KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @ummylashomba2847
    @ummylashomba2847 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri Mungu azid kuwatangulia

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  4 หลายเดือนก่อน

      amen , asante sana

  • @elfazjohn4215
    @elfazjohn4215 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni kwa kudhibiti vifo, na maerezo yako ukosahihi, kuku anatakiwa kukingwa na siyo kutibiwa, niko katoro geita, mi pia mfugaji

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      pamoja sana ...

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 5 หลายเดือนก่อน

    Hongerasana kwa kazi nzuri. Nami najifunza kutoka kwenu

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      asante , pamoja sana karibu

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 5 หลายเดือนก่อน

    Naoenda sana kufuatilia kipindi chochote kinachotoa mafunzo yaufugaji wa kuku naipenda sana hii kazi

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  4 หลายเดือนก่อน

      asante sana karibu...

  • @calvinmlowe8850
    @calvinmlowe8850 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzurii na ni uwekezaji mkubwa kazi isonge mbele🙏🙏❤️

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @gastonmangala4461
    @gastonmangala4461 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi kwa kazi kbs...
    Ila tunafanayaje tunapotaka kuanza ishu kama ivo

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      asantee sana
      jitahidi kufwatilia video zetu zote utapata kujifunza mengi na namna tulivyo anza. asantee...

  • @barakamutabazi2824
    @barakamutabazi2824 5 หลายเดือนก่อน

    Nice and keep up the good work

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      Thanks!

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 5 หลายเดือนก่อน

    Hongerasana kwa kudhibiti vifo

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      asnate sana

  • @kananiomwamirwenyagira8374
    @kananiomwamirwenyagira8374 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni jisanvu cha ile mihogo mikubwa? Hongera sana

  • @peacemakerdxb6012
    @peacemakerdxb6012 5 หลายเดือนก่อน

    Well done

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      thanks

  • @fermekulisha
    @fermekulisha 5 หลายเดือนก่อน

    Great work

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      thank you

    • @davidwayesu
      @davidwayesu 4 หลายเดือนก่อน

      Nipe namba yasimu

  • @KingoFarm1
    @KingoFarm1 5 หลายเดือนก่อน

    Broiler ? Ndio chakula Gani?

    • @BarakaKikoti-ub2xq
      @BarakaKikoti-ub2xq 5 หลายเดือนก่อน

      Broiler starter na layers starter itakua ka jichanganya apo kidogo

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo kufagia ni vipi

  • @Lynnalice217
    @Lynnalice217 5 หลายเดือนก่อน

    Wee 15 or 16 kwaiyi layers wanaanza kutaga miezi 4?😮😊

    • @barakamutabazi2824
      @barakamutabazi2824 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uakika kuanzia wiki ya 16 kama wanakula vizur

    • @lucasrobert3791
      @lucasrobert3791 5 หลายเดือนก่อน

      Ata uwape chakula kizuri vipi hawawezi kutaga na miezi minne kutaga wanaanza na miezi 6 adi 7

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@lucasrobert3791ata miezi mitano wanataga ukiwapa egg booster wanaanza na miezi mitano

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@lucasrobert3791Kwa hiyo taarifa zao ni Uongo!!!
      Eh!!

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 หลายเดือนก่อน

      Labda niwashauri kidogo,
      Hizo kamba zining'inizazo vyombo vya maji na chakula nadhani si IMARA.
      Nadhani mkitumia binding wire itakuwa afya zaidi.
      Hata hivyo, Hongera zenu

  • @jsmfarms71263
    @jsmfarms71263 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🙏🙌

    • @MutafarmTV
      @MutafarmTV  5 หลายเดือนก่อน

      🤝