Dr. Chris Mauki: Ili uweze kupata usingizi mzuri, zingatia mambo haya manne

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2022
  • Je unapata shida kupata usingizi na kulala vizuri usiku? Je unajua tatizo linaweza kuwa wapi? Nina jibu lako hapa, Zingatia mambo haya manne, utaweza kupata usingizi wa kutosha kabisa.
    #DrChrisMauki#Usingizi#Mzuri

ความคิดเห็น • 34

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 ปีที่แล้ว +3

    Thank you sir..Allah akujaalie afya njema akujaalie elimu zaidi na zaidi.

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana doctor maana nilikuwa sipati usingizi kabisa ngoja nizingatie hivi vitu

  • @irenekyando4429
    @irenekyando4429 2 ปีที่แล้ว +3

    Asant dr kwa somo zuri God bless you

  • @raufuashilafu5159
    @raufuashilafu5159 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwakweli wewe unafundisha safi sana

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana doct

  • @juliethbusso1761
    @juliethbusso1761 ปีที่แล้ว +1

    Aisee barikiwa sana

  • @benedictojanuary4930
    @benedictojanuary4930 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante daktari Chris kwa somo zuri sana

  • @kissajohn8676
    @kissajohn8676 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dr kwa SoMo zuri

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Dr. Kwa soma Nzur sana 🙏🙏🙏

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni kweli mimi huwaa nikitaka kulala ni duwaaa tuuu mpaka naishia usingizini asante
    Dr mauki

  • @emmyminah1261
    @emmyminah1261 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Dr Chris

  • @nataliadeniss659
    @nataliadeniss659 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri

  • @christinenaliaka5900
    @christinenaliaka5900 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @maryandrew5204
    @maryandrew5204 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumish kwa somo zuri kiukwel nabarikiwa Sana na mafundisho yako

    • @bituninabarikiwasanannyimb5546
      @bituninabarikiwasanannyimb5546 2 ปีที่แล้ว

      Naomba n kuulize kaka et mume asie kuonea wivu hata umuambie uko bar Hana wivu je anaupendo??

  • @halimahamisi8855
    @halimahamisi8855 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan kwakutuelimisha

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kutuelimisha

  • @user-vb9ph6wc9s
    @user-vb9ph6wc9s 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwangu ni changamoto sana

  • @user-vk5vi3es5g
    @user-vk5vi3es5g 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani dokta nashukur sana kwa somo zuri maana yote uliyoongea yananihusu itabidi niache ili niweze kulala usingizi mzuri yani silalagi kweli

  • @bkidgmai48931
    @bkidgmai48931 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa 😂❤

  • @-zj2zd
    @-zj2zd ปีที่แล้ว +1

    Kulala saangapi??

  • @gracelaizerkisyoki7279
    @gracelaizerkisyoki7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Santeee

  • @salamasalama7140
    @salamasalama7140 2 ปีที่แล้ว +1

    Naisubiri hii kituu kwa hammm

  • @user-rx4cp5cw6x
    @user-rx4cp5cw6x 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi tabia zangu zote izo

  • @sylviacornely4688
    @sylviacornely4688 ปีที่แล้ว +1

    Kama nikienda kulala huwa nafikiria mambo mengi sana nifanyeje ili kuachananayo?

  • @angellandambuki794
    @angellandambuki794 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakosa kabisa

  • @theresiachigali9482
    @theresiachigali9482 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr Nina tatizo la kutokupata usingizi

  • @rashidnasoro1065
    @rashidnasoro1065 7 หลายเดือนก่อน

    Shida kufikiria vitu au matukio vinakuja automatic ngumu kuvizuia wengine kulala vizuri hadi tunywe pombe kama sio kumeza piliton

  • @florashirima1224
    @florashirima1224 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli Mimi nikilal mawazo yanakuwa mengi sana na sijuiyanatoka wap

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 6 หลายเดือนก่อน

    Mim muhanga 😅 ngoja nifatilie

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuchezea simu ukiwa kitandani upo insta you tube Facebook hulali