Mazinge fanya kazi ya mungu acha kujisifia mbele ya hadhra. Na kama ulivyo fanya kazi ya mungu ukiondoka mungu ataleta wengene wafanye kazi. Uislamu hautegemei mtu maalumu
Jamani mm nacheka huyu shekhe nampenda san anajiamini haogopi mazinge ndiyo ndiyo tiba ya makafiri wanasilimu san Allah amhifadhi na akawe na mtume jannatu fridauthi
Tatizo la shekhe mazinge mtu akipotea kwenye dini au akiasi badala ya kumuombea arudi kundini lakini kwann yy anawahukumu maana kagoma hata kumuombea dua, pia anagalia kwa afande sele alaivyotoa hukumu kiukweli dini haitakiwi kuwa hivyo mtu akipotea inabidi aombewe arudi kwenye mstari ulionyooka ss huyu mazinge ana hukumu sio vizuri hivyo
Usthaz wangu ninaomba mola Mungu aliye nhayuwa mbuingu saba, akuzidichie rehema.insha Allah
Mancha'allah sheik wetu Habib llah Allah akupe kila lakheri
Hata mm nampenda sheikh mazinge Kwaajili ya Allah
Mazinge nampenda sana aisee 🙏🙏
Allah akupe umri mrefu
IN shllh
mwenzi mungu akupe maisha marefu sheikh weyu
amina sote kwa pamoja.
Dunia inamhadaa Mzee yussuf. Kutaka maisha mazuri ndio maana anahangaika tu mara sheikh, mara taarab. Mtihani wallah
Watu wa Bidaa hawana lolote. Huyu mzee comedy sana.
@@hamisimfaumenamwewe193 Bidaa yake lakini iliwaingiza wengi kwenye dini ya uislamu. Ww umeufanyia nini uislamu badala ya kusema tu " bidaa" bidaa
@Yphware HCo Zaidi ya 10. hao wakina mazinge ze comedi Tawheed hawana. Ndo mana wana sifa za kijinga sama
@Yphware HCo Masalafi utawafananisha nao hao mashoga wanyoa ndevu na kuburuza suruali.
Mazinge fanya kazi ya mungu acha kujisifia mbele ya hadhra. Na kama ulivyo fanya kazi ya mungu ukiondoka mungu ataleta wengene wafanye kazi. Uislamu hautegemei mtu maalumu
Jamani mm nacheka huyu shekhe nampenda san anajiamini haogopi mazinge ndiyo ndiyo tiba ya makafiri wanasilimu san Allah amhifadhi na akawe na mtume jannatu fridauthi
Aamin yaa Rabby.na ss pamoja
Lazima Sheikh Mazinge uwe na hasira na mzee yusuf, alituhadaa
Allah mpe kila la kheir mazinge na wahadhir woote wanaoutangaza uislamu Allah wape nguvu na mapenz ya kumpenda Allah
Mwezi mungu akupemaishamalefu malim
Mashaalhah
Hahaha mzee yusufu kweliibiris
Mashallah
Njaa tu inamtafuna mzee yussuf, dunia tu
Wallahi tena
Mazinge unanifurahishaga Sana....😂😂😂😂😂😂
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
we mzee kwnn unawabagua wengine unawaita makafiri hii cyo unakosea
Kama kafir acha aitwe kafir na kafir ni mtu asiye na dini na dini ni moja2 ambayo ni uislam sawaaa ww
Bliblia ndo inawaita makafiri
Tatizo la shekhe mazinge mtu akipotea kwenye dini au akiasi badala ya kumuombea arudi kundini lakini kwann yy anawahukumu maana kagoma hata kumuombea dua, pia anagalia kwa afande sele alaivyotoa hukumu kiukweli dini haitakiwi kuwa hivyo mtu akipotea inabidi aombewe arudi kwenye mstari ulionyooka ss huyu mazinge ana hukumu sio vizuri hivyo
Acha kutetea ujinga. Yy aliitangazia dunia anarudi kwa M'mungu. Napia aliwafata kina mazinge was hanging lzm waseme hivyo masheikh.
Kipozo
Mzee acha kudanganya watu.
Mwamini Yesu Kristo la sivyo utapotea.
Munapotea nyinyi
We dini huna kafiri mkubwa
@@aziz_khulu unajua maana ya kafir?
Weee kafir embu kua na adabu
Ibilisi mkubwa wewe dini huna kafiri achat mpate mafunzo pumbavu
Mzee Yusuf piga kazi,ucsubiri sadaka,wote wakisema 2cimbe,ndani aimbe ss? Hao vyangu madoa huwaoni?shoga huwaoni? Yusuf ndo mmeuona? Mpirani wakitoa hela zakuuma,wazitaka,? Ulifika kwa Allah ndo kakuambia wakristo wataenda Motoni? Ungeimba taarabu ungepata mamillio.
Kakojoe ukalale
Wee umelaaniwa
Mashallah
Ustazi naomba nitumie namba zako