

      Napatikana Mtwara

  • @IdrisMassawe
    @IdrisMassawe 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unapatikana wapi mkuu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 หลายเดือนก่อน

      Mtwara

    • @ZahraBinty
      @ZahraBinty 4 หลายเดือนก่อน

      Mtwara upo sehemu gani

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda kujua dawa hiyo inaitwaje

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda kujua dawa hiyo inaitwaje