I have loved the fact that you are real. Hakuna kufunikafunika. Nyimbo zako zimenibariki sana. Asante pia kwa kuonyesha kua wasanii wa injili sio malaika , ni wanadamu na wanakosea wanudhaifu wao. Na si eti kwa sababu wewe ni mwanamke lazima upende kupika ua kuosha. Tumetunukiwa tofauti tofauti. Kuna wanawake ambao mambo ya nyumba hawako kabisa. Lakini Pendo dadangu nenda shule za upishi ujaribu kwa sababu ni mume wako. Pia upendo upitia mume kushiba. Barikiwa sana dada na zidi kuimba.
Kweli mama Nkone wewe kweli mchehi kumbe!! barikiwe sana.Mungu tena awabariki. sasa tunavunjwa moyo na kina mama wengi apo gaspol singers maranyingi kuwachana na waume. Mungu aendeleye kuwa nanyi
Huyu mwanamke sikumfahamu kumbe. Nilidhani ni mature enough mwenye hekima na busara. Pia nilidhani zile hisia unavyoimba unampenda Mungu kumbe ni msanii tu, unawezaje kumnununia mme wako mwezi mzima ili hali ni mtumishi wa Mungu kupitia uimbaji. Sijui wewe ni comedian au shule pia ilikua bahati mbaya.
Jamani yeye nibinadam kama mimi na wewe huduma yakuimba kapewa na mungu nimependa alivo muwazi wengi wanatuvalia ngozi yakondoo kumbe ndani mbwa mwitu asante nkone uwaz wako nifundisho tosha kwa wafichs siri
Muke ni upishi mum. Wana ume wengi utoroka muke wao kwakukosa kujua kupika.maranyingi unapata mwanaume anaeza kutoka na kukula inje. Inawapa mawazo yakua na mpango wa kando.hapo itabidi ujikakamue mum. Usije ukaachwa
Shundwe sana what are you tell our young women to fight there husband if i had power this Tanzanian so gospel singer shouldn't come to Kenya..sama Christin shoshu who just divorced his humble husband coz pesa mingi kenya Lord arise a new generation who will worship you in truth and in Spirit hawa wengine expose them Lord
Kumbe mtani hivi Upendo ... Nabarikiwa sana kila nikisikiliza nyimbo zako
I like the way, you are so open. msema kweli mpenzi wa Mungu. Love you my wifi!!!
I have loved the fact that you are real. Hakuna kufunikafunika. Nyimbo zako zimenibariki sana.
Asante pia kwa kuonyesha kua wasanii wa injili sio malaika , ni wanadamu na wanakosea wanudhaifu wao.
Na si eti kwa sababu wewe ni mwanamke lazima upende kupika ua kuosha. Tumetunukiwa tofauti tofauti. Kuna wanawake ambao mambo ya nyumba hawako kabisa.
Lakini Pendo dadangu nenda shule za upishi ujaribu kwa sababu ni mume wako. Pia upendo upitia mume kushiba.
Barikiwa sana dada na zidi kuimba.
😀😀😀😀😀sinimecheka aki huyu mwanadada amenijaza sana,barikiwa sana nakupenda
Barikiwa sana Dada Upendo. Mungu akupe miaka tele.
Unazidi kunibariki. Umeeleweka.
Aisèe ckujua kama we mcheshi ivo,,,pia nmependa ni jinsi gni ulivyoelezea mapungufu yko.Nakupendaga sana
hahaaaaaaa nimekupendaaa wallah sikuwa najua inautani sanaaa
hahaa, upendo Mungu akubariki nimekupenda
😂😂😂😂kumbe huyu mama nae n msela
Hahaha upendo una mambo akika mungu ufunika watu tabiya.
Kenya we love you
Your music bless my heart happy to see you mommy 😘
Ukoka Mkone bado ujabadilishwa
Upendo nimekupenda sana kwa kuwa muwazi, maana Luna wengine wanahisigi wachungaji hawagombani kabisa
upendo mkone Leo umenivunja mbavu kumbe pia ww huongea hivyo!! nimekupeda bureee!!! from Kenya working in Saudi!!
nimekupenda wifi yangu ni msema kweli
Kweli mama Nkone wewe kweli mchehi kumbe!! barikiwe sana.Mungu tena awabariki. sasa tunavunjwa moyo na kina mama wengi apo gaspol singers maranyingi kuwachana na waume. Mungu aendeleye kuwa nanyi
Love u upendo aya mambo yko...umesema kweli mtumishi
dadangu umenipa raha sana mungu akubariki sana katika hyo huduma....natamani siku moja tufanye collabo na wewe anakupenda buree mtumishi wa mungu
duh, upendo nkone we n htr!
aah ahha hha nimekupenda mpaka basi jaman.. ur very fun
have been looking for this mama really lv sana
haahaahaa. dada mbavu.zangu.mie 😂😂😍😘😘🙆
nimekupenda bile aise mcheshi afu mkweli dah safi sana mama
Mmh!! ana vituko Upendo
Nakupenda sana unavituko kweli
yaani imebidi nicheke tu, anavituko kumbe upendo.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Da UPENDO miss you😂😂😘😘😘
Haiyaaa.... Wewe ni mke kweli
hahaha I love you mom
upendo mbavu zangu mie
Huyu mwanamke sikumfahamu kumbe. Nilidhani ni mature enough mwenye hekima na busara. Pia nilidhani zile hisia unavyoimba unampenda Mungu kumbe ni msanii tu, unawezaje kumnununia mme wako mwezi mzima ili hali ni mtumishi wa Mungu kupitia uimbaji. Sijui wewe ni comedian au shule pia ilikua bahati mbaya.
Jamani yeye nibinadam kama mimi na wewe huduma yakuimba kapewa na mungu nimependa alivo muwazi wengi wanatuvalia ngozi yakondoo kumbe ndani mbwa mwitu asante nkone uwaz wako nifundisho tosha kwa wafichs siri
Hujayajua MAISHA ndio maana unamlaumu Pendo.
Iko siku utayajua yatakufundisha
Hawa sio malaika Ni binadamu
Hongera wewe ambaye Ni mtakatifu
Hahaha nakupenda sana mama
Ahahaha Umejua kunifurahisha mamaangu😘😘😘
Dada yangu umenivunja mbavu, barikiwa.
😂😂😂😂jamn wewe penda sana
😀😀😀upendo wewe umenivuja mbavu
Big up dada
Nakupenda sanaaaa
Nkone wee Hitra aki. Lol i love youuu😍😍
Mungu akubariki upendo nkone mama yng
Hahahaaaaaaa
upendo mama nimekupenda barikiwa
Pika chakula wewe!!! Sifa mojawapo ya mke ni kuokoka!!! Mbena ndugu yangu huyo.
Huyu mama nampenda sana Kwa ucheshi wake
I love u Madam Upendo
Hata Mm nimempenda Huyu dada maana angedanganya aseme hatugombanagi, Nampikia.co fresh ulokole ni matendo dada
aisee barikiwa wajina penda sana u
Muke ni upishi mum. Wana ume wengi utoroka muke wao kwakukosa kujua kupika.maranyingi unapata mwanaume anaeza kutoka na kukula inje. Inawapa mawazo yakua na mpango wa kando.hapo itabidi ujikakamue mum. Usije ukaachwa
Upo vinzr my nakupend bule
Upendo umeniuaaaa,huku kucheka sio poa jaman
kweli hapo umechemka Dada mwanaume chakula
Mhuuuuu! Shida sana.......!
ahahaaha penda sana ww
mtumishi umesema ukweli wa madhaifu yako,injili inataka ukweli,ushauri wangu ni mhimu ujiulize kwanini hupendi kupika?
Imetokea tu Maisha ya mtu si kila mtu anaweza penda Kufanya Vyote
hahahaaaaaa sikuwezi wewee mama. Ila Ni kweli kabisa ktk ndoa hayo mambo yapo hata tusiposema yapo tu
Aisee nmekupenda
how normal, funny
So real... Nimekupenda bureee
mama unatufurahisha sana jamani nimependa
Hahahhahah
😂😂😂 dah yaani ww
Mmm hapo ni ukweli au ni utani tuu
Umejiachia vilivyo....moyo wako upo wazi...
mikono coca...USO fanta
Shundwe sana what are you tell our young women to fight there husband if i had power this Tanzanian so gospel singer shouldn't come to Kenya..sama Christin shoshu who just divorced his humble husband coz pesa mingi kenya Lord arise a new generation who will worship you in truth and in Spirit hawa wengine expose them Lord
nimeipenda kwa kusema ukweli.
Jamani nimejikuta nacheka hadi bass
Mama nakupenda zaid
Dada nakupenda na wewe ndo ulibaki changuo langu hapo kwenye kujikirimu ndo umenitoka yaani
Black Beautful
Wabena bn atari😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nakupenda bure
,upendo dada yangu haaaaa
ongera nakupenda sana jamani
Kumbe
hahahahahahahaha nimetokea kukupenda mara 70 7
Ww ni mzungu mamaaa
Ndio maana nakupenda
I love her ....rep +254
Nimependa uwazi wako
Yan dada nakupenda sana, kumbe mcheshi hiv?
Nimekupenda bure vitenge vinaanguka msela wewe unanikumbusha shangazi yangu nimekupenda bure
hahaha jaman huyu Dada no kichekesho tu.amenfraisha mpaka BA's.yaan yey anasema ukwl wake
😂😂😂😂😂😂😂duuuuuuuu
Zaman ulikuwa mweupe au kamera? 🤔🤔🤔
Pepo la kubadili ngozi toka eti Pesa sijui maji ndo yanawafanya wawe weupe duuh
Umenichekesha leo dada yng mpaka nimekoma.
ninakupenda sana mamaangu
Hahahhhaahhah
Jifunze kumpikia mmeo,wadada wana mwisho,iposiku ataondoka
Hahahahaha
Nimependa umeongea ukweli bila kuficha ila jitahidi kumpikia mume ni chakula
jamani
🙄
wanawake wa siku hizi bhana, hupendi kupika???? kweli kazi ipo
Bora umesema ukweli
hahaha
ahaaa
Hahaaaaa umenichekesha. very amazing dada
hahahaaa umenifurahisha my UPENDO
😄😄😄😄😄😄😄
Aisee unaongea ukiwa usawa wa mlango nimecheka mpaka bac
Unamambo kumbe, ila nimependa sana nimuwazi , ila naomba uwe unampikia mmeo
dada yangu acheni mapodozi jamani Mungu hapendi hayo, musipo acha mbinguni hamuingii
Duh hongera wewe umeshaingia Mbinguni
Unahitaji msaada zaidi
hahaaaaa
upo sawa upendo
khaaaa kumbe unaongea hivo utafikir umetandika lite
haaaa !kumbe hamko tofauti sana wanawake mliookoka ktk maisha ya kawaida ndani!(umnakeroooo)!!
Usawa wa mlango hamna kukohoa
Unautani balaa
By the way ulivyo ndivyo nilitegemea utaongea kama unavyoonekana,usemi wako umekuwa tofauti na wewe .
Hapo Dada umechemka sikutegemea kama ungeweza kuongea hayo.
Specioza Alloyce ulitaka asemeje anaongea ukweli