TAZAMA MASOUD ADAM AKISOMA HUKU JENEZA LA BABA YAKE SHEIKH ADAM LIKITOLEWA, MAJOZI NA VILIO VYATANDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Mazishi ya Sheikh Adam Ahmad, Msikiti wa Kichangani Magomeni Dar Es salaam. Yalifanyika tarehe 19/07/2024, alifariki tarahe 18/07/2024 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Na amezikwa Makaburi ya MwinyiMkuu Magomeni Mapipa.
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
TH-cam: / @babdeomiladu
ALLAH AKUZIDISHIE KHER MM NI MAAMUMA NATAM NIJUE JAPO ROBO YA KWAKO KWA ELIMU ULIYO JARIWA NAMUOMBA ALLAH AJARIE KIZAZI CHANGU KIPATE ELIMU JAPO ROBO YAKO INSHAALLAH
Allah akurehemu
Mashaallah,, mungu ampe kauli thabiti shekh wetu, Hakika sote tutarejea
MAA SHAA ALLAH!! TUNA MUOMBA AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI,PEPO YA DARJA FIRDAUS SHEIKH WETU,BABA YETU,SHEIKH ADAM PAMOJA NA WAZAZI WAKE WOTE.TUNAMUOMBA ALLAH AWAJAALIE WATOTO WAKE NA MAMA YAO NAO AWAJAALIE MWISHO MWEMA.AWAJAALIE AWAPE NGUVU NA AFYA NJEMA YA KUMUENZI BABA YAO,MZEE WETU MARUHUM SHEIKH ADAMU,KAMA ALIVYO IENZI QUR'AN TUKUFU.TUNAMUOMBA AWAZIDISHIE UTUKUFU,HAPA DUNIANI NA AKHERA!! AAMIIN!!!
Mashalah
I'm here again on 4th of sept 24...There is nothing recital is sweet than Qur'an ❤
Allah naomba umpe kheri huyu msomaji kwa kila herufi ya quraan aloitamka,na mpe kher nyingi sana mwalimu wake,wazazi wake na pepo iwe makazi yetu tuonane na mtumie wetu mbele ya Allah,InshaAllah
Mashallah mashallah pole sana kaka kwa msiba mzito
Allah anipe maisha yakheri duniani nikifa wanazuon namaulamaa wajae kama hivi inshallah
Pole sana brother Masudi. Allah amrehemu mzee wetu. Na akuhifadhi. Aamiin.
Mashallaah.
M.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ishaallah
Allah ampe kheri na barka tele sheikh wetu inshaallah Amiin🙏
Masoud Allah akupe Subra kubwa kwa kuondokewa na baba yako na hongera sana umetekeleza alichokuusia baba yako hakika umeweza big up sana.
I bring tears when watching this every time..
Alhamdulillah Allah ampe kauli thabit na sisi tupo nyuma yao Allah atupe husnil Khatima Ameen
Mashaallah tabaraka Rahman. Allah amjaalie marehem jannatul firdous in sha Allah. Makosa ya wasikilizaji kuzungumza upuuzi wakati Qur-an ikisomwa. Ilikua wake kimnya sio kejeli za dola Mia na mazungumzo ya upuuzi. Manara usipeleke upuuzi wako mpaka misikitini
Masha Allah naomba tu mniombee dua niweze pata iman kwaqouran iyi ndio dua yangu
Allah akuzidishie subra ust wangu na amsameh makosa yake baba yetu mwalimu wetu allahumma amiin
AllAh AKBAR AllAhuma ghufirillAhu warahamahu waaskanalfiljjannah 😢😢
Mashallah mashallah mashallah mashallah hasbiyallah wanighma lwakiil Allah azidi kukupa nguvu na subra ya hali ya juu kwa msiba mzito wa Baba kipenxi
Allaah akupe subir 😭😭😭🤲
Mashallah kaacha watoto wemaa Allah awahifadhi inshallah
Mashallah. Ya Allah mm nimeshindwa kusoma Quran kma hv . Nakuomba unipe ruzuku kizazi ambacho kina soma Quran kma hiv mm nilitamani sana kusoma kma hiv nasoma kawaida tu
Amin
Allah awape subra Familia Allah amjalie marehem makaz mema na kauli Thabit
Mashallah MwenyeziMungu ampe kauli thabit
Allah umlaze sheikh wetu mahala pema peponi aaamina
Allah akbar Allah amrehem sheikh MashaAllah msomaji
Mashaallah kaka Masoud pole sana kwa msiba mzito.
Wallah mpk nalia meme mashaallah Allah amjaze kheri😢😢😢
Wallah kakaangu unamalipo makubwa sana kwa Allah juu ya subira yako nakuombea na pia baba amewalea ma'shaallah Allah amuweke maali pema peponi i😢😢😢😢
Amiiin
Mashaallah...Allah awalipe malipo mema na mwisho mwema 😢
Innalillah wainna ilayh rajiun.. mashaAllah walad swalehe
Barakallah llahu fiikum….!! Allahuma firlahu war hamhu waskanhu filjannah 🤲
Mwenyez mungu amrehemu sheikh wetu
Maashalaah
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AMWEKE SHEKH ADAM AHMAD MAHALI PEMA AKHERA NA MAHALI PEMA PEPONI SIKU YA QIYAMA. AMIIN.
Masha Allah
Allah ampe kaulithabit sheikh Adam na amuepushe na adhabu za kabri inshaallah
Mashallah jaman naona pepo ya firdausii ipoo kwahuyuu mzee Allah ampe pepo nlinshallah
Insha Allah Aaamin
Allahu atupe kwa sote
Allah amuhifadhi peponi amiiin 😢😢😢😢😢 na amejitahidi sana wallah ameacha kizazi kilichobola na kila alieshikana nae amepata faida duniani na akhera
ALLAH AKBAR
Mashallwah mungu akulipe kwakusubiria msiba bad uko namungu tuombeeni nasie watt wetu wawe kauli swalikha
Mashalah mungu amfutie mazambi yake pale alipotereza
Mashaallah mashaallah
Bismillah mashalah 😢😢😢
MaashaaAllah
MashaAllah, lkn asinywe kwa Mkono wa kushoto, On top of that Allah amzidishie kipaji alichompa 🎉
اللهم اغفر له ورحمه وسكنح فيل جان
Mashallah
Allahu Akbaru
Inaalillahi wainnaaillahi raajiuna allahuma ghfirahu waruhamuhu
MwenyeziMungu ampe Makazi yaliyomema mzazi wako nawe mungu akujalie yaliyomema
Allah akihifadhi akupe subra Allah izeed maashaallah
اللهم غفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس
M/mungu amfungulie milango ya pepo huko aendako inshallah
اِنَّ الَّذِيْنَ يَتْلُوْنَ كِتٰبَ اللّٰهِ وَاَقَامُوا الصَّلٰوةَ وَاَنْفَقُوْا مِمَّا رَزَقْنٰهُمْ سِرًّا وَّعَلَانِيَةً يَّرْجُوْنَ تِجَارَةً لَّنْ تَبُوْرَۙ
Mashaa Allah Tabarakah Allah
Mashaa Allah Tabarakah Allah
Mashaa Allah Tabarakah Allah
لِيُوَفِّيَهُمْ اُجُوْرَهُمْ وَيَزِيْدَهُمْ مِّنْ فَضْلِهٖۗ اِنَّهٗ غَفُوْرٌ شَكُوْرٌ
ماشآءالله 😭😭😭😭😭
Mh mashallah uyu msomaji ni bingwa mungu amuweke sijui mwalimu wake nani aliemfundisha quran yani mpaka nimelia
BABA ake aliye kufa😊
Hapo anasoma kutekeleza usia wa babayake akifa akiwa anatolewa ndani na jeneza asome qur an
Da mungu amulipe firdaus mwachuoni wetu pamoja na mtume muhamad kaacha mtu sijaona msomaji kama uyu tanzania da babaake kaacha mtu mungu almlinde msomaji na husda za watu
Sheikh Masoud Adam amelelewa na Alhabibu Sharif Hussein bin Sharif Ahmad Badawy ni kaka wa Sheikh letu Mwenye Baba yaani Alhabibu Sharif Ahmad Ahmad Badawy.
Mwlm wake ni pamoja na baba ake ambae ndio marehemu lakini mbali na baba ake na sherif husaini badawi pia ni mwl wake
Innallillah wainna illah rajiuun
Allah (sw) ampunguzie joto la kaburi inshaallah na ampe pepo amin
Sio apunguziwe bali aondoshewe adhabu za huko aliko
Alama za watu wema…!! Allah tujaalie tuwe miongoni mwao yaarabi 🤲…!!
Mwenyez mungu ampe kauri sabiti 😢
Inalilahi waina ilayhi rajuun
😢😢😢😢😢Innalillah wainnaillaih rajiun 😢😢😢😢 Allah humma ghufirrilin 😢😢🙏
Innalillahi,wanna ilai rajiun,Allah akupe kauli that,umeacha watoto.wema
Allah axidi kuwapa subra juu ya kipindi hichi kigumu cha msiba Kwan yy mbele na sisi tuko nyuma yake انا الله وانا إليه راجعون اللهم غفرله ورحمه وسكنه فل جنه
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun
Wallaah nimelia poleni wajomba zangu poleni sana masoud mume wa aunt yanguu😢😢😢😢
رحم الله شيخنا
Don't judge a book by it's cover mashallah
Yaaraabby nipe kizazi cha kheri kitakachokujua nakukutumikia nakukuabudia inshallah
Ameen
Watu wa heri.Mzee kaacha sadakatul jalia.Alhamdullilah
😢 mashallah
Mashalallh
Hakika wale wanao soma Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na wakashika Sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga. 35:29
اِنَّمَا يَخْشَى اللّٰهَ مِنْ عِبَادِهِ الْعُلَمٰۤؤُاۗ اِنَّ اللّٰهَ عَزِيْزٌ غَفُوْرٌ
Kwa hakika wanao mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe. 35:28
Alla amlaze pema peponi nasi atujaalie mwisho mwema
Innalilahi wainnailayhi raji'un 😢
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake
اللهم اغفرله وارحمه
MashaAllah
Nimejikuta Nalia😭😭😭
Allha warehem ndugu zetu na wazazi wetu waliotangulia mbele za haki Aamiin
Amin rabil alamin
Ili Yeye awalipe ujira wao kwa ukamilifu, na awazidishie kutokana na fadhila zake. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe Mwenye shukrani. 35:30
إنا لله وانا اليه راجعون 😭😭😭البقاء الله
تغمده الله بواسع رحمته ويسكنه فسيح جناته ويلهم أهله الصبر والسلوان
HATUNA LA KUSEMA ZAIDI YA KUSHUKURU NA KUJIFUNGAMANISHA NA SWABR.KWA HAKIKA TUNAONDOKEWA NA WALEZI WETU AMBAO KWETU NDIO KILA KITU.INNAA LILLAAH WA INNAA ILAYH RAAJIUUN.
Innaalillaah wainnaailaih raajiuun, qur an inasomwa watu wanashangilia, Allaah anasema qur aan inaposomwa tuisikilize, mcheni Allaah ahal bid'aa
Na nyinyi ilmu fupi
Duh....Allah anasema itakapo somwa Quran tulieni na mskilize...
Ila usisahau Mtume(s.a.w) Anatuambia atakapo fanya kitu kizuri bas msifuni Allah kw takbir na mpe PONGEZI (Masha Allah)anaye fanya mwisho umuombee Dua....
Na ss waislam tuishishi kw Quran na Sunnah..
". Tuacheni bidaa juu ya bidaa ""
Kwani huisikii au ulijuaje ka qoran hiyo
@@HassanSadiki-l5csasa ukiona kuna shida unaisikilizia nn si ondoka
Mungu amjaalie akutane na bwana mtume naangie kwenye pepo ya daraja la juuu kabisa
Subhanallah . Mzee wetu nenda salama . Innalillaahi
Kila la kheri Allah amlipe mazuri
Watanzania ubishoo mpaka kwenye QURAN SUBHANALLAH,hakuna hâta mmoja ajuae aya zinazosomwa
Wewe ungeamua kuweka tafsiri ili upate thawabu
innalillah wainna ilaihi rajiun
Inna Lillah wainna illahi rajiun Allah ampe qauli thabit
Allha mfungulie milango ya Pepo mjawaku huyu Kwa kazi kubwa ya kujitolea kulingania dini
Allah akupe Subra ktk kipindi Hiki kigum
🕋🕋🕋
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun.
من يعيش منكم فسيرا اختلاف كثيرا...الحديث
katk hadithi ndefu mtume saw alisema atakayekua na maisha merefu miongoni mwenu ataona tofouti(uzushi)mwingi 😮😮😮 Subhana LLah
Wewe ndiyo mzushi
@@fatnasaidi3027 wewe chunga mdomo wako mimi nimenakiri kauli ya Mtume si maneno yangu fikiria kabla ya kuropoka
Wewe ndio mzushi mkubwa
Uzushi wameufanya ni dini, na hata kama ingekua hilo wanalofanya sio uzushi je hivi ndivyo ambavyo mtume ametufundisha kufanya quran inavyosomwa
@@fatnasaidi3027 chunga sana kuropoka kilichonakiriwa hapo ni hadithi sahihi ya mtume