#SHULE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 มิ.ย. 2023
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Thank you father❤❤ nimebarikiwa naneno hapo tu uliposema kuwa pesa inaleta furaha, uishi miaka mingi baba 🙏🙏🙏🙏
Grand prophet. Baba you are more than gold. You are God with us
Yes Baba money can buy a happiness. Nakupenda sana Baba yangu 🙌💕
You are a prophet of God I love you God bless you 🇰🇪🇰🇪
Wewe baba ni dhahabu ni watu tuu hawajui❤❤❤❤❤❤
Huyo ndiye Geo Davie🥳🥳🥳
Wape visible vyao, miguu ya bara bata. Kuongea mpaka mate yanawakauka. Mambo yao yameshindikana wamebakia watu. Umesema vizuri baba.🙏🏻🙏🏻💕💕💯🇹🇿❤️❤️
Wewe ni Nabii Mkuu🙏
Nimebarikiwa sana na ujumbe
The great teacher 🌹🌹🌹
NABII MKUU NAFURAHI SANA KWA KUSIKIA SAUTI YAKO 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina baba tumebarikiwa sana
Asante baba
Mungu niumbie moyo wa ushujaa nisitikisike kwa lolote kwani uko pamoja nami, ushindi uko mbele yangu.
Nikweli Baba Nabii GeorDavie yashanitokea mimi
Nikweli kabisa Ana Geor Davie nimekubali
Ni kweli Baba,
Uko mwalimu muzuri kwewli Mungu Muumbaji wa vyote Akubariki
Ameni naitaji mungu aniwezeshe nisaidie na wengine Baba mkuu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimejifunza sana kwasasa
Usilie Baba Nabii Geor Davie
Amina
Savi Sana amina
This great
Wewe ni mkweli kabisa mungu akulinde
Amina baba
Nikweli Baba Nabii GeorDavienimepokea
Amen amen🙏🙏
Yaani kweli Baba nimeyapitia yote hunayoyasema
Kweli nakubali yote hayo Baba
AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏
Come on Father my Prophet
Kweli baba
True
Kweli Madame awajakuchomachoma sindano mwilini aikusumbui
Baba shikamoo Nabii mkuu, baba huku nje Kuna watu tuna teseka na mambo mbali mbali, Kuna wakati tunatamani tufike kisongo anagalau tuguse hata kiatu chako tu ili mambo yetu yaende sawa haswa kibiashara unapo ona umeyumba, umejipinda umetafuta nauli ili uweze kufika kisongo lkn daah, samahani baba Nabii mkuu kama ntakukosea unisamehe, ukweli ni kwamba watumishi wako tukiwasiliana nao wanatukatisha tamaa, Wana majibu ambayo sio kabisa, juzi nataka kuja nimeongea na mama mmoja hapo, kauli nilizi pata kwake nilikata cm na kakaa chini nikalia kama mtt mdogo, tunaomba kujibiwa vzr jmn, baba Nina mwaka wa tatu huu nakufatilia mpaka nikachukua uwamzi nije kisongo lkn nimeshindwa kufika kutokana na majibu ya mtumishi wako mmoja tu, baba Nabii mkuu naomba nisaidie nifike kwako naangamia kibiashara ntakuwa mgeni wa nani? Waganga hawafai nataka kuja kwako. Na Mungu akuweke ili siku nije niguse hata kiatu chako tu
Acha kupiga simu we njoo kanisani
Wowote anasema pesa aileti furaha ana akili nzuri. Ni mpumbafu tena hastaili kuwa na pesa 😊
Hakika baba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nahawana chochote hao wanaosema😊
Uko mwilini sana
Kama yukomwilini wewe kaa kiroho Kama babako
Tumemkubali babayetu
Watu Kama wewe niwashashe sana
Huyo alopiga makofi kawaza mwezi gani😃😃😃😃😃😃😃
Amenitumia baba tuko pamoja Sophia kutoka tabora
Achana na mediocre baba.
Kweli baba