ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

AMBWENE MWASONGWE: LEO NIWAAMBIE UKWELI,ROSE MUHANDO,MWANSASU,WAVIVU HAWAJITUMI,KILA SIKU SKENDO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มี.ค. 2021
  • Fatilia mahojiano yake Mkali wa Mziki wa Injili Ambwene Mwasongwe akifungukia mengi ambayo haukupata nafasi ya kuyasikia kabla .

ความคิดเห็น • 42

  • @hildermmbosh4793
    @hildermmbosh4793 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana, Mtumishi Ambwene yani wajibu maswali kwa hekima kuu sana na Roho wa Mungu azidi kutumika kwako na kukuinua sana

  • @NyotaFaidaCiza-sx7ew
    @NyotaFaidaCiza-sx7ew 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana Kaka Ambwene

  • @loothasengwa1899
    @loothasengwa1899 ปีที่แล้ว +3

    Hakika kazi yenu ni njema!!
    Nimejifunza mengi!!

  • @macleanuronu2899
    @macleanuronu2899 2 หลายเดือนก่อน

    Ambwene umeongea vitu vya msingi na maana sana kwa mtu yeyote anaetaka kufanikiwa kwa Maisha ya kiroho na kimwili pia ubarikiwe Sana Nakupenda Sana

  • @safarijoseph9591
    @safarijoseph9591 2 ปีที่แล้ว +1

    Ambwene unanitia moyo hakika katika huduma yangu ya kumtumikia Mungu, be blessed

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm pia zinanisaidia sana Mungu akubarik sana

  • @erickmutungi8792
    @erickmutungi8792 3 ปีที่แล้ว +3

    Ambwene you are among the geniuses

  • @NeemaDesheshe
    @NeemaDesheshe 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @tamashavictorine3837
    @tamashavictorine3837 2 ปีที่แล้ว +2

    Ambwene uko mwanaume umejibia vizuri sana .Wewe unampenda Mungu
    Kwenda kuimbia inje nivibaya utaaribu
    Kipaji chako uliyo pewa na Mungu

  • @ntirampebaloys8949
    @ntirampebaloys8949 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na Mungu nyimbo zako nazikubali

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwaga sana na ngomma zko Ambwene

  • @pasteurmugishomulikuzaespo9699
    @pasteurmugishomulikuzaespo9699 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @user-su4to3uw1i
    @user-su4to3uw1i 9 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @ndayizigasamson665
    @ndayizigasamson665 2 ปีที่แล้ว +1

    Aise interview nzurisana

  • @AndreaMwinuka
    @AndreaMwinuka 11 หลายเดือนก่อน

    Naiona nguvu ya Mungu kwa kakangu Ambwene

  • @agneskyando3241
    @agneskyando3241 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kuchelewa kuokoka ni hasara kubwa,nakupenda sana kaka yangu!

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali Sana jamaa huyu na mwaitege ila mama yao Ni 🌹 muhando

  • @victorgoodluck2922
    @victorgoodluck2922 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @hongeramdalingwa3346
    @hongeramdalingwa3346 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli nyimbo zako ni dawa hata mimi zilitibu,

  • @wemapanga1547
    @wemapanga1547 ปีที่แล้ว +1

    Kweli amani ndo kila kitu

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 ปีที่แล้ว +2

    Mjukuu wangu yuko darasa la pili. Anasema ndoto yake ni kuja kuwa mwimbaji mkubwa na mwalimu vilevile. Na anaimba kweli hata sasa. Je. Nianze kimsaidia vipi?

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijachelewa sana.

  • @yasintaraphael8334
    @yasintaraphael8334 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @glorysarah_Music
    @glorysarah_Music ปีที่แล้ว

    Niseme kweli mimi mkenya,sikuwa mfuasi wa abwene nlikuwa namsikiaga lakini muda nimeaza kumfuata shuhuda zake,kweli nabarikiwa

  • @naomichamhene7805
    @naomichamhene7805 2 ปีที่แล้ว +2

    umebarikiwa kuwa na akili nyingi sana.

  • @upendomwakalibule
    @upendomwakalibule ปีที่แล้ว

    Nimependa majibu Yako kaka Ambwene unaji kistarabu mno

  • @malaikahansen
    @malaikahansen 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiingilio kiitwe “ ku-support huduma “

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว +2

    AMBWENE,nimependa majibu yako

  • @judithmagaigwa9566
    @judithmagaigwa9566 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene mwasongwe

  • @judithmagaigwa9566
    @judithmagaigwa9566 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene mwasongwe
    Nguvu za nyat

  • @majaliwamwandembo2048
    @majaliwamwandembo2048 3 ปีที่แล้ว

    Anayefuata aje bahati bukuku

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 3 ปีที่แล้ว +3

      Big up my kaka ambwene umebarikiwa sana

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

      @@malkiarosemuhando3310 shkamo Dada 😋 rose muhando

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuwatii wazaz ktk yaliyomema tu vijana tambuen hilo

    • @mariamabena5247
      @mariamabena5247 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana, wimbo wa majaribu ni mtaji ulinitoa katika jaribu zito,

    • @realscholarships-bolde.2344
      @realscholarships-bolde.2344 ปีที่แล้ว

      Waefeso 6:1 watoto wawatii wazazi wenu katika Mungu.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      @@realscholarships-bolde.2344 yaleyale au nimekosea kusema ktk yaliyomema?

    • @damiangarang1900
      @damiangarang1900 ปีที่แล้ว

      Ase nmefurahia sana hii interview! Ambwene una IQ kubwa sana