ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Upendo Nkone akiri kutumia mkorogo, aeleza sababu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2024
  • Alikuwa akijibu maswali ya watu katika kipindi cha KIKAANGONI

ความคิดเห็น • 105

  • @kezazuena7218
    @kezazuena7218 4 หลายเดือนก่อน +2

    Na mimi ni muha,nakupenda sana

  • @carolinemanasseh4147
    @carolinemanasseh4147 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zake sana ,,,usifurahi juu yangu hee adui yngu......mungu akubariki sana

  • @mercymutheu688
    @mercymutheu688 2 ปีที่แล้ว

    Aki wafurahisha..pamoja na nyimbo zakk naskiza Kila siku..barikiwa mtumishi

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 7 ปีที่แล้ว +6

    Tunakupenda sana Mama Upendo. Asante sana kwa kutuambilisha ukweli maana wengine wakionywa kuhusu jambo hilo la kujichubuwa majibu yao yanakuwa yenye jazba! Mpaka washabiki tunashindwa hata kuelewa Kwakweli huwa tunavunjwa moyo sana nakitu hicho.Nyiye mnasema mnampenda Yesu nakumuamini na kumtumikia nasi mnatutia moyo sana kwa safali yetu ya okovu Tunashukulu Mungu Kwaajili yenu tunaipenda huduma yenu na kuisapoti.Sasa tunashangaa tunapoona mnaanza kuukosowa ule uumbaji wa ke'' NENO'' Si imeandikwa kwamba bila NENO hakukufanyika kitu.Nakile alicho kiumba Mungu akakiona Chema.Sasa inakuaje Mtumishi wake ndiye aanze kuona kasolo?Kumbe tunavyo fanana hivihivi kila mtu kivyake tunampendeza alietuumba.Mengine yanatoka kwa MUOVU! huyo ndiye aliye jifanya mkosowaji wa Mungu tangu Mwanzo.

  • @christineadam9341
    @christineadam9341 5 ปีที่แล้ว +5

    Kenya we love you 😍

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 7 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi ni wanawake bora duniani.. acheni mambo ya kutaka kuwa watu wengine.. sukeni tu nywele vizuri na muwe wasafi.. acheni nywele za wafu.. tunawapenda the way you are. kama mama zetu walivyokuwa.. have confidence and faith. You are beautiful the way you are..! Hold your heads UP.. ALWAYS!

  • @janetwambua738
    @janetwambua738 7 ปีที่แล้ว +6

    roho safi msema kweli Mungu akubariki mama.

  • @neemamoses9238
    @neemamoses9238 7 ปีที่แล้ว +7

    nakupenda sana Upendo, Ubarikiwe sana na kazi zako,!

  • @neemaringo1230
    @neemaringo1230 6 ปีที่แล้ว +1

    I love Upendo Nkone. Mungu abariki kazi zako

  • @gracemushi1283
    @gracemushi1283 7 ปีที่แล้ว +11

    nampenda sana huyo mama barikiwa mtumishi wa mungu

  • @YekoniaLabani
    @YekoniaLabani 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 5 ปีที่แล้ว

    Upendo ur one of a kind maisha halisi nimekupenda bure. ur open unaishi maisha ya kawaida mno.unazungumzia hali ya kawaida katika maisha ya kila siku.nimekupenda sana Dada.kugombana kupo tusifanye maisha fake uko vizuri sana wengine tunapenda kudisplay perfection wakati maisha yapo na sis siyo malaika upo real I love u so much.wasanii wengine tuwe Real kama Dada upendo.Mungu akubariki akuinue na kuimarisha NDOA NA UTUMISHI WAKO.ur so real not fake in ua way of doing na saying things.

  • @christinemwavula5712
    @christinemwavula5712 5 ปีที่แล้ว +1

    Acha kabisa mtumishi mungu anakupenda jinsi ulivyo...

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂😂yaani umenimaliza maana nilipoanza kuona mkorogo. Hata nyimbo zako niliacha kusikiliza, nilichukia kutoka rohoni maana nilikuwa nakupenda na kukubali ulivyo. Lakini umekiri sasa tuko pamoja.

  • @mariammwaipopo5561
    @mariammwaipopo5561 6 ปีที่แล้ว +4

    kwakweli saivi uko vizuri. amini kwamba uumbaji wa Mungu uko perfect. you are beautiful naturally. nakupenda bureeee mama.

  • @frankchrisant6322
    @frankchrisant6322 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Dada ang nyimbo zako nzuri

  • @jonathantave848
    @jonathantave848 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana mama ang.....nakupenda sana mama ang.

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 5 หลายเดือนก่อน

    Sio tu mashabirii hawapendi! MUNGU aliumba Kila kitu ni chema na kinapendeza! Iweje umkosoe! MUNGU 😢
    Nakupenda dada upendo

  • @stellastanley630
    @stellastanley630 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi shabiki wako namba moja I love you ❤️

  • @fhmmbuji633
    @fhmmbuji633 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Upendo uko vzr Mungu Akuinue zaidi

  • @mchmichaeltarabawanzagi1662
    @mchmichaeltarabawanzagi1662 7 ปีที่แล้ว +5

    Uko vzr upendo mtumikie Mungu kwa uaminifu

  • @geoffreycharo9585
    @geoffreycharo9585 หลายเดือนก่อน

    Yaani napenda utumishi wako mama ubarikiwe

  • @jamtv4930
    @jamtv4930 5 ปีที่แล้ว +1

    Upendo interview yako imenifurahisha sana.Mimi kama mume sitaki tena sitaki dharau.

  • @monicamlulu2413
    @monicamlulu2413 7 ปีที่แล้ว +3

    nakupendaga sana dada na nyimbo

  • @ewansaluu7005
    @ewansaluu7005 5 ปีที่แล้ว +1

    wow mum kwa Mkorogo uko sawa hukutaka kujipodowa. je? nywele nazo ni zako nachroll 😂😂😂😂😂😂lovely you mum 😘😘😘😘

  • @loycephaida5884
    @loycephaida5884 6 ปีที่แล้ว +2

    Yan wwe mama Jaman
    Nakupenda sana ulivyonautani yan

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 6 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi uko vizuri mama. Uko natural na unapendeza sana. Ulikuwa balaa ulivyokuwa unajichubua.

  • @Renee-lh8nc
    @Renee-lh8nc 7 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂😂 nmempenda huyu mama ana vituko

  • @julietykasaba769
    @julietykasaba769 7 ปีที่แล้ว +3

    nakupenda Sana my Dada uko Vizur Sana

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +5

    mama anaonekana anapenda story love u

  • @elizamasangula2935
    @elizamasangula2935 7 ปีที่แล้ว +6

    nakupenda sana mamaangu

  • @jeryniyi3934
    @jeryniyi3934 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Upendo, mkorogo hauna maana yoyote

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 ปีที่แล้ว +5

    very nice mom I love you all time when you come here America I am in school. I wish to see you

    • @hellenampangile2504
      @hellenampangile2504 5 ปีที่แล้ว

      Sijapenda hulka yako ya tena sjapenda kabisa unaposema eti hupendi kupika hata chakula cha mumeo ni kubwa tena ni mchungaji halafu kipikwe na house girl sio sifa nzr umechemka dada

  • @sankystories5552
    @sankystories5552 6 ปีที่แล้ว

    Npenda nyimbo zako...

  • @bentaachieng4286
    @bentaachieng4286 6 ปีที่แล้ว +3

    I love you mum napenda huduma wako

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 7 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana dada upendo

  • @christinedisii626
    @christinedisii626 7 ปีที่แล้ว +7

    Hahaaah usishtue tena dada yangu

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 7 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana dada upendo pia napenda unavoongea

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 7 ปีที่แล้ว +3

    tuwekeeni full interview please! ! mbarikiwe saana

  • @elishaluchemba1071
    @elishaluchemba1071 5 ปีที่แล้ว +1

    Umependeza mama

  • @sarahnjau3838
    @sarahnjau3838 5 ปีที่แล้ว

    wewe ni nzuri umependeza sana usitumie tena

  • @davidoyugi7310
    @davidoyugi7310 6 ปีที่แล้ว

    The lady is full of wisdom.

  • @shooonlinetv7746
    @shooonlinetv7746 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaah...... I love you mama...... God bless you much

  • @angelelarose7845
    @angelelarose7845 5 ปีที่แล้ว

    Mimi napenda nyimbo yake ya niongoze bado nakuitaji

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +5

    hahahaaaaa nimecheka sanaa dada upendo

  • @dorcussyokau7118
    @dorcussyokau7118 6 ปีที่แล้ว

    it's good to be honest,,, God bless you

  • @sophianollo7621
    @sophianollo7621 5 ปีที่แล้ว

    penda sana Dada angu baki natural ngoj yko nzur

  • @alextzmmary5121
    @alextzmmary5121 6 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda kwa kuwa mkweli umezidi.waimbaji wote tanzania

  • @winfridthomas1689
    @winfridthomas1689 5 ปีที่แล้ว

    Jmn Upendo mama kipenz wetu na penda unavyo sema ukweli adi laa

  • @ezesolo4861
    @ezesolo4861 3 ปีที่แล้ว

    Yeah ninewai kusikia huyu mama ni gesi

  • @suzanamsambazi6465
    @suzanamsambazi6465 6 ปีที่แล้ว +1

    kweli kwanza kujichubua ni dhambi hata mawigi nayo mnamchukiza MUNGU kuweni na asili kama mlivyoumbwa

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว +1

    jamani maswali yanatosha asije akalia achelewi kulia jamani

  • @bahatiundule5190
    @bahatiundule5190 3 ปีที่แล้ว

    Mcheshi sana nakupenda

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 ปีที่แล้ว +3

    nakupenda mama

  • @amadeusmrope4953
    @amadeusmrope4953 7 ปีที่แล้ว +1

    saf Sana Dada

  • @deborahhatungimana5313
    @deborahhatungimana5313 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama Upendo

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 ปีที่แล้ว +3

    I love you mom and I wish to see here America

  • @florarhobi9482
    @florarhobi9482 5 ปีที่แล้ว

    unanibariki mtumishi

  • @crownpress5512
    @crownpress5512 7 ปีที่แล้ว +3

    u ar comedian jaman kumbe tena

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mama

  • @edithayoram4601
    @edithayoram4601 6 ปีที่แล้ว

    mama nakupenda sana nataman siku moja tuimbe wote

  • @enesiacosmas8493
    @enesiacosmas8493 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda Sana unanibariki

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha nakupenda saaaaana mama ❤️❤️❤️

  • @safikapufi3642
    @safikapufi3642 5 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @janentale2255
    @janentale2255 6 ปีที่แล้ว

    dada upendo una vitukooo

  • @leahchallomachibya1791
    @leahchallomachibya1791 6 ปีที่แล้ว +2

    Usitumie tena, sauti inatosha

  • @priscapius7500
    @priscapius7500 7 ปีที่แล้ว +3

    kweli mama. spending mkorogo ata kidogo na mm ni biti siwez kutumia mkorogo

    • @estherm5421
      @estherm5421 5 ปีที่แล้ว

      esther_your smile is so nice

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 7 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana sana mum

    • @rosetoi5384
      @rosetoi5384 7 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe dada angu, nakupenda sana.

  • @yvonneamekakaombeniwimbomu8312
    @yvonneamekakaombeniwimbomu8312 5 ปีที่แล้ว

    mikono ina onesha kama una paka choko Upendo.

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awe nawe

  • @barakajuma7287
    @barakajuma7287 6 ปีที่แล้ว +2

    marikia wa kigoma MUNGU, akubaliki mpaka washangaee

  • @nurungangise9802
    @nurungangise9802 5 ปีที่แล้ว

    Baki hivohivo na rangi yako yani Rangi hadimu hio hivooo

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +3

    tuwe tunatuma mpesa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @anithamuttassa8981
    @anithamuttassa8981 5 ปีที่แล้ว

    love you Momy

  • @mankajohn4616
    @mankajohn4616 5 ปีที่แล้ว

    Jomoni naomba uyo mama aniambie alitumia daw gn kutoa michiliz

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว

    uwe ivyo ivyo

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 6 ปีที่แล้ว

    Mimi siku zote nakukubali ila kweli mkoro- goooo achana naye

  • @samsonbomani8459
    @samsonbomani8459 6 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆😆😆😆 Yeeeeeee rukundoo

  • @rosekageha2839
    @rosekageha2839 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama mcheshi kweli.

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 7 ปีที่แล้ว

    applications

  • @gracehenga9745
    @gracehenga9745 5 ปีที่แล้ว

    usijichubue weusi wako mzuri.

  • @mariammwaipopo5561
    @mariammwaipopo5561 6 ปีที่แล้ว

    you are so funny dada.

  • @fetilishazomar4799
    @fetilishazomar4799 7 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂love you sana

  • @sammafuye4831
    @sammafuye4831 7 ปีที่แล้ว

    Kutokana na nymbo zako camin kama mom ww n muongej kiac hk

  • @allybhaimusaji4108
    @allybhaimusaji4108 4 ปีที่แล้ว

    kwanini utumie mkorogo wakati upo black huoni kama utakuwa na rangi mbili dada? na kwanini umkosoe mungu wakati unasoma biblia kuhusu kumkosoa mungu kwa uumbaji wake?

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 7 ปีที่แล้ว

    MNATAKA KUMFUATA MAIKO JAKASONI ULIKUWA

  • @neemaabdel1682
    @neemaabdel1682 7 ปีที่แล้ว +1

    acha mikorogo na hayo mawigi

  • @marthasilas5669
    @marthasilas5669 7 ปีที่แล้ว

    love uuuuu

  • @sankystories5552
    @sankystories5552 6 ปีที่แล้ว

    Unavituko haha

  • @kuhanikajolotheworshiper3705
    @kuhanikajolotheworshiper3705 6 ปีที่แล้ว

    Ningependelea kupata number yako please

  • @peninathomas2190
    @peninathomas2190 4 ปีที่แล้ว

    I love you mama. Mungu azidi kuikuza huduma yako