Daaaaa uyu dada yuko poa..very good story. Mungu hatakubariki dada.uko poa....sana unatowa ya moyoni..yahani mimi nakuangari hapa south africa..unajielewa.hasante kwa interview yako so best...imeeleweka makufuri oyeeeèee.m south africa ja
Sio Kila mtu ana mkono wa biashara kama ambavyo sio Kila mtu ana kipaji Cha muziki. Angalia fursa na nguvu Yako iliko ktk kujenga uchumi wako binafsi usikariri na kuiga wafanyayo watu wengi,huwezi jua nyuma ya pazia,fursa na nguvu zao walizonazo. Binadamu ni mmoja lkn Kila mmoja na hulka na vipaji vyake
Aslm alaykum dada yangu Kwanza nikuombeeni dua kwa Allah awaondoshee dhiki awape faraja Ila la Pili Allah ametwambia tutubu madhambi yetu nanyeye atatusamehe mumeo ametubu anachotakiwa aendelee kufanya mema na ww umuhimize acfikirie kurud kuimba akaharibu hija yake kwa Mambo ya dunia nibora umaskini wa duniani ili ukapate utajir wa akhera
SubuhanAllah mtoto wakiislam unasubutu kusema ulishtuka na kulia ati mume kenda msikitini kutangaza anatubu kwa Allah. 😟 wallahi huu ni msiba kwa sisi waislam
Tena msiba mkubwa na mzee Yussuf anataka kurudi kuimba sababu itakuwa huyu huyu mkewe!! Yaani hautakuwa makini mwanamke aliyekuwa kuwa hamkhofu MOLA wake basi ukizubaa na mapenzi atakutia motoni
kwa mnaomshauri aache muziki Mbona hamumpi matumizi mnafurahi anavyotaabika Muziki ni kazi kama kazi nyingine chamsingi wajiheshimu. Muzik ni biashara, Ajira
@@sabinaonline6575 kanywe soda nakuja kulipa!! Watu hawaelewi kuwa hakuna mkamilifu na hakuna ajuaye wakati wa mauti ya mtu ataongea nn na Mungu wake!! Anaweza akaacha mziki akafanya kitu kibaya sana kwahyo hakuna dunia bila dhambi na hakuna dhambi bila dunia ndo maana kuna toba
Mzee Yusuuf Kurudi katika Muziki wa Taarabu siyo Suluhisho la Kujikwamua Kiuchumi. Nakushauri ubaki katika Twa'a ya Allah, Biidhinillah Atakufanyia Wepesi, Aamiin. Vuta Subra usirudi huko Muziki ni Haraam.
Mzee Yusuf na Leyla mnahitaji kua na subra ndugu zanguni. Allah amewapa mtihani huo ni mpasi au mfeli. Nawaombea wepesi katika hayo mazito yenu yalowafika ili huyo baba ashikane na Dini
Muhimu kula na makaazi Na mavaz kumbe mnapoz mnataka manene muingize mamilioni yaliokuwa ya haram shukuruni na mjue Kama huo ni mtihani wa mungu na nikipimo Cha Imani jitahidini msifeli
Mafurahi sana bi laila kua muwazi kwa maisha yenu na mzee yusuf mungu awajaalie kila la kheri inshallah.
Daaaaa uyu dada yuko poa..very good story. Mungu hatakubariki dada.uko poa....sana unatowa ya moyoni..yahani mimi nakuangari hapa south africa..unajielewa.hasante kwa interview yako so best...imeeleweka makufuri oyeeeèee.m south africa ja
Kaka mtangazaji Leo tena narudia kukusifia uko vzr katika kuhoji mtu Hongera saan
Nakupenda Leila ww nimzuri kweli hauchushi ndio mana umepungua mungu atAwapa Tena inshaallah
Mungu naomba nijaalie niwe mke mwema na nitamani riziki ya halali na niepushe na mitihani
INSHAALLAH ALLAH akujaalie
Nakupenda sana Leila Rashid mke Halali was Mzee yusuf
Mambo vp chric hongera kijana wangu kaka ako sengeri hapa, unakipaji Cha utangazaji Good.
Mabrukeen kwa mtt mpya M.mungu amkuze awe mtt mwema Salihin Bii Idhinillah Ameen
,
Hongera Sana dada leyla
Subhannallah uliumia mumeo kuingia mskitin Allah atuhifadh na vizaz vyetu mtihan huu km so mtt wakiislam Allah akusameh na akuongoe
Ameen
Msimtaje marehemu kwa mabaya
ni kama tu mimi ninavyoumia wewe hela ya bundle ungetoa deni la zakhat au sadaka hahahaaaaa…...utaniukweli usimind
Ameen
Da leyla nakupendaga angalia uache miziki shuhuli ka na biashara mshauri pia mumeo mn muda mfupi wa kuishi ndugu Yangu Allah atuongoze
Sio Kila mtu ana mkono wa biashara kama ambavyo sio Kila mtu ana kipaji Cha muziki.
Angalia fursa na nguvu Yako iliko ktk kujenga uchumi wako binafsi usikariri na kuiga wafanyayo watu wengi,huwezi jua nyuma ya pazia,fursa na nguvu zao walizonazo.
Binadamu ni mmoja lkn Kila mmoja na hulka na vipaji vyake
Hongera sana kwa Uzazi, Allah bless you Amen
Wow 16 years Mashallaah kwenye ndoa that is bloody amazing
Aslm alaykum dada yangu Kwanza nikuombeeni dua kwa Allah awaondoshee dhiki awape faraja Ila la Pili Allah ametwambia tutubu madhambi yetu nanyeye atatusamehe mumeo ametubu anachotakiwa aendelee kufanya mema na ww umuhimize acfikirie kurud kuimba akaharibu hija yake kwa Mambo ya dunia nibora umaskini wa duniani ili ukapate utajir wa akhera
Leyla Rashid mrembo sana na mpole
Hongera sana tutakutazama ļ
Nani anaangalia hii show huku anasoma comments kama mimi🙄
Wakwanza mm
Yani hii ni kama uji na mgonjwa
Yani
Mm
Mm
Ulikosea kumzungumzia mke mwenzio alie kufa tayali hana jinsi ya kujibu tuhuma
Leyla mwanamke wa kuigwa, MWENYEZ MUNGU akuzidishie mpendwa wangu
Aigwe lipi? Yy kama muislamu?
Mashallah madam, karibu mjini
SubuhanAllah mtoto wakiislam unasubutu kusema ulishtuka na kulia ati mume kenda msikitini kutangaza anatubu kwa Allah. 😟 wallahi huu ni msiba kwa sisi waislam
Dunia imeisha ,,kweli hajitambui
Bora alivyosema ukweli wake kuliko angeongea unafki
Tena msiba uso ndugu
Tena msiba mkubwa na mzee Yussuf anataka kurudi kuimba sababu itakuwa huyu huyu mkewe!! Yaani hautakuwa makini mwanamke aliyekuwa kuwa hamkhofu MOLA wake basi ukizubaa na mapenzi atakutia motoni
Mzito_mmm_Allah_atunusuru
Eeh mungu niondoshe na dhambi hii ( wew mama unaongea vizuri nice smile maashaallah )
Nampenda huyu dada, maa sha Allah, mungu akupe nuru
Mi kristo lakini nampenda huyu we acha tu yani utaratibu wake
Nakupenda sn Leyla Rashid 😍😍😍
Mm simpendi
@@sponsor7882 acha roho mbaya
@@aminamohamedy8466 sawa
@@sponsor7882 😂
@@sponsor7882 acha kinyogo.
lLove you Leila Rashid. May ALLAH guide you all the time I LOVE 💕 your Music mashaalah 🤲💓💜💗💕💕💐🇸🇸🇸🇸
Bui
Daah Dadaangu katika imani nakuomba uache mziki umri umekwenda lejea kwa Mola wako
kwa mnaomshauri aache muziki Mbona hamumpi matumizi mnafurahi anavyotaabika
Muziki ni kazi kama kazi nyingine chamsingi wajiheshimu.
Muzik ni biashara, Ajira
@@sabinaonline6575 kanywe soda nakuja kulipa!! Watu hawaelewi kuwa hakuna mkamilifu na hakuna ajuaye wakati wa mauti ya mtu ataongea nn na Mungu wake!! Anaweza akaacha mziki akafanya kitu kibaya sana kwahyo hakuna dunia bila dhambi na hakuna dhambi bila dunia ndo maana kuna toba
Kweli issa umeongea jambo la maana sana waache miziki watubu
Huo umri mnaosema umeenda umekwenda wapi pengine ww mwenye kusema hivyo ni.kibibi hatar
Hapo umeongea leyla nakupenda mwanamke unafaham nini maana yandowa 🙏🙏🙏
Mtangazaji yupo vzr kwa maswali
Leila mm nakuombea Allah akuongoze usilifikilie tumbo fikiria Dunia Riziki mungu mtoaji
Mke mstarabu muchezi n'a Pia mwenye heshima zake mujini 🙌
Nakwambia haya mambo yakudhamni mtu afu ukuweke matatani inauma munooo Dah pole sana mzee Yusuf
Jaman leilah kafanana na Amina wa alikiba
Ndio ni kweli
Kbs
Kweli
Kabisa
Umeonee Sana mzuri mashaallah
Mie kama kwaida yangu nawapenda sana 🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Maa Shaa Allah, Leyla Mcheshi,Subra na Uvumilivu ln Shaa Allah. Mabrooq Kumbe Kapata Mgeni.
Nimekupenda bure leyla wngu😍😍
Kabisa wanafanana na amna mke wa alikiba
Leyla kila jambo ni kuwa na subira inshallah 🙏
Huyu mtangazaji yupo vizuri Sana keep it up
Mashaallah nakupenda
ALLAH HUMUONGOZA AMTAKAE , 🇰🇪🇰🇪 tuombeaneni
Msamaha kwa Allah..huu ni mtihani kwa kila muislamu..
,ukimuombea
Nakupenda sana dada
Dah poleni sana aki
Poleni kwa kuvamiwa dada Leila Rashid mtoto wa mzee Gambus / Mmanga.
Mzee Yusuuf Kurudi katika Muziki wa Taarabu siyo Suluhisho la Kujikwamua Kiuchumi.
Nakushauri ubaki katika Twa'a ya Allah, Biidhinillah Atakufanyia Wepesi, Aamiin.
Vuta Subra usirudi huko Muziki ni Haraam.
Ndio iyo tamaa mziki pesa ndio mana sasa inaingia fitna
Kabisaa
Nampenda uyu Dada mie
Nimependa interview ya Leyla anajielewa sana mashallah
Yaanii kwelii tunamsahau Allah etii anafurahiya motoo unauchocheya mwenye amakweli qur_ani haina dhamanii kabisaa Allah tuswameh
gur -ani ina thamani kaka tengua kauli io
Karibuni mjini,mrudi vizuri ila Mungu anaona,Allah huwa anamjaribu ampendae.Msiba sanaaaaaaaa huyu.
Hawa mmoja wao kati ya mume au mke atakufa juu ya stage anaimba
@@rauhiyafasihi8908 tema mate chini utubu, wewe unakujua kifo chako???😔😔
@@rauhiyafasihi8908 unafahamu ulimuimbia kasda
Leyla kuwa na subra kuna watu walala chini bt watafuta rizki za halali. Muache mzee asirudi kumuasi Allah. Naamini mwanamke ana power tosha
mashaallah nampenda sana
Allah awatie nguvu 🙌🏽 mtihani wallah
Creez uko vizuri hongera
Nampenda sana huyu mama
Mzee Yusuf na Leyla mnahitaji kua na subra ndugu zanguni. Allah amewapa mtihani huo ni mpasi au mfeli. Nawaombea wepesi katika hayo mazito yenu yalowafika ili huyo baba ashikane na Dini
I love you ddear leila
Umesimama imara na Mimi nakuombea uendelee kusimama uamue mile mlichokipanga wewe na mumeo yote ni mithani ya maisha IshaAllah.
Leyila muceshi nakupenda bure👏👏👏👏✌✌✌👌👌👌💛💛💛💝
Nakupenda buure
Namukubali sana! Toka moyoni kabisa!
From Burundi 🇧🇮❤️
Binamu yangu raila unakwama WAP? Mama ahmadi
Maisha mazuri ni pumzi Leyla
StaaghfiruAllah unaweza tu kuwa na furaha dada yangu ila pia kuna nafasi ya mungu Hakika ya ukumbusho unawafaa wenye kuamin
A very beautiful and humble lady
Of koz!!!!
Leila mungu yupo the God that closes opens the other door so God has a plan for you.
Supper good Leila 👍
SnS for life 🇹🇿🇦🇪
I like her alot 😍😍😍😍😍😍
Leilah ni mke mwenye subra
Subra kumuingiza mume ktk maasi
Unaongea vizuri leila
Mze yusufu
Wajina nakupenda sana
Sisem kitu watching from 001
Sema Alhamdhulillah MUNGU kamuongoza
Huyu Dada nampenda Sana laaiti ningekua nakaa nae karibu ningekua anmpa hi kila kukicha
Nice anita from Bahrain
Mashaa ALLAH Leila
Nampendaga tangu mwanzo yaaan!! Sikuwahi penda mziki wa Taarabu, Ila langu rohoni ndo nyimbo niipendayo!!
Ittaqillah_leila_Mungu_aliwatoa_sasa_Mnarudi_katika_Maaswia_loo_
Marehemu ndo Nani apo Sasa..marehemu aaah marehemu .... Allah amrehemu chiku
Mwenyezi mungu awaongoze katika njia ilio nyooka
Karibun mjini "Ila Da Leila biashara ni ngumu Sana nyakati hiz sio kwenu tu!njoo ukijua kipato Cha kipind kile kwa Sasa mmh nikupambana haswaa!
Allah awaogoze wote walio potea hii ni Dunia sote tunapita
Hakuna mfalme zaidi ya mungu tusijidanganye izo ni pumzi tu zinamuhadaa
Waooooooooo umelejea mama lao nakupenda
Heshima anayo nyingi penda sana Leyla R"
Muogope Allah muumba mbingu na ardhi
Mwanamke huyu ni mzuri
.....naomba kama mwanae yupo tuonane
All the from 001 county.Dadangu duniya Ina hadaa turudini kwa mola wetu .kila mmoja na amal yake
Ako vizuri
Anaongea kama mzanzibari mashallah kumbe mmokonde ,,,,❤❤❤
Uyu dada ni mmakonde ?
Mmakonde wa mtwara ila anaasiri ya kiarabu
Sana yuko vizur , hao niwaarab wamakonde,mbona kunawarab wasukuma tena zanzibar chamtoto
Nimewaelewa mashaghala wenzangu 😀😀😀😀
@@rukiamsomi6869 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mashaghara mpooooooooooooo
Mpambane maisha ni kigeugeu ,.mpambane mtafanikiwa
Wanafanana na menini mashallah
Nampenda sana leyla rashid 🥰
Yani leyla ww kutubu kwa MUMEO ww unasema ujui kitu gani kimemkuta wakati karibu kwa MUNGU wake jamanii mtihani uuu
Kiama yaani
Allah atupe mwisho mwema kbs
Mtihani mkubwa Mwenyezimungu amuonyeshe njia.
Laana huyu ibilisi
@@jaliakamote5485 na alichotaka kashapata mumewe kasharudi tena kwa shetwanii
Leyla mtulivu
Waaaaah hakika ma tatizo ni ma baya munoo kumbe kajifugua juzi tu
Innallillahi wainna ilayhi rajiuun ALLAH atayaondoa wana hizaya
Bilayla mziki upo ktka damu yake anakiri kua binafsi anaupenda kwa dhati hvo hawez kuacha so na mzee Kazi ipo Sana t
Muhimu kula na makaazi
Na mavaz kumbe mnapoz mnataka manene muingize mamilioni yaliokuwa ya haram shukuruni na mjue Kama huo ni mtihani wa mungu na nikipimo Cha Imani jitahidini msifeli
Bro una improve Sana ktk ku-interview , keep t up.. see you somewhere in a couple of months.
MALKIA REILA nampendaga sana huyu dada acha mbali kuimba taarab nampenda na busara zake tu
Bilisi huyu
Reila?