NAWASIKILIZA SANA WATAZAMAJI WANGU LEO DAKIKA 50 TUENDELEE KUFURAHI PAMOJA, MSISAHAU KUTUSAMEHE MAPUNGUFU YETU,PIA SUBSCRIBE CHANNEL HII YA BABA JOAN, MBARIKIWE SANA MSIKOSE BANDO.
From kibondo kigoma nafuatilia movie hii ya baba angu kipofu nimeipenda sanaa mungu akubliki sanaa baba Joan na team yako kwa ujumla mungu awajalie afya njema ili muendelee kutuburudisha ILOVE YOU 💕🇹🇿
Wowow dakika 50 aise nyie ni wa2 Bora sana nafwatilia tamhiliya nyingi San lakini xjawah pata yenye dakika nyingi hivi na ikatoka kwa wakati bila kuchelewesha dah mpo seriously sana mungu awazidishie vipaji ili mzidi kutufurahisha
Parabéns pelo seu trabalho historial,te rendo muito pelo lindo trabalho que tem feito. Estou assistindo a partir de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 asante sana baba joan kwa kazi nzuri aise umetisha sana.hongera
I don't know Swahili but I followed EP1 to this current ep I believe that with the time I will understand Swahili Kipofu: blindness I love this team even their content
NAWASIKILIZA SANA WATAZAMAJI WANGU LEO DAKIKA 50 TUENDELEE KUFURAHI PAMOJA, MSISAHAU KUTUSAMEHE MAPUNGUFU YETU,PIA SUBSCRIBE CHANNEL HII YA BABA JOAN, MBARIKIWE SANA MSIKOSE BANDO.
Big up 🎉🎉🎉🎉🎉
Pewa mauwa yako baba joan
Tuko radh tukope tufungwe kwa maden lkn baba joan utupe burdan
Ur the best ❤
Kazi nzuri baba joan ❤🎉❤🎉❤🎉
Team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tulike hapaa
Pamoja likes kibao😅
🎉🎉🎉we are hear
❤❤❤❤ nairobi
Wa Kwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮 nipeni like
Pay back please
Leo nimewai,wa Kwanza kutoka🇰🇪naomba like na mm
Tuko pammoja na wewe mimi ni mukenya
Daaaah umetisha
Upo wapi@@Felichinalharimal
Hi
Nyie munao omba like acheni toeni maoni❤🎉
Watching from Kenya wapi like zangu Kwa kuwa wa kwanza kulike
Let's grow together
Watching from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Watching live From Kenya
Baba karobo mm natoka nairobi BT nataka hii Ngoma yako sana
Baba karobo ndiye atajaza pengo lenye kanumba ameachwa huko Tanzania congratulations 🎉🎉and continue good job ❤
Mm niliona baba karobo kaona kumbe ilikua mawazo doo aoeni alafu ajifanye haoni amuone vile fake makarobo true colour zake
🎉🎉🎉ushasema
Jmani leo kwavile nimechelewa kwasababu natoka 🇧🇮 burundi naomba basi nauli yangu hata like 10 basi😊
Let's grow together
BURUNDI Oyeee🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🎉🎉🎉
Warundi
Asante
Ongera sana bro unaleta movie mapema guys nipeni likes zangu by show love to baba Joan ❤❤❤❤
Pay back please
🎉
🎉
Hii tabia muache jamani eti namba one nipee like badala mkoment na mlike pia mshee,tumupongeze ndugu yetu
nashangaa kama like zinasaidia nn
Kwn huwa inafaida gn?
Pay back please
Hata nashangaa nini mbaya nao,ni kama like zina faida kwao,hao ndio wanastahili kulike kucoment na hata kushare
Kwl hatami naishiwa wanazitaka ziwasaindie nini mutu anajuwa hiyo faida yahawa watu kuomba like aniambie
Nipeni like zangu hakika hii simama naipenda sana
Number one ☝️ please if you love this movie give me some likes ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
Hello My friend Me am Number one to Join and to Love this is Movie 🇰🇪 100% 🎉🙏💪
❤❤❤
Napenda kabisa hii movie
@@mapopo23❤❤❤❤❤
Hongera sana Tusuvile, Baba Joan mwenzangu ,
Kazi zako nazikubali sana mkuu big up, your professional
Hii kitu inanigucha sana imekaa ya kwangu kabisa,
Bos mchawi
6:41
Bos mchawi 28episod
From kibondo kigoma nafuatilia movie hii ya baba angu kipofu nimeipenda sanaa mungu akubliki sanaa baba Joan na team yako kwa ujumla mungu awajalie afya njema ili muendelee kutuburudisha ILOVE YOU 💕🇹🇿
Kutoka 🇰🇪 nipeni like jamaa
Pay back please
Pia 🇰🇪 mko hpa kuomba like ni aibuuuuu kwanza umelipa tax mkenya mwenzangu 😂😂😂😂
Njoo uchukue
😂
Wakenya hatuombi likes bhana we sema movie imependeza bhana😂😂😂
Dah mmecheza sana pongezi kwa wote, hasa zaidi kwa Baba mwakarobo na mwakarobo kiukweli mmenibamba sana.
Jameni saa saba AM hivi nilisubili iyo movie like team kalobo
Watazamaji wa baba Joan gonga like apa 🎉🎉🎉
Wowow dakika 50 aise nyie ni wa2 Bora sana nafwatilia tamhiliya nyingi San lakini xjawah pata yenye dakika nyingi hivi na ikatoka kwa wakati bila kuchelewesha dah mpo seriously sana mungu awazidishie vipaji ili mzidi kutufurahisha
Awesome❤ thanks once more..... following from KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪
wakwanza kutoka Burundi Congo 🇨🇩🇧🇮
Wa kwanza ilaa sitak like hadi nione mchezoo❤
Pay back please
Wonderful ❤❤❤❤like zangu kutoka Kenya jamani
Asanteni sana kunipea likes marafiki zangu
🎉🎉🎉niko apa
baba Joan umetisha sana ilA NAMPENDA SANA zujati
Hongera sana Baba Joan, binafsi nimefurahia muda leo, niseme tu katika filamu zako hii ndio bora zaidi❤❤❤
Baba Joan munafanya kazi nzuri kutuelimisha hapa Kenya tunafurahia kazi yenyu nzuri
Baba joan msichelewe san kutoa vpande maan sometimes tunakaa sku nyngi kabla hamjatoa vipande vingne,,,,tunawapenda sana kaz nzur Mungu awabariki san
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
Unaweza Sana kila siku naisubilia Sana itoke big up baba joan
A very interesting movie, I love it more and more ❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉 kumbe ni baba joani sio baba karobo
Baba Joan Kazi IPO nzuri nimeikubali Uwe waitowa dakika 50
yaani hapa patamu nyie baba Joan kazi zako hazina mbambamba ximenyooka na utamu juu yake barikiwa kakaangu uzidi kuendelea vizuri❤❤❤🎉🎉
Na mimi nimechekewa lakini watapokuja nyuma naomba like ❤❤❤❤❤❤❤❤
Eheee movie inadakika20 tu mtandaoni ila sijawa wa kwanza @babajoani Leo nipe like mzeee
Pay back please
@@Odhiambofamily38 okay
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿,nawapenda Bure safi sana.
Nice movie pewa mauwa yako🎉🎉
Good work team baba joan 👏 huyo mdada mwanasaikolojia napenda anavyoongea ni kama kiswahili amefanya kujifunza😊
From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 courage mon frère baba Joan,tu fais de bonne chose vraiment ❤
Leo sija chelewa Sana naomba like mbili tu 🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukweli nampenda baba karobo ila mama karobo wa kufikia apewe maua yake anaweza hadi anaweza tena yn kiukwl anachangamsha movie yetu❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Kwel maua yke
Hongera sanaa baba kalobo,,movie nzuri sanaa 🎊 🎉
Nipeni like zangu wa kwanza leo Congo
Jaman kumbe ilikuwa ni ndoto thu mm nataman sana apone
JI KAZR UTU TOSHEYE 16 mbiyo mbiyo sana kabisa tuna choka na iyi maisha
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 i like it
movie nzuri sana baba karombo big love from kenya
I'm really enjoying the movie
Hiiii movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nzuri sana pia inafundisha na kuelimisha vitu vingi sana barikiwa kaka
waswahili na matusi nawavulia kofia😂😂😂😂😂matusi daaah nmekoma mimi apa😅😅😅😅😅team baba karobo we love you guys from kenya❤❤
this channel is surpssed to be watched all over❤❤❤❤skills after skills,,,bravooh to the team baba joan❤❤
Ninakufuata kutoka Msumbiji, napenda sana kazi yako 🇲🇿
Mwana saikolojia yuko vizuri ni moto ❤❤❤
Napenda sana hiki kipindi❤am watching from Dubai
wakwanza ni wafadhili wenyewe jamani😂😂😂napenda baba kalobo
Inaumiza sana hii story ya baba. Karobo mungu akuepushe amin
Jamani mnajua mimi nampenda sana mama karobo ❤kwa ukauzu wake tu
Parabéns pelo seu trabalho historial,te rendo muito pelo lindo trabalho que tem feito.
Estou assistindo a partir de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 asante sana baba joan kwa kazi nzuri aise umetisha sana.hongera
Grandpa wa @kalobo nakupenda sana
Sasa hivi naelekea kukutana na wewe @busati tv❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Asante sana baba karobo kwa kuogeza dakika nimejienjoy kinoma na hii movie
Kaka kweli umekaa nimeipenda sana kazi yako mungu akuzidishie upeo uzidi kufanya kazi nzuri zenye mafundisho yakuelimisha jamii hongera
Tupo sambamba dkk teje from 🇲🇫 ila tunapnda lini inatoka maaana ss wengine tunaibukia tu
Nampenda sana huyu mpererezi naoni mission itakamilika asilimia mia. Mama karobo na mjipuko wake wamekonda juu ya ushirikina na maovu wanaofanya😢😢😢
Inaumiza sana lakini ni story nzuri baba kalobo Mungu akupe maisha marefu na akuepushe na na baya❤❤🔥
Aminaa
hongera baba karobo-Mtwapa kenya-
mafunzo mazuri...
Hapo sawa dugu yetu,umeiongeza ladha kumweka mamakarobo original
Kwa stail aloshikiliaa hyo simu mama kalobo hata hajashtuka woiiii mm ningeisi tu😆😆😆hapaaa kunaa namnaa
Mama karobo mshamba mshamba thus why
Hope cjachelewa sana likes zangu from Kenya
Baba Joan kazi nzuri napenda show zako
Bravo!We love you're work from Kenya.
Love it so much ❤❤❤
Thanks guys for the update 🎉❤❤❤
Kama kuna movies tamu hakuna ifikiao za Baba joan.big up bro I love you so much.your big love frm🇰🇪.
Kazi mzur kaka
Watching from Kenya naomba like thafadhali
Nice movie inaletwa on time🔥🔥🔥big up from kinshasa
Nawakubali wanangu ...tutaendelea kuwashabiki ..hatutaki watu wenye mchezo kwa kazi kama wale wa WRONG HOUSE...i pray for you guys 🎉 from kenya🇰🇪
Wakwanz kutoka Burundi to south Africa🇧🇮🇿🇦
@BabaJoan tunakuelewa sana kazi nzuri sana
❤from Burundi🇧🇮 shukrani kwa team nzima nafasi zenu mnazitendea haki
I don't know Swahili but I followed EP1 to this current ep
I believe that with the time I will understand Swahili
Kipofu: blindness
I love this team even their content
Nawapenda sanaaaaa 💓🫶 Kwa kazi yenu nzuri sana
Tamu sanaaa kaka umecheza kama wewe❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Movie nzur hongela sana baba karibo🎉🎉🎉🎉nawapenda wote mko good
Kaz nzuri
Só a primeira pessoa a sistir
Wallh mmn kalobo feki mukali xn🎉🎉
Watching from Daadab, movie iko freshy kinoma.
Leo nimependa sana mwana sheria kazi njuri mungu akutangulie baba joan❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Baba joan kazi nzuri sana nakupongeza👏🎉
Jameni mama kalobo ume uza siri nzito kwa shoga feki kwa elfu kumi tu kweli.
Asente sana baba Joan Kwa movie zako zuri na furahia
KHALIPHARCE bukoba kagera kazi nzuri sanaa🎉
Mimi jamani like za kutoshaaaaa🎉
Wa kwanza naomben like hmm
Ilove this I'm watching from Kenya 🇰🇪 😍 kiambu kikuyu town thogoto division
Nimeipenda saan mkuu huo kazi, mwenyezi Mungu akuzidishie upeo endelevu wa utendajikaz mzuri zaidi❤❤❤❤
Number one from India give me my like
Kazi nzuri kaka 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Mama karobo umepata shogs unajmalza maisha ya sassiv amnaga shoga wa kwer ukmpata shukuru mungu ila mama karobo
Wonderful 🎉❤
Yani nyienikiboko sana mamakarobo kuaninini
anarohombaa. ❤mamakalobowenimwanamuke Soo mwanaume kuahiyowejitambuwe
Kazi nzur yenye mafundisho