AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2023
- Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/BishopElibarikiSumbe
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Eeh mwenyz mungu kupitia ushuhuda huu nifungue na mi.
Mungu naomb nifungue kupitia huu ushuhudu
Niguse nami bwana Yesu niko hapa mombasa nifungue.
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Amen 🙏🙏🙏
Eee mungu baba naomba nami nifunguriwe nitenganiswe na ndoto mbaya
Mungu nikubuki ewe Elshaddai
Mungu naomba na mimi unifunguwe ukifunguwa wangine na mimi niko na mtu ananigusa usiku nanamusikiya naamuka naomba naomba Mungu anifunguwe sana🙏
Asante Mungu
Naomba namimi unifunguwe unapo gusa wengine Nami niguse usinipite😢
Amen
Nami naomba unifungue katika jina la yesu usinisahau mungu
I tap the deliverance in Jesus Christ,amen
Kweli Mungu yupo🙏
Nami naomba unifungue katika jina la yesu.
Bishop nakufuatilia vizuri, Nina shida ya kukataliwa, Kila nikipanga haitimii.😊
Bishop sumbe niombee nipone magonjwa yote na nifunguliwe kiroho Roho ya kuomba imeondoka mwezi wa tatu sasa naumia sana
Amen bishop, naamini na Mimi nimepona kupitiya iyi Maombi naufungulivu.
EeeMungu tunususuru na hizi roho Kwa jina la yesu
Devota ezekieli kutoka keñya watoto Wangu wamekuwa vituko sijui ñini nisaidie mtumishi
Mungu funguwa watoto wangu namimi puyaa
Barikiwa sanaaa 🙏 mchungaji
Eee mungu naomba nami nifunguliwe🤲
MUNGU akubariki sana
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑖𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑖
Asante Mungu kwa Wema wako
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏
Njoo na iringa mtumishi
Mungu nikumbuke nami nifunguliwe mbona shida zinanisonga,
Ahwiiii !! Rose! Rose!!! Kweli !! Mbona hivyoo? Mungu wee!! Sijui niseme je!! Hio ni message tosha!! Mungu weee! Wasaidie walio wa kwako !! Yesu ni njia na uzima na ukweli !! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na hufanikiwa ktk yote.
Sifa zi murudi mwenyezi Mungu
Yesu ni Bwana
Wonderful from God
Amen Amen papa
Mungu mkuu ninakushukuru kwa uponyaji
Glory be to God🙏
Powerful 🔥🔥🔥🙏
May the Lord Jesus Christ deliverer you
Eee mungu naomba na mim nitenganishwe na ndoto mbay za kutisha
Nami pia namini nitafunguliwa kupitia huyu dada
Mungu nami nfunguwe ukaniondele hayo mateso
God is everything
Ameeen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ amenn
Ameeeeeen
Hata mimi nafunguliwa in Jesus name.
Pia mimi nasumburiwa namajini kaba niombeeni n jesus name
Amen amen
Ameen baba
Hiyo iliisha sasa
Dunia ina mengi kumbe watu wametekewa Hasa Mungu fungua Watu wako Wanaoteseka
Hio ni roho imenikalia kwa muda mrefu lakini kupitia kwa huyo dada nitafunguliwa kwa jina la yesu
Mimi pia dada angu kama hivo namimi ninaimani itafunguka🙏🙏🙏🙏
👏👏👏👏👏👏
Uko mtaa gani mwanza pia dar?
Ikawe kwangu kupitia ushuuda huu
Aminaa
Ee mungu nisaidie na mm mwanao kupitia maombi ya mtumishi wako
Ee Mwenyezi Mungu, Mami najiungamanisha na maombi haya , Mami naomba kufungjliwa na kuondolewa jini mahaba kuazia sasa, niwe huru kwa jina la Yesu Kristo, Amen
Mwenyezi MUNGU ni mwaminifu, naomba mimi pia mwenyezi MUNGU anifungua katika jina la YESU christo
Amina namimi ninaamini nafunguliwa kwa jina la yesu
Yesu kwa kupitia mama huyu napokea uponyaji kwa jina la Yesu, Yesu niondolee na nguvu za giza zinasonitesa miaka mingi,Ee Yesu nisaidie.
Mchungaji ndoto za huyo mama zinafanana za kwangu, Yesu nisaidie nipone.
Imeshindwa kuzimu kwa jina la yesu
Unapogusa wengine baba naomba niguse na mm
Kila ufanyacho fanya kwa upendo
Emungu na omba na mimi nifunguriwe
Nifunguliwe kutoka kwa maroho ya ndoto mbaya na watoto wangu wafunguliwe kimasomo walirudishwa nyuma na watu najua
Nami naamini yesu ananifungua sasa hii.amina.
Kufunguliwa, Sawa. Kwa Nini ameachana n'a même wake wa kwanza? Atengeneze n'a mumewe wa kwanza
MUNGU ndio aichunguzae mioyo yetu..
Niko Kenya,nawapata vipi watumishi,nataka kuja kanisani.
Abariko mutumishi wamungu naitwa saitoti laizer naomba uniombee maana Niko kazi nafanya lakini sioni mavanikio nalipwa kbisa lakini sinyanjii kitu maisha yangu inayumba yumbatu nataka kuja kwako baba uko wapi
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Shallom pastor 🙌🙌
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑖𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑖
Amen hakika ww ni MUNGU TU
Unapogusa wengine baba naomba niguse na mm
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑖𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑖
Amen