MIRAJI Afunguka Ukweli SAKATA LA KIBU DENISI TAMAA YA PESA Imemponza ARUDISHE PESA AONDOKE TU SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 หลายเดือนก่อน +2

    Kibu anadanganywa Simba itamkomesha wao ndiyo wanamkataba huko wala hatacheza timu za nje wako makini sana kuhusu mkataba ana tamaa sana

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 หลายเดือนก่อน +2

    Kibu tamaa imekuponza Simba itakunyoosha

  • @MejaFady
    @MejaFady หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 poleni

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +4

    Watanzania bwana, kila issue ni kiki. Huyu ni mchezaji hamwezi jua amepatwa na nini?? Punguzeni maneno basi, mwachieni privacy yake.

    • @user-tq5di6mv9c
      @user-tq5di6mv9c หลายเดือนก่อน

      Kwanini asitoe taarifa kwa maboss zake ?baada ya kuchukua pesa ndio jambo limpate😂😂shida zake hazituusu aludishe pesa kwanza apambane na shida zake

    • @athumanshaban
      @athumanshaban หลายเดือนก่อน

      Kibu siyo mwehu sisi washabiki ndio kila kitu tunajifanya tunakijua mikataba ya simba na yanga huwa kunauhuni mwingi kunawatu wanapiga hela sisi kazi kulaumu wachezaji kama kibu anatatizo sheria za michezo sizipo

    • @user-tq5di6mv9c
      @user-tq5di6mv9c หลายเดือนก่อน

      @@athumanshaban ndio tunasubilia tuone kama niuhuni itafahamika nakama anatuhujumu itajulikana

    • @athumanshaban
      @athumanshaban หลายเดือนก่อน

      Sawa ila huyu wanae yeye nikama nani kwenye usajil

    • @user-tq5di6mv9c
      @user-tq5di6mv9c หลายเดือนก่อน

      @@athumanshaban mwanachama anachangia tim

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib หลายเดือนก่อน

    Mimi ata mtandao ya kijamii inatumika vibaya sana habali nyingi za simba viongo wa simba chaguweni watu wa kuisemea simba kama 10 wanatosha na wawe wamesajiliwa

  • @YunicKilasa
    @YunicKilasa หลายเดือนก่อน

    miraji kibu anawashauri wake ywezekana kafuata tartibu kaka
    ILa kiukwel napenda uchambuzi wako

  • @suleimanmohd6382
    @suleimanmohd6382 หลายเดือนก่อน

    Miraji uko vizr sana ila mda mwngn huelewek bro wangu usimalize maneno huo ni mpira tu na ndio mpira wa kitanzania

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib หลายเดือนก่อน +1

    Bado mbinu za viongozi wa simba changa mbona wachezaji wanawasumbua mfano lawi kibu chama uwo umakini wa kuzibiti wachezaji upo wap

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 หลายเดือนก่อน

    BROO MPIRA UNAUJUWA KAKA BIG UP SANA. NITUMIE NAMBA ZAKO NIKUTILIE HAMSINI UKAWEKE VOCHA KAKA

  • @aminienzi693
    @aminienzi693 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hata ww ukiwa unafanya kazi ukiwa na shida huwezi kutowa tarifa sahihi

  • @user-rh9hc7ss2m
    @user-rh9hc7ss2m หลายเดือนก่อน

    Kwanini muna lalamika amujiamini

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Miraji unaongea sana mpaka unajichanganya

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Marekani kalipiwa na mkwe siyo Mo

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Kibu kaacha mpira anafanya mambo mengine

  • @user-ny7mi1ui4w
    @user-ny7mi1ui4w หลายเดือนก่อน

    Hamna hela nyie kibu hela katoa, tray Agen ya usajili

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Anajitoa ufahamu mbona Simba hawajatoa barua kwa Chama?

  • @user-ny7mi1ui4w
    @user-ny7mi1ui4w หลายเดือนก่อน

    Mnaunga unga tu nyie hamkukamilisha,

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o หลายเดือนก่อน

    Naww unaongea nn sasa kama Kuna kilicho mkuta kwann asisema mbna vyote kasema. Na jatimiziwa

  • @MejaFady
    @MejaFady หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 poleni