UJANE NI DARASA (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 50

  • @user-ky7uu2uv2f
    @user-ky7uu2uv2f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah huwa nikiwasikiliza nijisikia amani ndani ya moyo wanga Allah aidumishe alfatah na viongozi wake tuzidi kupata mambo mazur nawapenda ❤❤

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤mashaAllah shukran jazeelan somo zuri sana.

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 ปีที่แล้ว +1

    Kwa vyovyote hii inasaidia kwa anaefuatilia na kuhitaji kujifunza kwayo,,awe mwanamme au mwanamke,,
    Hongera sana shekh Rashid kwa ubunifu wako ,, na kufanya vipindi vizuri allah akulipe kheri inshaallah,,kama kuna mapungufu hapa ,, Basi Ukamilifu ni wake Allah pekee,,tulobakia sote tunamapungufu yetu

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤shukran jazeelan shukran

  • @zahraswalehe1853
    @zahraswalehe1853 ปีที่แล้ว

    Hiyo singo mama weee unamsinga kila siku mtu aomba singo akah singo kwa kutumia dalia ya somo mtoto ni motoooooo tena anakwambia mie pita pita zangu sijawahi kufanyiwa haya

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

    MASHA ALLAH.

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +5

    Nyie semeni zungukeni maneno ni hayo hayo ndoa haina kungwi wala haina mwalimu nikujitahidi na kumuomba Alla atustiri Alhadulillah nina miaka 12 kwenye ndoa nawaombea na wenzangu wawe na furaha daima naomba tuwasiliane habibty nnajambo😊

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      Hakuna haja ya kunitafuta ushamaliza maneno mama 😊

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 ปีที่แล้ว +1

      Mwenzako akisema jambo usilibeze hatakama unaliju coz kuna wengine hatujuwi vilevile ukiujua huu mwengine huujuwi jitahidi kumsikiliza utapata faida kubwa

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 ปีที่แล้ว +1

      @@AttiyaHassan_somomtoto ukhty maneno yawengine yazikuvunje moyo kwani ktk hii dunia kila mtu na hulka yake alionayo,tuvumilie tu ili utimize lengo lako na Allah atakusaidia zetu dua tu!

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      @@saidkhamis9507 niko pamoja na wanaotaka kujifunza ktk safari hii In shaa Allah matumaini yangu mtapata chochote

    • @zainabnoor2278
      @zainabnoor2278 ปีที่แล้ว +2

      Mwenzetu una bahati mwaya na jitihada zako...mie mwari wake somo anajua na anajua hasa hasbAllahu waneemal wakil

  • @malkia_abla3940
    @malkia_abla3940 ปีที่แล้ว +1

    maneno.mazuri ❤ allh akubarik

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum. Naomna namba ya huyu dada

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว

    Sasa Shwikh Rashid io kutulete Bi wifi mpya ndio nini😀😥Mke mkongwe akiona si ndo utamvunja moyo Haipendezi kaka ANGU TOWEN TU MAFUNZO BILA YA KULETA SIJUI MAFLOWER haina haja ya Kuleta Show Na hichi kipind haipendezi kuendeshwa na Mwanamme Kinapendeza mwanammle kwa mwanamke Sorry kama nimekosea

  • @zainabnoor2278
    @zainabnoor2278 ปีที่แล้ว

    NO FAKE ZONE...SOMO MTOTO HANA MPINZANI ALLAH AKUWEKE TUZIDI KUPATA MADINI

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Hii😅😅

  • @saidkhamis9507
    @saidkhamis9507 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh muelekeze huyo hayo mapiko sio sawa kuziona kila mtu

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว +1

      In shaa Allah nmeskia

    • @yahyajuma9353
      @yahyajuma9353 ปีที่แล้ว

      @@AttiyaHassan_somomtoto dada una chanal maalum unatumia na.maarufu

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      @@yahyajuma9353hapana kwa sasa niko chini ya Al Fattah Tv

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 ปีที่แล้ว +1

      @@AttiyaHassan_somomtoto nimefurahi kuwa msikivu,Allah azidi kukuongoza ktk hakki

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      @@saidkhamis9507 naww Atakuongoza In shaa Allah

  • @biubwazahir782
    @biubwazahir782 ปีที่แล้ว

    😂

  • @AhmadAmour-gv7si
    @AhmadAmour-gv7si ปีที่แล้ว

    A'aleykum sasa sheikh awo wanawake wanaotoa mada ni wake za watu sasa mbona wanaonesha mapambo yao hadharani

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      Wslm nakujibu mm mhusika hapo sio hadharani hapo ni studio na mwenye mkewe alolipa mahari akakabidhiwa mke uyo unomtaja hapo ameridhia hilo kwa sababu maalum. Una lolote la kuongezea?

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว +1

      Kisha hiko sio kipindi cha dini ni darsa za ndoa
      Itifaki kuzingatiwa
      Karibu ujifunze zaid vipindi vijavyo
      Shukran

    • @sumaiyyazamilzamil121
      @sumaiyyazamilzamil121 ปีที่แล้ว

      Sio darsa la dini sw,lkn dini imeweka wazi kila kitu hata km umepewa ruhusa kwa uyo ulopambia ila haifai ktk ndowa hutakiwi kufundisha dunia na akhera pia inaingia kwny ndow

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว +1

      @@sumaiyyazamilzamil121 Allah atalipa kila amali kwa nia nadhani ungefocus na nlichokifundisha na sio mhusika ingekusaidia sana mana hata ww ulipo huna mema matupu na dhambi unazo kwa vile hatukuoni hatuwezi kukukosoa lkn Allah shahid.

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว

    A,alaikum samahan km nitakosea mwanamke anatakiwa mambo yk kujistiri sasa ww Mapiko yk wazi kila mtu anaona jeee? Unafunza nn,hakuna mwalimu wa ndoa ila wazee wetu walikuwa wanaitwa manyakanga walikuwa umri Kuanzia 65 kwendea juu kwa maaana ametimia kuwa mwalimu mtoto mzur km huyu ana funza nn wakat hata Mau bado haja anza kuota au mitihan tu

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb ปีที่แล้ว

      😅😅

    • @rashidomar2771
      @rashidomar2771 ปีที่แล้ว

      Umri ni nambari,,utuuzima ni hekima na kujua mambo,,yaani kila kikiweka kwenye pahala pake

    • @salummzee9739
      @salummzee9739 ปีที่แล้ว

      @@rashidomar2771 hakuna kitu hicho maneno kanga tu hayo

    • @fatumajuma3833
      @fatumajuma3833 ปีที่แล้ว

      Ww upo kwenye ndoa ?

    • @rashidomar2771
      @rashidomar2771 ปีที่แล้ว

      @@fatumajuma3833 ,,mimi ndio sijui wewe

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 ปีที่แล้ว

    Huyu mdogo sana ila tangu utoto anapenda utuuzima

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว +1

      Subhanallah

    • @fatmakhalid942
      @fatmakhalid942 ปีที่แล้ว

      Hasbiyallah ☹️kila mtu na alichopewa na mungu nyota njema huonekan asubuh

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto ปีที่แล้ว

      @@fatmakhalid942 thank you dua zenu muhimu In shaa Allah Mungu awageuzie

    • @zainabnoor2278
      @zainabnoor2278 ปีที่แล้ว

      Ndio mdogo ila jua kutofautisha kati ya Utuuzima na Hekma ...inawezekana unamjua ila Mwenyezi Mungu alimbariki karama tangu utoto hekima yake ktk utendaji uliitafsiri km utuuzima

    • @ZayyunSaleh
      @ZayyunSaleh ปีที่แล้ว

      ​@@zainabnoor2278kabsa habbty wengne mola huwaa anawapa Karama wanakuwa na ujuz wa mambo fulan maa shaa Allah wala hawajayasomea

  • @zeyounhabibty8587
    @zeyounhabibty8587 ปีที่แล้ว

    Tunaomba kujua makosa ya wanaume yanayo wafanya wakezao waache kuwafanyia singo na mengine....!!!!!!!

    • @sumaiyyazamilzamil121
      @sumaiyyazamilzamil121 ปีที่แล้ว

      Wasielemewe wanawake tu ndoa sio utumwa mwanmmke habadili km mume hajambadisha

    • @rashidomar2771
      @rashidomar2771 ปีที่แล้ว

      @@sumaiyyazamilzamil121 haya ndio mawazo ya usasa ya wanawake wabeijing China,,hapa ukioa lazima utakoma mwanaume utajuta kuzaliwa