HEKIMA ZILIZOFICHWA - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2023
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 70

  • @user-kf6ox4pe5b
    @user-kf6ox4pe5b 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina

  • @ISSA-up3zq
    @ISSA-up3zq 5 หลายเดือนก่อน

    Amina mkuu kiukwel nimewai vunjwa moyo kwa swala la kuomba kwa kiasi nmebalkiwa na ujume huu

  • @cosmasmakoa3117
    @cosmasmakoa3117 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika baba mungu atufungulie milango yetu iliyofungwaa ameen.

  • @user-du2gt8ff1r
    @user-du2gt8ff1r ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri kweri MUNGU Yehova ajioneshe kwangu sasa naa zijazo mpaka mwisho wa Dunia Amen

  • @KamangoSebastien-yv6cr
    @KamangoSebastien-yv6cr 11 หลายเดือนก่อน +3

    Merci beaucoup pour la belle prédication nabii mukuu

  • @user-il9xc2jw4v
    @user-il9xc2jw4v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tazama nabii wa Mungu🙏

  • @SaimonNdalahwa-lc9ci
    @SaimonNdalahwa-lc9ci 2 หลายเดือนก่อน

    Hiv n mtumish gan wa mungu wa kwel anawategemea wanadamu?wanadamu hawana lolote maan n mavumbi t ,mlinzi wa milele n yesu t pekeake ambapo ..ukiwa nae maadui wanadamu hawakuwez mpaka shetanshetan hakuwez jaman mungu n mungu t na atabk kuwa mungu na mtakatifu sku zote haogopi kifo maan n her auae mwili na roho kuliko auwae mwili t.jna la mungu libarkiwe

  • @user-qo3nu2ok2m
    @user-qo3nu2ok2m 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo Nabii wa KWELI

  • @nellykibukila5677
    @nellykibukila5677 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ours dady .

  • @user-nx5og4cz7b
    @user-nx5og4cz7b ปีที่แล้ว

    Mungu mwenyewe Ana majeshi ya mlaika wakiongozwa na malaika mkuu wa Vita mikaeli aliye pigana n shetani kwa iyo ilewa somo hapo unaweza ukawa kanisani huna walinzi ila nyumbani kwako unarundo la walinzi.sasa si umtegemee Mungu.

  • @ruthnaiyeso9944
    @ruthnaiyeso9944 11 หลายเดือนก่อน +1

    Man of Wisdom❤

  • @user-il9xc2jw4v
    @user-il9xc2jw4v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naiwe kwangu🙏

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeen

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani Daddy kwa hekima za Kiroho unanivusha🙏🙏

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @vickystellah3194
    @vickystellah3194 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah be blessed Man of God

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 2 หลายเดือนก่อน

    The source of annointing is only in christ jesus...kuweni macho wapendwa wa yesu kristo

  • @King_David2.
    @King_David2. 7 หลายเดือนก่อน

    God's kingdom administer❤❤

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior ปีที่แล้ว +2

    BARIKIWA SANA MTUMISHI HEKIMA HIZI ZA KIROHO

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen Kipekee nimekuelewaaa kabisaaaaaa vizuuu Nabiii

  • @teresajepkemboi-mw6zs
    @teresajepkemboi-mw6zs 10 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @donasianaloyce3202
    @donasianaloyce3202 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hii busara na ni mafunuo,Mungu akulinde sana.Amen

  • @keshenizabron1472
    @keshenizabron1472 ปีที่แล้ว

    So amazing tiching

  • @renathamgeni3869
    @renathamgeni3869 ปีที่แล้ว

    Amina Nani. Mkuu

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 ปีที่แล้ว +1

    Lord, give us eyes that see beyond the horizon.

  • @amissitundula8568
    @amissitundula8568 ปีที่แล้ว

    Ibyo nibya Mungu unazarau maisha ya watu

  • @godfreykaaya2344
    @godfreykaaya2344 ปีที่แล้ว

    Good subject

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Come on Father.

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 ปีที่แล้ว +1

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ni viongozi vipofu hakika Mungu azidi kukuinua waumie zaidi nakuelewaga sn baba nipo marekani nakufatilia unajielewa baba

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว +1

    Powerful Anointing Teaching Father

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen

  • @EmmanuelSanare-bc7si
    @EmmanuelSanare-bc7si ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es ปีที่แล้ว +1

    Amen..nimeinuliwa juu sana milele sitoshuka kamwe ...Haleluya

    • @renathamgeni3869
      @renathamgeni3869 ปีที่แล้ว

      Amina nabii.wa.bwana.mungu snipe. Loho.na.moyo.wa.unyenyekev

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Hakika baba umenibariki Sana keamahubiri yako kuliko mtumishi yoyote duniyani umekuw baraka kwetu sana

  • @ElizabethMtambo-pv2ql
    @ElizabethMtambo-pv2ql ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuli ee mungu nione

  • @user-zc1xq8xk1i
    @user-zc1xq8xk1i 6 หลายเดือนก่อน

    Nyote ni watata,ipo ck MUNGU atashuka awakaange kiboko

  • @SelinaChares
    @SelinaChares 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen baba

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina nimepokeya🙏🙏🙏

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 9 หลายเดือนก่อน

    Mtfe makes life better there after🧐🧐🧐🧐

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 ปีที่แล้ว

    Achana na hao mtumishi.Hao ni wanadamu tu. Hata Yesu aliwasaidia mengi akawaponya magonjwa yao akawalisha mpaka na mikate na samaki lakini bado walimsulibisha wengine wakamuita ana pepo.

  • @MajolaChimanyo-zx7ik
    @MajolaChimanyo-zx7ik ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mimi nakubali Sana mahubiri yako

  • @okanpaul238
    @okanpaul238 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumtumie vyema nabii mkuu....siku moja tutamkumbuka....maana ni wachache kwenye hii dunia

  • @AmosSniper
    @AmosSniper ปีที่แล้ว

    Nisawasawa ibadani kuingia na kapelo Tena mtt wakike

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho potofu, kwa watu vipofu.

  • @WorshippersofGodarmy-ef3tb
    @WorshippersofGodarmy-ef3tb ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana nabii mkuu Kwa ufaham mkubwa mkubwa sana na hekima kubwa kama Kuna watumishi wa kweli Tanzania wanaokupinga basi huyo mungu wanayemtumikia Bado hawajauona mkono wake siku wakiuona watakukubari na kuona kweli kwamba wewe ni mfano Tanzania na Africa hata Dunia yote ikutambue umekuwa unanitia moyo sana hata kama Niko Zambia kwa Sasa kanisani kwangu huwa nawaambia washirika kwamba Tanzania tuna nabii wa kuigwa, mfano wake hakuna, Africa, japo wapo wanaojitahidi Nigeria, kama nabii Jeremiah omoto, na wengine wengi lakini hakuna Africa kama geor Devi wa Tanzania,yesu kristo ameweka vitu vyema kwenye moyo wake, kweli kanisa limeshawishika sana na wametamani kama ungetembelea Zambia wilaya ya mpika Sasa wengi wanakufuatilia kupitia TH-cam, wanajionea wenyewe matukio Yako, ubarikiwe unanitia moyo na mimi, najua kwa sehemu ya utumishi ambao mungu ameweka ndani yangu nitafanya kwa sehemu kama unatoonyesha namna mtumishi anatakiwa kuwa, ni mimi Alfred asanwisye mwankotwa namba ya watsap kwa anatependa kuwasiliana na mimi, ni +260777431008 ya Zambia hiyo) kwa Tanzania ni +255763444450 hii haipo watsabu mpaka tu ninapokuwa nimerudi Tanzania

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 ปีที่แล้ว

      sasa hii c njaaa inayokusumbua ndugu yangu, text ndefu isiyokuwa na maana, namba za nini, mtegemee Mungu ndugu

  • @Rastermirish
    @Rastermirish ปีที่แล้ว +1

    Unafundisha mpaka nafurahii

  • @ashatybella8641
    @ashatybella8641 ปีที่แล้ว +1

    Nilizani😂billnas yupo hapo 😂

  • @edipidiusmoses1073
    @edipidiusmoses1073 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ni tunu baba hata wakisema Mabaya mengi juu yako nitatumia mazuri machache unayofanya kuku safisha ,binafsi sio mtu wa kufuatilia ama kuamini juu ya watumishi mbalimbali but wewe ni nabii hakika

  • @PFD123
    @PFD123 ปีที่แล้ว +2

    Hivi Nyie kizazi cha Nyoka hamuonj kabisa Huyu Ni WAKALA WA SHETANI mafundisho gani haya hata hayana chembe ya roho mtakatifu

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +1

      Hebu lete mafundisho yako ya kweli tuyaone wacha upumbavu

    • @lameckmshana-gg6oq
      @lameckmshana-gg6oq ปีที่แล้ว +1

      hawajui ety , si YESU alisema mna macho lakn hamtaona mna masikio lakini hamtasikia ndio haya sasa

    • @esterpeter8295
      @esterpeter8295 ปีที่แล้ว

      Umenena vyema

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว

      Hiv watu kama nyie huwa mnafataga nini kwenye hii channel mnajifanya hamueliwe kumbe mnamueliwa kuwen wa wazi tu

    • @israelyeremia3439
      @israelyeremia3439 ปีที่แล้ว

      Wajinga ndo waliwao.

  • @deodatusmchunguzi1835
    @deodatusmchunguzi1835 ปีที่แล้ว

    HAKIKA BABA UMENIBARIKI KATIKA MAUBIRI YA LEO MUNGU AKUBARIKI

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 ปีที่แล้ว

    Nabii analindwa na malaika wa BWANA. Mwangalie Elisha alilindwa na nini (malaika na farasi wa moto). Acha utani na Roho zenu. Funguka akili zenu. Mtafute Yesu wapendwa. Yesu yu karibu kurudi, na mwisho wa dunia u karibu.

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว

      Kam mwisho wa dunia umekaribia uza vitu vyako vyote hadi nguo zako coz mwisho wa dunia siumekaribia

    • @simonstephenuphamba5991
      @simonstephenuphamba5991 ปีที่แล้ว

      Kweli ujinga umekujaa na giza limekufunika, Njoo ufunguliwe utoke gizani wewe!!!

  • @Elizabeth-em3bp
    @Elizabeth-em3bp ปีที่แล้ว

    Ma bogard wa nini????
    Nguvu za Mungu ni kidogo kukulinda wewe.....kaa jili....hapana hunishawish kukusikiliza hata kidogo. Nooooo

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว

      Na wewe kalale mlango wazi mungu ataulinda

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว

      Acha unafiki mpaka ume comment anamana emeshaangalia na kusikiliza sasa unajifanya nini

    • @Elizabeth-em3bp
      @Elizabeth-em3bp 11 หลายเดือนก่อน

      @@salimkingu2108 kapakwe grisi ulainike achana na sisi

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es ปีที่แล้ว

    Amen

  • @DAZIZUbeàutysalon
    @DAZIZUbeàutysalon ปีที่แล้ว +1

    Amen