MFUGAJI WA KUKU GREGORY KILEO /HAJATAKA KUAJILIWA MAREKANI /NINA KUKU ELFU 20 NA ZAIDI.... PARY 1.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2022
  • JMTZ MEDIA kila siku ya IJUMAtunakuletea mgeni ambaye inawezakuwa ni mfanyabiashara au mjasiliamali lengo ujifunze mambo mbalimbali ambayo labda ulikuwa huyafahamu au uliyafahamu kwa udogo sana kwa manufaa ya kuongeza ujuzi ili uweze kujukwamua kimaisha na kuongeza pato la taifa kwa ujumla.
    ijumaa hii tunaemgeni wetu mfanyabiashara na mjasiliamali ndugu GREGORY KILEO ambaye ni mfugaji mzuri wa mifugo mbalimbali lakini leo ataongelea ufugaji wa kuku zaidi.
    ----------------------------
    Contact +255 62 347 3374
    INSTAGRAM: Gregmifugo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 86

  • @joachimoisso5640
    @joachimoisso5640 หลายเดือนก่อน +2

    Wow, Africa Is Paradise Everything Is Available Cheaply. Fursa Za Hapa Ni Abundantly Immeasurable

  • @tumainikikaka2323
    @tumainikikaka2323 ปีที่แล้ว +10

    Kazi Ni kazi na kila kazi Ni utumwa na kujituma ndio maana lazima ata biashara utatumwa na mteja wako hivyo kazi Ni wajibu kwa kila mtu tofauti Ni vitengo yaani namaanisha kuajiriwa au kujiajiri yote Ni sawa kinachotakiwa Ni kufuata kanuni tu

  • @JosephLunyilija-bq4ge
    @JosephLunyilija-bq4ge 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji hUna experience yeyot kuhusu ufugaji, kuna vitu vitamu umetunyima kwenye maswali Yako😢😢😢

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  11 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi ufungaj zifahamu sana

  • @abouassifmabrouk
    @abouassifmabrouk 4 หลายเดือนก่อน +3

    Weee jamaa kiswahili unakijua 100% bro mfugaji. Lakini Unazingua ujue. Unatukera

  • @yasserkhalfan2375
    @yasserkhalfan2375 ปีที่แล้ว +2

    Nmecheka Sana ulivouliza Kama ningerudi bongo

  • @user-if8uh3cp8s
    @user-if8uh3cp8s หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzur

  • @saidmohammed1458
    @saidmohammed1458 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh layers wanataka uingereza wakiwa na siku Moja? Layers wanatozalishwa bongo ila chimbuko lake ni uingereza

  • @richardmwanisawa863
    @richardmwanisawa863 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekusoma br.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana.

  • @VascoShula-bf2xd
    @VascoShula-bf2xd 10 หลายเดือนก่อน

    Nice interview 👍

  • @ammarruwehy
    @ammarruwehy 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungetuekea contact za Kileo na Hata akaunt zake za Social network kwaajili ya kuendelea kujifunza kupitia yeye

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa mkuu muda huu tunaweka pitia kwenye maelezo 👍kwa kuwa nasi.

  • @user-fb4gu7yt5v
    @user-fb4gu7yt5v 7 หลายเดือนก่อน

    mm naitaji mbolea ya kuku mniuzie

  • @user-fe5hu1lz6n
    @user-fe5hu1lz6n 11 หลายเดือนก่อน

    Hello.. sorry naeza pata no za uyo kaka plz

  • @jerrymcbride2230
    @jerrymcbride2230 ปีที่แล้ว +1

    Kuku mbegu gani?

  • @shedrackmgude5972
    @shedrackmgude5972 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  2 ปีที่แล้ว

      Shukran kwa kuwa nasi @shedrack

    • @jasminbashiri1988
      @jasminbashiri1988 ปีที่แล้ว +1

      Unakaa wapi mimi nataka mbegu

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว

      @@jasminbashiri1988 Namba zipo kwenye maelezo hapo juu

  • @simonmwanziaysusfu-dn5mk
    @simonmwanziaysusfu-dn5mk ปีที่แล้ว

    nataka vifarnga bro

  • @gregscare7923
    @gregscare7923 2 ปีที่แล้ว +1

    AMAZING

  • @shabanishabani3529
    @shabanishabani3529 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂mtangazaji unajua Sana maswali

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt ปีที่แล้ว +2

    Jmtz,
    Tupeni namba za huyo jamaa.

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว +1

      Contact zipo kwenye maelezo chini ya video

  • @jasminbashiri1988
    @jasminbashiri1988 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa wew unakaa wapi

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว +1

      Namba zao zipo kwenye maelezo hapo juu

  • @zungutv2016
    @zungutv2016 ปีที่แล้ว +2

    Boaring interview 😢 but good content

  • @canny9580
    @canny9580 ปีที่แล้ว +5

    mtangazaji badilisha namna ya kuongea, mahadhi unayoyatumia hayaendani na maudhui ya video.

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว

      Shukran kwa maoni yako na Shukran kwa kuwa nasi 🙌

    • @kkkkkkk2714
      @kkkkkkk2714 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona anatangaza vizur tu

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  11 หลายเดือนก่อน

      @@kkkkkkk2714 🎉🎉🙌

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba ya huyo jamaa mh

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว

      Ipo kwenye maelezo chini ya video

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 2 ปีที่แล้ว

    💯🇧🇮🙏💪🇧🇮👍💯

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 27 วันที่ผ่านมา +1

    Pamoja na kusoma na kutembea kote jamaa hujaelimika ongea lugha yako vizuri

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  27 วันที่ผ่านมา

      Vipi kwa ambao hawajui kiswahili?

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 26 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka aongee kimakonde?

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  26 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣

    • @PatrickMathias-cs9qc
      @PatrickMathias-cs9qc 3 วันที่ผ่านมา +1

      Wew umeelimika tuonyeshe kampuni yako kam yeye alivyotuonyesha mdomo koma

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  3 วันที่ผ่านมา

      @PatrickMathias-cs9qc Kwa vitendo 🤣🤣

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 7 หลายเดือนก่อน

    KUKU ANATAGA BILA DUME MZEEE

  • @mackrobert3327
    @mackrobert3327 ปีที่แล้ว +2

    L0

  • @aminaabdallah6309
    @aminaabdallah6309 2 ปีที่แล้ว +2

    kaka yangu nahitaji unisaidie mimi nafuga kuku wa nyama lakini sijaona faida

  • @jacksonkamasho3960
    @jacksonkamasho3960 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuku wa mayai ni kawaida kutaga miaka 2. Jamaa nae kiswahili anakijua ila anajifanya hakijui.

  • @jerrymcbride2230
    @jerrymcbride2230 ปีที่แล้ว +4

    Huyo jamaa is boring…kizungu miiiiiiingi!

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว

      Kizungu si lugha tu kama lugha zingine anachoboa nini hapo hujapenda ujumbe au kizungu ?

    • @jerrymcbride2230
      @jerrymcbride2230 ปีที่แล้ว +1

      @@Jmmediaonlinesisi hatuelewi kizungu!!

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  ปีที่แล้ว

      @@jerrymcbride2230 😂😂basi sawa interview zijazo tutazingatia hilo 🤝

    • @jerrymcbride2230
      @jerrymcbride2230 ปีที่แล้ว

      Safi.. na kuku ni haina gani?

    • @jerrymcbride2230
      @jerrymcbride2230 ปีที่แล้ว

      Na anauzaje?..transport hiko?

  • @NeemaPatrick-l6n
    @NeemaPatrick-l6n 2 วันที่ผ่านมา +1

    Stupid Interview. Waste of my time. Hakuna nilichojifunza kwenye hii video. Ni majigambo au mafunzo?

    • @Jmmediaonline
      @Jmmediaonline  2 วันที่ผ่านมา

      Usjali wakati mwingine tuta andaa makala nzuri zaidi, asante kwa kuwa nasi.

  • @user-xi9lj1gz2p
    @user-xi9lj1gz2p 10 หลายเดือนก่อน

    Namba hazpo mbna

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 26 วันที่ผ่านมา

      Jamaa hataki usumbufu nadhan😆😆