SOMO: "MAMBO SABA (7) YALIYONISAIDIA KUFANIKIWA MAISHANI" - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 156

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania ina watumishi wa mungu wana matendo ya kushagaza sana tuna vojuwa watumishi wegi wana pokea tu na soyo kusaidia watu kwa misaada yoyote lakini uyu nabii mkuu wa gurumo ya hupako ana saidia kila.mumoja bala kujali dinizao. Yeye kila halie fika kwake halifanikiwa kifikira na kiroo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @lelialelia7746
    @lelialelia7746 ปีที่แล้ว +1

    Amin baba Mungu azidi kukubari Sana

  • @johnmwalwembe3036
    @johnmwalwembe3036 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubari sana mtumishi hakika wewe umeitwa na mungu

    • @msemakwelitv9325
      @msemakwelitv9325 7 หลายเดือนก่อน

      Baba I am proud of you,Mungu akupe Maisha marefu

  • @magysamini9106
    @magysamini9106 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe

  • @under18junior43
    @under18junior43 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen nakupenda sana mutumisi wa muku nikiwa Kenya

  • @dastanisalingo8993
    @dastanisalingo8993 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi sana nabii mkuu. Niombee na mimi huhuduma yangu ikue. Mchungaji

  • @beatricechembagulabeatrice8991
    @beatricechembagulabeatrice8991 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba mafundisho yenye afya

  • @BethuelKipngetichmutai
    @BethuelKipngetichmutai 9 หลายเดือนก่อน

    Nabii mkuu watching you 💕 from Nairobi Kenya 🇰🇪 we love your teaching uko na experience to God 🙏🙏 may God bless you sir nabii mkuu John Davies

  • @hatangimbabazisenzoga3245
    @hatangimbabazisenzoga3245 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina.Mungu atuinuwe na atupatiye moyo wakuinua wengine.asante Nabii mkuu

  • @Royal_priest1
    @Royal_priest1 ปีที่แล้ว +1

    I love you NABII Mkuu❤

  • @emamanuelpallanjo6693
    @emamanuelpallanjo6693 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue zaid nabii mkuu mm dereva toyo nataman uninuezaid nipate kujiendeleza na biashara nlitaman sana niwe na trekita kwajili ya kulima natumain kubwa kuwa utanikubalia ombi langu mkuu wa nchi zote Dunian

  • @willson7428
    @willson7428 2 ปีที่แล้ว +1

    Umenigusa nabii mkuu kwani maisha haya shida Sanaa mwenyezi mungu awe nawe amen,,,,

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +1

    HAKIKA FUNDISHO LA KWELI NA SAHIHI NI CHAKULA BORA LA AKILI....I really love you,kwangu NENO KWELI ,HEKIMA,NA MAFUNDISHO YA SULEIMAN...Amiin yaa Allah....LIMENIWEKA HURU POPOTE IWE MUSIKITINI AU HAPO AT MY (AL-AQSA)

  • @kilulumasunga8657
    @kilulumasunga8657 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana na mafundisho haya ,Mungu akubariki sana mtumishi nabii mkuu GeorDavie

  • @anethmwandolela852
    @anethmwandolela852 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana baba, nimepata darasa la PHD leo. Love you so much. Nachukia wanaokusema vibaya sana

  • @MohammadLudovic
    @MohammadLudovic 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu alibariki na Mungu na mtume wake

  • @ethelmugodo2037
    @ethelmugodo2037 2 ปีที่แล้ว +1

    I wish I will one day meet this man of God

  • @Sebastian-gg3lh
    @Sebastian-gg3lh 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu akubariki sana baba nabii mkuu kwa mafundi Yako ymenijenga sana mpaka Leo yamenibadilisha maisha kitabia

  • @emmasha-g3s
    @emmasha-g3s ปีที่แล้ว

    Glory be to God Hallelujah. Lord bless me so that l can be blessing to others.

  • @annabayo4710
    @annabayo4710 2 ปีที่แล้ว +2

    the great teacher,Nakuelewa NABII WA MUNGU.

  • @redbull1146
    @redbull1146 ปีที่แล้ว

    Hallelujah. Bless you, the lords General of his army. The revolution of Jesus began . Hallelujah. Amen 🙏

  • @avidkataraiya226
    @avidkataraiya226 2 ปีที่แล้ว +2

    Shalom Shalom baba 🙏🙏

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu husema EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER

  • @JohnShango-l4l
    @JohnShango-l4l 4 หลายเดือนก่อน

    Powerfuul subject man of God

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Thank you so much my Father. Elimu yako ni Uzima kwangu

  • @apostlemathew5801
    @apostlemathew5801 2 ปีที่แล้ว

    Amen nimejifunza mengi humu... Baba Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @lucyllaizer1711
    @lucyllaizer1711 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana baba yangu, kwa somo hili

  • @robertsaidy4183
    @robertsaidy4183 2 ปีที่แล้ว

    Amen and amen MUNGU no mwema umenifundisha pakubwa mtumishi nafuatilia vipindi nikiwa Zambia lusaka natamani siku moja nije kufika ARUSHA

  • @apostlej.rministiryprophet2219
    @apostlej.rministiryprophet2219 2 ปีที่แล้ว

    AMEEEEENI Asahnte Sana Kwa fundisho KUU Nabii MKUU MH DAR G-ORDEVIE

  • @lissajosey1089
    @lissajosey1089 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii imeniliza baba I love you,,,napokea moyo wa kusaidia wengine,,I'm proud of you dady❤️

  • @alainndikumana
    @alainndikumana ปีที่แล้ว

    Kabisa napenda ayo MAFUNZO . Thank you

  • @daisymatumula4986
    @daisymatumula4986 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Baba nimepokea hiyo

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +2

    Truly speaking where was i???!!! Kwanini Mwenyezi Mungu alinichelwesha kukujuwa???!!! Really have cried for all these three points so far....I love you and and have run out of good words how I can express my feelings for this good lesson...My Al AQSA will be there always for me!!!

    • @mtumepaulochiza3723
      @mtumepaulochiza3723 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabsaa mm nabii kwa kufundisha uko vizuri sanaaa nimetoko mkesha ni km Yesu amesema na mm live

    • @DICKSONBATUVYA
      @DICKSONBATUVYA 2 ปีที่แล้ว

      Asante baba nimeerewa na zaodi ya kuerewa

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    I Received it This so Powerful Anointing Message

  • @twalibfaqih9385
    @twalibfaqih9385 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongoze kwenye njia ya haqqi

  • @roses4542
    @roses4542 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah ,thank you Daddy for your great wisdom ,,,Our treasure may the Lord keep you as the apple of his eye so that we can learn more from you 🙏🙏🙏🙏

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 ปีที่แล้ว +2

    Powerful Amen 🙏🇰🇪

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว +1

    Hilo Somo ninguso yamaisha yangu nashukuru baba

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze Baba

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 2 ปีที่แล้ว +2

    This is so powerful message.
    Watching from Nigeria
    Asante baba

  • @SadikiMnyama
    @SadikiMnyama ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mtumishi

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice fact asante sana Nabii mkuu God bless more

  • @johnmosabi1498
    @johnmosabi1498 2 ปีที่แล้ว

    Amina nabii nami nisaidie nyota ingae

  • @kentlubinda729
    @kentlubinda729 2 ปีที่แล้ว

    Mgeukie mungu yesu anakuja

  • @pendomgina9888
    @pendomgina9888 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe mnoo dady

  • @MwangaSA
    @MwangaSA 3 วันที่ผ่านมา

    Luka 16:19 - 31 ,Pia iko Hukumu ya Watakatifu : Warumi 8:1- 2 ; 2 Wakorintho 5: 10 ; Warumi 14 : 10 ; 1Wakorintho 3:10 - 13 ; 1Wakorintho 4:5

  • @samwelmushi4741
    @samwelmushi4741 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli baba nimeipenda san Iyo mtumishi kwa utajiri wako

  • @barakamlelwa2417
    @barakamlelwa2417 2 ปีที่แล้ว

    Daaah Asante sana nimejifunza kuwasaidia wengine ameni

  • @bonifacedeljaykay1221
    @bonifacedeljaykay1221 2 ปีที่แล้ว +1

    I am lifted to lift others. Hallelujah

  • @fidesngowi702
    @fidesngowi702 2 ปีที่แล้ว

    Asante baba kwa neno lako la baraka, utubariki na sis tulio mbali na wewe nasi tupate upako ulio nao.🙏🙏

    • @jacksonlaizer8616
      @jacksonlaizer8616 ปีที่แล้ว

      Baba kweli nimeamini kua yasemwayo siokweli baba iyoinjili niakweli natamani namimi sikumoja nifike nikuone Liv kwamacho yangu kwani nilipandikizwa mbeguchafu kuusuwewe lakini Leo nimekuamini mungu akuongezee miaka mingisana utusaidie

  • @hassanrashid8182
    @hassanrashid8182 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri sana

  • @barakandabunganie6585
    @barakandabunganie6585 2 ปีที่แล้ว +1

    Really blessing nice message

  • @janebaston3912
    @janebaston3912 ปีที่แล้ว

    Powerful dad

  • @apostlesicily459
    @apostlesicily459 2 ปีที่แล้ว +1

    Am learning much from prophet in kenya

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Baba na Mafundisho Yako zaidi ya Chuo Kikuu unavunja vunja mpaka AKILI yangu inaelewa Asante sana kwa MAFUNDISHO.

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +2

    Shalom shalom my lovely Dr GeorDavie

  • @nicolausymkanga9872
    @nicolausymkanga9872 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba nilikuwa gizan lakini neema ya mungu imenifungua nimepata nuru

  • @josephinemaendaenda3259
    @josephinemaendaenda3259 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie na mimi.kupitia ili.

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 ปีที่แล้ว +1

    NIMEBARIKIWA SANA NABII MKUU

  • @RukiaAthman-z2o
    @RukiaAthman-z2o 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel baba heshma kwako nabii mkuu nakuelewa sana

  • @umurerwa5024
    @umurerwa5024 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba tunakupenda sana

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 ปีที่แล้ว

    Yesu ni njibu kubwa

  • @TumainilaBaraka
    @TumainilaBaraka ปีที่แล้ว

    Mimi nashoni moses.
    Niko morogoro mawenzi.
    Nakupenda saana.

  • @uwimbabaziesperance8478
    @uwimbabaziesperance8478 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu mimi naishi Rwanda napenda nije nikuone baba,nitakuona kivipi?huwa nakufuata kila wakati.

  • @ExaudiEmungure-o6f
    @ExaudiEmungure-o6f 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว +1

    AMEEN

  • @thomaszakaria2133
    @thomaszakaria2133 2 ปีที่แล้ว

    Halo point baba

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 3 หลายเดือนก่อน

    POWERFUL

  • @winnermatei792
    @winnermatei792 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God Hallelujah.Lord bless me so that I can be a blessing to others.

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Asente Sana Baba

  • @frankmhenga7271
    @frankmhenga7271 2 ปีที่แล้ว

    Nabii unaonekana unaupendo sana na watu kwa kuwaambia ukweli hongera

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +1

    I really love you and miss you and ALWAYS REMEMBER you in my life time

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 Daddy

  • @damiankimaro9665
    @damiankimaro9665 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful👌👌👌👌

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 ปีที่แล้ว +1

    AMINA SANAA 🙏🙏🙏

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ASIFIWE SANA KUTUPA MTUMISHI KAMA UYU APA DUNIANI UNAULE MOYO WA YESU KRST

  • @laddertojesus3332
    @laddertojesus3332 2 ปีที่แล้ว

    Asante Nabii,kama inawezekana naitaji number ya Nabii mkuu

  • @radegundachambi-gx9gg
    @radegundachambi-gx9gg ปีที่แล้ว

    Baba naamini nami nitakufuatilia

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen

  • @marianyagake3956
    @marianyagake3956 2 ปีที่แล้ว

    AMINA BABA

  • @deusmallya6932
    @deusmallya6932 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen
    🙏🙏🙏🙏

  • @davidmaina3904
    @davidmaina3904 3 หลายเดือนก่อน

    I love you dad

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว

    Sema baba NABII MKUU tufaidi uhondo huu( my AL AQSA) HEMANI KISONGO ARUSHA

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 2 ปีที่แล้ว +1

    AMINA BABA UNANITIYA NGUVU YA MI KUENDELEYA KUSAIDIYA WATU TAFAUTI

  • @rutagengwasteven7879
    @rutagengwasteven7879 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @victorinomhapa-ql2nk
    @victorinomhapa-ql2nk ปีที่แล้ว

    OK sahihi nabii mkuu na mimi day to day nakuombea achana na wanaokusema usizimie moyo bwana anajua by Bishop mhapa.tcct church

  • @chance0709
    @chance0709 2 ปีที่แล้ว

    Kama kunasiku uliwahi sema kweli ni leo 🎉

  • @SamweliEzekiel-ks7sl
    @SamweliEzekiel-ks7sl ปีที่แล้ว

    Anima baba yangu

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 2 ปีที่แล้ว +1

    Napokea moyo wa kusaidia wengine

  • @janethsempiga970
    @janethsempiga970 2 ปีที่แล้ว

    Amen Baba Nabii Mkuu

  • @marianyagake3956
    @marianyagake3956 2 ปีที่แล้ว +1

    KWELI BABA WAMBIE!!

  • @mbusakiyorapiscas3286
    @mbusakiyorapiscas3286 2 ปีที่แล้ว +2

    Advance advance Dad, Amen, we are so blessed 🙏🙏

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    ASANTE KWA MAFUNDISHO MAZURI. YA KUTOA. UBARIKIWE.

  • @jonasmuna4885
    @jonasmuna4885 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba umebarikiwa

  • @elishamwakapugi7751
    @elishamwakapugi7751 2 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa baba

  • @mwadalungazi6885
    @mwadalungazi6885 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeen

  • @ethelmugodo2037
    @ethelmugodo2037 2 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @dennisrichard6142
    @dennisrichard6142 2 ปีที่แล้ว

    Baba naomba uniombee ninashida nyingi sana

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 ปีที่แล้ว

    Natamani nikutane na nabii huyu uso kwa uso ili nishike mkono wake nami nipite kwenye njia zake za mungu