MWANAMKE WA AJABU (EPISODE 3)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 76

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 9 หลายเดือนก่อน +11

    Mim nikimpata mwanamke huyu kuwa mke mwezangu nakubali 😭😭😭Mashallah Wewe Dada ni Mwanamke wa pepon Allah akujaz kher na Inshaallah ukaingie katika Jannatulfirdaus😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Allahumma Ammin 😩😩😰😰😰😰

    • @hannymasu732
      @hannymasu732 9 หลายเดือนก่อน

      Allahuma Aamiin.🤲🏽

  • @user-bt8bk7pm6e
    @user-bt8bk7pm6e 9 หลายเดือนก่อน +8

    Huenda Allah anataka akuruzuku kizazi kwa mume mwengine.Allah akuhifaz.

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 9 หลายเดือนก่อน +6

    Allahu akbar!!! 😢😢😢 Allah akulipe kilichokua bora zaidi uqti.

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 9 หลายเดือนก่อน +6

    Yote utayakuta kwa Mola na umetufunza mengi wewe nimfano mzuri sana wakuigwa kama wake Alhamdulillah nimejifunza

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 9 หลายเดือนก่อน +3

    Waswahili wanasema penyemiti hakuna wajenzi sikuzote huoni thamani ya mtu mpaka kikutoke pole yake huyo mwanamme kapoteza lulu wallahi hodari

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 9 หลายเดือนก่อน +5

    Pole dadaa Allah azidi kutupa subra Kuna sababu ya hayo yote kutokea Allah atakupa mume mwengine mwenye kheri na ww

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 5 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah ukhty Allah akuzidishie moyo wa imaan zaidi wallah wewe ni mwanamke mwenye mfano wake wa kuigwa Alhamdulillah Allah akujaalie mme mwema Allahumma Aamiyn

  • @saniakhalfan1325
    @saniakhalfan1325 9 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atakupa mume usahau yote hayo...💯 ana ku miss

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mie napenda anavyomuhoji anacheza na nafasi yake wallahi anajuwa kumpiga naswali hodari sana wallshi bacheka kweli huyu dada mie namkubali hata mie nakubali awe mkemwenzangu sura yake tu mashaa Allah imejaa nuru hidari mashaa allah

  • @user-gm3bn7nu1x
    @user-gm3bn7nu1x 6 หลายเดือนก่อน

    Allah Subhanna ni muweza na anakadiriya maishabya waja wake

  • @user-ld9pi1ul3p
    @user-ld9pi1ul3p 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana habibty Allah atakupa mume bora huyo hakuwa bora kwako

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah tabaraqah.
    Me amjalie awemkufunzi wa wake wenza wanaotaka kulinda ndoa zao sio wale wanaoenda kwa waganga na kuvunja mayai .❤

  • @user-fk6kt9br7p
    @user-fk6kt9br7p 8 หลายเดือนก่อน

    .mashaalha kwakweli mola akuzidiahie nami nkipata .mke kama wewe nazhani Alha ananiridhia Inshaalha

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

    Mamdogo nimekumiss sanaaa,nipigie mm bibi Asnati

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 9 หลายเดือนก่อน +3

    Muandishi una visuali vya uchokozi ❤

  • @husna34562
    @husna34562 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uke wenza ulikua zaman sai waume wenyeww ndio mwanzo ŵqnashindo kushinda huyo mke😂😂😂

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 9 หลายเดือนก่อน +4

    Maskin Mashallah Mhh had machoz yamenitoka Maskin na bado Anasema mengine ni Nyuma ya pazia😭😭Wanaume Muogopen Allah ijapo kuwa na sisi wanawake ila dah jaman mhh Dada kaniuma huyu Mim 😭😭😭Mim nakuombea tu ukawe mwanamke wa pepon Inshaallah 😭😭😭Maana si kwajuduh hii uliyoipitia😭😭😭😭😩

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 9 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin,Yaa Rabby

    • @halimaidd4539
      @halimaidd4539 8 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭😭😭

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 8 หลายเดือนก่อน

    Utampata alie bora zaidi biidhnillah

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah mashallah tabaraka Rahman had raha sana ❤❤❤

  • @mohmadalmahrizi3717
    @mohmadalmahrizi3717 8 หลายเดือนก่อน

    @Ashura maida
    Mashariki Mashallah Mashallah Allah akulipe duniani na Akhera
    Allah akupe mume mwingine mwenye heri na wewe

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli wanaume mna tabia mbaya sana ,hamusifu,hamusemi Asante yaa mnaona vitu vidogo lakin Vina maana sana

  • @user-ly9pv2se7s
    @user-ly9pv2se7s 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah attakulipa kwa wema wako dada

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuifaz dada yetu mashekhe wetu salum

  • @user-mc4jn5db4f
    @user-mc4jn5db4f 8 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah ❤❤

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweli alifanya hayo mbele ya macho yangu nanijiraniyangu,natulikuwepo ktk harusi hiyo,tunamwita Mm Mdogo,aliolewa na Ust wetu Alfani,hakujalıwa uzazi,alimvumilia hadimke mwenzie akajifungua,gafla tukaona kaondoka eti akachika,imetuuma sana,napengolake mtaani halijazibika.Mungu amlipe w

    • @user-xh7xf2ki3r
      @user-xh7xf2ki3r 5 หลายเดือนก่อน

      Maa Shaa Allah
      Allah amlipe kher na amjaalie apate mme mwema na apate kizazi chema Allahumma Aamiyn

  • @MuhammadKhatib-df3zq
    @MuhammadKhatib-df3zq 8 หลายเดือนก่อน

    Asalamu alykum ningelikuwa mme ningelimuoa kwa mahari mengi kutokana na dini yake

  • @user-dg3fn2dm7d
    @user-dg3fn2dm7d 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @user-cd3lg1uj4c
    @user-cd3lg1uj4c 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada allah ampe pepo

  • @user-ly9pv2se7s
    @user-ly9pv2se7s 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah attakulipa kwa wema wako❤

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Rashid heee huyapendi kumbe na weye umo🙄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shakiramohammed8153
    @shakiramohammed8153 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli kila mmoja na mtihani Allah aloweka kwa mja kwa hiyo kuwa na subra Allah atakulipa kheyr yako

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 8 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykum warahmatullah wabarakatu,,,wallah nmeiona video kuchelewa lkn dadangu pongezi sana kwa ulichokifanya,kwa ajili ya Allah kama unavyosema,bc inshallah kwa huyo mume alokutaliki ilikua rizq imeeisha kwake ila nakuombea inshaallah ujaliwe ubavu wako wa haqi,,,napia allihamdulilah ww mashaallah umeisoma dini,,nmesoma comments nyingi za watu lkn wengi hawaamini qisa chako ila ww mwenyew ndio unaejua zaidi ❤❤❤nakupenda sanaaa dadangu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 9 หลายเดือนก่อน +1

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @user-rc7ov4rw5r
    @user-rc7ov4rw5r 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ❤❤

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ❤❤❤

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 9 หลายเดือนก่อน

    Uke wenz n ushindan, niliolew mke w 3 n tumeish nyumba moja wt wa 3 kw miaka 8 ila mwak jan niluamwa kudai talak pa sina sababu za msingi n nikapewa, ila mpak leo dada zangu wananipenda sanaaa, n niliolew n miak 21

  • @aramm474
    @aramm474 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn ukht ungetueleza jpo juu juu sababu hasa ya kuachika, nahs kipo cha kujifunza pia

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

      Kipo na tunakijua sisi majirani zake na tumeshangaa sanaa!!

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nime isubiri kwa hamu

  • @NasibuNasoro-ew3vw
    @NasibuNasoro-ew3vw 8 หลายเดือนก่อน

    Aslm allaykum mi sina mke naomba nusra kwako ya ndoa Kama huto jari ❤❤❤❤huenda nikapata kheri kubwa na sababu kubwa ya ufunguo wa kumcha Allah ktk ndoa

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

      Kishaolewa huyo,nayule mume ni imamu wetu,kaoa wake 2 sasa lakini hana amani.

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

      Tulishangaa tuu,ameondoka,nahakusema,hadileo hatujui,kweli mm Mdogo mchamungu,hata Üst hanaraha amekumiss,simuoni furaha usoni kwake.

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

      Tunasikiliza wotee,nimeiona ilesare yetu ya chuo,

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน

      Mtangazaji karibu Dodoma Nkhungu İtega utatukuta.naanayosema yote nikweli

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atakupa mume mwegine mwenywe kheri na ww

    • @aisajs83035
      @aisajs83035 9 หลายเดือนก่อน

      Amiiiiin 🤲

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 9 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah

  • @user-gm3bn7nu1x
    @user-gm3bn7nu1x 8 หลายเดือนก่อน

    Assalamu Alaikumu kipindi mi kizuri mno lakini miye sikiungi mkono hapa wanawake Siye tumeubwa na Aibu kwani wanawake wanawotoka hapo hawana sitara kamili si wangejiwekeya paziya wakaweka Ninjas jamani dini yetu imetufunza kwamba haya NI Imani Na wewe. Shegh Rashid dini si unaijuwa vizuri na mnaekekeya nyuso na. Maneno mengine yanagusa pagumu akh miye hapa nataka parekebishwe hapaa

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 9 หลายเดือนก่อน

    Akah mahaba yote hayo na akakucha 😂😂😂

  • @saidsaleem1732
    @saidsaleem1732 9 หลายเดือนก่อน

    ❤maanshallah

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn ucivunjike moyo utapata mume mwema km uyoo

  • @yussufjumakhamis-ix9dz
    @yussufjumakhamis-ix9dz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asalama aleykum naomba contact zake huyo dada mm nikamstiri kama yuko tayari kwa kuolewa tena

  • @saniakhalfan1325
    @saniakhalfan1325 9 หลายเดือนก่อน

    😅 nauli mashe Rashid😅

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 8 หลายเดือนก่อน

    Stori haina mana yoyote kama haijasemwa kwanini kaachwa. Maana lazima tujue hitilafi gani iliyopelekea kuachwa maana inatoa taaswira kapoteza muda bure

  • @salumHamad-vd7wc
    @salumHamad-vd7wc 9 หลายเดือนก่อน

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah dada angu umefaulu kwa mumeoo lkn haikuwa riziki yko

  • @amourfadhilbakar205
    @amourfadhilbakar205 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sasa ni mjane au kaolewa

    • @user-rh4ee6fh6v
      @user-rh4ee6fh6v 9 หลายเดือนก่อน

      Nimjane kwamujibu wa maelezo yake

  • @saidsaleem1732
    @saidsaleem1732 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba conation kama yuko tayali tumsitili jamani

  • @maryammohamed5312
    @maryammohamed5312 9 หลายเดือนก่อน

    Episode 4 ifate huyu dada nataka kujuwa aliachana na huyu mume jee aliempa mume wake yeye bado yupo kwenye ndoa hii hii yeye ameitoka?

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 9 หลายเดือนก่อน +6

    Habibty utapata mwema kwako huyo mume ulokuwa nae hakuwa mwema kwako mie pia mume wangu nilimpaa mahari pia lkn Allah mwenyewe anajuwa na Allah helipad hapa hapa duniani kuwa na subra na zidisha swali omba mungu akupe mume mwema kwako mie Alhamdulillah nimemuomba Allah na kanipa mume mwema Alhamdulillah 🤲🤲

    • @OmanOman-bm1lr
      @OmanOman-bm1lr 9 หลายเดือนก่อน

      Allah hulipa hapa hapa duniani

  • @suleimankira9195
    @suleimankira9195 9 หลายเดือนก่อน

    Ustdha ushaposwa ?? Au unaruhusu posa ?? Au Allah keshakujaalia kheri y ndoa ??

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 9 หลายเดือนก่อน +1

    talaka 3 kwa mara moja inahesabika moja. 3 ni mpaka akuache akurudie akuache akurudie mpaka ifike mara tatu . ndio haifai mpaka uolewe na mwingine kisha akuache ndio akurudie

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 9 หลายเดือนก่อน

    Bado hajawa mpaka kuachwa halafu unasema alikuwa anakupenda anayependa haachi weeeee

  • @mussamohamed5662
    @mussamohamed5662 9 หลายเดือนก่อน

    Kama jimbo liko wazi wapi fomu za kugombania sheikh rashid toa contacts

    • @husna34562
      @husna34562 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @saay4273
      @saay4273 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @user-dg3fn2dm7d
    @user-dg3fn2dm7d 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah