ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Beatrice Muhone: Baba alitumia fimbo kunilea / Nilianza kufundisha Sunday School / Sikufanya SendOff

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +2

    My love una neema. Umemaliza 1989 na muonekano bado huu. Beatrice you have to increase strength to worship halloo. Nakupenda na nyimbo zako aisee na ipo siku tutaonana kwenye injili

  • @November19tv
    @November19tv ปีที่แล้ว +1

    Beatrice ana kipaj kikubwaa na sanaa ya mzik bado inamuhitaj amekaa kimya sana tunahitaj atoe nyimbo na Mungu kampa urembo

  • @georgenathanael
    @georgenathanael ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi kumuona dada Beatrice,, nilikuwa nasali nae saint James Anglican Church arusha wakati huo akiwa anaimba kwaya ya tumaini mwaka 2002🥺🥺

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 ปีที่แล้ว +1

    JAMAN dada BEATRICE, hongera sana 🙏,MUNGU akupiganie ktk huduma yako,

  • @nigananurunjema
    @nigananurunjema 9 หลายเดือนก่อน

    Haleluya. Beatrice una muonekano mzuri sana kwani waliohitimu darasa la saba 1989 wengi waliishachoka na wamezeeka. You are so beautiful semeji yangu. Mungu alikuchagua tangu ukiwa mdogo. Hongera kwa viwango ulivyofikia. Mungua kuinue zaidi ya hapo.

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 6 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @makalashansumbu3821
    @makalashansumbu3821 2 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahi kumuona tena Beatrice, ni muda mrefu umepita na sikujua yuko wapi na anaendeleaje...!

  • @godwinkaaya1060
    @godwinkaaya1060 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mama

  • @rivuzepierre2783
    @rivuzepierre2783 ปีที่แล้ว +2

    Je Béatrice Muhone ndiye aliimba kwa choir ya Shangilieni Tumuini ambao waliimba Nuhu mtu WA Mungu ?

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 ปีที่แล้ว

    Beatrice ni kweli umefanya kazi ya Mungu Sana lkn km bado Hadi Leo unajipamba hivyo geuka haraka ndugu yangu ... Ule Ufalme hutauingia achana na mapambo ya Yezebeli tafuta shuhuda ZA walioenda mbinguni na kuzimu hasa Aston Adam Mbaya wenye kujipamba km ww wamejaa kuzimu na kazi walimfanyia Mungu tena zilizokubwa kuliko ww! Mungu anataka original yy ndiye aliyemuumba mwafika, mhindi, mwarabu, Mzungu nk

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +2

      Duuh yaani kwa kweli. Kwa hiyo unawaamini hao walishuhudia. Muombe Mungu akuoneshe wewe ndio umwambie watu sio kupitia wengine. Watu wana stories ndugu.

    • @ben_digital
      @ben_digital 11 หลายเดือนก่อน

      Hahah daah kwaio awe wa kawaida asipendeze?

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 6 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba wewe paka shume.mbangudama😊

  • @FrankMichael-us4dr
    @FrankMichael-us4dr ปีที่แล้ว

    Dada yangu mpendwa upo?kwenye sim nimejaza nyimbo zako zinanihuisha sana