Aliyedaiwa KUCHEPUKA na NABII GEORDAVIE Afunguka/Nampenda sana/SITOMUACHA/Alinipa HELA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2022
  • Mwanamke ambaye amedaiwa kuvunja ndoa yake kisa Penzi la Nabii Mkuu Geordavie afunguka ukweli wote juu ya mahusiano yake na Nabii huyo. Mwanamama huyo alichora tattoo ya Geordavie mgongoni amesema kuwa hajawahi kuolewa na hana mahusiano ya kimapenzi na Nabii huyo ila ni Njama za watu za kutaka kumchafua Nabii Geordavie
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #GeorDavie #NabiiMkuu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 428

  • @geofreypangani428
    @geofreypangani428 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana dada yangu Mungu akusaidie,usimwabudu mwanadamu Bali Mungu pekee kitendo hicho ni sawa na Ibada ya sanamu,

  • @francislmugami3222
    @francislmugami3222 ปีที่แล้ว +1

    Amini MUNGU MWENYEZI pekee ,usiweke imani Kwa binadam, binadam nimipita tuu, GOD is forever

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว +38

    Walawi 19: 28 “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”.

    • @pastor_mashimo
      @pastor_mashimo ปีที่แล้ว

      Kwani huyo ni mlawi? Hilo andiko lina wahusu Walawi makuhani

    • @khadijajacobo4660
      @khadijajacobo4660 ปีที่แล้ว

      @@pastor_mashimo kwa hiyo kumbe hata "waraka wa mtume Paulo wa warumi nk" Haziwahusu ??

    • @yustomlay
      @yustomlay ปีที่แล้ว

      Bibli yote itakuwa hatuhusu kama ni ivyo kama maandiko ni ya walawi,wayunani,warumi waefeso etc

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu ปีที่แล้ว

      Utajua mwenyewe.

    • @valeriamtenga3384
      @valeriamtenga3384 ปีที่แล้ว

      @@pastor_mashimo
      Kwaiyo Yesu ni wa waisrael pekee?!

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +7

    Nyakati za mwisho . Maajent wa kuzim wako kazini.

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +17

    Nabii ukimsifia tu anakupa pesa, naona mama kaangalia fursa

  • @angelfrancis929
    @angelfrancis929 ปีที่แล้ว +1

    Ulinzi wako ni mungu sio nabii utakuja kufa vibaya wewe unamuacha mungu unafuata nabii amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na moyoni make amemuacha mungu

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 ปีที่แล้ว +18

    Mwandishi uko vizuri, umembana mpaka kaingia kingi akawa anashimdwa hata kuongea, huyu mama mcharuko, wee angalia kwanza alikuwa anachepuka na mme wa mtu, yaani anawatia watoto wake aibu sana, just imagine lamda watoto wake wako vyuoni au shule watajisikiaje wakiwa na wenzao wanaposhuhudia uchafu huu ? mama anaonekana beautifully kumbe chenga tupu kichwani.

    • @ruciasimeo4431
      @ruciasimeo4431 ปีที่แล้ว

      Tubu mama mapepo yameisha kuvaa

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 ปีที่แล้ว +1

      Hawa ni waovu kikundi cha makafiri

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mama hajielewi

  • @injili90
    @injili90 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie afumbue macho ya watu Kama Hawa wanawatukuza watu wanamuacha aliyewaumba watu hawa

  • @schosay_
    @schosay_ ปีที่แล้ว +1

    Unapataje ulinzi kwa jina la mchungaji wako?? Jina linalotupa ulinzi ni jina kuu lipitalo majina yote nalo ni jina la Yesu Kristo! Ni jina pekee lipitalo majina yote

  • @odamssanga9025
    @odamssanga9025 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hakutaka tufanye Mapenzi yetu Bali katika Sala alisema tufanye Mapenzi ya Mungu sio ya nafsi zetu, hapo hapana.

  • @silasjonathan1952
    @silasjonathan1952 ปีที่แล้ว +4

    Mama kwakweli Mungu akusaidie akupe kuijua kweli kifupi tu. nikiongea sana ntakufuru Mungu.

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว +15

    Huyu mwandishi ni kichwa sana anajua taaluma ya utangazaji na anajua kipi haulize swali

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว +10

    innalilah wainna ilayh rajuuni.pesa hizi tusipo kuwa makini nazo.zinaweza kukuzalilisha na zikakutengenisha na mungu.

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +20

    1. Tutakuaminije km hujawahi toka na Mchungaji huku umekiri aliyekuacha ni mume wa mtu yaani ulikuwa nyumba ndogo
    2. Mama hata km watoto umewazaa wewe siyo sawa unawatia aibu especially wamesha vuka 18,20🤔huoni utafanya watoto iwaathiri psychology ktk maisha yao? Stop being selfish kwakuwa umewazaa.
    3. Mama umri huo ujui taoo ni dhambi dini zotee sorry mama umechachukaa saana nawaonea huruma wanao🤔

    • @jacquelineadrian6436
      @jacquelineadrian6436 ปีที่แล้ว

      Wamama weng tu ni selfish 😭😭😭😭sijui kwann yan

  • @mesiamatheo2230
    @mesiamatheo2230 ปีที่แล้ว +4

    Pole mama..maongezi na umri wako na vitendo haviendani...duu makanisa haya yanatupeleka Kasi...

  • @jacksaidi6704
    @jacksaidi6704 ปีที่แล้ว +11

    Amesha miminiwa sumu na nabii wake, huyu bimkubwa yuko mapenzini na nabii wake...hizi zama za manabii wa uongo zilitabiriwa.

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 ปีที่แล้ว +2

    Nyumba yako inalindwa na jodeli au yesu au mungu mkuu.kweli utoto huu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +2

    Kiatu cha mke wa nabii siwezi kukivaa hata kwa mangumi siwezi ona huu ujingq ninyqmaze ningeamkia magereza🙋‍♂️😫

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 ปีที่แล้ว

    Yaani Binaadam mwenzko amekuw nd mlinzi kwako kuliko Mungu aliekuumba dah!! Mtihani kw kweli

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 ปีที่แล้ว

    Mama Hongera!
    Nabii Joe Davie Hongera

  • @salvingothalum5160
    @salvingothalum5160 ปีที่แล้ว

    Kila siku nasema mungu nisaidie mm ad siku utakayopenda kunichukua kumuabud bnadamu mwezamu cwez mungu endelea kuishika imani yangu kwako siku ukinipenda zaidi, katika hukumu yangu uniukumu kwa madhambi yangu mm mwenyewe lkn sio ya bnadamu mwenzangu hakika nakupenda mungu wngu wew ndio wakuabudiwa kurko mtu yoyte naomba niendelee kuishi ikupendezavyo wewe.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว +1

    We dada tatuu Mungu amekataza.kabisa.tubutubu.kwa kuwa hukujua

  • @ellymartin9343
    @ellymartin9343 ปีที่แล้ว +13

    Kwa kweli kwa umri wako kifupi tunasema umeharibika tabia, kwanza umekuwa ukizini na mme wa mtu kwa miaka mingi, na sasa umeamua kumpenda Geodevi ilihali na yeye ni Mme wa mtu, umeweka Tatuu kinyume na maandiko ili kumfurahisha, Wewe ni mtu wa ajabu sana wala hujitambui.
    Geordev ni mwanadam kama Wewe tu hana chochote isipokuwa ujanja wa kujitafutia maisha kwa njia za Jongo na kuhalifu Neno la Mungu.
    Pole sana.

    • @rukhsanashamshu1727
      @rukhsanashamshu1727 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli hawa watu wako wengi waki hamua kuji tokeza kama huyo uta choka neno lina sema ishini nao kwa akili 😅😢

    • @vedastofransisfransinci5667
      @vedastofransisfransinci5667 ปีที่แล้ว

      Biblia imeandikwa, amelaniwa yeye awekae Imani kwa mwanadam

    • @mwatumumsofe2415
      @mwatumumsofe2415 ปีที่แล้ว

      Huna haya wewe mtu mzima ovyo

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 ปีที่แล้ว +2

    Kweri kazi yani leo kiongozi wa dini anafulahia mke wamtu kuchora tatoo ya jina lake halafu anampa na hera juu

  • @florajacobkiduma6495
    @florajacobkiduma6495 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nifundishe kunyamaza

  • @scolasticastephano4366
    @scolasticastephano4366 ปีที่แล้ว

    Huwezi kuokoka alafu uchore madudu kwenye mwili wako Yesu anasema jikane jitwishe msalaba umufwate

  • @murugamba5719
    @murugamba5719 ปีที่แล้ว

    Mama umepotea njia,unaacha mume wako kwa ajili ya mambo yasiyo ya msingi?pole sana mama

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 ปีที่แล้ว +14

    Ujatulia wewe mama ni shida

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว +4

    Yaani kwakweli tunahitaji neema ya Mungu,baada ya kumsikiliza huyu Mama sijui nisemeje,maana kumbe na aliye naye si Mme wake amasema ni rafiki,hajazaa naye, watoto wana Baba mwingine, Mungu tuponye hata huyu Yesu ulikufa kwaajili yake mponye na roho hizo zinazo muandam🙏

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Malaya wa zamani hamna kitu!!!

    • @marryfelician1426
      @marryfelician1426 ปีที่แล้ว

      Mimi naona huu ni umaskini unamsumbua iili apewe hela na Joe davi

    • @abdulhalimumlai3056
      @abdulhalimumlai3056 ปีที่แล้ว

      Ni kweli uyasemayo isipokuwa kuhusu kuwa eti Yeso kajifiya Kwa ajili yetu? Yesu hajamfiya mtu. Kila mmoja atabeba mzigo wake mwenyewe. Vipi ukimwi apate mtu mwengine Kisha Yesu ndio apigwe shindano?

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +3

    Kuna unri ukifika umalaya lazima uache, huyu mama ni Malaya mzee, yeye na huyo shetani mwenzie wanajuana vizuri sana...

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 ปีที่แล้ว +6

    Ati nabii, ati kuokoka !
    Siku ikifika mkijua hampo kwenye njia sahihi, lazima mlie na kusaga meno, Pale Yesu awaambie sijui mtokako.

  • @jameschotigunga3850
    @jameschotigunga3850 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @AmosSniper
    @AmosSniper ปีที่แล้ว

    Huyu mama anachokisema nikweli tupu, Kwa Imani yangu mamangu siku ukifatilia comment hizi elewa kijana wako' mie katka nafsi yangu nauwelewa wangu naimani yangu' nimeelewa huyu mama hamung'unyi maneno yupo sahihi mama nipekupenda Bure unajisimamia na unaeleza kweli kweli tupu, ubarkiwe mama na Imani yangu ukimpokea yesu kama unavyosema, utakuja kuwa bonge la Meinjilisti

  • @vivianvivian8585
    @vivianvivian8585 ปีที่แล้ว

    Ww ni malaya sana🙌

  • @hosenishani6418
    @hosenishani6418 ปีที่แล้ว

    Olopiga hii interview safi kwa sababu umekuja kwa reference ya bibilia mbona Mather anajichanganya mara kkkt mara sijaokoka du

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +12

    Mwandishi safi Sana unaijua kazi, umembana Hadi tumelijua dili 🤣

    • @charlessmndeme4349
      @charlessmndeme4349 ปีที่แล้ว

      Wewe unayejielewa umefanya nini, acha watu waonyeshe mapenzi yao kwa watu wanaowapenda

  • @gh7naa
    @gh7naa ปีที่แล้ว +3

    Wanamsngizia yesu kwa mambo ya ajabu hata yesu atashaangaaaa

  • @edyi9187
    @edyi9187 ปีที่แล้ว +2

    😆😆huyu mama anahitaji maombi na ni mzinifu anakaa na mme wa mtu miaka minne alafu amwita rafiki yake,tena nyumba moja khee Dunia shuka,niteremke 😆😆

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 ปีที่แล้ว

    Makafiri mnapata taabu saana kumtafuta nani Mungu wa kweli,wengine mnasema Mungu ni Yesu,wengine mnasema Mungu ni watatu,wengine wanasema Mungu ni Bikira maria na vijisanamu na wengine mmetengeneza ng'ombe ndio mungu wenu,Lakini nawahakikishia mtakuja kujua ukweli juu huu Uhuni wenu wa kutomtambua Mungu aliewaumba na kuwapa kila mnachokitumia,Wachungaji wanawapoteza kondoo wao.

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 ปีที่แล้ว +3

    Una mapepo Mamy 😭😰😰

  • @japhetmichael2797
    @japhetmichael2797 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli huyu mama analake jambo moyoni mwake juu ya nabii. Anajipendekeza sana

  • @roselyimo3676
    @roselyimo3676 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli Mungu atufunue ufahamu wetu maana pamoja na Yesu kuwa na nguvu za Mungu Bado alikuwa anamuomba baba yake akiwa sirini.
    Hapa kwa manabii Hawa sioni maombi ndani yao zaidi ya unabii wa machoni na miujiza isiyokoma.
    Mungu ni Roho sio mwanadamu tujue hilo na usijifanyie sanamu wakati yeye yupo.
    Tuombe Toba kwa haya yanayoendelea ili Mungu aturehemu watu wa Mungu.

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 ปีที่แล้ว +32

    Siku za mwisho tutasikia maajabu hili ni dogo sana makubwa yanakuja.huyu mama ni pepo kamili mtu yoyote mwenye hofu ya mungu hawezi kuchora tatoo kingine hana busara ni mama wa mjini anatafuta kiki kpengine ana biashara fulani anataka ajulikane.

    • @GMD820
      @GMD820 ปีที่แล้ว +1

      Mama Kwa yesu mpaka mapepo ya uzinzi yanasalimu amri mkimbilie yesu upone

    • @Veni584
      @Veni584 ปีที่แล้ว

      Soma ufunuo wa Yohana 19:16

    • @constanciashangali7523
      @constanciashangali7523 ปีที่แล้ว

      Ha

    • @sharmilaoman6389
      @sharmilaoman6389 ปีที่แล้ว +1

      Oky mama anatafuta Kiki kwann huyo nabii aside na msimamo maana yy twaweza sema Ana imani kushinda huyu mama yaan nabii anaruka kwa furaha kisa kuchorwa tatuu

    • @constanciashangali7523
      @constanciashangali7523 ปีที่แล้ว +1

      @@sharmilaoman6389 Kwenye Iman mtu anaweza kufanya chochote.., Mimi simshangai kabisa huyo mama, kiki anatafutiwa na WATU wanaompost na kumdhihaki.. Wakristu tunaamini Yesu (Mungu mwana) hakuja duniani kukutana na Wakamilifu.. huyu mama kimasihara tuu keshafunguliwa mlango wa mbingu.. Ila binadam watakuwa wanapoteza mda wao kumdhihaki.

  • @aishaidrissa6133
    @aishaidrissa6133 ปีที่แล้ว +2

    Haya Sasa manabii wa uongo waanza kudhihirika waziwazi,anampogeza mama kujichoramwili wakati ni dhambi,lkn hata yeye mwenyewe geordavie kajichubua alikuwa mweusi,dhambi hizo

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Kavutiwa na pesa zake. Wanawake upenda wanaume wenye pesa na wanaojua kuvaa

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Yn kiongoz wa dini ndo anakulinda badala ya mungu yn wabongo tubadilishwe akiri na hyo mama huenda kapewa pesa nyingi San na hyo nabii wa uwongo

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 ปีที่แล้ว

    Oooh Ama kwel hizi ni nyakati za mwisho.

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 ปีที่แล้ว +12

    Yaaani haya ni majini kutoka kuzimu Yesu tusaidie

    • @samludo5435
      @samludo5435 ปีที่แล้ว +1

      Heri wew uliyejua! Wanavaa tu milli ili kuwafanya wanadamu waone dhamb yakawaida na Mungu ni kama anko wao mizaha makanisan ktu cha kawaida.

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 ปีที่แล้ว

      @@samludo5435kabisa

    • @samludo5435
      @samludo5435 ปีที่แล้ว

      @@neemaloy889 malaika ni watakatifu sana lakini kwa Mungu hawana ujasili wanatetemeka wanamuheshm na kumuhofu afu mwanadam kweny nyumba ya Mungu afanye mizaha mala awaite wachekeshaji wafanye mizaha umoumo mala a play mizk ya kidunia kanisan kwke hamna kitu apo ni ubabaishaj tu.

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 ปีที่แล้ว

      @@samludo5435 safari hii shetani amepigwa na kitu kizito @samludo ukweli ni kwamba wanafufuo roho za kuzimu ziwavae watu waone kila dhambi ni kawaida tu, na ukishaona ni kawaida ujue upo mbali na Mungu, ukiwa mbali na Mungu umekwisha, tuwe macho sana

  • @sufianeassumane1313
    @sufianeassumane1313 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mtu nawaishemu manawake, Nawe pia. Kama una itaji mumu atakae kukuheshimu, niko apa. Im come from Mozambique.

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 ปีที่แล้ว +9

    Kuchorana Tena alafu anashangilia wanajuana hao siku za mwisho

    • @charlessmndeme4349
      @charlessmndeme4349 ปีที่แล้ว

      Kuchora, kuchora kitu gani, unaweza kuchora lakini usione ndani.. way back mchizi mox

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว +1

    J,Dav kweli habari hii???? Hana Mke????????????Sii angeoa tuu????????!!!!!!!! Watakuwa chama kimoja.

  • @mwanadigital1
    @mwanadigital1 ปีที่แล้ว +1

    Duh ndo kujiaibisha kwenye media hivi kweli! Nahisi hajui Kama anajiaibisha

  • @afwililenisaidie9597
    @afwililenisaidie9597 ปีที่แล้ว

    Mama mwamin mungu acha uhuni unamwamin nabii mpaka una chora yesu analudi

    • @mangashajunior242
      @mangashajunior242 ปีที่แล้ว

      Geor davie ni shida aache ukikaa vibaya anagonga .

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว

    Kweli mapenzi kizungumkuti, kawakana watoto, kamkana Mme wake, kanikana Kanisa lake, kanikana Imani yake. Hamwamini tena Yesu Kristu bali Imani yake ni kwa Nabii Mkuu, penzi limekolea anajiapisha kutomwacha nabii Mkuu Pepo la ngono likimwingia mtu hakuna wa kulipunga.

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 ปีที่แล้ว +5

    Umeshindwa kuchota tattoo wakat upo mdogo unaenda kuchora tattoo uzeeni Kwa kutafuta kiki mpuuz mmoja wee

  • @lucasmfaume6673
    @lucasmfaume6673 ปีที่แล้ว

    Sasa kama unamwamini huyo mungu wako Geordavie yanini kujisumbua geuka mama umepotea sana wewe

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว

    Huyu mama ni maisha tu ingekua sio njaa angeandika Yesu au Mungu. Huyu ni lafiki wa wafanyakazi wa joodev wamegawana zile million tano pole zake huyo mama

  • @AMINIELIHAALI-xv1rd
    @AMINIELIHAALI-xv1rd 15 วันที่ผ่านมา

    Mama MUNGU akufungue AKILI YAKO UPATE kuelewa UCHAWI WA GEOR DAVY , ,HUO NI FRIMASON LIVE KABISAA, , , MUNGU WASAMEHE WATUMISHI WAKO HAWA

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +3

    Mama muhuni huyu, hata huyo mzee mwenzake kumbe siyo mume wa ndoa, na watoto si wa mwanaume huyo, lakini amekataa kumtaja mwenye watoto inaonekana anazaa na waume za watu.

    • @expert5898
      @expert5898 ปีที่แล้ว

      Wewe si unaona kabisa kichwa chake sio kizuri

  • @joshuamatagane1318
    @joshuamatagane1318 ปีที่แล้ว +2

    MAMA ANAONEKANA WA HESHIMA ILA NI MJINGA SANA....YAANI AMEJAA UJINGA NA MATOPE KICHWANI

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว

    Keshaliwaaaa

  • @Qs3557
    @Qs3557 ปีที่แล้ว

    Aah we mama mjinga Sana huenda mnapanga folen Kwa huyo mchungaj wenu kuchepuka

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 ปีที่แล้ว

    Nabii naye mkamhoji ili tumsikie kwa mdomo wake. Utukufu wa Mungu upo karibu kuja....

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +1

    Huy7 mama amejitoa ufahamu kiwango cha sgr..umri huo unachoraje tatoo

  • @paulmakau27
    @paulmakau27 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha chuma cha Japan hichoooo😂😂😂. Jua lenda na ukali wake hilooo duuuuh ama kweli kubanana hapahapa kazi ni sasa😂😂😂mama shikamoooo

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว +1

    Badala ya kumpenda Yesu unampenda mwanadamu.
    Baadhi ya watu wa Kaskazini,inapofika issue ya pasa,huwa wana muweka Mungu pembeni
    Huyo 100% kafuata pesa.

  • @humphreykilamsa322
    @humphreykilamsa322 ปีที่แล้ว

    Mbona. Kichwa cha habari tofauti n.a. story muandishi uchwara

  • @user-os9xl4hu6s
    @user-os9xl4hu6s 10 หลายเดือนก่อน

    nyinyinimashetani munguawashulikiye

  • @allykamwela9498
    @allykamwela9498 ปีที่แล้ว

    Mungu akukumbuke

  • @simonrichardmosha6141
    @simonrichardmosha6141 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa mpika kiti moto majengo Peters club?

  • @happinessmisanga4944
    @happinessmisanga4944 ปีที่แล้ว

    Kwa ufupi hujielewi wewe naachilia damu ya Yesu kichwani kwako pepo liko limekujaa kichwani litoke kwa jina la Yesu umekosa mume watoto hawatakupenda tena sahau

  • @saifarafa8728
    @saifarafa8728 ปีที่แล้ว +7

    Mtu mzima ovyo

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 ปีที่แล้ว

    Hapo umemuona mwanadamu sio Mungu

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo mimama ndo mi sugarmummy.
    Ndo yanabaka vijana na kuwaambukiza ukimwi

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว

    Kkkkkkkkkk dah watu tunachoshwa sana duniani humu

  • @francismsemwa7288
    @francismsemwa7288 ปีที่แล้ว

    Kiruka njia huyu ,nimjanja anatafuta maisha ya rahisi.nabii siyokweli kaumia ,kafurahi sana kiasi chakusema angetupia imojj ya mtu akikimbia .nakukupa pesa hii imekaaje

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 ปีที่แล้ว

    Mwamini mungu ww kimama. ww kimalaya tu

  • @allykamwela9498
    @allykamwela9498 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu akukumbuke

  • @malulamuhoja1692
    @malulamuhoja1692 ปีที่แล้ว

    Huyu ni adui wa Mungu na mwana wa kuzimu, asubiri ijara yake,

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 ปีที่แล้ว +1

    ALISEMA BISHOP SUMBE MANABII WA UONGO WATAJULIKANA

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว

    Ukisikiliza vizuri stori ya mama tu ni mtihani mtupu, anaishi na rafiki tu kwa miaka 4, kuhusu baba watoto ni private mmhh..ila muabudu nabii mkuu na muabudu yesu wote kundi moja.....yesu anasema "Na uzima wa milele ndio huo, wakujuwe wewe Mungu wa KWELI NA PEKEE"..

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว

    MAJIMAMAMA ya mjin hayo,huwa hayaolewagi wenyewe ni kula Bata tu, wanapoint sehemu zenye pesa tu,hawaangalii ni mume wamtu wala nabii ukijichanganya tu wamekunasa

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 ปีที่แล้ว

    Huyu hana haja na neno la mungu Bali ana haja na huyo nabii tu anampenda nabii jamani ameamua kuvunja ndoa yake ili aishi na nabii Huyo mvunja ndoa za watu ni hatali sana Huyo mwanamke umejichafua mwemn

  • @benjaminisululu267
    @benjaminisululu267 ปีที่แล้ว

    Harafu unakuta watu wamejaa kanisani kwake wakisema bwana asifiwe nakudhangilia huku wakiimba nyimbo za kumtukuza baba MUNGU wa mbinguni hakika hili linauma sana wana wa MUNGU

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 ปีที่แล้ว

    Naamini Kama huyo Mama angekuwa amechora picha ya mwanamziki Fulani maarufu au kiongozi mkubwa wa kisiasa msinge sema , Ila kwa Kuwa kamchora mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Goe Davie basi nongwa.
    Nasema Tena mwacheni huyo Mama ni mtumishi wa Mungu
    Nyie Nani kawapa mamlaka ya kumuhukumu!

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 ปีที่แล้ว

    Ipo pia cku yakujutia huo ujinga,dada zangu cjui wanadanganywa na nini utu uzima unaingia naona wengi wanapotelea utuuzima

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 ปีที่แล้ว +2

    Mama ni mhuni sn,aibu

  • @rastonmwakifuna8583
    @rastonmwakifuna8583 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwandishi anaijua kazi yake,media kubwa zaidi ya hapa alipo Sasa inatakiwa kumpa nafasi. Ameweza kubalance maswali na ameeleweka!

  • @hannajoseph645
    @hannajoseph645 ปีที่แล้ว +2

    Pole Mungu anasema msimtumainie mwanadamu Wala msimwamini mwanadamu niaminiimimi msichotere walawi 19:28 wewe ni mtu mzimaa umepofukawapi macho funguka acha zabr 127:1_5 Bwana asipo ulinda mji wakeshaa wakeshaa bure huyu simungu mlinzi ni Mungu mama Mungu akusamehe toa mahaba kwa na bii pole kwa maamuz yako kumbe nimcheouko ndy maana mahabaa ya meelekea ka nabii pole .watu wangu wanaangamia kukosa maarifa wemama ombatobaa kwa kuchukua mume wa mtuu.Mmmmhh kumbe nikujipatia ulaji.Haya yote yatapita.

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 ปีที่แล้ว +3

    Yani unawazalilisha waruthel wewe pepo pia kina mama wote unaonekana wewe ni danga htr

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 5 หลายเดือนก่อน

    Umemu weka Geordavi kuwa mlinzi wako yeye ni MUNGU?sio kweli wewe mama lpo shida haipo sawa pole yako yesu anarudi Hadi aibu jamaaaaani kweli Dunia imekwisha anatafuta kula

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 ปีที่แล้ว +5

    Wanajuana na nabii

    • @GMD820
      @GMD820 ปีที่แล้ว

      Makahaba yote

    • @kenedymdemu6943
      @kenedymdemu6943 ปีที่แล้ว

      Wewe hujielewi hapo unamwabudu mtu na umemdharirisha sana mumeo ni njaaa zako tu ungetafuta namna nyingine na unampenda kimapenzi wewe irudie ndoa yako

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Malaya na nabii feki mungu atawaabisha mtaona mengi juu yao

  • @AMINIELIHAALI-xv1rd
    @AMINIELIHAALI-xv1rd 15 วันที่ผ่านมา

    KUMBEE MAMA UNA MAKANDO YAKO MENGI SANAA, , HII DUNIAAA

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 ปีที่แล้ว +5

    Siku maisha yakinipiga nitafungua kanisa langu( maana siku hizi mtu anakuwa na kanisa lake ,anabandika picha yake na mkewe kwenye kanisa) ili nipige pesa ,nikihubiri kanisani kwangu nyuma lazima kuwe na bodyguard (upuuzi mwingine) ,bank ,account ya kanisa itakuwa kwa jina langu na mke wangu .
    Hii inaitwa kutapeli kwa jina la Yesu.

    • @kaimasawe1919
      @kaimasawe1919 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo ukiruka stage utafanya Mambo ya hivyohivyo...

    • @mustafamsatimuhenga253
      @mustafamsatimuhenga253 ปีที่แล้ว +1

      Fanya tafiti kisha silim

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @esthershaluah3770
      @esthershaluah3770 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa ndg yangu hiki kitu kinanikera sana sana, A/C ya kanisa badala ya kusoma jina la kanisa eti inasoma majina yao Mmh! Hatari.... Eeh Mungu tusaidie!

  • @yudathadecostantine926
    @yudathadecostantine926 ปีที่แล้ว

    Yaani Kuna watu wanaaibisha sana aisee.

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 ปีที่แล้ว

    Uyo mama ana jambo rake,Kuna kitu kina muwasha washa,

  • @rukiasalum7628
    @rukiasalum7628 ปีที่แล้ว +2

    Umekwisha wewe ulizi wako tauu mungu akuijilie akufunguwe

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 ปีที่แล้ว

      Huyu ni kafiri ni idhihari yao

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +10

    Nabii mpenda totoz dah! Uyo jama anakula waumini wake sana🤣

    • @GMD820
      @GMD820 ปีที่แล้ว

      Kbsa

    • @adamufundikira7878
      @adamufundikira7878 ปีที่แล้ว

      @@GMD820 UWA mnakuwepo chumbani nae

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +1

      Mchungaji anakula kondoo wke😂

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 ปีที่แล้ว

      Tatizo ibada nyingi Ni za. kipepo wengi Hawa Oni..hyo KWA jinA la yethu Ina wadanganya Maaana huyu YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI. Hatumiki..Bali Ni Wana KEMEA kwa jinA la huyo yethu. Wao mkuu wa Giza. 😭😭