Mungu akubariki sana mom
Jumbe na nyimbo zako zanibariki na kuniinua saana.
Asante Martha kwa iyo Exhortation. Nimebarikiwa sana sana ata na nyimbo zako zote nikiwa hapa America. Nakusikiza almost everyday. Mungu akumbariki sana na akupeleke mbali. Mimi natoka Nairobi.
Acha Mungu akupe maisha marefu.
From Kenya love you so much mom
Asante sana kwa somo mungu akubariki martha mungu atanipigania na mungu ataniinua kupitia somo hili🙏
Nimekupata kabisa naomba Mungu anifunze njia zake ♥
Ameeen dadangu, unatutia moyo Kwa wale ambayo tumekata tamaa, nashukuru sana Kwa haya mafunzo🙏🙏
Yesu akutunze daima. .. umeongea kweli kabisa
Umenena mtumishi wa mungu siz Martha nakupenda Niko kenya
Una sauti ya upole sana.barikiwa sana Martha mungu abarika kazi yako na apanue mipaka yako🙏
Mimi ni mwislam lakini nakufatiliaga kilasiku Martha ninahushuhuda kupitia nyimbo zako mungu amenitendea mema mengi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Huwa unaniinua unainua imani yangu kila siku dada ubarikiwe na utiwe nguvu na mungu
Barikiwa sana martha mwaipaja !! Asante sana
Amen mama mujakazi ju ya ujumbe wako inayotoka kwenye wimbo nayiona kesho.
Amen na hiyo nimeona kwenye maisha yangu halisiii kabisaa kabisa na MUNGU anatuonesha haya kabla ya kufariki
I love Martha I wish I could meet u in person💝💖
Amen amen chenye unataka kutendewa tendea wenzako. Asante
Barikiwa Mtumushi wa Mungu, nakufuata hapae DRC
Amina 🙏🙏🙏ukweli mama umekonga ndipo!🇰🇪🇰🇪🇰🇪+🇹🇿🇹🇿barikiwa sana🙏🙏💃💃
God bless you 🙏 Martha nimebarikiwa sana na maneno unayo sema
Tenda wema utalipwa na Mungu mwenyewe sio lazima mwanadamu akulipe
Asante sana kwa maneno mema ya busara
Wow powerful Message you are Blessings to many
Nabarikiwa vile unaongeaga Kwa Sauti Ya Upoleeee .. God Bless You My Dear Sister .
l love 💕 nakutakia Maisha marefu
Amen Mungu atupe neema ya kufanya yaliyo mazuri
Nakupata Dada Martha Barikiwa sana kwa uduma nzr ya kutujenga kiroho
Nakupenda mamy unatufundish sana
Much love from kenya
Hallelujah dada nimebarikiwa
Dada Martha nakupenda Sana,
Amina dada yangu mungu akubaliki sana
I love u Martha.This are kind n true words but for the wise n few ones.God help us to keep in practise!Blessings dear.
Napenda sana uduma yako dada Martha....natamani sana kukuona macho but nina imani siku moja Mungu atatenda.mi.i ni muimbaji kutoka kenya
Asantee Sana mtumishi wa mungu unasema ukweli kabisa amina ubarikiwe sana
Amina Dada, Mungu akubariki sana kwa mawaidha mazuri
Ameni mtumish wa MUNGU barikiwa sana kwaujumbe mzuri sana
nakuelewa sana hongera sana martha mwaipaja
Amen and amen 🙏mungu akubariki sana dada
Its true Mwapaja I hv that experience through my neighbors very true, kwanza hao wokovu waaa hope this words wil teach them something be blessed mama
Very true 🙏🙏am blessed 🙏 watching
Amen Amen🙏🙏🙏🙏Neno la Kweli na la kujenga Blessings 💯💯
Kwa kweli tunakushukuru. Maneno yako ni kweli. Personally, i will never lose love for you. Still 𝕟𝕖𝕒𝕣𝕖𝕣 to you as the air you breathe. 𝒢ℴ𝒹 𝒷𝓁ℯ𝓈𝓈 𝓎ℴ𝓊
Kweli dada, nimejifunza sana kit, ubarikiwe sana dada
Amen woman of God may God bless you more
Amen ubarikiwe dada
Barikiwa pia dad Martha
Asante sana muyimbaji wetu maneno Yako Mazuru mimi imurundi Amina kwa maneno mazuri
Thank you for the powerful message!!ubarikiwe mtumishi
Amen ukwelikabisa ubarikiwe namafuso masuri🙏🙏🙏
Amina Dada yetu mzuri, ubarikiwa
Amen dada umesema vizuri sana
Ahsante kwa ushirika huo na munu akubariki
U r really inspiring me..Continue with that same spirit hence God bless u
Let the Grace of Lord Be with you and do you Good in whatever you plan.
Santii dada umesema nikatamani kama hawa wengine wangekua wanasikia kiswahili!Ujumbe mzuri dada watu wanachukua wafanyi kazi kama umbwa😭😭😭Mungu awasamehe 😱
I love the way you always speak the truth... Mungu akuongezee hekima na maarifa zaidi mtumishi wa Mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪unapendwa😍🤗
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 sister God bless you
Huu ujumbe ni mzuri na mkubwa sana Barikiwa sana Mtu wa MUNGU
Very true my sister from Kenya following u with love. We should be accountable to our actions.
Nakupendaaaaa pia jmn
Martha i like your voice and the dance ,tho i dont really understand swahili but i enjoy ur music very much keep on preaching my dear.
Amen God bless you abundantly sister
Ameeen Ameeeen🙏🙏🙏ubarikwe sana mtumishi kwa Neno na kwa mafundisho mema ni ukweli tupendane
Much love mommy....your teach always inspiration be blessed abunfutly much l8ve from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You blessed me by your words
Thank you so much mummy may God blessed you ...we really love your ministry it so powerful
Asante dada kwa fundisho mzuri na hapo ameongea ukweli kabisa
May God bless you stay blessed
Asante sana nagupenda sana rafiki yetu
Asante kwa mahubili yako nabarikiwa sana
Barikiwa dada kwa ujumbe mzuri sana 🙏🙏. Nikweli, usichotaka kutendewa nawewe usitendeyane
Very true Barikiwa sana..Neno la nguvu sana ..nakupenda sana W.O.G from Kenya❤❤
Ameeeeeeeni🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks for advice am grateful my mom you are my best I wish I could be talking to you daily for advice
Plant 🪴 good seeds for the future.
Mungu akubariki
Amen amen
Mungu akubariki mama
Nimekuelewa dada martha, nakupenda sana
Poa sana dada martha
Wow wow wow.!!? Ameeen.!?🙏 Very very true.!!? Good advise. God bless you 🙏.!?👏👏
The lord follows the true
Congratulations 👏for good work kp it up
Kweli Kabisa Amen
Great my dia sister may God bless you,,,go go go keep inspiring us🙏🙏🔥🔥🔥
Powerful and inspirational word of God
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen my love dada
Amen and Amen
Amna mamaa
from qatar ,ukweli kabisa my sister
U have blessed me alot.
You make me not to stop commenting I love and am sure I will meet you one day juliet from Kenya
Tunakupenda pia Barikiwa🤝
God bless you sister
Da matha ...ongeza maandiko ya kibliblia hata mawili matatu...maneno yako tu matupu hayatoshi...yanapinguza uzito..wa unayoyazungumza...
Hallelujah
Amen blessed too💖💖
I know you from one angle-singing. Today I have known you from spiritual exhortation. I am touched by your words. I am a Zambian who understand kiswahili. May God keep blessing you. I pray one day you will come to sing in Zambia. Only Bahati Bukuku has been here. All of you like Kenya.
Amina ,funzo mzuri sana martha mwaipaja,Mungu akubariki .Nakupenda sana dada