JINSI YA KUISHI MAISHA YAKO BILA KUJALI MANENO YA WATU - Dr. GeorDavie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2020
  • Kati ya mambo yanayochosha akili maishani ni kutoishi maisha yako, yani mtu unaishi kwa kuogopa watu watasemaje kukuhusu...! Tazama video hii ujifunze mambo yatakayokusaidia juu ya hili suala.
    NIFUATILIE
    ☞ Facebook: / geordaviemaarifa
    ☞ Instagram: / geordavie_maarifa

ความคิดเห็น • 45

  • @sweetylyimo3462
    @sweetylyimo3462 3 ปีที่แล้ว +7

    Kweli baba hii ndio huduma,Napenda sana mafunzo yako ya hekima ya Hali ya juuu,wewe baba wewee akiamungu umenitoa mbali mungu azidi kukupa maisha marefu ,

  • @priskilamajengo8683
    @priskilamajengo8683 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba nakuelewa Sanaa na umenitowa mbalii Sina Cha kusema zaidi baba Mungu akutunze Sanaa😍

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba nakubaliana sana. Hata Mimi nachukia mtu mnafiki.

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว +1

    Àsante sana Baba yangu

  • @mossesmungure9181
    @mossesmungure9181 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Mno Nabii Mkuu, Ongeza zaidi kuisema kweli ya Kristo na Yamaisha haya Katika Kanisa Mungu Akubariki Mno, Ukiwepo na Hata Baada Yako tupo tutakaoendeleza kweli na Kristo na Nguvu na Ukuu wa Mungu Duniani Kote. Ubarikiwe Mno.

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +1

    Baba nakupenda

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +1

    Amina Savi Sana baba

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ameweka msingi sasa ni jukumu la kila mmoja kujipambanua ni majenzi gani anajenga juu ya msingi huo kama ni lulu,goldi,matope au manyasi kila kazi itapimwa na Yesu kwa moto

  • @augustmshanga7540
    @augustmshanga7540 3 ปีที่แล้ว +2

    Ana heri mtu anae kufatilia na kushika maneno yako kwa makini katu hatopata madhara ya gafla

  • @selinasamsonnkone673
    @selinasamsonnkone673 2 ปีที่แล้ว

    Baba naitaji maombi yako mimi ninatatizo kubwa nilikuwa muimbaji nyota nilikuwa nabiashara lakini nimefilisika madeni yamekuwa mengi hata kodi ya nyumba inanichanganya nibada ya kupigwa chake ya kichawi nasali ngurumo mwanza Kanyama lani hata nauli ya kwenda huko sina nimehalibikiwa kabisa maisha watoto wangu wamefukuzwa shule mambo magumu sana kwangu naitaji maombi yako

  • @japhegipson863
    @japhegipson863 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba mawasiliano yako mtumishi

    • @merrypaul407
      @merrypaul407 2 ปีที่แล้ว

      Naomba mwenye no za CM za nabii anisaidie tafadhali

  • @selinawilliam1596
    @selinawilliam1596 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akisema neno akuna wa kupinga amahakika mungu kakupa baraka nawewe unazitumia kuombea watu na wanapona na kubarikiwa

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 2 หลายเดือนก่อน

    Amina safi sana

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 ปีที่แล้ว

    Beautiful Man of God nimecheka sana

  • @deodatusmramba639
    @deodatusmramba639 2 ปีที่แล้ว

    Dah! Umenijua aisee

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 ปีที่แล้ว

    Nimeamini mambo yangu yatanyuoka amen

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii mkuu mwene mamlaka.yakweli hakuna kama wewe wanao kusema wakati wao hata tone.hawa kufiki kwamiujiza yakwe mimi mwenyewe ni meshudiha kwangu waje wajifuze kwako kwanza manabii ote na na viongozi wadini kwa sababu wao hawa wezi ndomana wateseka

  • @kimbalijez1797
    @kimbalijez1797 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana baba namaliza mb kwajili yako baba

  • @elvinakahindibaya5799
    @elvinakahindibaya5799 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaah! Haki ya Mungu baba nakupenda sana

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ndio kabisaa sitoki hapa hapa maali ni sahihi patakatifu sana✍️✍️🙏🤲🙏

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Nikweli baba

  • @CipiteckMollel-ef1fe
    @CipiteckMollel-ef1fe 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli baba

  • @user-vo8or5gx7u
    @user-vo8or5gx7u 2 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba uniombee nipate mke huu ni mwaka wa nne Sina mke Wala mchumba jamani😢😢😢😢😢😢😢

  • @georgethomas2309
    @georgethomas2309 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @vickymsuya7682
    @vickymsuya7682 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @selinasamsonnkone673
    @selinasamsonnkone673 2 ปีที่แล้ว

    Ombi 2 mtoto wangu ametoloka leo wiki ya 3 anaitwa anastzia amemaliza kidato cha nne anasubiri kwenda chuo lakini sijui aliko hadi muda huu niombe sema neno nitapona atakudi

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 2 หลายเดือนก่อน

    Kabisa baba hauna

  • @MartinGoha
    @MartinGoha 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii mkuu natamani unitamkie neno kabla mtu kama wewe hujatoweka duniani maana shetani amenizuia miaka mingi nashindwa kufika ngurumo ya upako nifungue hata huku nilipo niweze kufika

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Watu tuko wanafiki Kweri. Indyarya. Wengi wanachungulia kama hawaoni Na wanaona

  • @malaikalihuda2831
    @malaikalihuda2831 ปีที่แล้ว

    Namimi nakuja baba

  • @fidejohn-te1xm
    @fidejohn-te1xm ปีที่แล้ว

    Baba unafundisha mpaka mtu anaelewa

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 ปีที่แล้ว

    Baba naomba baraka zangu niweza kupona magonjwa yanyonisumbua

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Asande baba mkuu

  • @paulinajoseph613
    @paulinajoseph613 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana baba yangu maana huna unafiki.

    • @TriciaRP
      @TriciaRP 2 ปีที่แล้ว

      He is a false prophet and telling women they are Apostles. That is a male role and title. He is wrong

  • @mondevieskiplangat1496
    @mondevieskiplangat1496 ปีที่แล้ว

    Nitapataje namba ya Nabii

  • @ombyombeni
    @ombyombeni ปีที่แล้ว

    Tupo njiani baba tunakuja mda si mrefu

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 11 หลายเดือนก่อน

    A

  • @jovinkiboko3558
    @jovinkiboko3558 ปีที่แล้ว

    Job 31:1 "I have made an agreement with my eyes. Then how can I look with lust at a woman? " #LustOfTheEyes #LustOfTheFlesh #PrideOfLife

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 ปีที่แล้ว

    Haki wewe ni nabii wa ukweli kabisa

  • @mathsmeme-tv6576
    @mathsmeme-tv6576 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @nadegeuw.5703
    @nadegeuw.5703 3 ปีที่แล้ว

    Amen