Am good in praise and worship,but every day I ask God for forgiveness,lakina shetani ananiadama sana mpaka najisahau nateda dhambi, God i pray that through this worship,i may be forgiven my sins, use me as a vessel, standing against every evil against me,i want to serve you and you alone, please lord have mercy on me😭🙏🙌👏
Eeh BWANA YESU hakika wewe ni mwema, asante sana Mwokozi kwa nyimbo hizi Baba wa mbinguni. Sifa na Utukufu uzipokee,pia Baba hawa waimbaji BWANA uwalinde na kuwafunika na zaidi ya mno uainue zaidi na zaidi
Wimbo mzuri. Hongereni sana ndugu zangu kwa kuimba wimbo unaogusa moyo wa Mungu na mioyo ya wanadamu. Pia namuomba huyo dada aliyevaa nguo ya bluu ajitahidi kuvaa nguo ya kusitiri mwili wake ili jina la Yesu lisitukanwe,.Zaidi yahayo nawapenda sana na Mungu azidi kuwabarki.
Was searching for a worship to listen to before going to bed.... May God listen to the cry of my heart i trust in him so much.hes all i have left.Nothing seems to work😢.. I shall have a testimony to give soon😊
I love to worship the Lord in truth... thanks kwa kutuongoza tuko pamoja 13/9 before I got to labour ward... this worshipers lead me through from 7am to 1pm when I got to hospital
My heart here yarns to know God more and more through praises ,worships and prayers I know am on a right path through the songs 8 feel delivered with worship,let the name of Almighty be raised up🙌🙌🙌🙌
Amen, Amen nimebrikiwa sana nimeikiza worship hii zaidi ya mara Tano,nahisi.roho mtakatifu akishuka ndani mwangu.Mbarikiwe sana watumishi na awatimizie haja za mioyo yenu na azidi kuwafunulia zaidi🙏
Amen 🙏 wow nyi watu wa Mungu kweli uwa mnaninguza kweli kweli....nami natamaningi sana kumwambundu Mungu kwa namna hii sijui mko mtaa upi wajameni kama nimi naeza tap hiyo neema ya kuambudi kiwango hiki please.
Am good in praise and worship,but every day I ask God for forgiveness,lakina shetani ananiadama sana mpaka najisahau nateda dhambi, God i pray that through this worship,i may be forgiven my sins, use me as a vessel, standing against every evil against me,i want to serve you and you alone, please lord have mercy on me😭🙏🙌👏
Prophetic word is being fulfilled. True worshiper for sure am joining you
Praise God!
I need you God all the time, Amen.
Eeh BWANA YESU hakika wewe ni mwema, asante sana Mwokozi kwa nyimbo hizi Baba wa mbinguni.
Sifa na Utukufu uzipokee,pia Baba hawa waimbaji BWANA uwalinde na kuwafunika na zaidi ya mno uainue zaidi na zaidi
Hakika mnaguza mioyo, pokeani kibali chake Mwenyezi Mungu
Amen Amen
Very true be blessed
Be granted with lots of God's gifts and blessings
Very touching and spirit filled this the kind of Godly music that blesses me. May the Lord lift you to International levels!
Amen
Wimbo mzuri. Hongereni sana ndugu zangu kwa kuimba wimbo unaogusa moyo wa Mungu na mioyo ya wanadamu. Pia namuomba huyo dada aliyevaa nguo ya bluu ajitahidi kuvaa nguo ya kusitiri mwili wake ili jina la Yesu lisitukanwe,.Zaidi yahayo nawapenda sana na Mungu azidi kuwabarki.
Hongera sana kaka Patrick kwa ushauri wako juu ya huyo dada muimbaji aliyevaa hiyo nguo sio ya utukufu wa MUNGU.
Nakuitaji Mungu kwenye maisha yangu nikiwa na wewe naamin vingine nitavipata kirahisi kabisa.
May God bless you abundantly for making the videos downloadable
Kabisaaa...spreading the word of God freely
Ni wewe hujataka kudownload
Mungu pamoja nanyi kwa kazi mnayo fanya mnaguza mioyo ytu❤
From Kenya, haja ya moyo wangu ni wewe Yesu
More grace ministers of God 🙏 may God increase you all and lift you all higher and higher
Thank you holy ghost 🙏🙏
Nikiwa nawe Jesu nitashida
Wewe bwana chanzo cha uhai wangu ni wewe tu 🙌🤲
Oooh holy spirit of God rest in my heart 🙌
Was searching for a worship to listen to before going to bed....
May God listen to the cry of my heart i trust in him so much.hes all i have left.Nothing seems to work😢..
I shall have a testimony to give soon😊
Receive a miracle in Jesus name
Ninakuabudu bwana wangu hakuna kama wwe baba❤❤❤❤
There is God in heaven you gonna testify His goodness in your life
Hug's dear,,, let's hold on to Him
He'll make a way
Mubarikiwe sana mungu awabariki sana musiwai kosa ....hii worship imenifikisha mahali🙏🙏🙏🙏
Mungu mwenye Enzi mwenye mamlaka heshima ni zake mungu Amen 🙏
Baririweni sana mungu azidi kuwapa upenyo katika hii huduma
Indeed I only need is Jesus in my situation.
glory to God🙏🙏
Yesu ni wewe tu haja yamoyo wangu ni wewe tu
Hallelujah
I love to worship the Lord in truth... thanks kwa kutuongoza tuko pamoja
13/9 before I got to labour ward... this worshipers lead me through from 7am to 1pm when I got to hospital
Amen be blessed
So great,how beautiful is it to worship,I just feel am more close to My Maker,Adonai,God of our ancestor Abraham,may your name be lifted higher.
Powerful 🙏🙏
My lalabye song haja ya moyo wangu ni Yesu tu Amen
Hallelujah nimekuja NAMI kumwabudu Yahweh Kwa uzuri wake,Hakika ni Mungu mwema
Amina
Mungu awabariki sana ❤❤❤
Haja ya moyo wangu ni Yesu tu🙏🙌😭😭😭
Amen Amen
God bless you sana watumishi kwa ibada nzuri ya kumtukuza Mungu wetu ,nabarikwa nikiwa msa pwani
Glory to God
O Lord remember me and let your name Grolified
Am blessed be blessed too
Thank you lord for this wonderful worship
Thanks for listening
Mbarikiwe sana, watumishi wa Mungu , awainue kwa kiwango cha juu.
Halleluya haja ya moyo wangu ni wewe yesu powerful songs
Thanks Lord 🤲🤲🤲🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hallelujah
Onge maromo gi yesu❤ nice voices
Indeed.B blessed
Amen
Machozi hayaishi ninapousikia wimbo huu sana sana sehemu ya huyu dada mpakwa mafuta wa mungu
Amina,nikiwa nawe yesu nitashinda vita zote
Mubarikiwe watumishi katika huduma yesu azidi
Niwewe tu yesu haja ya moyo wangu
Amen❤
Huyu dada abarikiwe,anaimba Kwa roho na kweli
So powerful worship nimepona kupitia hii sifa🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️
This is touching
nikiwa nawe ndani yangu nitashinda 🤩🤩❤❤
AMENNN
Mungu awabariki sana kwa huduma hii
Haja ya moyo wangu ni Yesu tu
Lord Jesus I need devine visitation upon my live❤🙏God do not bypass me as you bless other people remember me😢😢🙏🙏
Hakika nabarikiwa sana na Mungu wa Amani awazidi kuwahifadhi na neema ya Yesu Kristo iwe nanyi Amen
Aja ya moyo wangu n yesu tu🎉🎉🎉🎉🎉
OOOH LORD JESUS 🙏❤️ CANT STOP LISTENING 🎧 TO THIS WORSHIP EVERYDAY 🙏
OOOH LORD JESUS WE BLESS YOU WE HONOUR YOU LORD 🙏♥️
In deed you are great pple and I really love your voices
Mumebariki moyo wangu bwana awabariki sana
nachoka ni wewe yesu 😭😭😭
Hakika haja ya moyo wangu Yesu tuu
Mna yeyusha mioyo yetu with powerful worship 😫😫😫🤲🤲🤲🤲👐🙏
My heart here yarns to know God more and more through praises ,worships and prayers I know am on a right path through the songs 8 feel delivered with worship,let the name of Almighty be raised up🙌🙌🙌🙌
This is a beautiful rendition
Very powerful and impressive move of God
Wow that song ya nachotaka it blesses my heart 🙏🙏🙏
Haja ya moyo wangu,,Yesu tuu wow asanteni kwa kuimba huu wimbo my favourite song 🥰
Hallelujah Glory to God 🙏🙏
Amen Amen
Nikiwa na yesu hakika ntashinda wimbo wakutia moyo
Hakika haja ya moyo wangu ni wewe tu Bwana. Mngu twakulilia Kenya. Mngu awabariki enyi kikundi hiki cha kumsifu na kimwabudu Mngu.
Amen, Amen nimebrikiwa sana nimeikiza worship hii zaidi ya mara Tano,nahisi.roho mtakatifu akishuka ndani mwangu.Mbarikiwe sana watumishi na awatimizie haja za mioyo yenu na azidi kuwafunulia zaidi🙏
Im blessed
Yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes 😭 🎉🎉sijachelewa
Amen glory be to
Ni wewe tu peke yako Yesu ❤🎉🎉 haja ya moyo wangu.
Aminaaaaaa ❤❤❤❤ Mungu wa mbinguni azidi kuwafunulia ya liomakuu zaidi
Karibu kwangu yesu🎉🎉
When I feel like giving up may I be reminded of your goodness,I surrender everything to you Yahweh.
Mungu wa Mbinguni awazidishie munabariki moyoo wangu❤
Wow😘😘 mungu mwenye enzi🙏🙏
Hallelujah
Mungu awabariki watumishi wake
Amen am so much blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😇😇🙏🙏🥰🥰 Nikiwa nawe Bwana nitashinda😭😭😭😭😭 nisaidie eeh mungu wangu nishinde haya majanga🙏🙏🙏😭😭😭😭
Amen 🙏 wow nyi watu wa Mungu kweli uwa mnaninguza kweli kweli....nami natamaningi sana kumwambundu Mungu kwa namna hii sijui mko mtaa upi wajameni kama nimi naeza tap hiyo neema ya kuambudi kiwango hiki please.
Ninachotaka ni wewe haja ya moyo wangu, huu ni upeo wa juu .may heavenly father bless you
Mungu apewe sifa jameni..
Wow!this Lady haki! I tap the grace in you dia
Amen Amen
Mungu awabariki sana.Napenda huduma yenu.
U touch my heart,God bless u as u serve humbly.
Ni wewetu during my storms you are my shelter Jesus 🙏🙏🙏
Surely God exists and acts in his time, let him come down this afternoon and bless each of us if you believe, say Ameen🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Mungu kweli Kila jambo Lina wakati wake Mungu anapanga.thank you lord
Very powerful 🙏
Amen
Amen ,nitashidia yote
Ninachotaka ni wewetu🙏 Amina
Bwana hata sasa nakiri ya kwamba haja ya moyo wangu ni wewe tu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽🙏🏽
Barikiwa sanaaa🙏🙏
Amen I just found myself crying eeeh Mungu nitimizie haja zangu 🙏🙏🙏
Hallelujah
Wakati huu mgumu tunachotaka ni weee tu Mungu 😢😢
Powerful worship
Thank you Man of God, inbox me
Amen mnashusha mbingu wapendwa neema izidi kuwabe ba
I need you Jesus in my heart without your am nothing 😢😢😢😢😢❤
Am so blessed guys you are Gods vessels Thanks so much❤
Haleluyaa!! ❤❤
Glory glory to God.
Hallelujah
Amen, am blessed God bless you abundantly
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 😢 am blessed 🙏
Ni Yesu tu
Yesu ni bwana