@shamsaford ATINGA KWA NABII MKUU - GeorDavie TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2023
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun. . Mafillmasoon hao Allah atuepushe nao 🤲
Innalilah wa innailayih rajuun
Njaa itasababisha mnakuru .
Njaa mbaya sana,,
Muvi hazina pesa
Njaaaa mbaya Sana,lkn hata me nikigundua naenda na napata hela naenda lkn cyo coz ya kusali
Sanaaa
Wee shamsa mwehu Sana mtume wetu muhamd ametufunza mengi kushinda hayoo
Halafu anaitwa Shamsa Astaghafirulah
Kafir uyu mshangazi
Mmmmmmh wahovyo sanaaaaaaaa mshamba tuuuuu
Shamsha Ford atakuwa pastor kwakweli 🙌🙌🙌
Mimi Niko Moçambique lakin napenda sana katinka maisha masul na kasu yako ni visul sana baba
Amani ya bwana iwe juu yako babangu Geordavie
Pole sana sijui tukuweke sehem ya dini gani nilikuwa nakupenda Shamsa Lakini umenivunja moyo
Akuna nabii mkuu chini ya jua 💔Nabii mkuu ni Mungu tu 🤲🏾
Fanya urudi kwa Mungu achana na mambo ya kudanganya watu😒😒
Jambo sana nabii wa mungu na furahi sans kùa na weye ubarikiwe amen
Unipe namba ya nabii OK merci
Unanitia moyo amen
Mwenyezi Mungu si nabii wewe , bali yeye huteuwa manabii na mitumime bali yesu ndio nabii ,
Njaa mbaya sana
😂😂😂😂njaaaa
Njaaa hizi zinawaua nyiee
Mmmmm Mungu chunga watu wako turehemu tujue njia zako
Mke wa nabii awe makini shamsha kaenda kumtega nabii
Innalilah wahnalli la jun
Amen.Amen Shamsa ubarikiwe Kwa maneno hayo mazuri.
Kwa kweli Nabii mkuu, anabidi saana, na maneno yake mengine hata mimi yananipaga Nguvu saana, Mengine Hata mimi nayandika kwenye Status yangu ila Kwa Ki portuguez( kireno) niki mnukuu yy Dr Nabii mkui💪💪💪
Kumbe wahonyo sana huyu dada
Sana yaan
Acha ushg
Njaaaa zitawaua bongo movie😅😅😅😅dah
Njaa mbaya ndugu inatia hadi hasira
Kwa kweli
Duhhhh hatari sana jmn njaa mbaya
Wow Shamsha
Hakika wewe ni Mtumishi wa Mungu unahuduma kubwa sana
Tena Bonge la Muinjirist
Shikamo baba etu mungu kubariki sana nakwaminiya sana kasa mukanta na viatu tusonge mbele akuna kurudi nyuma mungu atusaidi
Safi dada angu umeongea vizur
Mungu akubariki sana SHAMSA FORD
Baba Mungu akubariki sana natamani kufika Kwa mara ya 3 Ngurumo ya Upako naamini nitaonana na wew
Mungu akutunzee nabii mkuu
Aminaa sanaa 👍👍👏👏👏🙏🙏
Mtumishi wa Mungu tuna ujenzi wa Kanisa. Tunakuomba utusaidie kiasi chochote Roho Mtakatifu atakachosema nawe. Asante.
Powerful prophet God blessed you a lot oooooooh!!!!!!!
Hakika umenena Sana Dadaa hongera Sana kwako mpendwa wangu karibu Sana Ngurumo ya upako
Nice nice love it's
Jambo Baba nitafurahi sana siku nitakuona live mimi naishi marekani
Muda murefu sana nafuata maubiri yako Baba .widow maman .kuna neno uliongeya ilinigusa sana ni hili kama unapendaka watu na watu wanakuchukiya ndivyo niliyvo Baba yangu neno ile ikanipa faraja sana .
Aisee kaongea vzr sna shamsa jmn Mungu azd kkuinua sna dada Mungu akuinue mnoo,,
Mwenyezi mungu nj mwema kwetu some huko vzur nabii nabii mkuu
Shamsha ubarikiwe
Mungu ni mwema kila wakati
Mungu ni wetu sote
Amina Baba geordevie
Baba mungu akubarik sana akupe maisha marefu mm kijana wako naomba nabii sapot mm nipo lugoba nfanya kazi ya mungu kanisan langu linaitwa p,t,m,c hema lakukutania tunachangamoto ya ujez wa kanisan na vyombo hatuna naomba sapot yako baba mungu azid kukutumia
Takukuru wako wapii jamani Kuna hela inatolewa bila ..... kujua I Inatok wapii
Shamsa ni muhubiri hakika
Milioni tano zitawauwa.kama shamsa kimempeleka njaaaa
Trueee hakuna kingne badala ya kuanza kuona watu wakienda wanapewa milion 5 au 10..wanachanganyikiwaa tutaona meng hiz nyakat za mwsho😢
Njaa nyoko ww
Subhnnallh mungu tustri yarab
From🇧🇮tunakupenda San naabi
Safiiiiiii
Shamsa 🔥🔥🔥
Hallelujah Hallelujah!!
T
Mmmmmmmmmm njaaaa zitawauwa watu wengi kweli duuuu uyu dada ninjaaa tu ndio mana kaja kwenye ilo kanisa duuuu wasaniiii bwana
Baba Nabii Mkuu..nikumbuke namm baba NIPO KISONGO KIWANDANI HAPA Baba
Njaaa mbayaa sna
May Almighty GOD strengthen your house and give you good health to continue the great work in Jesus name amen
Naitaji musawako kabisa mimi nikoburundi namatesoyangu
FANYA kazi ya Kristo ndugu GeorDavie utalipwa Kwa wakati usipozimia moyo.
Amen Shamsa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Unacheka cheka tu njaa mbaya sana
Mwili nao unachoka kuuza
Sema neno juu yanguuu baba
Ameen nakupenda sana my dda
Heri wenye REHEMA watapata REHEMA. Wenye MOYO SAFI WATAMUONA MUNGU.
Upendo wako kwetu nabii mkuu na msamaha wako na misaada kwa wahitaji tunashukuru sana endelea bila kukata tamaa.
Hallelujah hallelujah 🙏🙌🙏
Piga kazi baba you are A lion of Arushaa
Halafu anaitwa Shamsa astaghfirulah
I like it
Amina Amina Amina kwa mahubili yenye kutia moyo na kuponya mioyo iliyopondeka Amen 🙏in Yesus Christ name
Njaaa mbaya sanaaa
Shamsa uko vizuri
Milioni tano utapata shamsa Mungu akubariki neno litasimama
Hovyoo yaani unauza dini yako kwa milioni 5 ujinga mtupu
@@Kabeya410 hawezi kuuiza dini ila anaangamiza nafsi yake,Mwenyezi Mungu atuongoze katika njia iliyoonyooka,amiin
Bi gapu kwako Sr nasamehe wote walio nikosea Mimi rose
Innallillah waina illahi rajiun😢 hakika amepotea
We nakubariki na 10ml
Dada umenibariki Sana karibu tena
Njaaa mbaya
Inalillah wainayllah rajun; kafiri huyu
Kwenye hela kuna mengi
Anaongea Kama Mchungaji wow shamsa
Uyo dada ni mtumishi wa MUNGU
Subhanallha dude shamsa navina wrote waislam msiba huu😢
So proudly of you
Barikiwa
Jamoni jamonni dunia hii
Nabii wetu
Jaman baba tukumbuke na sisi ambao si maarufu lakin tuna shida.
Amena❤❤❤
Ubarikiwe sana kwa Mithali zako zenye mafunuo ya hali ya juu za zenye kujenga maisha, Baba yangu NABII MKUU songa mbele ili tuzidi kubarikiwa kupitia wewe, maana hakika wewe ni tunu Kwenye nchi yetu I love you Daddy 🙏🙏🙏 Nanyenyekea Kwako NABII MKUU 🙌🙌🙌
Sio MUNGU unanyenyekea kwa dady? wa kunyenyekewa ni mmoja MUNGU wa elia na yakobo.
@@nasizakayo3592uko sahihi
Nimewapenda kinashamsa Shamsa umeongea vizuri hata davina hujaongea maneno mengi safisana
Amen❤
Ubarikiwe shamsa🙏🙏
Savi Sana ukosawa
Kina Makenzie walikuwa hivi hivi hawa viumbe wana Mungu wao😂😂🙌🙌🏃🏃
😂😂😂😂😂😂😂Umeonaee
Mpunga kristo yuko kazini
Jamani.
Wenzenu kulekenya wamefungishwa mpaka wamekufa bado nyie kama hamjachomamoto basi mtanyonywa Dam mpaka mfe. Na mnajufanyagamnaimani ya kuwaabadu watu. Mtaisha vibaya mafillmasson. Wamekuka kuvuruga Dunia na kuuwawatu Allhamdulillah kwakuwa muislam
Jaman naomben location namimi nikamsalimie baba
Amina
🙏🔥🔥🔥🔥
Mungu akubariki sana shamsa..nimeipenda hii u deserve to be mama pastor, umeongea kama mtumishi wa Mungu
Mnajua kutiana moyo
👏👏👏🥰❤️🥰🇧🇮🇵🇸
Ila shetani jmn🤣🤣🤣🤣🤣😅khaaaaa mpk inasktsha
Kuwa na imani
Kafata pesa
Geodavie utawamaliza wote,,,
Wow
Njaa njaa njaa njaaa😂😂😂😂